Hakuna kitu kinauma kama dodoma makao makuu kujengwa uwanja wa Watu 30k. Bora ungeachwa tu. Nilitegemea makao makuu tuwe na kiwanja cha mfano kwaajili ya baadae.
Yaani hakuna mwandishi mwenye uwezo wa kuuliza simple question, katika hivyo viwanja viwili, basi kimoja kiwe na 40,000 capasity ili ki qualified ku host any CAF or FIFA tournament, Kama anything wrong ita happen kwa Mkapa, we have options B. What is the difference between 30,000 and 40,000?!! Hiyo ni pesa ya Watanzania wenyewe ndio wanaomba
Football ni biashara number 1 dunian inayofanya vizuri lakini inaendani na ukuwaji wa uchumi katika eneo husika, ipo siku tutakuja kujuta kwa nini tulijenga kiwanja cha idadi ya watu 30k pale watanzania wengi watakapo tambuwa kuangalia football ni moja ya mtoko mbali ya burudani, alafu kiuchumi wako vizuri, capercity 30k ni ya private km simba yanga Azam fc wakiamua kujenga, lakini government ni vizuri mkajikita zaidi kwenye uwekezaji kigezo kikubwa kuwa kutoa huduma na sio return or profit
Nadhani katoa ufafanuzi mzuri sana. Kwa Mkapa una miaka 17 mpaka sasa na kuujaza ni shida. Na Dar ndio kwenye watu wengi wanaopenda mpira. Unafikiri dodo wanaweza kuujaza huo uwanja
@hudsson75 Kazi ya serikali ni kutoa huduma kwa jamii , uwanja kujaza ama kutojaza vipo vitu vingi vya kuangalia hapo, muulize pia je katika hiyo miaka 17 uwanja wa mkapa umeingiza mapato kiasi gani?
Mbona kaelezea vizuri sana. Uwanja wa 30K hata Dodoma yenyewe utakuwa haujai. Wamejitahidi sana. Ni sawa na mtu kujenga nyumba ya vyumba sita wakati una familia ya watu wanne tu. Elfu 30 ni watu wengi sana ndugu yangu
Tulikuwa tunakosa Sauti kama hizi....no politics just facts....tunapenda saana kujua nchi etu inaenda wapi na kwanini inafanya inayoyafanya...very good tunaridhika na tunapokwenda ...sema viwanja vingejengwa na kusini...mbeya tuvute watu waje
Mh, Msigwa kwa zama za leo, uwanja wa makao makuu tunaomba sana tafadhali uwe wa watu 50elfu hii itadumu mpaka kizazi cha tatu na kitafaa wakati huo. Kumbuka maeneo ya kujenga yanaisha na kuyapata itakuwa kazi na wakati huo tutakuwa na uhitaji wa kiwanja kikubwa zaidi. Maana Dodoma wanakuja watu kila uchwao.
Kama sgr inatulipa mno kwann serikal isitie nguvu huko kumaliza hivy vipande ili kunufaika zaid na kusitisha ata baadh ya miladi...Nitarud pale pale kwa Dodoma jengen uwanja wa watu elf 70..kwanza mji unakuwa kwa kasi, ndio makao makuu ya nchi na ikibid wenye kufunika juu i mean uwe na paa..Kwenginek fanyen mnavyoweza
hivyo viwanja Kwa capacity ya watu 30,000 for future use mmekosea sana serikali mlitakuwa mjenge viwanja kwa ajili ya matumizi ya miaka 50 ya baadae kumbuka pia wanaoangalia mpira Kwa Arusha na Dodoma sio wote wanatoka katika mikoa usika Kuna wengine wanatoka mikoa ya jilani ushauri naomba kwa uwanja wa Dodoma uongezewe capacity at least uchukue watu elfu 60 ni mji ambao Kuna muingiliano mkubwa wa watu
Vipimo vya uwanja wa Dodoma mmepunguza tofauti na tulivyo tuambiwa mwanzo serikali mnafeli wapi maana hata mkapa tunaambiwa engineer aliambiwa uwanja wa mkapa upo chini ya kiwango acheni maneno Kama mnapenda soka wekezeni kujenga vyanzo vya mapato . Ikiwezekana angalieni hata vilabu ambavyo havina viwanja mvijengee jamii mzima zinufaike kuriko kutuigizia kununua magoli kwa million 5 halafu haziwasaidii vizazi vijavyo .
