Asalamu alykumu mwenye kuikataa dhikiri bado anatakiwa akasome tena vizuri hiki kinachofanika hapo sio jambo la masihara Allah atufanyie wepesi na sisi tuwe miongoni mwao
@@kasimjumannenkungu Ewe Muislim. Mtume saw hakutufundisha kokohoa kua ni ibada. Kama ni wema kufanya hivyo angetangulia yeye kufanya kwani yeye ni Mtume alietumwa kuwafundisha watu namna ya kumuabudu Allah. Bali nyinyi mnazua katika dini. Kama ni hivyo tulipoletwa duniani tungeachiwa kila mtu afanye anavyo penda akiitakidi kua ni ibada. Subhana alla, alhamdulillah, allahuakbar, lahaula walakuwata illa billah, hasbiya Allah, radhitu billah raba,. Na nyenginezo Ndio adhkar alizotufundisha Mtume wetu saw. Sio kuruka na kukohowa. Iblis Alitafuta njia ya kukutoweni katika adhkar akakupotezeni tahamaki mmeacha adhkar alizotufundisha Mtume sasa mnaruka na kukohoa.
Kazi ipo kweli ndugu,Hawa ndo maquraa wetu kwenye jamii yetu wanaotegemewa wamezama katika uzushi,na jamii inavyopenda mambo haya ya kucheza,hatari sana wallah!!!Muswiba wallah,Allahulmusta’anu
Ajaran islam apa ini,,,?? Adakah Hadits dari nabi,, atau petunjuk dari nabi melakukan ajaran seperti ini?? Ajaran seperti ini adalah kesesatan,, ini bukan ajaran islam
: Maashaa Allah 🙏🤲❤❤
Maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah
Usiwasifu awo wanafanya uzushi. Mtume hakutufundisha kukohowa na kuruka kua ni ibada
❤❤❤❤❤❤
Maashaa Allah jazaakallaahu khair
Mashaallah
Mashaallah!Kama haujaona dalili ya Dhikri kaendelee kusoma utaiona,Elimu ni Bahari
Asalamu alykumu mwenye kuikataa dhikiri bado anatakiwa akasome tena vizuri hiki kinachofanika hapo sio jambo la masihara Allah atufanyie wepesi na sisi tuwe miongoni mwao
Naaam❤
Sheikh Mahmoud
Subuhanallah!!!! Inna Lillah wa innaa Ilaihi Rajiûna!!! Allah atuongozi njia ya kweli, dini hii ya wapi kweli 😢😢😢😢
Mkiambiwa njoo msome mnakimbia na kujion mna elim
: Wee hiv ni muislamu au kafiri chunga sana ulimi wako kama hujui kitu acha dharau
Wacha upuuzi nitakuja kichwa hio ni dhikr mshenzi weww
Nitakukuta kichwa mshenzi
Hii zikiri sio dhikr,
قال الإمام الشافعي رحمه الله لو أن رجلا تصوف من أول النهار لم يأت الظهر إلا وجدته أحمق
wanaepinga dini wanapatikan tu hapa wanajidai hawapendi wakat wanafatilia asiejua haya hajasoma vizuri
Mashallah
Kilwa pande shadhil
Wapo sahihi
Subhana llah watu Wana fanya mambo kinyume na mtume alivyo tu funza allah awazindue faham zenu
We kutumia UA-cam umefunzwa na mtume
@@yusufqardhwawi3360Nimelipenda jibu lako kwakwel
Angalia upande wake Hakuna umati sayyidina Muhammadi unaokusanyika kwa ubaya Bali Ni mapenz makubwa rudi ukasome tena
ilimu huna
Mtume hakutumia UA-cam kakaaa… Allah akuzindue faham❤
We din ujasoma alaf unakosoa walfat uwauliz mmnach kifanya kimeandkwa wap. Watkijib unalsoma din juujuu alaf unatak kujua
mambo ya kwetu kilwa hayo
Wazee wazimaa mwafanya upuuzi hamuoni haya ama kweli masufi chizi
Ujui kitu wew unaongea nn nenda kasome,tafdhr uxinitie hasira ww,kijan kaa kimy
Usitukane watu.kama we unaona siyo sahihi tulizana. Mungu ndiye mjuz
Kwanini uangalie
Acha ukumanz
Allah na Mtume wake wapi wametufundisha haya jmn Masufi Allah awaongoze
Nenda ukasomeshwe usijisomee Kama unavyosoma gazeti
Tukasomeshe wapi ndugu yangu,Ambako imefichikana hiyo elimu ya namna hiyo!!kwa makasisi na waaskofu???maana kwenye uislamu hakuna ibada ya kucheza
Mtume hajafundisha kutumia UA-cam kakaaa
@sandeo miladu ukiaambiwa channel yako ni ya masufi na Abu Khawla unatoa povu
Hii dini kweli.? Mmekosa adhkar za kusoma. Mnafanya uzushi
kwamba hapo wanamtaja nan wakati mungu kasema tumtaje tukeshe kwa kumtaja umesikia jina lako hapo
@@kasimjumannenkungu Ewe Muislim. Mtume saw hakutufundisha kokohoa kua ni ibada. Kama ni wema kufanya hivyo angetangulia yeye kufanya kwani yeye ni Mtume alietumwa kuwafundisha watu namna ya kumuabudu Allah. Bali nyinyi mnazua katika dini. Kama ni hivyo tulipoletwa duniani tungeachiwa kila mtu afanye anavyo penda akiitakidi kua ni ibada.
Subhana alla, alhamdulillah, allahuakbar, lahaula walakuwata illa billah, hasbiya Allah, radhitu billah raba,. Na nyenginezo Ndio adhkar alizotufundisha Mtume wetu saw. Sio kuruka na kukohowa.
Iblis Alitafuta njia ya kukutoweni katika adhkar akakupotezeni tahamaki mmeacha adhkar alizotufundisha Mtume sasa mnaruka na kukohoa.
@@kasimjumannenkunguAnaezungumza HVO siajabu hata juzuu moja hana.
kaziipo safari bado ni ndefu
Kazi ipo kweli ndugu,Hawa ndo maquraa wetu kwenye jamii yetu wanaotegemewa wamezama katika uzushi,na jamii inavyopenda mambo haya ya kucheza,hatari sana wallah!!!Muswiba wallah,Allahulmusta’anu
Wewe wahabi kutoka pande zipi tena??
Ajaran islam apa ini,,,??
Adakah Hadits dari nabi,, atau petunjuk dari nabi melakukan ajaran seperti ini??
Ajaran seperti ini adalah kesesatan,, ini bukan ajaran islam
Mashaallah
Mashallah
Usiwasifu awo wanafanya uzushi, Mtume hakutufundisha ibada za kukohoa na kuruka. Zindukeni enyi watu.
Mashaallah