KILISIMASI NI SIKU KUU YA MASHETANI SIO YA WAKRSTO EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769 #

КОМЕНТАРІ • 584

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 8 місяців тому +2

    Sisi tuta sherehekea siku ya kuzaliwa mwokozi wetu yesu kristo mpk yesu atakapo rudi. merry Christmas❤️❤️❤️ 🎄🎄🎄

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 8 місяців тому +2

    Hili somo niliskia pia kwa mvhungaj wa wasabato debid mmbaga leo tena naliskia asnte sana pschal nilikjwa nakuona sio mtu mzuri kwa kushambulia watumish ongera nimsekia mala ya pili somo lako tena mlokole mwenzangu asnte ❤😊

  • @elsonkingtz4506
    @elsonkingtz4506 8 місяців тому +1

    Mwenyez mungu awasamehe Sana maana hamjui mlitendalo, Kwanza mnafaa kujua hakuna siku ya shetani siku zote ni za mungu, hakuna siku hata Moja iliyoubwa na shetani, Mimi nikisheherekea Christmas kwa dhumun la kumbukz ya yesu wangu wala Sion huo ushetan mnaosemea, ila kama kuna wengne wanaweka dhamila za kumuabudu shetan wao wala me sion tatzo watajua wao

  • @ezekielbarnaba5785
    @ezekielbarnaba5785 8 місяців тому +7

    Mungu anawatu wake kila mahali kwa ajili ya kutangaza habari njema Barikiwa

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 8 місяців тому +4

    Mungu akutunze akufiche mikononi mwake adui asikupate ktk Jina la Yesu Kristo aliye hai

  • @diana56-lorient
    @diana56-lorient 8 місяців тому +7

    Amen Amen Amen, ubarikiwa sana MTUMISHI PASCHAL ❤❤

  • @neemachacha7844
    @neemachacha7844 8 місяців тому +2

    Amina mtumishi sema kweli yote Yesu yu Mlangoni..wengi wamefunikwa na giza nene..kwa sasa hawakuelewi ila saa inakuja watalia na kusaga meno na watakuwa wamechelewa...Paza sauti Yesu yuaja.

  • @henrykigugwe5112
    @henrykigugwe5112 8 місяців тому +6

    Ile Kwamba Yesu alizaliwa Duniani mimi siachi kufurahia kuzaliwa kwake Mwokozi wangu Yesu kwa sababu nampenda sana Munguwangu !! Tarehe haibebi Maana tutatembea Na kilichobebwabwa ndaniyake.

    • @YUSUPHHUGUGU-vh9rx
      @YUSUPHHUGUGU-vh9rx 8 місяців тому

      Hujielew ww mwana mpotevu, Nan amekwambia kuwa Yesu Ni Mungu, Mungu hazai Wala hazaliw, yesu ni mtume nasiyo Mungu.

    • @henrykigugwe5112
      @henrykigugwe5112 8 місяців тому +1

      Pole yan kama wewe siwez poteza muda wa kubishana kabisa kaza na imani yako.

    • @marymwapiya1274
      @marymwapiya1274 8 місяців тому

      ​@@YUSUPHHUGUGU-vh9rx Yesu Kristo ni Mungu aliye vaa mwili Wakolosa 2:9, Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili.
      Yesu Kristo ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote Wakolosa 1:15-16
      15 naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
      16 Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
      17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.
      Mungu ndiye wa kwanza katika hii dunia ndiye aliyeumba vitu vyote ,na BWANA Yesu anatusibitishia kuwa yeye ndiye aliyeumba vitu vyote sasa kama siyo Mungu alipewa mamlaka wapi na yeye ndiye wa kwanza huyo Mungu mwingine yuko wapi .
      Yohana 8:58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
      Tunao uhakika wa kusema Bwana Yesu ni Mungu maana yeye alikuwepo ata kabla ya ulimwengu kuwapo Yesu Kristo ni Mungu wa Kweli Amen

  • @user-mm4kp9fc8g
    @user-mm4kp9fc8g 8 місяців тому +6

    Ipo siku wataelewa endelea kuwapa ukweli jambo ni chungu, barikiwa na Mungu wa Mbinguni!

  • @bonifacedaniel-ng2hf
    @bonifacedaniel-ng2hf 4 місяці тому

    Shikilia apoapo neno lipenye Kwa mioyo ya ambae ana sikio la kusikia mungu akulinde Sana barikiwa amen

  • @eliyagikaro6426
    @eliyagikaro6426 8 місяців тому +3

    Mimi kama mchungaji,ninakuunga mkono asilimia miamoja,Mungu wa mbiguni akubariki sana.-mathayo.7;13-14.

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541 8 місяців тому +4

    Amina , ukweli mtupu. Bwana ayabariki makaazi yako na akubariki

  • @eliyagikaro6426
    @eliyagikaro6426 8 місяців тому +2

    Mtumishi ubarikiwe saana,kwani kile ambacho nilikuwa nikipigia kelele siku zote,Mungu amekufunulia.sasa nimekubali kweli Mungu anakutumia.krismas ni sikukuu ya wapagani.Mungu akubariki saaana.