Hao morocco wanakuja kujenga misikiti tu hawawezi kujenga uwanja wa mpira kipindi cha magufuli wali ahidi kujenga uwanja na msikiti waliishia kujenga msikiti tu
@@nashirkamugisha9425amezungumza uhalisia. Misaada ya warabu ina masharti ya udini ... Hata Muamar Gadaff alikuwa akitoa misaada anaweka kasharti kwa udini .... Hapo Kuna masharti ya udini yameepukwa
Zaa ndani baada ya makubaliano ya kujengewa uwanja wa dezo baadae tukapewa masharti ambayo yalikuwa magumu tukachemka ila serikali haiwezi kuweka wazi kwa wananchi kinachohitajika ni uwanja wapo tayari kutekeleza kwa wananchi wake
Hapo kwenye uwanja umepatia sana! Watanzania tujifunze kuenda kimkakati na kuendana na hali halisi, ningefurahi sana Kama tungejenga viwanja vidogo vidogo ata vya watu 10,000 ili tuwe na vingi zaidi nchi nzima. Vioaji vitakua sana
Uwanja wa Mkapa kujaa mpaka watu wahamasishwe tena wakati mwingine viingilio viwe bure. Dodoma 30 to 40k ni sawa. Watu wakiongezeka ujengwe mwingine. Mbona London vipo viwanja vingi?
Tatizo serikari yetu inachukuwa wakandaarasi wasio kuwa na plani b unawaza leo ikiwa kesho minji inakuwa vizazi vinaongezeka na vizazi vipya ni vizazi vya soka jengengeni uwanja kulingana na maitaji ya baadae siyo ya sasa ivi wazeni na kesho siyi mnawaza leo tuuu
Unatupotosha mwandishi: John Muhuuni hayupo katika "Betrayal in the City". Huyo ni muhusika katika "I Will Marry When I Want" tamthiliya ilioandikwa na Ngugi wa Thiong'o na Ngugi wa Mirii. Maneno "Promise doesn't mean delivery ..." yamesemwa na Gicaamba.
Sio mpira hiyo, mambo ya Quran sijui Mwamposa hayo ni matukio yasiyo rasmi ya uwanja wa Mkapa. Yaani haukujengwa kwaajili ya matukio ya dini ila ni kwaajili ya michezo. Elewa kaka wala haukuwa na haja ya kumkumbusha kitu kisichohusika na lengo la kuujenga uwanja huo
Kumbe uwanja wa Mkapa unatumika "under capacity"! Nafikiri ndiyo sababu wengine wameamua mechi ikiisha wanaondoka na viti vikapate matumizi nyumbani kwao!
Msigwa hana exposure na football. Ndio maana hataki kukubali kwamba uwanja wetu wa taifa mkubwa hauna viwango vya kimataifa na haswa eneo la kuchezea pitch
Ule ni uwanja wa mpira na michezo mingine msijumlishe matukio yasiyo rasmi kwa uwanja huo. Amesema sahihi ni matukio matatu tuu yanayoujaza huo uwanja simba na yanga, simba day na yanga day tuu
Yuko sahihi sababu ule ni uwanja wa michezo sio sehemu ya jukwaa au ukumbi la muziki au mkutano. Hivyo hayo matukio yasiyo ya kimichezo hawezi kuyajumlisha kwenye michezo
Mwanza mpaka Rais nitakapokuja kuwa mimi mwananzengo lilia. Mwanza tushukuru kutojengewa uwanja kama viwanja wanavyojenga ni vya watu elfu 30. Acha tubaki na Kirumba watu elfu 35 huku tukizidi kuhesabika hatuna uwanja ili siku akitokea Rais mpenda Mwanza tujengewe uwanja wa elfu 60.
