Aii🤗 mbosso kama kuna siku utatuangusha ni ile siku utaacha mziki ile vibe watupatia hakuna msanii mwenye uwezo huo si Africa si wapi wewe ni kiongozi likes za mbosso zote zije hapa tafadhalini......
Asante kwa kuwaangalia watoto wangu...nakuombea sana upone....huwa mnaniimbia alafu nikiwatFuta mnakataa kureply ..mscheew.. anyways love u Mboso....my cat
Woooooow.......!!!! Mbosso u really good 👍.....when I listen your songs 🎵 I feel relaxed and brings joy to me. I really appreciate and enjoying.....Big up. Much lov❤❤❤❤ from Ghana 🇬🇭.
Aki mapenzi nayo kwa king mbosso l wish angejua tu angenipa collabo hata nyimbo moja this is TEEKAY BOY an upcoming artist from kenya 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇹🇿imeweza sana kakangu
All the best mbosso hi kitu ya moto sana🎉🎉🎉 1:vibes 100%🤸♀️🤸♂️🤸♂️🤸♂️ 2:motivation 100%🕺🕺 3:makopa100%❤❤ 4: romantic100%😂😂 5: insult 0000000%💔💔💔 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 .................unyama mwingi
Hua natamani dunia nzima iwe inajua kiswahili ili wapate kuenjoy maneno matam ya kiswahili kama haya big up sana mbosso watufanya tukione kiswahili kitam
Mbosooooo wanaoamini hii ngoma itafika mbali tujuane hapa ❤❤😂😂😂😂
Sanaa. Hii ngoma itabidi izipiku nyimbo zote duniani
❤
ua-cam.com/video/XK2ToZYw5mQ/v-deo.html gusaaa hapooo kam unaikubaliiiiii
@@captaintallkkki
Klkpl
IMBENI MUZIKI WENU. MBONA MNASAUND POA TU KWAN LAZMA KUIGA
Aii🤗 mbosso kama kuna siku utatuangusha ni ile siku utaacha mziki ile vibe watupatia hakuna msanii mwenye uwezo huo si Africa si wapi wewe ni kiongozi likes za mbosso zote zije hapa tafadhalini......
Duhhh kweli diamond kaamua kuwaachia watotowake wasafishe njia ili utopolo wote wakae pemben
Tunao mkubaliii mbosso khan
Ndio Mfalme wa mapenz Tz ❤❤❤ like zetu tugonge hapa❤❤
Sitaki nishauriwe nilipopenda nimependa na ninao wapenda nawapenda sana .
Ngamia wangu nimemwombea Dua.. wapi likes za East Afrika
Mbosooo weeh niwanguu bhaan ebuchukua ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kama mapenzi ugonjwa wa machoo .......
Daaah muhindi wa kusini ,mbosso Khan msedede never disappointed ✌️✌️🇹🇿
bila shaka uyu kijana wetu amefika mwisho Tanga sio kwa mashahiri haya
❤❤Sitaki nishauliwe mbosso shikamoo🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥nakupendaa buree tuuu
Muziki wa Mombasa malindi Tanga Dar lindi Mtwara na Zanzibar huko sio wabara hatuuelewi😢
Khan ma love love!!! Wapi like 30 kwa Khan wa bongo 🤞
Yaani Abby skills and Mr blue enzi hzooooo,mbosso khan on 🔥🔥🔥🔥
Walisema gangsters hawaskizi Mbosso but nawaona hapa wengi sana😂😂😂...Mbosso ndo Khan🔥🔥
Mashairi sasa🎉🎉🎉🎉pambe sana
Mbosso mkuu wa bongo mwenyewe, heshma yangu ipokee kutoka Kenya ndugu🙏
Mbosso namkubali asili Mia kwa Mia na nina penda nyimbo zake sana
King 🤴 of love . Kazi nzuri 💞💞
Sitaki nishauriwe❤
like kwa yeyote aliesikia sauti ya zuchu kwenye hii ngoma🔥🔥
Ngamiaaaa wanguuu anifaaye jangwanii nimemuombeaaa dua tusiishieee njianiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
"Mimi wewe Mimi nitakufa na wewe"mbosso amutukumbusha Abby skills na Mr blue kama wakumbuka hio enzi piga like.
Asante kwa kuwaangalia watoto wangu...nakuombea sana upone....huwa mnaniimbia alafu nikiwatFuta mnakataa kureply ..mscheew.. anyways love u Mboso....my cat
Wow kazi safi bro mbosso ❤ from Kenya Nairobi Wakeco music record
Mbosso anajua kuimba,diamomd nvle ako famous tu
Hali ya hatari imetangazwa,,hapa hits zijazo 🔥🔥🔥🔥ni moto sana
WCB no comparison🎉🎉
Kama kawaida likes za Wakenya zije, King Mbosso all the way ❤❤❤
Basi kama hujui maan ya mbosso kwa kinyakyusa ni king mapenzi😅
Hii ngoma ni tukio la karne nzima🎉🎉🎉🎉
Mbosso endelea kuji tuma baba lakini chunga usituue
I really love mbosso ..you so creative my guy ...you're my twinie😂😂your fan from kisumu Kenya ....
Naomba Mungu Tuziishie Njiani Kabla Tufike Ndoto zetu Salam salimini🤝
Mbosssoooo your talent is amazing, over the roof. I have this on repeat mode.
