KIJIWENI: Profesa Abdul Sheriff na Kuporomoka Beit al Ajaib

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kuporomoka kwa jengo maarufu la Beit Al Ajaib (Jumba la Maajabu) mjini Zanzibar kumewasikitisha watu wengi ndani na nje ya nchi ambao wanaijuwa thamani na nafasi ya jengo hilo kwenye utambulisho na tareikh ya Zanzibar. Mwanahistoria Profesa Abdul Sheriff anaungana nami kwenye Gumzo la maombolezo ya msiba huu kwa historia yetu.

КОМЕНТАРІ • 102

  • @rahmarashid1670
    @rahmarashid1670 3 роки тому +5

    Inasikitisha sana kuanguka kwa jengo hilo limenitoa machozi tulipokuwa watoto ilikuwa ni pahala petu nikipita kila mara na kuliona mbele yetu na shukran Profesor kwa kutupa history ya jengo hilo zanzibar imeondokewa na kitu kikubwa

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +5

    Shukran za dhati zikufikie wewe Ndugu yetu M.G. kwa kutuletea program mbali mbali za nyumbani. Allah akuzidishie kheri na akupe nguvu

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 роки тому +4

    Ndugu zetu wa dam bara wa (Tanu) wamefrahi sana kuendelea kuporomokoka kwa kumbukumbu za jumba la (Beit la Ajab) lililokua na mwanga wa taa za stima kabla ya Tanganyika.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +5

    Poleni sana ndugu zetu. Mungu awape wepesi. Architects wairudishe ktk muonekano ule ule inawezekana. Lilikuwa kivutio na hifadhi ya historia Zanzibar.

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +7

    Wakati umefika wa historia yetu ya kweli kufufuliwa nakufundishwa kuanzia Chekechea hadi secondary. Na kama anavosema pr. Sharifu. Tuwashirikishe watoto ktk practical learning or Visual lerning. Wakiona historia nakutembelea maeneo mbali mbali ya historia hivo ndio tunaendeleza historia yetu.

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +6

    Waingereza ni Mafusadi sana dhidi ya Uislamu na culture yetu. Tizama walivoiuza Pakestine kwa Mayahudi, Tizama nchi waluzotawala hawakuacha hata Infrustructure moja nzuri labda kuharibu. Ni tifauti na Wafansa. France wametawala Algeriet na Morocco wamexijenga Nchi hizi kama walivojenga Ufaransa. MUINGEREZA UKOLONI WAKE NI WA KIHASIDI KAMA WAKOLONI TABGANYIKA

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому +2

      Hawana tofauti, roho inaniuma Leo kujua kua wameuwa wazanzibari 500 kwa mabomu kwenye hiyo vita na barghash.. alaf unakuta bado mtu anawachukia waarabu wakat utumwa ulikuepo tangu enzi za mitume tena dunia nzima... hao wamarekani weusi hawajiulizi wamefikaje huko kama si utumwa.. selfe kabisa

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 роки тому +1

      @@misscoast3174 watanganyika wanawachukia sana waarabu kwasababu ya uislamu Kwa mfano William lukuvi aliposema Zanzibar tukiwacha ijitawale wenyewe wataanzisha dola ya kiislamu Kwa sababu asilimia kubwa ya Zanzibar ni waislam Kwa Hivyo waarabu watarudi . Lakini cha kushangaza haohao waarabu wanaenda Tanganyika Na kuwasaidia cha ajabu mbona hawakukataa misaada .Wana chuki tu Na waarabu lakini hawana lolote maana kama wangelikuwa wanajiamini wangelikataa misaada yao

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому

      @@rastafare878 ndio mtu mwenye roho mbaya alivo chuki cha kipumbavu

  • @lorenzosavioli9023
    @lorenzosavioli9023 3 роки тому +5

    Ahsante sana. InshAllah tuombe kama sasa wazanzibari watafahamu kama muhimu kuhifadhi historia ya Zanzibar kabla kupotea killa kitu. InshAllah.

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 3 роки тому +1

    Hasbiya Allah wani'mal wakiil Mwenye Enzi Mungu awa rudishie hii dhulma walio ifanya hapa hapa duniani na kesho akhera. Allahumma ameen yaarab

  • @hayatiahmed6081
    @hayatiahmed6081 3 роки тому +5

    Mimi niko kwa museum society of Malindi Kenya kwa miaka kadha pia ni archaeologists its my ni mwanamke peke mbae niko kwa hiyo field alhamdilah, nishashirikiana na mhadhiri wa Dar alikuja Kenya tukafanya kazi pamoja kwa hiyo habari ya baitul ajaib imeniskitisha sana hata nashangaa huyo minister of tourism afanya kazi gani? Ndio kivutio kikubwa cha tourist si haki jamani, amkeni wa zanzibari fanyeni vikao na wahusika wa serikali inshalah waelewe umuhimu wa historia au zanzibar itamalizika na nimaskitiko makubwa kwa vizazi vijazo pia....