Sio michezo hiyo, huo uwanja ni kwaajili ya michezo sio ukumbi hivyo hayo matumizi ya kidini ni nyongeza tuu ila sio sehemu ya matumizi rasmi ya uwanja huo
Ndio unashangaa nini mizigo mingi ya Sudani kusini inapitia bandari ya Mombasa then inasafirishwa hadi Uganda ndio inaelekea Sudani kusini. Sasa kama wao wanapitia Uganda na sisi tumepakana na Uganda huoni kuwa inawezekana tena kutakuwa na competition nzuri.
Msigwa tulia uulizwe maswali ya kukufikirisha ili umma nao ufahamu kinachoendelea. Eleza pia mkakati wa kuthibiti wahujumu miundombinu na mabehewa sehemu ya viti na meza. Usitumie hasira kujibu maswali
Kiongozi mwenye maono ya karne ya 21. au maono ya kimataifa hawezi kujenga viwanja vya michezo kwa kulenga wakazi wa eneo hilo hasa kwenye mji mkuu kama Dodoma,anapojenga atajenga kwa kulenga dunia(WORLD CUP) anajua wazi kabisa hatupo kwenye zama za mawe,tupo kwenye karne ya 21 kwa hiyo anapojenga kiwanja atajenga kiwanja kinachoweza kuandaa mashindano ya kidunia(WORLD CUP) siyo mashindano ya kimkoa , kwa hiyo kwa maono ya viongozo wetu ni kwamba hawana kabisa ndoto za Tanzania kuja kuandaa mashindano ya kidunia (WORLD CUP), tutaqualify vipi kutaandaa WORLD CUP na viwanja vya watu 30,000 kwenye karne ya 21 ????!!
Ukarabati mkubwa wa uwanja wa Mkapa, Dar es salaam; Status, OK Ujenzi wa uwanja mpya Arusha; Status, OK Ujenzi wa uwanja mpya Dodoma ; Status, OK Ujenzi wa uwanja mpya Mbeya; What is the current status? Ujenzi wa uwanja mpya Mwanza; What is the current status? Ujenzi wa uwanja mpya Tanga; What is the current status? Mhe. Msigwa, Katibu Mkuu wa Wizara ni kweli bado hajajibu maswali yetu yote tuliyoyauliza. Tunahitaji viwanja vikubwa vitano vitakavyotumika kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania (Tanzania Premier League), ili kuendelea kukidhi standards za CAF na FIFA.
Safi sana nimeridhishwa na maelezo yako mh msigwa tunasubiri utekelezaji✍️🙏🤝
Hongera sana kiongozi wetu hakika maelezo yako yamekonga sana nyoyo zetu,Mungu akulinde!!
Umeelewa nn wewe huoni upigaji hapo uwanja uko chini ya mfadhili leo hii tuweke pesa zetu vp mzee
Promise does not mean delivered wow amazing sana bana umenikumbusha mbali sana miaka mitatu ilopita kwa THE BETRAYAL IN THE CITY❤❤❤
Itabidi nikisome tena hicho kitabu. Maanake mi sikumbuki hiyo quotation aliyoitaja ndugu mwanahabari, samahani.
zinajaaa kweli but sikuizi mnazizima .mfano last week treni ilizima mpaka abiria tukaenda wote kupanda mabasi..
Gerson Msigwa, Mzee wa Ilembula. Safi sanaa!
Hakuna kitu kinauma kama dodoma makao makuu kujengwa uwanja wa Watu 30k. Bora ungeachwa tu. Nilitegemea makao makuu tuwe na kiwanja cha mfano kwaajili ya baadae.
Msikilize vizuri Msigwa umuelewe.