    • @RoseLuzabiko
      @RoseLuzabiko 8 місяців тому

      HIVI WEWE PASCAL UNAJIELEWA VIZURI? NAKUONYA ACHA UJINGA WAKO UNAPOTOSHA BIBLIA NAONA UMESHAANZA KUCHANGANYIKIWA,,UMEACHANA NA JODAVI UMEANZA KUSHINDANA NA MWENYEKAZI YAKE? YESU MWENYEWE? NAKUONYA ACHA KUONA UNAJUA SANA KULIKO WATUMISHI WENZIO, KWANZA UNAMVUNJIA HESHIMA MUNGU. WETU, NAHAO WANAOKUUNGA MKONO KWAMBA WAMEKUELEWA CHRISTMAS NI YA shetani, NI WAJINGA WENZIO KWAAPO MIMI NIMEKUDHARAU,JITU ZIMA OVYO👺👹 KWANZA KABISA UMENIKERA, NENDA VYUO VYA BIBLIA KASOME USHAYUMBA,(1) UMESEMA WANAISHEREHEKEA KISHETANI? HUONI SABABU YA CHRISTMAS KUSHEREHEKEWA? ACHA KUDONOA DONOA MAANDIKO, NAKUONYA UMEZIDIWA HATA NA NYOTA YA MASHARIKI ILIYOWAONGOZA. MAMA JUSI NA MALAIKA KWENDA KUMSUJUDIA IMMANWELI NAKUZITOA ZAWADI ZAO, WEWE PAMOJA NA VIPOFU WENZIO WANAOKUSAPOTI UPUUZI WAKO SOMENI MAANDIKO, MATHAYO 2:1-23; KWANZA NAKUONYA NI VEMA UTUBU KWA UPOTOSHAJI HUO,KWANZA HATA. YESU MWENYEWE. ANAKUSHANGAA, NINGEKUPA MAANDIKO MENGI SANA YANAYOONYESHA FURAHA JUU YA KUZALIWA KWA YESU!!! MISITARI HIYO INAKUTOSHA,,, UNAIKUBALI PASAKA KIFO CHA YESU,,KUZALIWA UMEKUKATAA AJABU SANA.... NADHANI KWA JEURI UNAYOIONYESHA HIYO PASAKA HAIKUHUSU, TUACHIE TUNAOFURAHIA KUZALIWA KWA MWOKOZI WETU. YESU. HUWEZI SHEREHEKEA KIFO CHA MTU AMBAE HUKUMSHANGILIA ALIPOZALIWA ACHA MARAMOJA. KATIKA. JINA LA YESU! UMENIUDHI SANA UNAKOELEKEA HAUTAKUA TOFAUTI NA BABU. WA LOLYONDO NA ZUMARIDI. ⛪📖 NA BIBLIA TUPO IMARA KUISIMAMIA SHEREHE HII YA KUZALIWA KWA BOSS WETU YESU MPAKA AJAPO NDIO MAANA NIMEKUPA USHAURI NENDA KASOME, KWAHELI🙏

  • @user-fm2mq6mx9f
    @user-fm2mq6mx9f 8 місяців тому +3

    Amen ila napenda kujua na kufahamu penye paandikwa krismas NI sikukuu ya kishetani pasta

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 8 місяців тому +1

      Kma andiko la sku ya kuzaliwa kwa Yesu hakuna basi jua ni uongo maan kila kitu twapima na Maandiko

    • @user-fm2mq6mx9f
      @user-fm2mq6mx9f 8 місяців тому

      @@carolinederi5690 yes

  • @user-vn7qp5jo3h
    @user-vn7qp5jo3h 8 місяців тому +2

    Amina mtumishi ILa una maandiko kama ya sabato barikiwa sana tufungue zaidi

  • @user-ll4vi4oz2n
    @user-ll4vi4oz2n 7 місяців тому

    Sema Kweli mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana atusaidie japo utabezwa sana Songa mbele

  • @nkurunziza55
    @nkurunziza55 8 місяців тому +3

    Thank you ❤❤❤❤❤❤..ubalikiwe Mtumishi wa Bwana.

  • @AriceKilenzi
    @AriceKilenzi 6 днів тому

    Mtumishi barkiwa saan..naomba kujua juu ya habari ya siku ya kuabudu kati ya siku ya kwanza ya juma na ya Saba niipi ni sahh kusheherekeaa

  • @QwaridaNadamassay
    @QwaridaNadamassay 8 місяців тому +1

    Jamaniii namshangaa sn Mungu, Jambo hili wamelizungumzia sn waadventista wasabato kitambo sn, lkn hawakueleweka😢... endelea kuyachunguza maandiko mpendwa wa Bwana Yesu,

  • @ByamunguErnest-jc7kd
    @ByamunguErnest-jc7kd 8 місяців тому +7

    zidi kutusaidia kutufunguwa macho wengi wetu atufahamu🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @TWILUMBAMDUGO
    @TWILUMBAMDUGO 8 місяців тому +1

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu ukweli lazima uwekwe wazi hizi ni siku za mwisho mwenye masikio na asikie na kubadilika.

