Jino La Pembe Si Dawa Ya Pengo by Jaffar Bai

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 138

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 років тому +18

    Hizo pesa kama mungezichanga halafu mukazipeleka hospital kuwasaidia watoto vyakula ingekua jambo la kheri mbele ya Allah lkn leo ni msiba mzito Allah atustiri na atusameh makosa yetu awasameh na wazazi wetu waliokwisha tangulia mbele yakki na waislamu wote kwa ujumla dunia nzima amiiiin yaarabbal aalamiyn

  • @alikhamic5983
    @alikhamic5983 5 років тому +17

    Nyenye wanawake baazi yenu munapenda kuwapa sapota waseke basi tafuteni majibu mazuri sikuyasiku

  • @ashuahmed8625
    @ashuahmed8625 5 років тому +13

    subhanallah..ndio tukaambiwa wanawake motoni mutakuwa wengi..kuleni raha ya dunia..mwisho mutarudi kwa aliewaumba...hamuna haya kabisa..

  • @khamisjuma6175
    @khamisjuma6175 5 років тому +50

    Allah atunusuru na zama hizi za mwisho. Leo tuna furaha pamoja lkn pia tukumbuke kuna cku 2talia na hakuna wa kutunusuru. Kwanza binaadam yafaa tuyakumbuke mauti na tulichokiandaa mbele ya Allah. Tukumbuke pia ktk maziko mangapi ya wenzetu tushahudhuria, na sisi tumo njiani.

    • @khamisjuma4691
      @khamisjuma4691 5 років тому

      Wajina.message from USA. Mungu.atusai.die

    • @khamisjuma6175
      @khamisjuma6175 5 років тому

      @@khamisjuma4691 amin

    • @khamisjuma4691
      @khamisjuma4691 5 років тому

      @@khamisjuma6175 tuko.viwaja.tunatafuta.maisha. my.brother

    • @khamisjuma6175
      @khamisjuma6175 5 років тому

      @@khamisjuma4691 Allah akufanyieni wepesi mupate kufanikiwa. Cc bado tupo huku.

    • @mamafatuma138
      @mamafatuma138 5 років тому

      Ameen thuma Ameen

  • @habibasaleh1934
    @habibasaleh1934 4 роки тому +11

    Dunia imeisha yarabi tusamehe madhambi yetu

  • @ahmadjuma3816
    @ahmadjuma3816 5 років тому +5

    Kwa hakika mali na watoto ni mtihani leo hii wake zetu wapo mbele kutunza hela kwa mambo ya duniya ilhali ni pumbazo tu ,yaani mtu huyo huyo ukimuomba 1000 upate chakula anakwambia hana, duh dunia tumeikumbatia sanaa wkt akhera ndio makaazi ya kudumu tumuombe mola mwisho mwema

  • @aboumaburaramadhan4188
    @aboumaburaramadhan4188 5 років тому +4

    Subhanalha. Mungu atujaalie mwisho mwema ila mtihani. Bilisi kisawamwagia kojo lake hawajitambuwi

  • @mohamedabdallahmasuud3992
    @mohamedabdallahmasuud3992 5 років тому +43

    Subhana Allah wote hao ni waislam subhana Allah uma wa kipenzi cha uma mohamed leo umekua mbele kwa machafu onyo basi musisahau akhera kwa upepo wa duniya

    • @jumasalim7416
      @jumasalim7416 5 років тому +8

      Allah awanusuru mamazetu na dada zetu stara hamna wengine bibi za watu hapo waume tuko wapi wamruhusu vip mkeo kufika sehem izi akiwa hali hii Allah tunusuru mitihani hii

    • @mamafatuma138
      @mamafatuma138 5 років тому +1

      Ameen thuma Ameen

    • @sabrinasayd7947
      @sabrinasayd7947 5 років тому +5

      Na mtazamaji pia

    • @saidhamisi2795
      @saidhamisi2795 4 роки тому

      @@sabrinasayd7947 watazamaji twawaombea dua hawa wabadilike kwa maana mungu alisema yeye habadilishi mtu mpka mwenyewe ubadilike

    • @ahmarkaaby2581
      @ahmarkaaby2581 4 роки тому

      Angekuepo kipenzi chetu leo hii angekufa kwa kilio

  • @rashidsalim3801
    @rashidsalim3801 5 років тому +4

    Ishini mutakavyoishi lakini mujue kuna kufa na safari ya huko inataka zawadi ivo basi tumuogopeni Allah

  • @user-mb2ob6kg8z
    @user-mb2ob6kg8z 5 років тому +7

    turudini kwa allah subhana wataala kwani haki imeenea kila mahali

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 4 роки тому +3

    AHSANTE SANA SHETANI KWELI MOTO UMEPATA KUNI. HAKIKA KWA MUNGU KUNA HESABABU!! WAISLAAM HII HATARI.