@@benitoxavery1802 kuna nini cha kuelewa hapo. Kwamba tuogope kujenga kikubwa kwasababu ya garama za uendeshaji?
Ahadi ya JPM ilikuwa Dodoma kijengwe kiwanja kikubwa kuliko vyote Tz
Uwanja wa dodoma ukikamilika kabla ya 2027 niite mbwa
😂😂😂 ni vituko pale
Sijui anatuchukuliaje huyu msigwa 😂😂😂
Kwani umeanza kujengwa
Bado@@CasmirKiwale
@@amirisaid6341 asante
Yaani hakuna mwandishi mwenye uwezo wa kuuliza simple question, katika hivyo viwanja viwili, basi kimoja kiwe na 40,000 capasity ili ki qualified ku host any CAF or FIFA tournament, Kama anything wrong ita happen kwa Mkapa, we have options B. What is the difference between 30,000 and 40,000?!! Hiyo ni pesa ya Watanzania wenyewe ndio wanaomba
Safi sana mtani, umeanzia ulipoishia! Nakumbuka huu utaratibu ulikuwa ukiufanya kabla hujabadirishiwa majukumu.
Kaongea uongo hadharani bila aibu yani 🚮
Safiii sana mwanailembula kaka GERSON MSIGWA
Umeelezea vizuri sana kiongozi, katibu mkuu
Amekosea hapo kwenye reference ya kitabu kitabu ni I will marry when I want by ngugi wa thiong'o so alisema character gicaamba
Football ni biashara number 1 dunian inayofanya vizuri lakini inaendani na ukuwaji wa uchumi katika eneo husika, ipo siku tutakuja kujuta kwa nini tulijenga kiwanja cha idadi ya watu 30k pale watanzania wengi watakapo tambuwa kuangalia football ni moja ya mtoko mbali ya burudani, alafu kiuchumi wako vizuri, capercity 30k ni ya private km simba yanga Azam fc wakiamua kujenga, lakini government ni vizuri mkajikita zaidi kwenye uwekezaji kigezo kikubwa kuwa kutoa huduma na sio return or profit
Nadhani katoa ufafanuzi mzuri sana. Kwa Mkapa una miaka 17 mpaka sasa na kuujaza ni shida. Na Dar ndio kwenye watu wengi wanaopenda mpira. Unafikiri dodo wanaweza kuujaza huo uwanja
@hudsson75 Kazi ya serikali ni kutoa huduma kwa jamii , uwanja kujaza ama kutojaza vipo vitu vingi vya kuangalia hapo, muulize pia je katika hiyo miaka 17 uwanja wa mkapa umeingiza mapato kiasi gani?
Mapato ya viingilio katika mechi ueanja wa Mkapa pia yawekwe wazo ili tuweze kamatch mapato na matumizi tujue
Mbona kaelezea vizuri sana. Uwanja wa 30K hata Dodoma yenyewe utakuwa haujai. Wamejitahidi sana. Ni sawa na mtu kujenga nyumba ya vyumba sita wakati una familia ya watu wanne tu. Elfu 30 ni watu wengi sana ndugu yangu
Tulikuwa tunakosa Sauti kama hizi....no politics just facts....tunapenda saana kujua nchi etu inaenda wapi na kwanini inafanya inayoyafanya...very good tunaridhika na tunapokwenda ...sema viwanja vingejengwa na kusini...mbeya tuvute watu waje
Aliyeuliza maswali yuko vizuri sana.
Mh, Msigwa kwa zama za leo, uwanja wa makao makuu tunaomba sana tafadhali uwe wa watu 50elfu hii itadumu mpaka kizazi cha tatu na kitafaa wakati huo. Kumbuka maeneo ya kujenga yanaisha na kuyapata itakuwa kazi na wakati huo tutakuwa na uhitaji wa kiwanja kikubwa zaidi. Maana Dodoma wanakuja watu kila uchwao.
