Allah atulinde na haya maladhi mm nateseka kwakweri Allah atufanyiewepesi kwahurumawake. Kwani ss hatuwexi Allah yeye anawexa kwakilakitu yarabi tuondoshee maladhi makubwana madogo. Amyn
Wape hope kwamba ikiwa watagundulika mapema kua wana izo shida nyny km madaktar munao uwezo wa kuwasaidia wakopona au munataka waje wapime alafu wafe kwa presha ?
Allah atulinde na haya maladhi mm nateseka kwakweri Allah atufanyiewepesi kwahurumawake. Kwani ss hatuwexi Allah yeye anawexa kwakilakitu yarabi tuondoshee maladhi makubwana madogo. Amyn
Mashallah
Dr Mwajuma daktari bingwa kabisa! Allah azidi kukuongoza kusaidia wanawake kwa style ya huduma bora! Keep up the good work sisy
MashaAllah sister we love you
Hongera classmate
Wow
Wape hope kwamba ikiwa watagundulika mapema kua wana izo shida nyny km madaktar munao uwezo wa kuwasaidia wakopona au munataka waje wapime alafu wafe kwa presha ?
Nataka kujua garama ya kipimo na muhimbili upande upi
Mungu ni mkubwa. Tunaomba mtuletee na kipimo cha LUPUS
Ni kweli kabisa ni ugonjwa usiotambulika katika jamii
Ni kiasi gani kupima hicho kipimo
Tafadhali fika Muhimbili (Upanga) kujua taratibu na gharama za kipimo karibu sana