HUYU NDIE MUNGU WAKILA SHABIKI WAMPILA DUNIANI EV PASCHAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 92

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 11 місяців тому +2

    Yaani wanadamu wanakimbilia ya ulimwengu batala ya kumukimbilia mungu wao mungu rehemu kizazi hiki kipotofu tena kipotefu...pst you always talk and teach the truth

  • @mariamyinga2141
    @mariamyinga2141 11 місяців тому +4

    Sema kweli mtumishi wa Mungu maana saizi hata makanisa ya kiroho wanatim za mipira Mungu atusaidie sana

  • @Erishaernest-ik3kk
    @Erishaernest-ik3kk 11 місяців тому +2

    Mtumishi wa Mungu Mungu azidi kukuhinuwa kira hatua>eisee kwenye swala la mpira kwakweri roho zetu zimetekwa Mtumishi tuombee kwa Mungu Bwana wetu Yesu Kiristo atusaidie tusije tukahangamia Naomba Mungu Wa Mbinguni Akurinde Na Akutie Nguvu Amina

  • @venancetemba9630
    @venancetemba9630 11 місяців тому +1

    Oh Lord Jesus..Hii ni kweli ya Mungu iwekayo huru..Sema mtumishi no saa ya wateule kujitambua..

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 11 місяців тому +2

    Amina mtumishi wa Mungu ona vile nyimbo za zamani zilivojaa utukufu wa Mungu.Haleluya.

  • @bonfaslazaro2289
    @bonfaslazaro2289 11 місяців тому +4

    Sema mtumishi ingawa inaumiza maana mpira umetawala maisha ya watu na ujumbe huo inachoma penyewe

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 11 місяців тому +3

    AMEN Amen,,,,kweli kabisa mpira SII kitu kizuri Kwa mkristo mwenda MBINGUNI

  • @AnneCherotich-gj9eg
    @AnneCherotich-gj9eg 11 місяців тому +3

    Asante sana mtumishi wa Mungu.Mimi ni mmoja wa hao mashabiki na leo hii nimegoma.
    Nimejitoa kule nimshabikie Mungu wangu pekee.Asante kwa ufahamu huu.Barikiwa sana katika jina la Mwenyezi Mungu. ❤🇰🇪

    • @anandepallangyo4177
      @anandepallangyo4177 11 місяців тому

      Namm nitaacha kwa kweli 🥲

    • @ayubonyando
      @ayubonyando 9 місяців тому

      Ata mimi nimejiondoa kuwa shabiki wa Mpira, nataka nimtumikie Mungu kwa moyo wangu wote

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo 11 місяців тому +2

    Bwana Yesu Asifiwe.Kweli Mtumishi Endelea Kutugusa.NaMungu Akutetee.

  • @LawiKalinga-n4e
    @LawiKalinga-n4e 11 місяців тому +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana MUNGU akutie nguvu

  • @mpesastatements2265
    @mpesastatements2265 11 місяців тому +4

    Amen 🙏🙏 mtu wa mungu ubarikiwe sana

  • @KagalukiluthaLivinus
    @KagalukiluthaLivinus 11 місяців тому +3

    Ubalikiwe pasta kasian nakupenda Sana yesu akutie nguvu Sana

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 11 місяців тому +2

    HALLELUJAH HALLELUJAH, glory be to God forever 🙏
    Mtumishi Mungu akutunze kwa kazi nzuri unayofanya... uko mstari wa mbele kuwafungua wengi waliogizani....Mungu mtumishi anahubiri neno kwa uaminifu na kujitolea zaidi kwa wote. Mungu mpe nguvu siku zote ili kutangaza ukweli wa neno lako kwa ujasiri na kuweka atharani siri za muovu shetani.
    Mtumishi endelea kutenda mema mungu yuko pamoja nawe