  • @kweliumesemailanaowangetul1933
    @kweliumesemailanaowangetul1933 5 років тому +8

    Mambo Moto mmetisha wazanzibar

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 4 роки тому +9

    *Hata hawaogopi jee itokee mtetemeko wa ardhi hapo walipo? Mungu atuongoze!* 😦

  • @mubajeff5619
    @mubajeff5619 5 років тому +8

    Mungu tunusuru na vizazi vyetu hali inatisha

  • @hawaadam7889
    @hawaadam7889 5 років тому +2

    Mnaokometi mnalaani nanyinyi niwanafiki kwanini mnaangalia haifai kuangalia pia fyuuuuuuuu

  • @Salhiya-vm1ts
    @Salhiya-vm1ts 5 років тому +7

    Zote laaaaan hiz looooooh subbhanaallah

  • @masoudmohamed2230
    @masoudmohamed2230 4 роки тому

    Kwa kweli, harusi zote za waislamu no hiwo,kama ya wale sio waislamu. Hakuna baraka.

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 років тому +1

    Kumbe ndani holi kuna kua ivi mke wangu bas ruhusa za holi nimezifuta .....

    • @nasraabdi1529
      @nasraabdi1529 4 роки тому

      Ufirauni M mungu atulindie vizazi vyetu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 роки тому

    ummati wa Muhhamadi
    saw
    dahhhh n mtihan sana
    sasa hawa wanatofautiana nn na manaswara!

  • @zaitunikweka979
    @zaitunikweka979 5 років тому +5

    Duh adi wazanzibar wamepotea ivi kha subhana llah jaman

  • @aaahahahaha2171
    @aaahahahaha2171 5 років тому +5

    nyimbo hii ya nikumbusha zuhura swalehe Mombasa Marshall

    • @greatiq7835
      @greatiq7835 3 роки тому

      Ndo mmiliki halali wa nyimbo hiyo. Hatimiliki "hakuwapo" wakati ameimba nyimbo zake.

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 10 місяців тому

    Halohalohalohalooooooo😂😂😂😂 kungoa jino s dawa ya pengo

  • @aliymaulid8941
    @aliymaulid8941 5 років тому +1

    kama munapenda makhaniis na kuwaunga mkono bac pendeni na waume zenu na watoto wenu wawe makhaniis

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 4 роки тому +2

    Allaahu akbar yaarabiy tuongowe wajawako

  • @hajimakame3407
    @hajimakame3407 5 років тому +1

    Waoo mambo ya Zanzibar hayooo nimemiss sana jaman

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 років тому +9

    Naona mijuso tu. Kila unaemuangalia juso limemshushupaa. Hv wanawake wanakua lini? Mana wanayoyafanya hapo ni tofauti na umr wao🤔

    • @zawadtwahirusuleiman6008
      @zawadtwahirusuleiman6008 4 роки тому

      Huyo muimbaji mwenyewe kama mwanamke wapo wakina amigo wanaimba lkn wana sauti za kiume

  • @faridaalmaawaly955
    @faridaalmaawaly955 5 років тому +3

    Mungu akuhidini wazanzibari

  • @samyasalim4128
    @samyasalim4128 4 роки тому +1

    Toba toba. Toba ombeni tiba mama zangu ndugu zangu

  • @chottydulhan4895
    @chottydulhan4895 4 роки тому

    Haaaa huu uchafuu ety tena wanafurahii jamaniii tunapoteaaaaaaaaaa

  • @tumtumkhan3115
    @tumtumkhan3115 5 років тому +3

    ALLAH atunusuru maana ni musiba huu.

  • @najjykerry9058
    @najjykerry9058 5 років тому +9

    Inna lilah waina ilayh rajiun

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 років тому +2

    Allah anasema na mnacheka wala hamlii

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 3 роки тому

    Hii ilifaa hairecord studio.noma sana

  • @arifabdulkadirahmed93
    @arifabdulkadirahmed93 9 місяців тому

    Allah atustiri na vizazi vijjavo,na awaongoze walo potea

  • @husnanyundo4945
    @husnanyundo4945 2 роки тому

    Innalilah wa lnnalilah yarabi tupe mwisho mwema

  • @ednagodson7540
    @ednagodson7540 3 роки тому

    Mjitahidi kutunza elfu 5 n 10 wangazija wangu sio bukubuku

  • @luqmanmwinyi7953
    @luqmanmwinyi7953 5 років тому +1

    Me sina mingi ya kusema kila alowepo apo mtu mzm na akili zake.. Je vipi awo watoto