  • @user-kv9rx4mb7k
    @user-kv9rx4mb7k 8 місяців тому +2

    Hapo sawa. Mimi pia sioni haja ya hii sikukuu krismasi,kusherehekewa

  • @user-fb5ro3pq2d
    @user-fb5ro3pq2d 8 місяців тому

    Polee sana Mungu akusamehe usifundishe usichokijua ungejua maana ya kuzaliwa kwa Yesu usingesema hivyo kaa kwanza mbele Mungu,Mungu atakufundisha usiharakiae kuzungumza kama bado hujaelewa utawapotosha wengi na utalaaniwa pole sana nakuhurumia na nakuombea Mungu akusamehe

  • @joshuajackson5367
    @joshuajackson5367 8 місяців тому +1

    Yaani mpaka unipotoshe kimaandika ujipange sana ninachojua Yesu kazaliwa hayo menyine hayanihusu

  • @denisendagano8326
    @denisendagano8326 8 місяців тому +2

    Amen Amen. Unasema kweli mtumishi. Tarehe 25|12 nisiku ya ku abudu Mungu juwa

  • @user-um7kj5kf6p
    @user-um7kj5kf6p 8 місяців тому +1

    Pole Sana pascali utapata waangaliaji wengi kazi ya.kila mmoja itapimwa hata yako itapimwa

  • @user-uu3sj8eb8l
    @user-uu3sj8eb8l 8 місяців тому

    Asante sana mtumishi wa MUNGU, kwa nzuri unayofanya. Kwa kweli hakuna krismas kwa mkristo nakubaliana na kwa hili

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 8 місяців тому +2

    Wote wanaokusanyika siku hiyo ya krismas bac wanaabudu miungu jua ile ya kigiriki!! Miungu ilizaliwa siku hiyo ya tarehe 25 ya mwezi wa December. Yeremia52:31. Yesu Kristo ni roho, yaani ni Mungu mkuu. Tito 2:13. Anazaliwa kila siku. Kwahiyo mimi huwa nasherekea kuzaliwa Yesu kila siku kwasababu anazaliwa ndani mwangu. Yesu Kristo Mungu mkuu asifiwe sana!! Nipongeze hata kama hunipendi. Nipongeze tu!!

  • @evarinenathaniel9838
    @evarinenathaniel9838 8 місяців тому +5

    Be blessed Mtumishi wa Yesu Kristo.

  • @user-fm2mq6mx9f
    @user-fm2mq6mx9f 8 місяців тому +3

    Ukitaka kujua Nini maana ya KRISMAS kaa vizuri na mungu ataakujibu vzr mafundisho yamekuwa mengi yanatuchanganya Sana ❤ tunashindwa kufahamu yaaliyo yakweli ni yapi

  • @izackambale4234
    @izackambale4234 8 місяців тому +4

    Ukweli mtupu, hakuna Christmas kwenye biblia.
    Barikiw zaidi mtumishi wa Mungu Baba

    • @obedjillo3948
      @obedjillo3948 8 місяців тому

      Soma bibilia uielewe uache kusikiza tu watumishi bila kusoma nakupata ufunuo wa Mungu..IKIWA WASHEREHEKEA KWA KUNYWA POMBE, NA USHERATI NA MAMBO YAKIDUNIA BASI WEWE HAUFANYI CHRISTMAS UNAFANYA SHEREHE YA KIDUA NA YA KI KRISTO.

    • @izackambale4234
      @izackambale4234 8 місяців тому +1

      Katika biblia hakuna mahali imeandikwa kumbukeni kuzaliwa kwake yesu, au tarehe ya kuzaliwa kwa yesu kristo mwana wa mungu

    • @christinemwakio7870
      @christinemwakio7870 8 місяців тому

      Yeremia 52-31 inasema 25/12/_ nisiku mfungwa alitolewa gerezani so definitely sio siku ya kuzaliwa Yesu Kristo...,
      Hata pasaka ya Bwana ipo na tarehe kwa biblia na unaruhusiwa kuikumbuka anasema fanyeni hivi kwa kunikumbuka.... so wakati umefika mambo yawekwe sawa Mungu akubariki sana mtumishi
      Walawi 23:5-7 inafika wakati wakufata Biblia sio mapokeo ya wanadamu... Yesu Kristo Ywaja uwe tayari kufundishika mpendwa🇰🇪

    • @izackambale4234
      @izackambale4234 8 місяців тому +1

      Kusoma biblia nakuielewa n vitu viwili tafauti sana, yeremia 52:31 yaongelea wafalme nasiyo kuzaliwa kwa mwana wa mungu. Pia kumbukeni kwamba hafananishwi na chochote kile mbinguni na hata duniani

    • @christinemwakio7870
      @christinemwakio7870 8 місяців тому

      ​@@izackambale4234 yes ni kuhusu mfungwa not our good lord Jesus Christ

  • @BaziraBlaiseButoto-ne2bz
    @BaziraBlaiseButoto-ne2bz 8 місяців тому

    Hatuendi siku hiyo hatuendi kusherekea au kuabudu mungu juwa kwa sababu tunaenda abudu Jina la yesu kristo ndilo linatajwa kwa kumuabudu sio mungu juwa.