  • @GuillaumeLumande-j3d
    @GuillaumeLumande-j3d 11 місяців тому +2

    Mungu asante kwa kumtumia mtumishi wako kutuangazia🙏🙏🙏

  • @beatricemwasunda5027
    @beatricemwasunda5027 11 місяців тому +2

    Hii ndio injili isiyoghoshiwa... hallelujah 🙌

  • @medsonsanga4813
    @medsonsanga4813 11 місяців тому +2

    Amen Amen Atusaidie kwakweli. Nyundo hii Leo imanipiga na Mimi nitaacha kwa msaada wake ⛪

  • @joaquinajosejose4743
    @joaquinajosejose4743 11 місяців тому +2

    Nimependa sana wimbo uum🇲🇿

  • @barakadieudonne
    @barakadieudonne 11 місяців тому +1

    Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 11 місяців тому +2

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu,mimi nilikuwa namwambia mtu akabisha sasa MUNGU akafanya muujiza akaja mtu ambae ni mganga na alikuwa ajui kuwa ni mganga akaanza kumuonyesha jinsi ambavyo wanafanya kafara ili timu zishinde hizi kubwa hata ndogo pia.

  • @SuzyDidas
    @SuzyDidas 5 місяців тому

    Upo sawa kabisa mtumish dunia inaelekea mwisho

  • @fatumaaybu8648
    @fatumaaybu8648 11 місяців тому

    Amina mtumishi ubalikiwe mimi mwenyewe nimetekwa na ushabiki wa mpila kwa yanga

  • @JoaquimdriveMicher
    @JoaquimdriveMicher 5 місяців тому

    Amém

  • @protasdmassawe
    @protasdmassawe 11 місяців тому

    Amina Mtumishi. Mungu Akubariki

  • @JustinaBoniphace
    @JustinaBoniphace 2 місяці тому

    Mungu atusaidie, mimi mme wangu alimnunulia mtoto jezi za simba, yaani ni kama vile kulikuwa na nguvu nyuma yake, toka alivyo anza kuvaa, hataki nguo ya rangi ingine zaidi ya nyekundu hadi vyombo anabagua na anamiaka mnne, ikabidi niwe mkali nakunyima, ila leo pia umenifungua macho.

  • @liberatusmathias211
    @liberatusmathias211 11 місяців тому +1

    Nimekuelewa huo ni kweli mpira ni kazi mojawapo ya Kaz izake

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 11 місяців тому

    Eee Mtumishi wa Mungu umesema kweli kabisa hata ndoa hakuna wakati mpira unapochezwa man u ubarikiwe sana kwa kunifungua macho

  • @coj7920
    @coj7920 11 місяців тому +1

    Tafadhali mtumishi, napenda sana kuangalia nyimbo zako UA-cam. Naomba kujua title ya wimbo huo ulioimba kwenye video hii, nimeupenda mnoo.
    Ubarikiwe

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  11 місяців тому +1

      Haijatoka BADO unaitwa mambo.ya dunia

    • @coj7920
      @coj7920 11 місяців тому

      @paschalcassianoriginal9411 Asante kwa kureply mtumishi.
      I can't wait kuusikia wote. Nyimbo zako ni mahubiri tosha kabisa, zinanibariki mno.

    • @imanimwanjoka2671
      @imanimwanjoka2671 9 місяців тому

      Shetani yupo kila eneo hospitalini n.k . Mpira si mbaya sababu hata anaye toa kipaji ni Mungu . Tatizo lipo kwa huyo anaetumia hicho kipaji . Kila eneo shetani yupo si ndo alipotupwa Dunia. Yani michezo iwe Dhambi. Ila usikose kuabudu sababu ya soccer

  • @Elizabeth-777-r3p
    @Elizabeth-777-r3p 11 місяців тому +1

    Amen 🙏

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 11 місяців тому +3

    Kwenye mpira umenigusa sana! Huwa naweza kwenda mbali sana kwaajili ya kuangalia mechi za ulaya

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 11 місяців тому +1

      Ndio maana Mungu akamuinua na kusudi hili awafungue wengi nyakati hizi za mwisho... msambaze ujumbe huu kwa wengi wafunguliwe.