Dodoma 40K to 50K capacity ingekuwa safi
umewaza kama mie, maana watu wanaongezeka hatutaweza kuvunja kujenge tena au tuongezee jukwaa
Daah huyu mwamba🔥🔥🔥😂
Kama sgr inatulipa mno kwann serikal isitie nguvu huko kumaliza hivy vipande ili kunufaika zaid na kusitisha ata baadh ya miladi...Nitarud pale pale kwa Dodoma jengen uwanja wa watu elf 70..kwanza mji unakuwa kwa kasi, ndio makao makuu ya nchi na ikibid wenye kufunika juu i mean uwe na paa..Kwenginek fanyen mnavyoweza
Tusiangalie sasa tuangalie mia 200 ijayo.
Hongera unastahili kuwa msemaji wa SRKR
Hongera sana semaji letu
hivyo viwanja Kwa capacity ya watu 30,000 for future use mmekosea sana serikali mlitakuwa mjenge viwanja kwa ajili ya matumizi ya miaka 50 ya baadae kumbuka pia wanaoangalia mpira Kwa Arusha na Dodoma sio wote wanatoka katika mikoa usika Kuna wengine wanatoka mikoa ya jilani ushauri naomba kwa uwanja wa Dodoma uongezewe capacity at least uchukue watu elfu 60 ni mji ambao Kuna muingiliano mkubwa wa watu
Dodoma mji unakuwa haraka sana lazima muangalie mbele baada ya miaka michache uwanja utakuwa mdogo
Vipimo vya uwanja wa Dodoma mmepunguza tofauti na tulivyo tuambiwa mwanzo serikali mnafeli wapi maana hata mkapa tunaambiwa engineer aliambiwa uwanja wa mkapa upo chini ya kiwango acheni maneno Kama mnapenda soka wekezeni kujenga vyanzo vya mapato . Ikiwezekana angalieni hata vilabu ambavyo havina viwanja mvijengee jamii mzima zinufaike kuriko kutuigizia kununua magoli kwa million 5 halafu haziwasaidii vizazi vijavyo .
Morocco walikuwa tayar kuujenga uwwanja huo kama kuna mashariti mabaya je magufuli aliyakubali akatuongopea nadhani mmetengeza mazingira ya kupiga
Hao morocco wanakuja kujenga misikiti tu hawawezi kujenga uwanja wa mpira kipindi cha magufuli wali ahidi kujenga uwanja na msikiti waliishia kujenga msikiti tu
Kwa hiyo ramadhani UMEUMIA wao kujenga msikiti?@😂 Amesema serikali ina sabb ya wao kutoendelea na msaada huo ridhika na majibu hayo
@@nashirkamugisha9425amezungumza uhalisia. Misaada ya warabu ina masharti ya udini ... Hata Muamar Gadaff alikuwa akitoa misaada anaweka kasharti kwa udini .... Hapo Kuna masharti ya udini yameepukwa
Zaa ndani baada ya makubaliano ya kujengewa uwanja wa dezo baadae tukapewa masharti ambayo yalikuwa magumu tukachemka ila serikali haiwezi kuweka wazi kwa wananchi kinachohitajika ni uwanja wapo tayari kutekeleza kwa wananchi wake
Uko vizuri Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Amejibu vizur sana
John Muhuuni hayupo kwenye BETRAYAL IN THE CITY cha FRANCIS IMBUGA, ni muhusika wa I WILL MARRY WHEN I WANT cha Ngugi wa Thion'go na Ngugi wa Mirii.
😁✋... thanks.
Muandishi safi sana uko vizur
Hujajibu swali la matumizi ya SGR. uwezi kutoa taarifa ya fedha yenye mapato peke yake.