  • @agreementmwalongo6036
    @agreementmwalongo6036 8 місяців тому +5

    Watakupinga sana ila ukweli ndo huu

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega7926 8 місяців тому +1

    Amen Mtumishi Yesu akulinde maana unaongea ukweli mnoo bila kupepesa naamini itafika muda wote watakuelewa usichoke kusema ukweli wa Mungu

  • @atupewenauyo9145
    @atupewenauyo9145 8 місяців тому +1

    Amina sana mwana jeshi wa Yesu damu ya Yesu ikufunike nakuombea

  • @NemesiYustina-ye2vs
    @NemesiYustina-ye2vs 8 місяців тому

    Mtumishi wa Mungu Paschal Kasian napata tumaini jipya kila ninaposikiliza mafundisho haya

  • @adventinandyanabo9358
    @adventinandyanabo9358 8 місяців тому +2

    Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda

  • @MiriamOsawa-oc8yb
    @MiriamOsawa-oc8yb 8 місяців тому +1

    Congratulations pastor waambie japo watakukataa lakini wajue ukweli shetani aliwapoteza mpendeze Mungu sio mwanadamu 🙏

  • @MichaelsaimonMwita
    @MichaelsaimonMwita 8 місяців тому +1

    Wanamacho lakin hawaon wanamasikio. lakin hawaskii munguu awasaidiee barikiwa sana mtumishu.wakwer

  • @agreementmwalongo6036
    @agreementmwalongo6036 8 місяців тому +2

    Amina baba weeee aminaaa ,Tupone tuponeee

  • @rithastanley3680
    @rithastanley3680 8 місяців тому +1

    Lkn mtumishi kama tuna azimisha alivyofufuka kwann tusisherekee alivyozaliwa...japo tunajua tunamsherekea yesu Kila siku lkn walifanya ivo kwa kuadhimisha tu japo c mwez ambao alizaliwa ila ilipangwa tu ili kuukumbusha ulimwengu kwambaYesu alizaliwa

  • @IRENEMKONAMO
    @IRENEMKONAMO 8 місяців тому

    Barikiwa sana Mtumishi Kwa ukweli huu Mchungu we umenawa👏. Kila mtu apotee Kwa ugumu wake wa Moyo.

  • @EzekielWaree
    @EzekielWaree 8 місяців тому

    Mungu azidi kukubariki,endelea kutuelewesha, mnaompinga P, Casiani mjiulize swali kuwa je! Mitume wa Bwana Yesu wa agano jipya waliadhimisha Christmas? Kama siyo basi haturuhusiwi, kwasababu kanisa limejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii.

  • @jeremiahwilson317
    @jeremiahwilson317 8 місяців тому +3

    Sio ukweli hata kidogo kwa sababu sisi hatusherekei siku tunasherekea MPANGO (mission)ya kuja kwa yesu kristo duniani na mpango wa YESU ni kuja kunikomboa mimi na wewe na wala sio mpango mwingine sasa naona wewe unayetaka kupotosha kuhusu krismas ,krismas tunasherekea siku ya YESU KUZALIWA naona wewe sasa unaelekea kuwa MDOGO WAKE SHETANI acha kutupeleka makosa kwenye imani yetu ya kumuamini YESU KRISTO

    • @agreementmwalongo6036
      @agreementmwalongo6036 8 місяців тому

      Lazima uitetee kwasababu wengi tumekuwa familia na makanisa yetu yanasherekea ni ngumu kukubali ila kwakuwq umeshasikia mtumishi kasha maliza huduma imebaki kwako kuipima Roho.

    • @isayashayo4777
      @isayashayo4777 8 місяців тому

      Imeandikwa wapi kuwa Kuna Christmas kwenye biblia Iko wapi acha ushamba ndugu Mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 8 місяців тому

      FAFANUA kwa Maandiko..unajipoteza fahamu .. mbona mnasherekea Tareh 25 December kila Mwaka..? NDO mnaamini alizaliwa hiyo Tareh Hebu toa Andiko

    • @elegantthriftcollections8101
      @elegantthriftcollections8101 8 місяців тому

      Nenda kafanye uchunguzi, kasome chimbuko la hii sikukuu ilianzaje anzaje hapa duniani na ujiridhishe je walio ianzisha ni kweli walikua wanamsherehekea Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai au Ibilisi aliyejigeuza malaika wa nuru halafu rudi kwenye maandiko, ni wapi Kristo aliwahi sherehekea birthday yake au mitume kumfanyia birthday na kutuachia agizo la kuadhimisha kila mwaka tar 25/12? Biblia inaonya kuhusu kuongeza au kupunguza neno la Mungu, Kuna mapigo.
      Hii ni sherehe ya kipagani, Yesu hahusiki hapa bali mungu jua wa warumi, ila ukweli huwezi kuujua usipoutafuta maana ibilisi ni muongo na baba wa huo uongo.

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 8 місяців тому +2

    Yesu alisema hakuna siri ililiyo fichika ambayo haitafichuliwa,hii ilikua ni siri lakin hatimaye imefichuka MUNGU akubariki sana mtumish endelea tu kutufundisha na kutuonya katik siku hiz za hatar

  • @Mrmnigeria
    @Mrmnigeria 8 місяців тому +1

    Umelewa pastor

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 8 місяців тому +1

    Amina endelea kuelimisha. Barikiwa sana

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 8 місяців тому +17

    Mmi tangu ni jue huu ukweli kupitia mtumishi wa Mungu @@pastor David mmbaga, kupitia channel yake, nikaelewa nanikaanza kusoma biblia vizuri kabisa🤔🤔sijawai sherekea Christmas 🎄 na najaribu kuambia watu waelewe jamani wanapotea😢

    • @emanueljoshua6228
      @emanueljoshua6228 8 місяців тому +1

      Mimi pia

    • @marrymwashinga1942
      @marrymwashinga1942 8 місяців тому +1

      Amina sana ndugu zetu wataelewa taratibu tuu mungu awafungue macho wapate Kuona.

