Ukweli kuhusu Audi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • Audi saivi inazikimbiza Mercedes benz na BMW.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @elivaisonngui3902
    @elivaisonngui3902 3 роки тому +6

    Daa huyu jamaa anaongea lakini nashukuru gari langu amelisifia

  • @geofreyg.mtensa4559
    @geofreyg.mtensa4559 Рік тому

    My dream car this year Audi A7

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 3 роки тому

    Nimesikia ukiongelea harrier kuna ina hold gear for longtime.. nimesikitika sana hasa hizi wanaita matako ya nyani.. nyungi zinakija na CVT transmission... This transmission ipo different na conventional ATF.. na shifting yake ipo seamlessly... Wondering unaposema inakula mafuta.. just understand first how cvt works utakuja elewa.gari kwa gari yenye conventional ATF ikiwa na shida ya kuhold gear kwa muda mrefu there are bunch of reasons including transmission fluid ipo kwenye hali gani.

  • @hashimshaban4675
    @hashimshaban4675 2 роки тому

    Tuwekee search option ya gari ulizokwisha review natafuta review ya wish siipati

  • @kembotechnologies6737
    @kembotechnologies6737 2 роки тому

    Kweli kaka tuna take risk

  • @venancemtaki8040
    @venancemtaki8040 2 роки тому

    Audi A6 2016 bei gani mkuu

  • @dr.isihaka7393
    @dr.isihaka7393 3 роки тому

    Magari mtaani🤣🤣 jamaa anaongea huyu!