Idadi ya watu inaongezeka mzingatie hilo na DODOMA ni mji mkuu
Hapo kwenye uwanja umepatia sana! Watanzania tujifunze kuenda kimkakati na kuendana na hali halisi, ningefurahi sana Kama tungejenga viwanja vidogo vidogo ata vya watu 10,000 ili tuwe na vingi zaidi nchi nzima. Vioaji vitakua sana
Haviwezi fananana
Yanga bingwa
We sio mzima😂😂😂😂
Msigwa ukoo vizuri
Ila imani yangu ni ndogo kama uwanja wa dodoma utaisha kwa wakati kama uwanja wa arusha unajengwa taratibu hivo
DAAAH JAMAA HAJUI HATA ANACHOULIZWA NI NINI 😂😂😂😂😂
Wewe ndo hauelewi
@MussacharlesSongo PEPO LINGINE LISILOJITAMBUA LIMEIBUKA🤣🤣🤣🤣
Uwanja wa Mkapa kujaa mpaka watu wahamasishwe tena wakati mwingine viingilio viwe bure. Dodoma 30 to 40k ni sawa. Watu wakiongezeka ujengwe mwingine. Mbona London vipo viwanja vingi?
Mbn swali na jibu tofaut
Mwandsh kauliza kuhusu soka majbu ni sgr
Tunaitaji maelezo kama haya kila siku . Ongera Mheshimiwa. Yaani tuna uhakika safi sana sana.
dodoma hapana ujengwe wa.watu sitini kwa sababu nimakao makuu ya nchi na watu wamaongezeka mbona mmejemga.airport kubwa kuliko dsm
Tatizo serikari yetu inachukuwa wakandaarasi wasio kuwa na plani b unawaza leo ikiwa kesho minji inakuwa vizazi vinaongezeka na vizazi vipya ni vizazi vya soka jengengeni uwanja kulingana na maitaji ya baadae siyo ya sasa ivi wazeni na kesho siyi mnawaza leo tuuu
aisee jamaa yuko vizuri ameuliza maswali. mazuri
Kichwa hicho
Huyu ndio mwandishi wa ukweli maswali yamsingi kweli
Haapaa dodoma umetupiga changaa msigwaaaaaa😅😅😅😅
Unatupotosha mwandishi: John Muhuuni hayupo katika "Betrayal in the City". Huyo ni muhusika katika "I Will Marry When I Want" tamthiliya ilioandikwa na Ngugi wa Thiong'o na Ngugi wa Mirii. Maneno "Promise doesn't mean delivery ..." yamesemwa na Gicaamba.
Kijana wa kishua aliyemlaghai Binti Gathon binti kiguunda na Wangeci

Hivi vitabu ni vya mtaala au vya nje ya mtaala.maana kiukweli mimi napenda kusoma vitabu lakin nina aina yangu ya vitabu ninavyosoma.
Msukuma huyo kaka amekalili mambo ya shule achana nae
Wahuni na wapumbavu wanavunja viti vilivyogharimiwa na kodi za wananchi, walipe na wakamatwe.Walipe ths15 bilioni na liwe fundisho.
Bora Pesa Zitumike Maana Zikirundikana Zitaibiwa
Nakukumbusha mhe, tukio jingine linalojaza uwanja wa mkapa ni mashindano ya Quran ya shk nurdin kishk
Sio mpira hiyo, mambo ya Quran sijui Mwamposa hayo ni matukio yasiyo rasmi ya uwanja wa Mkapa. Yaani haukujengwa kwaajili ya matukio ya dini ila ni kwaajili ya michezo. Elewa kaka wala haukuwa na haja ya kumkumbusha kitu kisichohusika na lengo la kuujenga uwanja huo
Maelezo mazuri sana
Tunataka utekelezaji uwanja wa dodoma na arusha ni aibu kama taifa
Kumbe uwanja wa Mkapa unatumika "under capacity"! Nafikiri ndiyo sababu wengine wameamua mechi ikiisha wanaondoka na viti vikapate matumizi nyumbani kwao!