    • @lydiaaruba6670
      @lydiaaruba6670 8 місяців тому

      Kwa mtazamo huu keni hata kwenye mitandao ya kijamii ni uswetani umeharibu vijana, ndoa nyingi nkpl😂😂😂acheni udikiteta jamani mtazame Yesu aliyewaita😮

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n 8 місяців тому +1

      Kumbe takataka

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n 8 місяців тому +1

      Hata wewe mwenyewe kuzimu tu

  • @QwaridaNadamassay
    @QwaridaNadamassay 8 місяців тому

    Uko sahihi mtumish Mungu mwema akubariki Sanaaaa na azidi kukufunulia

  • @creopatrajoshua
    @creopatrajoshua 8 місяців тому

    Jaman kila mtu abaki kwenye kitu anachokiamin me nazan iyo n kazi ya mungu tunanza kuingilia ye ndo anajua kama wakristo wote wanaxherekea Christmas wanakoxea au n dhambi bac tumwachie mungu kazi yake cku ya mwixho kila kotu kitakuwa wazi

    • @user-zi5ck7ot5t
      @user-zi5ck7ot5t 8 місяців тому

      Ni kweli kbs...tuache marumbano ya hoja...tutampa adui nafasi.

  • @esterjoseph670
    @esterjoseph670 8 місяців тому +1

    Ss hatusheherekei SKU wala mwezi,Ila cku na mwezi tunawafundisha watu njia za wanadam na njia ya Mungu.

  • @davidmdadila4080
    @davidmdadila4080 8 місяців тому +1

    We kasiani Mimi nakufahamu Sana kila siku unaongea mambo mazuri lakini kwa hilo unakosea my friend sisi tumeokoka na tunaamini kuzaliwa kwa YESU hivo lazima tumuheshimu hapo unatafta kitu kingine MUNGU anachukizwa kupinga Mambo yake

  • @magdalenemaya3096
    @magdalenemaya3096 8 місяців тому +1

    Thank so much ,most people in the world don't know and disagree abt Christmas to be demonic, they disagree tell dem e fact and truth 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @maggiemagdalena3006
      @maggiemagdalena3006 8 місяців тому

      ua-cam.com/users/liveW9GvJ9Kmbx8?si=ZeoBynRUpaZ0T4CY

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 8 місяців тому +1

    Wagalatia 1:8-9 lakini ijapokuwa sisi au Malaika wa mbinguni atawahubili ninyi injili yoyote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri na alaaniwe.
    9.kama tulivyotangulia kusema na sasa nasema tena mtu awaye yote akiwahubiri injili yoyote isipokuwa hiyo mliyoipokea na alaaniwe.
    __________________________
    Nataka majibu Christmas imeandikwa wapi na Mitume waliisherekea wapi siyo kuwatukana watumimishi wa Bwana wanaosema kweli.

  • @user-he6rk3ev3t
    @user-he6rk3ev3t 8 місяців тому

    Amina mtumishi wa baba

  • @user-oy7cy3ci4g
    @user-oy7cy3ci4g 8 місяців тому +21

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu.
    Mm Nina maswali machache kuhusu Maisha yanayoendelea... ktk nyakati hizi za mwisho.
    Vipi kuhusu..
    1.Internet na Mitandao ya kijamii.
    2.Kalenda ya Dunia hii na Ile ya MUNGU
    3.Mavazi/Jezi za mpira na michezo mbali mbali yenye LOG au alama za kishetani
    4.Mpira WA miguu na michezo mingine
    5.Sayansi na teknolojia..
    Kamera na vifaa vingine..
    Je, vitu hivi si vya SHETANI????
    JE TUNAPONA VIPI KUTOKA KTK HIVI??
    MUNGU BABA AKUTUNZE.
    AMINA.

    • @melkizedekwiliam-hi7bz
      @melkizedekwiliam-hi7bz 8 місяців тому +5

      Ngoja nikujibu. Vitu havina tatizo. Sis tunavitumiaje? Hivi vitu ktk nyakati hizi vinasaidia kuhubiri Injili kwa haraka kuliko nyakati zozote. Wengine wanatumia kwa njia zao.

    • @reginahmwanza7887
      @reginahmwanza7887 8 місяців тому +2

      ​@@melkizedekwiliam-hi7bza very good answer,, gets pesa n mbaya lakini n nzuri inatengemea unazitumiaje

    • @manasekamtoni2054
      @manasekamtoni2054 8 місяців тому

      ​@@melkizedekwiliam-hi7bzAsante sana mtumish😅😅 barikiwa Kwa majibu mazur

    • @sulemanmadahatv1691
      @sulemanmadahatv1691 8 місяців тому +1

      Mtumishi Nikushauri utafute Chuo kizuri chaa Biblia ukanolewe. Hujui vyote kama nami ambavo sifahamu vyite na nazidi kutaka kujifunza.