SUBIRI KWANZA KATIKA KIKAO HIKI TUMEKUBARIANA KUWA HATUNA chitakia ILA TUNA SIITAAAAKI
The best one, now I call you the king of Tanzania modern,
I'm from Congo Kinshasa 🇨🇩
Ohoooo!!!fundi
Mbosso is the real gem ❤
Na sisi tunaiombea ngoma isiishie njia ifike
Lets also appreciate the back up squad they have amazing voices huyo lady kwanza sana sana
Usingizi wangu zeze la kitandani uje basi nimechoka kusubiri😢😢😢
Nakukubari sana bro umetulia kwenye kazi yako nanikazi nzuri ☠️
Huyu kijana anamaliza kabisa.....
Woooooow.......!!!!
Mbosso u really good 👍.....when I listen your songs 🎵 I feel relaxed and brings joy to me.
I really appreciate and enjoying.....Big up.
Much lov❤❤❤❤ from Ghana 🇬🇭.
Fundi wa music mboso
Kotoka Congo wewe ndo msani number tanzania na kukubali sana ,mon frère respect à toi🇨🇩
Sina neno naww kijana unajua 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥💥💥💥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥💥🔥🔥💥💥🔥tena paka unaboa sasa sitaki ngoma tam kama izi
this amapiano is a hit
🔥🔥
Mfumo wako ujipoteze kwanzo ndo tutasikia ngoma zako vizuri kama sihivyo utajijua
Mbosso muda sio murefu utashinda tuzo 🔥🔥🔥
Amapiano frani ivi tulivi ukiwa ata ukiwa umelala unasikilizia .. amaizng song
Huu Wimbo ni mkali sanaa @Mbosso nasikia hamoni za zuchu ziko chini kabisa
Huyo ndo mwamba king khan mshedede je wangapi wanaokubali kazi za mbosso kwamba haziwezi potea njiani❤️❤️💚💚 🇰🇪🇹🇿🇳🇬✅🕊️
Let's support our boy here😘missed such sound ...love song 😘
Wallahi leo npeni likes 😥...sote n mashabiki wakuu wa mbosso khan
Sitaki on fire 🔥🔥🔥
Moto sitaki nishauriwe
Mbosso the king❤🎉
Nimekuwa wakwanza jamani like zangu ❤❤
Kusema kweli mbosso Khan n msanii wangu damu damu tangu Yamoto. Anarusha madini baada ya mengine. Huu ndo muziki wetu hizo zingine n kelele🎉🎉🎉🎉
Nc song 🔥🔥🔥 team Mbosso for Life 🥰🥰🥰
Huo ugonjwa sitaki nishauliwe wadau😅😅😂😂❤
Just can't stop listening to his creativity he's just incredible
Diamond anaua talanta ya uyu jamaa😢😢
Another banger from WCB 🔥🔥🔥🔥much love from 🇰🇪
Nomaaa
Hua sipendi kusikiza mziki wako lakini kwa hili umenikosha iko juu sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ imeamua tikotk nikaja mbio UA-cam
East African people gather here 🇹🇿🇰🇪👍🔥🔥
Nimeipenda iyo verse ya "tusi zini tuwe halali" Mi mkristo ua nakosa uhuru wa kusikiliza nyimbo za BONGO flavor Ila hii ipo 🤳🙏🙏
Love the song ❤️ Love from Norway 🇳🇴
love too🥰🥰🥰😜
Swali ivi harmonize ni msanii kweli 🤩kama konde ni msanii mbosso tutamuita genius😁
Ntakufa na future wife si girlfriend bana😅😅😅 we live you Mbosso from Kenya 🇰🇪😊
Daaah! Uyu jamaa ana mfano pamoja my broo
Sitaki, wote piga like kwa ajili ya Mbosso
Imuendee Daktari wangu ❤❤❤❤
Nooomaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa 🔥🔥
Namm natafuta wakunimwagia makope❤️❤️❤️
Aki mapenzi nayo kwa king mbosso l wish angejua tu angenipa collabo hata nyimbo moja this is TEEKAY BOY an upcoming artist from kenya 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇹🇿imeweza sana kakangu
Pw dogo andika application letter
All the wayyyy frommm mallliiinnddiii......umenimalizaa✴️✴️✴️✴️✴️✴️✴️✴️✴️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Mbosso to global ,,, more love from Kenya 🇰🇪💥💥🌎🌍
Na sitaki nishauliwe mbosso umetisha sana ❤️
Mbosso is in the good hands.... Thank you Diamond Platnumz... You are a Legend🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥
Few recognize the effort being the scenes. U r a legend too
Kaka mbosso mm nakuombea duwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Much love from Kenya 🇰🇪
Good music lives👌
All the best mbosso hi kitu ya moto sana🎉🎉🎉
1:vibes 100%🤸♀️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
2:motivation 100%🕺🕺
3:makopa100%❤❤
4: romantic100%😂😂
5: insult 0000000%💔💔💔
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
.................unyama mwingi
Balaa hili..kijana ame kuthibitisha kua nimoto wakuotea mbari
Mon artiste préféré de Tanzanie ❤❤
Mbosso sio wa mchezo mchezo kwa kweliiii
a man with his own kind of lyrics
Huyu mboso kanigusa sana ashura wangu....
💥💥 mbosso never disappointed
Mbosso na jiwe ndani ya studio
Mbosso never disappoint
King Khan on 🔥 sitaki nishauliwe
King 👑 of love 💗😘😊
#ooooh!!!.... My god, mbosooooo umeuwaaa Ile mbaya. Nakubali
Always poetic 💯💯
Hua natamani dunia nzima iwe inajua kiswahili ili wapate kuenjoy maneno matam ya kiswahili kama haya big up sana mbosso watufanya tukione kiswahili kitam
Sitaki!
Another Bhanger... 🔥🔥🎧🎙️
Kabisa sitaki nshauriwe