    • @Erishaernest-ik3kk
      @Erishaernest-ik3kk 11 місяців тому +1

      Kweri ujakosea

  • @joaquinajosejose4743
    @joaquinajosejose4743 11 місяців тому

    Ashante tumishi, wewe umeweza kunitowa motoni, Mungu akubariki, na akupe nguvu uzidi kutufudyicha, mimi shikupate kwenye WhatsApp🇲🇿

  • @RosemaryMayunga
    @RosemaryMayunga 11 місяців тому +1

    Hata mm niliachana na ushabiki wa time.mtumishi umenigusa

  • @agathaswallo
    @agathaswallo 10 місяців тому

    Sema mtumishi wengine wanafuata viongozi wao wa dini ambao ni mashabiki wa mpira

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 11 місяців тому +1

    Huyo mungu wa mpira alinikamata sana miaka7 iliyopita nikamshtukia hivi sasa hana chake kwangu. Niko huru katika jina la Yesu

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 7 місяців тому

    Amen

  • @kevinbarasa419
    @kevinbarasa419 10 місяців тому +1

    Ukuel ndio manaa watu wamelewa na kushabikia mpira mpaka wengne wnajisucrifise kua mpira wambie ukuel

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 11 місяців тому

    BWANA YESU turehemu baba tumekukosea mnooo

  • @elizabethjeremiah8323
    @elizabethjeremiah8323 11 місяців тому +1

    Yaan ni kweli kabisaaa nafahamu

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 11 місяців тому

    Kwakweli uuu ukweli mtupu tunaaangamia kwakukosa ufahamu na sasaaivi ukiambia shabiki wa hizo team kbwa kbwa kua sio nzuri wanakupiga tsee na kkuchukia

  • @christinamasanja8698
    @christinamasanja8698 11 місяців тому +1

    Mimi binafsi Roho mtakatifu alinizuia habari za mpira ila nilishindwa kuacha kabisa hadi nilipomwomba anisaidie kuacha ndipo nnilifanikiwa

    • @ayubonyando
      @ayubonyando 9 місяців тому

      Mimi nilikuwa na beti , kwanzia sasa nitaacha kucheza kamare.Ee Mungu naomba msamaha

  • @PaulNyerembe-pj8fm
    @PaulNyerembe-pj8fm 11 місяців тому +1

    Shetani yupo hata kanisan,any where na ana uweza wake na ni mfalme wa dunia hii

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 3 місяці тому

    Mhuuuuuuh

  • @yustomroki1419
    @yustomroki1419 11 місяців тому

    Kwakweli Jambo hili kime wameza wengi Yamkini hata Watumishi wa Mungu wame mezwa humo Huyo mungu wa Mpira amewameza wengi Sana.Piga tu Mtu wa Mungu

  • @noelmtumishi7895
    @noelmtumishi7895 11 місяців тому

    Amina

  • @Tuyizerepatikay-ol7tx
    @Tuyizerepatikay-ol7tx 11 місяців тому

    Hubili mtumishi

  • @JacoboBonifas
    @JacoboBonifas 11 місяців тому +1

    Hakika MUNGU naomba utusaidie tuweze kuachana na mpra

  • @cristinarashid1245
    @cristinarashid1245 11 місяців тому

    Ameen

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 11 місяців тому

    Ndio maana Manchester wanajiita the red devils(mashetani wekundu)

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 6 місяців тому

    Mweee tumehalibika tumehalibika mweee mpaka huruma

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 11 місяців тому

    Ee MUNGU BABA tusaidie tumewapoteza watoto wetu wa MUNGU ambao pengine MUNGU aliwandaa kuwa wahubili wazuri wa injili

  • @SimaobenditoSimao
    @SimaobenditoSimao 11 місяців тому

    Leo mimi ni wakwanza

  • @elijiemili7462
    @elijiemili7462 11 місяців тому

    ndo mana mimi sina timu

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 11 місяців тому

    Wacha niongee kwa njia ya kidole kuhakikisha kua huu ujumbe ufikie jamii yangu maana wanaeza kosa kula ili mradi waangalie mpira. Neno la Mungu halidhaminiwi kabisa. Watu wanazingatia maovu kwa wingi mno. Turejelee njia za Mungu ili kuhaibisha shetani. Hata haya madhabao, wanaochangia ni wachache na tuko wengi na hatusongezi huduma mbele. Mungu anisaidie nijitahiti vilivyo ili nishiriki kuisongeza huduma hii mbele.