    • @NestoKamole
      @NestoKamole 8 місяців тому +3

      Mwambie roho mtakatifu akusaidie jifunze zaidi tunakumbuka kuzaliwa kwa Yesu

  • @user-hp1im5ek4r
    @user-hp1im5ek4r 8 місяців тому

    Yaani kila mmoja huja kwa maono yako mwenyewe jinsi nawe ndiyo mmoja mmoja ya wapinga kristo
    Huoni kuanzishwa kwa sikukuu ya krismasi ni sehemu ya ibada na kumtsngaza kristo

  • @user-ez7tj1tq5n
    @user-ez7tj1tq5n 8 місяців тому

    Bwana asifiwe San, ata mie nmeishi nkjiuliza n wap ama n maandiko yapi katka bibilia ambayo inaontesha hii Xmas? Bt for now I ve' the truth from u the servant of God, barikiwa San bab

  • @marrymwashinga1942
    @marrymwashinga1942 8 місяців тому

    Mungu akubariki kwa hili fundisho maana wengi wapo gizani kuhusu krismas

  • @neemasanga5273
    @neemasanga5273 7 місяців тому

    Mungu. Anisame nilishelekeya bilakujuwa sasanimeacha ubalikiwe kwakunifundisha

  • @PastorHenryAluodo.
    @PastorHenryAluodo. 8 місяців тому

    Naungana na ujumbe wako Mungu wetu sio mwanadamu azaliwe kila mwaka bali kama alivyoingia patakatifu mara hajawahi kutoka Yeye yupo Yesu Kristo Mungu Mkuu

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 8 місяців тому +1

    Yeremia 52:31
    Kisha katika mwaka wa 37 tangu Mfalme Yehoyakini wa Yuda alipopelekwa uhamishoni, katika mwezi wa 12, siku ya 25 ya mwezi huo, Mfalme Evil-merodaki wa Babiloni, katika mwaka alioanza kutawala, alimwachilia huru Mfalme Yehoyakini wa Yuda na kumtoa gerezani.

  • @mchelejohn7753
    @mchelejohn7753 8 місяців тому

    we unaejiita mtumish umepotea kwa kukosa maalifa soma vzr neno la ,Mungu ulielewe usipoteze watu utadaiwa nakama hujui kaa kimya

  • @BintiMwambapa-ev6kw
    @BintiMwambapa-ev6kw 8 місяців тому +1

    Mtumishi wa MUNGU barikiwa sanaaaa na MUNGU azidi kukutunza, swali langu ni hili ,ni kuhusu mwanamke kujistili ni lazima kufunika kichwa chake maahali popote au ni kanisani tu au aina umuhimu? Naomba jibu mapambo yote nimeacha.

    • @EvangelistMathayo2604
      @EvangelistMathayo2604 8 місяців тому +1

      mwanamke anapaswa kufunika kichwa chake muda wo wote na sio tu wakati wa ibada kanisani, because anatii mamlaka ya mume wake.
      kwa sababu biblia inasema
      kichwa chakila mwanamke ni mwanaume na kichwa chakila mwanaume ni Kristo na kichwa cha Kristo ni Mungu

    • @BintiMwambapa-ev6kw
      @BintiMwambapa-ev6kw 8 місяців тому

      @@EvangelistMathayo2604 Aminaaaaaa Mtumishi wa MUNGU Sasa endapo sijaolewa nipo tu nyumbani?

  • @jumannemafuru
    @jumannemafuru 8 місяців тому

    Yesu akaonekane ww akutumie kama chombo siku zote,amina

  • @bonfaslazaro2289
    @bonfaslazaro2289 8 місяців тому +2

    Barikiwa Sana endelea kusema ukweli ili watu wajue ukweli maana dunia imelewa na sikuu mbalimbali bila kujua chanzo chake.

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 8 місяців тому

    Aston mbaya kutoka congo aliyechukuliwa akaoneshwa vyumba 153 vya kuzim alisema sikukúu ya Christmas ni ya kishetan

  • @henrykigugwe5112
    @henrykigugwe5112 8 місяців тому +2

    Lazima tuheshimu Ujio wake

  • @masikanasta1027
    @masikanasta1027 8 місяців тому

    Amen amen ubarikiwe sana na
    Mungu ❤❤❤

  • @halimambaga61
    @halimambaga61 8 місяців тому

    Sawa lakin elewa Christmas ni sikukuu tena ni siku ambayo ndugu jamaa na marafik hukaa pamoja na kuomba na kupatana na kuondoa tofauti zao kwasababu ni mwezi wa kufunga mwaka acha ujinga wa kuhubir usichokijua😊

  • @user-oy9mb3sk9s
    @user-oy9mb3sk9s 8 місяців тому

    Amina Mungu akubariki sana

  • @user-qd9rp1gl9v
    @user-qd9rp1gl9v 8 місяців тому

    Tatizo unajihesabia haki et mitume hawaelejezi wa sisi wa kwetu alituelekeza hatushehekei jishushe mungu akukweze

  • @user-fj3zp2qz3p
    @user-fj3zp2qz3p 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 8 місяців тому +2

    BARIKIWA MTUMISH BIBLIA INASEMA;
    "HERI SIKU YA KUFA KULIKO SIKU YA KUZALIWA"(Mhubiri 7:1)
    Tunapaswa kusherehekea Kifo cha YESU na Siyo kuzaliwa kwa Yesu.
    Kama kuna Mwenye Andiko kuwa Yesu alizaliwa tarehe 25december atoe NAAPA KWA MUNGU..NAMPA LAKI MOJA!!!

