Reportyaleo RICHARD VOL 04

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • Maisha ni safari ndefu sana ,kijana Richard baada kuhitimu masomo yake ya chuo kikuu alikuwa na ndoto ya kuja kufanikiwa sana katika maisha yake lakini safari yake ya mafanikio inakuja kukutana na changamoto nzito kwenye maisha yake........

КОМЕНТАРІ • 37

  • @josephgregory9843
    @josephgregory9843 4 роки тому +7

    Simulizi nzuri sana ambayo inatoa fundisho kwa vijana wenzangu ambao tunakua bize sana na mambo ya dunia ila tunashindwa kumpa mungu nafasi

  • @JoycePeter-z6k
    @JoycePeter-z6k 9 місяців тому +3

    Maombi ya mama hayawezi kwenda bure Mungu lazima afanye jambo kupitia maombi hayo.
    Unajua tunapoomba tunajiwekea ulinzi na akiba ya baadae nyakati ambazo huwezi kuomba kwani silaha hutengenezwa wakati wa amani. Mungu ni wa sisi sote.
    YESU KRISTO ni zaidi ya uchawi na majini🦾

  • @fredyjohnwaifakaratanzania29
    @fredyjohnwaifakaratanzania29 4 роки тому +4

    Nzuri sana sana..... NAJIFUNZA KUPITIA SIMULIZI HII. HAKIKA MUNGU YUPO TUNAPASWA KUMTUMIKIA NAKUMPA SIFA TELE.... AAAAMIN

  • @reginacharles1502
    @reginacharles1502 4 роки тому +3

    Jamani mungu anatulindaa asante yesu wa nazareti asanteee 🙏🙏🙏🙏

  • @stanleykyando7632
    @stanleykyando7632 4 роки тому +1

    Mungu ailinde efm na Vero pia mtie nguvu

  • @ibrahimkawina8100
    @ibrahimkawina8100 3 роки тому

    Nakubali dada najifunza na kuenjoy

  • @josephgregory9843
    @josephgregory9843 4 роки тому +2

    No.3 leo 🤗👏👏

  • @ayshajumaa7310
    @ayshajumaa7310 4 роки тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤Allah azidi kukupa uzimaa daadaaa tuzidi kuskiaa mengii

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 роки тому

    Dada Veronica asante sana kwa simuliz zenye mafunzo makubwa mungu azid kukupa afya njema na maisha marefu..!

  • @seciliaalphonce2808
    @seciliaalphonce2808 4 роки тому

    Nakubali sana dada vero stor zako ttupie na tano5 dada ake

  • @vumi8371
    @vumi8371 Рік тому

    Kitendo gani dada huyu ni joke dada 😂 😂 😂 😂

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 3 роки тому

    Duuuuuuh mungu wangu 😥😥😥😥😥😥😥😥pole sana Richard

  • @samsalum4988
    @samsalum4988 4 роки тому +1

    No.1

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 роки тому

    Waaa i am speechless 😶

  • @mubarakgajjali9003
    @mubarakgajjali9003 3 роки тому +1

    yaan mng atulinde sana na mambo ya duniya 🙆‍♂️😭😭

  • @nippermshana9260
    @nippermshana9260 4 роки тому

    Nzuri sana

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 роки тому

    Mungu akubarikii sana 💞💞+254

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 4 роки тому

    Mbona haurush no 5

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 4 роки тому

    Morogoro mmetutesa sana wiki hii efm hakuna tabu tu

  • @mubarakgajjali9003
    @mubarakgajjali9003 3 роки тому

    jmn tunapita chagamoto sana 🙆‍♂️😭😭

  • @asedybandamunguamlazemahal4148
    @asedybandamunguamlazemahal4148 3 роки тому

    Dunia hii inatupasa kumjua mungu

  • @Steve-dg8gl
    @Steve-dg8gl 4 роки тому

    Dada vero ya leo iko wap

  • @lordrichreuben1446
    @lordrichreuben1446 4 роки тому

    Duuh nmeipenda simulizi mpaka watu wanasema nina dharau coz fahamu zangu zote ziko kwenye simulizi noma sana tuwekee namba 5 veronicafrenk

  • @josephgregory9843
    @josephgregory9843 4 роки тому

    Leo umechelewa sana ku upload

  • @naanely2247
    @naanely2247 4 роки тому +1

    Duh kuna mambo duniani

  • @mubarakgajjali9003
    @mubarakgajjali9003 3 роки тому

    🙆‍♂️🙆‍♂️😭😭duuh jmn

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому

    Eeeeeeh 🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @reginacharles1502
    @reginacharles1502 4 роки тому

    Nahisi huyo dada ni jini

  • @tumainikessy6936
    @tumainikessy6936 4 роки тому

    SIMULIZI HI INATUFUNDISHA SANA TUSITHARAU TUSICHO KIJUA