  • @salumseif1005
    @salumseif1005 4 роки тому +1

    Mashangingi yamekamilika ni shida

  • @saadabdulrahman9041
    @saadabdulrahman9041 5 років тому +2

    Wow! Umetishaaaaaa

  • @suluhiya
    @suluhiya 5 років тому +1

    Zuhura Swaleh kazaliwa Pumwani....Jino la Pembe

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 4 роки тому

    Leteni Leten rahaaaaaaaa

  • @rehimatanzania4337
    @rehimatanzania4337 4 роки тому +1

    Wewe upo sawa

  • @zawadihamisi9585
    @zawadihamisi9585 4 роки тому +1

    Mmmmmmh yarabi Allah atunusuru

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 3 роки тому

    Noma sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 років тому +4

    Over 30yrs song. It reminds me home...Zanzibar!

  • @nabilyussuf4058
    @nabilyussuf4058 5 років тому +1

    Tenaaaa jino la pembe sii dawa ya pengo lakoo hilooo

  • @muhammadmochenje1409
    @muhammadmochenje1409 5 років тому

    Ulanisi na udayuthi eti hawa ni wake za watu mbele ya mwanamume asokuwa maharimu yao,ndio maana harusi zao zikawa hazidumu,ukorofi mtupu

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 років тому

    Tukumbukeni kwamba mauti yapo tena yapo tusijisahau jamani asilimia kubwa ya waliokuwepo hapa wote ni waislamu ummati Muhammad

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 4 роки тому

    *Wanawake na wanaume wa motoni hao ndio ibada yao hio*

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 5 років тому +1

    Tupo 2019 bado ujinga na upumbavu Zanzibar unakuwa kwa kasi ya ajabu. Mungu akuhidini. Nilikuwa najivunia kuwa Mzanzibari lakini wajinga na wapumbavu wa aina hii ndio wananifanya niskie aibu. Mtastaarabika lini lakini? 😭😭😭

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697 5 років тому +2

      Nurse for life Wacha Unafiki huo Nchi gani Ambayo haina Maovu Saudia Juzi kumefunguliwa Bar haimaanishi co mji mzuri kemea Baya unaloliona Usihusishe nchi ikiwa ni kijana wa nchi nyengine sema tu

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 5 років тому

      @@jumafaki1697 Saudia unajua wewe tu kuwa hakuna uovu but me naijua kuwa kumejaa maovu. But Zanzibar ninayoijua mimi kila siku inazidi maovu na ndio maana daima tutaendelea kuwa chini ya madhalim. Hata ukichukia ukweli ndio huo. Allah anasema "Umedhihiri ufisadi katika bahari na nchi kavu, kutokana na yale yaliyochumwa na mikono ya watu". Huu uovu kama huu ndio sababu ya kudidimia Zanzibar na kuendelea kufanywa koloni. Kama unadhani inakuuma peke yako Zanzibar, basi kwa taarifa tu mimi ni mpemba fyoko mpaka babu yangu wa 10😀😀😀

    • @kibalabibisha6778
      @kibalabibisha6778 3 роки тому +2

      Mimi si mzanzibar Wala mpemba Mimi ni Mmambasa lakini nikukaa tukiombeana mngu atuepushe na maovu na mabaya mengineo .huu siwakati. Wakulaumiana ni kuomba rabbi salama nduguzangu 🙏🇰🇪kutoka 001county mambasa

  • @asfarsham9037
    @asfarsham9037 4 роки тому

    Najiuliza tu.katika hao wanofurahia mmoja wao akiwa na mtoto au ndugu mwenye mtihani kama huu atamsapoti pia? Nimo katika kujifunza

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava 5 років тому

    Ilishatabiriwa sisi yetu nikuona na kushuhudia alafu wana sema ushoga uishe wakati wanawake ndio huwaficha na kuwapa wajiamini hawa makafiri imeandikwa watajaa kama utitiri

  • @ommyhoommyho3265
    @ommyhoommyho3265 5 років тому +1

    Mungu.awaongoze

  • @BabuNL
    @BabuNL 5 років тому +1

    Ali kaka kama unazo nyimbo za sadiq taarab weka please

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому

    Watoto wa kingazija hao . Ukhanith na usagaji na umalaya.wanaiharibu Zanzibar

  • @rahilhamidu9932
    @rahilhamidu9932 4 роки тому

    Ya allah tuhurumie sote ummat Muhammad

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 5 років тому +1

    Hawao watoto mnafundisha nini hapo mambo yenu msiweke watoto

  • @blacksimba6967
    @blacksimba6967 5 років тому

    Wanawaka hao... Wote ni wahuni

  • @mfalmemwinyi9474
    @mfalmemwinyi9474 5 років тому

    Ali Samaki tuwekee shangingi katimuliwa rmx ya jaffar kaimba znz one

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 років тому

    Kumbe mekap ni dili sana Zanzibar nafungua duka sasa

  • @user-mb2ob6kg8z
    @user-mb2ob6kg8z 5 років тому +1

    hapo sio tanga raha kweli

  • @ysherahmad652
    @ysherahmad652 5 років тому

    Zanzibar mojaa hhh pambe

  • @Alankarrecordingstudiopanwari
    @Alankarrecordingstudiopanwari 2 роки тому +1