  • @user-lk5it5zy6m
    @user-lk5it5zy6m 8 місяців тому +3

    Ukweli ndio huo mtumishi

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 8 місяців тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @janemujuni
    @janemujuni 8 місяців тому

    Kwanza nampongeza sana aliyechagua tarehe 25/12 iwe X_Mass ningemjua zawadi ya boxing day ingemhusu,Yaan Mungu ameziumba siku halafu Eti inatengwa siku ya kumwabudu shetani!!!???Yaan kwa kweli hapo Paschal umechemka,

  • @melkizedekwiliam-hi7bz
    @melkizedekwiliam-hi7bz 8 місяців тому +4

    Sikia Casiani. Sis tunachojua ni hakika Yesu aliwahi kuzaliwa ktk dunia hii. Haijalishi jadiliwa lini au siku gan. Ndo maan wenzio hatuumizi vichwa juu ya tarehe 25. Sis tunatumia fursa kuwahubiria watu ktk tar hiyo maana ni mapumziko tunapata watu wengi. Sas we baki na siku, sis tunafurahia kuhubiri habari njema za Yesu ktk tar hiyo ya wapagan

  • @elmasroj9712
    @elmasroj9712 8 місяців тому

    Hapo umenena, nakusihi umgeukie Bwana wa sabato, maana ni Sabato pekee ndio haitambui krisimas, mapambo ya mwili na mengine mengi unayoyahubiri

  • @niyongaboserges6282
    @niyongaboserges6282 8 місяців тому

    Asante sana kuhusu jambo hili

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 8 місяців тому

    Ni kweli hili fundisho nimeshajifunza mara mbili na nikwel

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 8 місяців тому +1

    Mungu ni Mwema

  • @GasperMoyo-is9db
    @GasperMoyo-is9db 8 місяців тому

    Naomba andika vizuri cyo klismas Bali krisma

  • @shadracknyandwi3062
    @shadracknyandwi3062 8 місяців тому +2

    Kwa hilo ninakuunga mkono. Nilianza kutambua ukweli huu 2012 baada ya kutafakari andiko la EFESO 2:20 ambapo Paul anakumbusha msingi wa Ukristo na Hebrania 13:5 Inasema Yesu ni yeye yule jana, leo na hata Milele. Ukisoma pia Kumbukumbu la Torati 29:29 Inasema kwamba yaliyo sirini ni ya Mungu Mwenyewe. Kwa maana hiyo ikiwa Mwenye kuzakiwa na Mitume wake hawakucherehekea, inabaki kuwa siri ya Mungu.

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 8 місяців тому

      Ndo nyie mnawachangia uongo watu.unasoma biblia kidini din siku za kuzaliwa yesu zilikuwa na changamoto kubwa sana watu tunalahisisha unaambiwa siku hiyohiyo herode aliwaomba mamajusi.wamletee taarifa za mtoto kumbuka mtoto alizaliwa.horini bado waliambiwa mtoto ni mfalme haya kazaliwa horini ma'ana yake kwA fedheha angekumbuka kuandika tarehe wengine.ndoa zenu zinawasumbua mnasahau hata tarehe za kuzaliwa watoto wenu yusufu na maliamu walikuwa na changamoto kubwa wasingekumbuka tarehe ya kuzaliwa yesu acha tusherekee ukombozi tumekombolewa na yesu

  • @meckmbilinyi6077
    @meckmbilinyi6077 8 місяців тому +1

    Kumbe wasabato wana uelewa, kama yesu na mitume hawakusherekea , na haijaandikwa mahali kwenye bibilia nani alianzisha, kwanza utasikia merry Christmas, uyo meŕry ni nani,nini maana ya x mass, nini maana ya hilo sanamu linalo wakirisha Christmas

  • @johnmgalatia1939
    @johnmgalatia1939 8 місяців тому +2

    Mungu akusamehe,nilikupenda toka ulivyoanza kuonekana BBS lkn kwa sasa nahisi ule ugonjwa umekuchanganya akili,hivi unafikiri ukijua kusoma biblia mistari kadhaa basi unaanzisha Kanisa, Ingia darasani soma history, mapokeo na kwanini inasheherekewa tarehe hiyo, swali langu kwako naomba unieleze hapo huo mwezi wa sita uliotajwa ni mwezi wa sita wa mimba ya mariamu au ni mwezi wa sita ya siku aliyojiriwa na malika?

  • @mwamrasahamaro8473
    @mwamrasahamaro8473 8 місяців тому

    Angalizo au taarifa kwa Mtumishi
    1 ukweli ni kwamba Yesu alizaliwa hivyo ni lzm tukumbuke kushangilia
    2 siku zote ikiwepo 25 desemba ni Mali ya MUNGU wetu hivyo tutamwabudu MUNGU wetu siku zote maana shetani hajawahi kuumba chochote Ila huharibu tu.
    3 je wewe Mtumishi na wengine wenye mtazamo huo, siku ya 25desemba hamfanyi ibada kwa MUNGU sababu ni siku ya shetani? nakukubali sana Mtumishi lkn kwahili unanirudisha nyuma kidogo

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 8 місяців тому

    Amen mtumishi wa Mungu.