Kaskazini uliko mlima mrefu Afrika SGR ni muhimu sana kama alivyopendekeza mbunge wetu wa Hai Utalii
Safi sana
Msigwa hana exposure na football. Ndio maana hataki kukubali kwamba uwanja wetu wa taifa mkubwa hauna viwango vya kimataifa na haswa eneo la kuchezea pitch
Msigwa umejibu kiukubwa hapo Cha msingi SGR iweze wananchi kupata Hela ata kama itaendeahwa Kwa hasara hakikisha tu inafanya kazi kiufasha
Iko poa sana kama itafanyika
Huyu jamaa ni mwongo sana,kwanza hizo Hela zinafanya kazi gani
Tamasha la twenzetu kwa Yesu huwa uwanja unajazwa labda kama ndg yetu wewe haya matamasha huoni umuhimu wake kiroho!!
Ule ni uwanja wa mpira na michezo mingine msijumlishe matukio yasiyo rasmi kwa uwanja huo. Amesema sahihi ni matukio matatu tuu yanayoujaza huo uwanja simba na yanga, simba day na yanga day tuu
Yuko sahihi sababu ule ni uwanja wa michezo sio sehemu ya jukwaa au ukumbi la muziki au mkutano. Hivyo hayo matukio yasiyo ya kimichezo hawezi kuyajumlisha kwenye michezo
Na hiyo ndiyo faida kubwa ya SGR na siyo faida ya tiketi tu ,kuna faida isiyoonekana kwa macho ya kawaida
Call me dogi uwanja wa dodoma ukikamilka before 2027😂😂😂😂
Sawa dogi mtarajiwa😅
Hongera Sana Sasa Bado Lini itakuwa Arusha..Tanga..Musoma..?????
Musoma? Mh
Jembe kama Jembe
wazili mimi ni kubali hapo
Mwanza mtajenga lini uwanja wa mpira utakaoendana na hadhi ya jiji la Mwanza?
Mwanza mpaka Rais nitakapokuja kuwa mimi mwananzengo lilia.
Mwanza tushukuru kutojengewa uwanja kama viwanja wanavyojenga ni vya watu elfu 30.
Acha tubaki na Kirumba watu elfu 35 huku tukizidi kuhesabika hatuna uwanja ili siku akitokea Rais mpenda Mwanza tujengewe uwanja wa elfu 60.
Yaaani jiji la pili alafu uwanja ndo kirumba kweli
@MussaMpondo hakika inasikitisha aise, hawatutendei haki kabisa watu wa mwanza.
Kiongoz upo vizury kwa maelezo
KWAIYO AHADI YA WAMOROKO ILIYEYUKIA WAPI??? AU IZO PESA ZA AHADI YA UWANJA NDIZO ZINAJENGA MISIKITI KILAMAHALI NCHINIWETU.
Mnachukua eneo kubwa katikati ya mji halafu mnajenga uwanja watu elfu thelathini makao makuu ya nchi eti ndo nini wangeacha tu
Sio tatizo lilitokea kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa pale ni upigaji tu sio kwamba tulikosa wataalamu ni makusudi tu kwa sababu ya upigaji
Mh amesahau kama kuna tamasha la pasaka linajaza" na mashindano ya Quran..sikosoi nakumbusha tu😂😊
Sio michezo hiyo, huo uwanja ni kwaajili ya michezo sio ukumbi hivyo hayo matumizi ya kidini ni nyongeza tuu ila sio sehemu ya matumizi rasmi ya uwanja huo
Kwa idadi ya watu mnastahili jenga Mwanza uwanja, utakua na faida ya haraka kutoa Dar kuliko huko mnapambania.
Mwanza mna hoteli gani za kupokea watu?
SGR, Sudan Kusini??
Ndio unashangaa nini mizigo mingi ya Sudani kusini inapitia bandari ya Mombasa then inasafirishwa hadi Uganda ndio inaelekea Sudani kusini. Sasa kama wao wanapitia Uganda na sisi tumepakana na Uganda huoni kuwa inawezekana tena kutakuwa na competition nzuri.