    beautiful song and dance

  • @shufaaattass1920
    @shufaaattass1920 5 років тому +3

    Washamba mijuso mikubwa kama wamziriwa hata kukatika hawajui

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 років тому +1

    Furaha yao nihio waznz taarabu

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 років тому +2

    apo ni udi tu sio jasho la sigara😍😍

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +3

    Jino la Pembe si dawa ya Pengo.

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 4 роки тому

    😂😂😂😂😂Mthn huu

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 роки тому

    Home sweet home!

  • @abdallamohd1937
    @abdallamohd1937 5 років тому +2

    Wasagaj mnae shoga yenu

  • @saidsoud5967
    @saidsoud5967 5 років тому

    Jaffar kumbe ni hanithi

  • @Chemba67
    @Chemba67 5 років тому +2

    Visiwani mnatuangusha nyonga hakuna misuli imekaza kama nini bwana 🙄🙄

    • @jenijeni9785
      @jenijeni9785 4 роки тому

      Taarabu za pwani hazina haja kiuno,hizo ni za kwenu sijui roshan roho

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 5 років тому +1

    Hatari na nusu

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 років тому

    Wapi nduruuu za Jino la pembeee, Zilipendwa.

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 років тому

    Duh apo sasa palikua peupeeeeeee

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava 5 років тому

    Ndio maana siku hizi wanaume wanaambiwa wasiwepo ili uhuni wao waufiche

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 роки тому +1

    Namtafuta Mau zindi
    Je yuumo ?

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 років тому +1

    tenaàaaaaaaaa

  • @MaxSaidTrainer
    @MaxSaidTrainer 4 роки тому +1

    Haikua bamba itakua kuti.

  • @swalehelshabiby5915
    @swalehelshabiby5915 4 роки тому

    Subhannallah

  • @makamevuai6132
    @makamevuai6132 5 років тому +1

    KUFIKA HUFIKI UNGAKWENDA MBIO.

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 роки тому

    Subhanallah inamaana hii ni Pemba

  • @ysm200
    @ysm200 4 роки тому

    ❤❤❤❤

    • @biabumohamed1864
      @biabumohamed1864 3 роки тому

      Jamaniii kuna watu humu full mawaidha kwani inakuaje kuingia wakachoose wakaangalia akaa punguzeni mashke

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 5 років тому

    Sante

  • @missiffa4636
    @missiffa4636 5 років тому +1

    ♥️

  • @swalehelshabiby5915
    @swalehelshabiby5915 4 роки тому

    Kina nani hao🤣🤣

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 роки тому

      Kito Mussa na genge lake hahaha

  • @احمدالكندي-و6و
    @احمدالكندي-و6و 5 років тому +1

    الله يهديكن

  • @omanmuscat3461
    @omanmuscat3461 5 років тому

    Na iyo plz nitumie

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 5 років тому +3

    Astaghfir LLAH.

    • @kingnassor9438
      @kingnassor9438 5 років тому

      How you can astaghfiru-Allah and at the same time you watching 😡

  • @MwinyihajiMwijaa
    @MwinyihajiMwijaa 4 місяці тому

    Poa

  • @honeymakeovertzmakeupartis3451
    @honeymakeovertzmakeupartis3451 4 роки тому +1

    Ukisoma koment nying kila mtu humu inaonekana hapend furaha ya mwenzake.....achen kama mtu anatenda dhambi atajibu mwenyew na we utajbu zako mwenyewe.....ucjfanye kumjua mungu kama unampikia chai....tulza mdomo .....ww unaeshnda unaswali wenda ndo unamaovu kibao ila wengne wamesitirika acheni kuwahukumu watu ...waja hamna jema...mtu avae uchi mtaongea ajistiri napomtaongea lipi jema????😏😏😏😏😏😏chefuuuuuu

  • @samyasalim4128
    @samyasalim4128 4 роки тому

    Sorry toba toba

  • @danisavosa3851
    @danisavosa3851 5 років тому

    Msichanganyike basi

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 5 років тому

    Hatari na nusu