  • @WorshippersofGodarmy-ot1mk
    @WorshippersofGodarmy-ot1mk 8 місяців тому

    SIKiA WEWE, sherehe zinatungwa na wanadamu, Toka zamani watu walikuwa na sikukuu mbalimbali walikuwa wakisherehekea, mfano krismansi inamaana kubwa na ndio Miongoni mwa sikukuu isio ya zamani lakini, inathani kubwa sana kwa kuwa waumini wa yesu, kuliko sikukuu zote na sikukuu unayoiamini ya mwaka mpya

  • @evamethod7031
    @evamethod7031 8 місяців тому

    Kweli mtumishi kirismasi ni sherehe ya mashetani,wanao pinqa hawaelewi maana ya sherehe hiyo 🙏🙏🙏🙏

    • @manasekamtoni2054
      @manasekamtoni2054 8 місяців тому

      Naomba unieleweshe penye pameandikwa krismas ni sherehe ya mashetani kivipi 😮 na nikitabu Gani katika biblia kinazungumzia krismas ni ushetani

  • @nicksonthomas5429
    @nicksonthomas5429 8 місяців тому

    Imani ni ya mtu mmoja na mbingu pia na tutaenda kwa matendo ya kumpendeza, hii ni kumbukumbu tu na si vinginevyo na sioni kosa ila inategemea na mtu anavyoadhimisha hii siku tunayokumbuka kuzaliwa kwa Yesu haijalishi ndio siku yenyewe au la ni kumbukumbu kwamba alizaliwa kama wanadamu wengine haya mambo ya Imani na ibada yalishavamiwa tukisema kila kitu ni ushetani basi itafika mahali na ibada watu wataacha, labda utuambie ni wapi shetani hayupo?

  • @user-fm5dg8gg1d
    @user-fm5dg8gg1d 8 місяців тому

    Good may God bless u

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 8 місяців тому

    Wanao mpinga wote Mtumishi wa Bwana,Neno la Mungu linasema; YOHANA 8:47 Yeye Aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu hivyo ninyi hamsikii kwakuwa ninyi si wa Mungu. By Robert

  • @user-ik9dl8yp9l
    @user-ik9dl8yp9l 8 місяців тому

    Fundisho zur hata mim nakubali

  • @daudic.mpinga4606
    @daudic.mpinga4606 8 місяців тому

    Hata Mimi nilikuwa najiuliza sana kuhusu hii sherehe ,,,je vipi kuhusu kufunga ndoa na kuvalishana Pete na kufanya sherehe ya ndoa hii iko sahihi kibiblia?? Tafadhali naomba majibu nahitaji kufahamu

  • @jeannettezawadi6307
    @jeannettezawadi6307 8 місяців тому

    Amina Ubarikiwe mtumishi

  • @creopatrajoshua
    @creopatrajoshua 8 місяців тому

    Imani zimekuwa nyingi hivyo mungu huwajua walio wake kama kuxherekea cku ya kuzaliwa yesu n dhamb na n makosa namin mungu atatuhukumu iyo cku na kwa sababu dhamb zote biblia inasema n sawa bac mungu atatuhukumu kwa hilo lakin tuache kuingilia na kutafxiri maneno kwa namna tunavoelewa wenyewe

  • @MacdonaldMbogo
    @MacdonaldMbogo 8 місяців тому +2

    wewe ndiwe mtumishi wa kwanza unayeongea ukweli kabisa Mungu akubariki!!

    • @gracenjeri1311
      @gracenjeri1311 8 місяців тому

      Amina

    • @agreementmwalongo6036
      @agreementmwalongo6036 8 місяців тому

      wenda hata maaskofu wetu wameshindwq kutuambia ila ww umeweza

    • @manasekamtoni2054
      @manasekamtoni2054 8 місяців тому

      ​@@agreementmwalongo6036kumbe unasubiri uambiwe😅😅 na mtu

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 8 місяців тому

      Ni kweli kabisa hata maaskofu hawasemi hayo hawajafunguliwa hata BWANA wetu YESU alizaliwa sehemu ya aibu yaan holin mwa ng'ombe mahalo palipo zalauliwa na hata Cassian pia Alie mdogo na amepita Mambo magumu ambayo kwa mwanadamu wa kawaida kumuelewa ni vigumu pasipo MUNGU kuwajulisha kuwa ni mtumishi wake watamkataa mpaka kuja kwa YESU Kama walivyo mkataa YESU mwenyewe Cassian MUNGU akutie nguvu

  • @user-oy7cy3ci4g
    @user-oy7cy3ci4g 8 місяців тому +1

    Yaani ni ngumu kwa Mafarisayo wa Sasa kuacha kuhadhimisha sikuku hizi
    Mungu tusaidie atokee Askofu Mkuu kutangaza NENO kinyume na sherehe hii.
    Mm mwenyewe inanipa changamoto
    Maana kanisa langu wanaadhimisha.

  • @habililailo271
    @habililailo271 8 місяців тому

    WARUMI 14:6 Yeye aadhimishaye siku, huiadhimisha kwa Bwana; naye alaye, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; tena asiyekula, hali kwa Bwana, naye pia amshukuru Mungu.
    na haya maneno utayakataa? Usijifanye umemaliza kuisoma biblia ukakaa na kuhukumu wengine usihukumu maana hata ww utahukumiwa hubiri injili watu watubu wamjue Mungu sio kuja na kiki