Barabara ya mauti ya Salgaa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kuwakumbuka manusura na waathiriwa wa ajali za barabarani hapo kesho, eneo la Salgaa katika kaunti ya Nakuru linazidi kuwakosesha usingizi madereva, abiria na wenyeji kutokana na ajali za mara kwa mara katika eneo hilo. Japo takwimu zinaonesha kuwa idadi ya ajali za barabarani imepungua ikilinganishwa na mwaka jana, eneo la Salgaa limeifanya kaunti ya Nakuru kuwa ya pili katika wingi wa ajali nchini.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

КОМЕНТАРІ • 10

  • @tituskipchumba7427
    @tituskipchumba7427 7 років тому +2

    Pole Brian

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 4 роки тому +2

    Watembee pole wanaendesha bila kuheshimu

  • @carolinendasala935
    @carolinendasala935 7 років тому +1

    So sad

  • @zacharythitu7510
    @zacharythitu7510 7 років тому

    Discuss,,

  • @zacharythitu7510
    @zacharythitu7510 7 років тому +1

    Let there be wananchi discipline units along this region,, to whip sense back to every driver found misdriving,, what bribe n fines cannot do,nyahunyo can do,,

  • @beamazing2497
    @beamazing2497 7 років тому

    I blame the overspeeding drivers.overtaking recklessly and lack of road signs also contributes to the accidents.

  • @maryannemuumbi6851
    @maryannemuumbi6851 7 років тому +3

    Brian nenda Nigeria kwa TBJoshua SCOAN