Njoon na mwanza ccm kirumba hapafai
Hivi hiyo tren ingeenda kigoma si ingekuwa na faida mara mbili kuliko mwanza kigoma ina abiria wengi sana
Maswali gani ambayo hayana kichwa wala mkia uwanja wa mpira unatusaidia nini ? Ila watanzania wengine
Msingwa kaka umesahau hawakuwa wengi kama TANZANIA vs UGANDA
HATA RUVUMA TUNAHITAJI UWANJA WA MPIRA. YAANI UWANJA TANGU ULIVYOJENGWA NA MZEE GAMAA. UKIUONA LEO HII UMEGEUKA KANA GOFU LILILO ACHWA NA WAKOLONI.
Promise does not mean delivered
KWENE ni nini?
Au tuseme hujui kesema KWENYE?
Msigwa tulia uulizwe maswali ya kukufikirisha ili umma nao ufahamu kinachoendelea. Eleza pia mkakati wa kuthibiti wahujumu miundombinu na mabehewa sehemu ya viti na meza. Usitumie hasira kujibu maswali
Kiongozi mwenye maono ya karne ya 21. au maono ya kimataifa hawezi kujenga viwanja vya michezo kwa kulenga wakazi wa eneo hilo hasa kwenye mji mkuu kama Dodoma,anapojenga atajenga kwa kulenga dunia(WORLD CUP) anajua wazi kabisa hatupo kwenye zama za mawe,tupo kwenye karne ya 21 kwa hiyo anapojenga kiwanja atajenga kiwanja kinachoweza kuandaa mashindano ya kidunia(WORLD CUP) siyo mashindano ya kimkoa , kwa hiyo kwa maono ya viongozo wetu ni kwamba hawana kabisa ndoto za Tanzania kuja kuandaa mashindano ya kidunia (WORLD CUP), tutaqualify vipi kutaandaa WORLD CUP na viwanja vya watu 30,000 kwenye karne ya 21 ????!!
Yaani viwanja vya watu 30k nyinyi hamko serious ujinga mwingi sana
Maswali hayo hapo chini nimeyauliza kwa lugha yake hiyo ya kikinga, lugha yake pendwa asilia.
Kasemea usafirishaji abiria sawa,mbona huulizii kuhusu mizigo ilosafirishwa
Huyu jamaa badala ya kuuliza swali anatoa hotuba
Eti watu elfu thelathini wamepunguza bora wangeacha mdogo sana
Bil 31 tuelezen inatunikaje maana isiwe ukarabat nikujenga wanja mungne.
Kwenye swala uwanja majibu yako yameeleweka vyema
Uyu ndio mwandishi anatakiwa kuoji
Ukarabati mkubwa wa uwanja wa Mkapa, Dar es salaam; Status, OK
Ujenzi wa uwanja mpya Arusha; Status, OK
Ujenzi wa uwanja mpya Dodoma ; Status, OK
Ujenzi wa uwanja mpya Mbeya; What is the current status?
Ujenzi wa uwanja mpya Mwanza; What is the current status?
Ujenzi wa uwanja mpya Tanga; What is the current status?
Mhe. Msigwa, Katibu Mkuu wa Wizara ni kweli bado hajajibu maswali yetu yote tuliyoyauliza.
Tunahitaji viwanja vikubwa vitano vitakavyotumika kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania (Tanzania Premier League), ili kuendelea kukidhi standards za CAF na FIFA.
70 wakati uganda na kenya wanajenga rail ?
Dodomo muanze chap kujenga
Tunataka mje mwanza huku hamtuoni kabisa tumekuwa kama tu Libya ccm kirumba hapafai kabisa
Agano la magufuri sio hilo kilitakiwa kiwe kikubwa kinaingiza watu 105000 mbona mnajenga 30000 maneno yako mwambie mtoto mdogo na asiye soma
anakwambia tatizo watu wakuja huo wanja wapo?
Kama serikali inapata Faida mbona mnakop
Hakika
😮
Baada ya saa tatu upo dodoma na umeme ukikatika
Tunataka Arusha hiyo masaa4
Kongole muheshimiwa msigwa