    • @imsimk.khamis574
      @imsimk.khamis574 3 роки тому +1

      Nikweli maneno yako. Lkn pia hongera sana kwakusoma Acheology ni somo zuri na ww mwanamke ndio limezidisha ubora wake. Mimi napenda sana historia na tuna achelohical historic place in Pemba ya itwa Magofu ya Percian Mkumbuu lkn majengo yanachukuliwa na maji

    • @imsimk.khamis574
      @imsimk.khamis574 3 роки тому +1

      Mohamed huwezi kuacha majengo ya mji mkongwe kuporomoka. Tusisikilize propagander za wanaotutawala sasaivi. Wao hawana historia yoyote ya maana baada yakungangania Muungano na Utanzania. Hakuna nchi hata moja inayotupa historia yake. WAINGEREZA WALITAWALA MAREKANI NAKUPIGANA LKN HISTORIA YAO IKO. TUTIZAME CAIRO JINSI WSNAVOTHAMINI HISTORIA. GADAFI ALIACHA ROMAN RUING ITUNZWE NA IHIFADHIWE HADI DUNIA IMALIZE

    • @imsimk.khamis574
      @imsimk.khamis574 3 роки тому +1

      Waingereza walitawaliwa na Viking na waliuliwa sana lkn sehemu zote Viking au Anglo Suxcon walizoacha dosari kumefanyiwa Archiological develepment nakutunza historia hizo. Kwanini cc tubugie chuki za watu wasio penda uwepo wetu Wazanzibari.Zito

    • @hayatiahmed6081
      @hayatiahmed6081 3 роки тому +1

      @@imsimk.khamis574, yaskitisha sana hizo ni turathi za miji, labda mujaribu kuwaandikia barua British Council through Google waweza kupata contact zao uelezee vizuri kuhusu hao majengo na video zake waone pia huwa zipo kwa World Heritage contact manake kuna ma specialist ndio wafanyao ukarabati under museums ili zionekane vilevile kizamani hazifai kujengwa au kurekebishwa tu namafundi inshalah mohammed awasaidie...

    • @BigBoss-jk6fk
      @BigBoss-jk6fk 3 роки тому +1

      Walipewa walirekebishe jengo hilo 7 milioni USD.. kutoka Oman zimeliwa na mazombi kupiga pombe na kulisha ugali vibwengo vyao

  • @mohamedgomangilo2209
    @mohamedgomangilo2209 3 роки тому +6

    Hio ni history wote kwa pamoja tuiombe serekali ilirudishe

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 3 роки тому +8

    Hapo kitaporimoka kila kitu kwa dhulma zinazo endeleya kila uchao

  • @BigBoss-jk6fk
    @BigBoss-jk6fk 3 роки тому +2

    Wamewatapeli wa Omani milioni 7 USD kulifanyia ukarabati jengo hilo miaka mingi hawakufanya lolote mpaka limeporomoka aibu tupu ccm.

  • @masoudmohamed4763
    @masoudmohamed4763 3 роки тому +7

    Misri wanafirauni na mapiramid na sisi tuna beit ajaibu misri waguse firauni wao na piramid zao. Wao wajua thamani yao sisi hatujui thamani yake

  • @hirymwanze7094
    @hirymwanze7094 3 роки тому

    Hi , my dearest & Wazalendro Wa Zanzibar , nikitu Shakushtuka saana kuona BEIT ALJAIB vile linaporomoka nasisi tuko hayi hatuwezi kufagna chochote kwauwezo wetu au kwakujihissi powerless , serekali Zanzibar fuguweni masho tuhifadhi Utamaduni wetu !!!!!!!

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri 3 роки тому +5

    Kipindi ni kizur sana na nawasifia 100% ila mara nyengine sala kwanza. Maana kipindi kimeanza andhana mpaka watu wamemaliza kusali

    • @BigBoss-jk6fk
      @BigBoss-jk6fk 3 роки тому

      Itakua mzee amenda ku sali na amerudi tena.ukitizama vizuri utaona stop cut na position ime change

  • @Crystalmocha
    @Crystalmocha 3 роки тому

    Linatuliza wazanzibar sote history yetu landmark 😭😭😭

  • @vijasa1124
    @vijasa1124 3 роки тому

    Ahsante baba yetu kwa historia ndani yako na sauti ya hekma n mvuto kwa apitae akusikize

  • @sulimanmasoud9337
    @sulimanmasoud9337 3 роки тому +2

    Kwani hkumsiki marhu shekh Iluga akitwbia serkli imeundwa fumo Christo hao hwachuki warabu bali agenda ya mfumo christo ana jificha nyuma ya mwarabu na mtmwa .miskilize Mruhm kwa uzuri utaelewa kwnini warabu ndio mkogojo yakupeleka mble fumo wa agenda ilokusudiwa
    .Wamakara wakaraLLahu.

