#BREAKING

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2022
  • #BREAKING: AJALI MBAYA! LORI LAGONGA MAGARI 4 MWANZA, WATU KADHAA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA....
    Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maishakatika ajali mbaya ya barabarani, iliyoyahusisha takribani magari saba, tukio lililotokea asubuhi ya leo katika eneo la Nyakato jijini Mwanza.
    Taarifa za awali, zinaeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo, ni lori lililokuwa limebeba matofali likitokea upande wa Igoma, kupata hitilafu katika mfumo wa breki na ambapo baada ya kufika katika eneo la taa za barabarani za Nyakato Sokoni, lilianza kuyagonga magari yaliyokuwa yanasubiri taa za barabarani ziruhusu.
    Taarifa kamili zitakujia hivi punde!
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 17

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @pamelaatieno2802
    @pamelaatieno2802 Рік тому +11

    My God what's wrong with our neighbors from Tanzania? kila kukicha ni mauti, Mungu wangu kumbuka rehema zako, nchini Tanzania poleni Sana majirani zetu.

  • @cassianusbarongo606
    @cassianusbarongo606 Рік тому +4

    Polen sana Kwa wale wotee waliopatwa na ajali😭🙏🙏

  • @shikuhata
    @shikuhata Рік тому

    Poleni sana ndugu zetu mliopatwa na changamoto hiyo Mungu awape nguvu

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 Рік тому +2

    Inna lillahi wainna ilaihim raajiun, ndugu zangu almuhimu tujiandaeni na mauti,hakika kifo huja ghafla.

  • @zuhurasajiliwa9655
    @zuhurasajiliwa9655 Рік тому +2

    😭subhanallah

  • @aishadaba7045
    @aishadaba7045 Рік тому

    Allahu Akbar,wakti/pindi tunakaposkia/kuona ajali tuchunge ndimi zetu kwan tusije sahau/kosea kwamba kila litufikalo ni mipango Yake Allah Rabbul Izzah al muhim tudumishe ibada, tuwe na subra natujue kwamba Allah Nimuweza wa kila jambo wa'adha as'salaam aleikum wamin'kum,Innalillahi wainna ilayhi rajioun. Alhamdulillah

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 Рік тому +1

    Hui mwisho wa mwaka ajali zimezidi sasa kila siku watu wanakufa

  • @irenezacharia2554
    @irenezacharia2554 Рік тому

    Mungu tusaidie watu wako. Wapendwa
    Kila tutokapo ndani tusisahau kumuomba Mungu atuepushe na ubaya wote.

  • @platnumzkawiche1861
    @platnumzkawiche1861 Рік тому +1

    hiyo sehemu huwaga ni balaa

  • @scarletscott192
    @scarletscott192 Рік тому

    Duh niliona asubuhi kipindi nipo kwenye gari

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Рік тому

    Daah asee hii nchi kuna nini saahv

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Рік тому

    duh

  • @sarahemmanuely8455
    @sarahemmanuely8455 Рік тому

    😰😰😰

  • @gracejonh4022
    @gracejonh4022 Рік тому

    Malor yakaguliwe mara kwa mara

  • @daudisaid6198
    @daudisaid6198 Рік тому

    Ajali za kizembe zembe tu poleni