Kilimo cha Papai. Jinsi ya kuweka Mbolea ya Kukuzia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • OFA OFA OFa
    Karibu ujipatie miche mizuri ya Papai zile za muda mfupi kwa bei ya Ofa .
    Tareh 1 had 15 July 2020 Miche inapatikana kwa OFa ya punguzo la bei 2,500 tu kwa mche badala ya 3,000.
    Aina ya Papai ni Malkia F1 ambayo ni nyekundu ndani na ni tamu sana.
    Miezi 6 hadi 7 unaanza kuvuna.
    Pamoja na Miche utapatiwa ushauri wa kitaalamu kuanzia Upandaji, utunzaji hadi Mavuno. .
    Kitalu chetu cha miche ya Papai kipo kimara kona, Dar
    Tunafanya delivery, kwa wakazi wa Dar, (kuanzia miche 50 tunakuletea kwa gharama nafuu kabisa). Kwa wateja wa mikoani tunatuma, na miche inafika salama kabisa. .
    NB: kumbuka Ofa hii inaisha 7July 2020.
    Mawasiliano: Simu 0763 071007
    Email: ushauri@kilimo.net

КОМЕНТАРІ • 2