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  11 місяців тому

      ❤❤❤❤

    • @dicksonmrope8030
      @dicksonmrope8030 11 місяців тому

      Wengi wameangamia katika tasnia ya mpira Ila hapa Sasa napata majibu bila ukakasi juu ya wapendao mpira, Mungu na akubariki mtumishi wa Bwana Yesu endelea kumwaakilisha Kristo ktk Huduma ya uinjilisti

  • @RosemaryMayunga
    @RosemaryMayunga 11 місяців тому +1

    Umenigusa ndio maana Manchester inaitwa red devil Leo nimeelewa

  • @Elishaponde
    @Elishaponde 11 місяців тому

    ubarikiwe

  • @SimaobenditoSimao
    @SimaobenditoSimao 11 місяців тому

    Huuu ndie ukleli

  • @remkwerner-vw1zi
    @remkwerner-vw1zi 11 місяців тому

    Nikweri kabisa mtumishi iyo ni sila ya shetwani

  • @mariasalomelukosi6846
    @mariasalomelukosi6846 11 місяців тому

    Ndo maana sipendi mpira kivileee

  • @JacoboBonifas
    @JacoboBonifas 11 місяців тому

    MUNGU naomba utusaidie

  • @joaquinajosejose4743
    @joaquinajosejose4743 11 місяців тому

    Ye Nini kushubukiya ya ulimwegu

  • @ghvb9421
    @ghvb9421 11 місяців тому

    Ndio sababu watu hujiyoga wakishinwa 🤔

  • @faridamndeme2751
    @faridamndeme2751 11 місяців тому

    Huo wimbo ulioimba mwanzoni unaitwaje

  • @komandowainjiliyayesu
    @komandowainjiliyayesu 11 місяців тому +1

    Nikweli mpira ni mpango wa shetani Waz wazi

    • @PascalJohn-it1xp
      @PascalJohn-it1xp 11 місяців тому

      Twambie neno zowezi lafaa kidogo limanisha Nini ni mazowezi yapi kibiblia?twambie

    • @esterpeter8556
      @esterpeter8556 11 місяців тому

      Kwwni mazoezi ndyo mpira

    • @raymondsetu4533
      @raymondsetu4533 11 місяців тому

      Kabisaa unakuta mtu anaweka bondi ata mkewake

    • @raymondsetu4533
      @raymondsetu4533 11 місяців тому

      Kabisaa unakuta mtu anaweka bondi ata mkewake

    • @esterpeter8556
      @esterpeter8556 11 місяців тому

      Na Kama huyo alokufa juzi eti kisa furaha ya ushindi jamn Kwel?

  • @SimaobenditoSimao
    @SimaobenditoSimao 11 місяців тому

    Michezo ameumba nani???????????

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 11 місяців тому

    Miereka ni nini

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 11 місяців тому

    SIO KILA KITU NYIE MNAOJIITA WATUMISHI WA MUNGU MSEMACHO NI SAHIHI.MPIRA NI KAZI HALALI

    • @elizag.edmond7637
      @elizag.edmond7637 11 місяців тому

      Usilolijua ni Sawa na usiku wa giza, ukiona vya elea ujue vimeundwa.

    • @JonsonGeriface
      @JonsonGeriface 7 місяців тому

      ACHA upuuzi ndugu yangu shetani yupo kazini tubu na kuungama zambi zako yesu anarudi

  • @benjamimantoniomangoni6765
    @benjamimantoniomangoni6765 9 місяців тому

    Mpira sio dhambi, imeandikwa wapi? Na wewe mbona nilikuona umevaa jezi ya Real Madrid? Naangalia mpira ili kupoteza muda. Sio unayo fikiri wewe.