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому +4

    Babaangu aliniambia mflame saidi baraghash aliandika qur ani nzima kuandika hiyosehem anosema professor sharifu

  • @assadshaaban8758
    @assadshaaban8758 3 роки тому +2

    Nafikiri sitokosea kusema kilichoanguka ni nyumba ya kumbukumbu ya ASP, Beit al ajaib itadumu milele pamoja na zanzibar yake na waja wema InshaAllah,

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 3 роки тому

      Nafikiri bangi imekukolea

  • @alimsabah4921
    @alimsabah4921 3 роки тому +4

    Mtu ukitaka umtawale mharibie na mchafulie historia yake

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому +2

      Wamefanikiwa na tukiendelea kukubali ndio kabisa tutazid kupotea

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +7

    Wakati umefika kuufanya mji mkongwe katika hadhi yake ya Asili. Hivi vinyago vya Kimasai kutoka Bara au mapembe za Nyati na vitu vya Kimasai haiendani na historia ya zanzibar hata kidogo. Najuwa kuna watu wataona labda nawachukia watu wa Bara. Lkn sio hivo, huo ndio ukweli jamani.

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому

      Uko sahih kabisa wanaivuruga history ya zanzibar

    • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
      @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 роки тому

      ua-cam.com/video/VANVfe_H4MU/v-deo.html

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 роки тому

      Mrudishe sultan bas atawale, naona wajukuu wa sultan mnalazmisha Zanzibar iwe na mwonekano wa kiarab, mnajsahaulisha kuwa mlikaribishwa na wenyej asilia weus

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому

      @@ladislausngoyinde4384 Kuna weusi wa zanzibar na weusi wa bara ww unaongelea weusi wepi???

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 роки тому

      @@misscoast3174 sibishani na masalia

  • @abdulkassam6039
    @abdulkassam6039 3 роки тому

    The same corruption issues happened with Forodhani gardens and sooner or later it would be damaged,

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 3 роки тому +8

    Kuwachukia waarabu ni kuwaonea tu waengereza ndo waliokua wabaya wameuwa wazanzibari 500 ndani ya dakika 45.. dah sjui tumerongwa na nani sie hizi chuki kwa waarabu maskin

    • @kebo2155
      @kebo2155 3 роки тому +1

      Waarabu walileta biashara ya utumwa... Na Hilo halisameheki... Mola ndiye atakaye hukumu...

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому +2

      Uyo mwarabu si tulienda kumchukua wenyewe tena leo kawa mshenzi kuliko wote😂

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому

      @@kebo2155 biashara ya utumwa ilikuepo dunia nzima

    • @kebo2155
      @kebo2155 3 роки тому +1

      @@misscoast3174 tunaongelea waarabu wa Zanzibar ambao walileta biashara ya utumwa Zanzibar... Na wewe Miss Kokolo Unaweza kuwa umetoka kwenye kizazi cha watumwa... Wacha kutetea ujinga...

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 3 роки тому

      @@kebo2155 kwaiyo kuwachukia kunaleta faida gani? Na wazungu je pia unawachukia?

  • @amirisuleiman7683
    @amirisuleiman7683 2 роки тому

    Serekali yetu unatumia huzuni kwa kulipa huli jengo

  • @lourencegonsalves7945
    @lourencegonsalves7945 3 роки тому +1

    Najaribu kutafuta sababu ya kuporomoka kwa jengo ambayo siyo uzembe wa kiufundi.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 роки тому

      Ni uzembe wa KIUFUNDI ilikuwa siyo kazi yao. ...HAWAJUWI HIYO KAZI INATAKA MA Engineer wa kutosha...

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 3 роки тому +1

    Mi naona kama ni masiba bac kaeni matanga ikifuatia 40.

  • @gojvon116
    @gojvon116 3 роки тому

    Nafikiri sio miaka 127 nafikiri umekosea sheikh ni 2020 - 1883 ni 137

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 роки тому

    Wanafik nyote mbona toka mara ya mwanzo mlikuwa wapi kujadili kama hivo. Nyote zarau kweli wabahili na hamujali wala hamujuwi vitu muhimu vya kuvitunza porojo ndio lenu ndio ile mgonjwa akiwa kitandani hamupiti wala msaada hamumpi -munasubiri afe ndio mujilize kinafiki na kugawana mali . Mana na humo ndani baazi ya vitu muhimu watachukuwa wakauze na wengine wakapambe katika majumba yao

  • @jumayusuf1694
    @jumayusuf1694 3 роки тому +2

    Utukufu? Kuna madrasa kibao na misikiti kibao inahitaji msaada watu hawana juzuu na misahafu ila hatujaita msiba ila kuanguka kwa jumba Kila mtu kataharuki

  • @salumazizi9173
    @salumazizi9173 3 роки тому

    I8uk

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 3 роки тому

    Hawa wasenge hawapendi kuongea ukwel kuhusu maovu waliyofanya, sjui walijua hayatakuja kujulikana! Eti sku hiz sultan wanamwita mfalme, hahaha ni kichekesho

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 3 роки тому

      Sultan, ni Kiarabu, Mfalme ni kiswahili, na King kizungu, Sasa uchekwe wewe.

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 роки тому

      @@oopsm3574 utawadanganya wapumbav sio mimi