MKANDARASI MBEYA AMKANA MWENZAKE ALIYESEMA WANAMNUNULIA RAIS HELKOPTA, ASEMA HAKUSHIRIKISHWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Місяць тому

    Aibu ya mwaka kwa kweli alijitapa sana huyo.mkandarasi du

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Місяць тому +2

    Hata.chama.cha.walimu.waliochanga.kwa.samia.ni.wapumbavu.machawa.mafala.watanzania.wanateseka.hakuna.ajila.maiti.zinalipiwa.madawa.hakuna.hospitali.mlo.mmoja.mafuta.bei.juu.samia.anakosa.milioni.moja?ya.fomu.?

  • @user-pf2qk8fz9o
    @user-pf2qk8fz9o Місяць тому

    Tasnia ya uandisi inaingiliwa na siasa😂😂

  • @VenaEliki
    @VenaEliki Місяць тому +1

    Kazi ina faida mpaka zinachanganya

  • @phedsonmwambete7813
    @phedsonmwambete7813 Місяць тому

    Takukuru wamfatie huyo aliyotia hiyo hela na anayepokea

  • @maomacatta9770
    @maomacatta9770 Місяць тому

    Huyu ndie mkandarasi mwenye kujielewa kasema ukweli sio yule kada wa CCM anayejikomba naye awe amesema kitu

  • @matiredms917
    @matiredms917 Місяць тому

    Taasisi za kitaalamu zimetekwa nyara na Watawala. Hata wafanye CCM lazima itaanguka tu. Imewadhulumu Watanzania na hususani Watanganyika.

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 Місяць тому

    Uko sahihi Engineer,yule Bwana ni mpumbavu,hajui ile aliyoitangaza ni Rushwa

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola Місяць тому

    Nakupongeza mhandisi kujitokeza wazi umeonyesha wazi uzalendo Kwa wananchi. Sis watanzania tulijua huyo ni chawa wa C CM. hongera sana

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 Місяць тому

    Hyo binafsi nilitafsiri kama rushwa Fulani. Na Sheria za utumishi wa Umma , Rais akipewa zawadi inatakiwa aikabidhi utumishi.

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 Місяць тому

    Kuna Kitu huyo Baba Anakikwepa.

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 Місяць тому

    Hiyo ni Rushwa ya kuomba kazi

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 Місяць тому

    Uko sawaa akili kubwa

  • @VenaEliki
    @VenaEliki Місяць тому

    Wakandarasi mmepiga pesa mpaka zimewachanganya

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g Місяць тому

    Mumelewa pesa kibao! Mumnunulieni meli pia! Jambo la kawaida, pesa zenu!

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Місяць тому

    Akiri.kubwa.sana.mwenzenu.huyo.ni.chawa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Pesa ya walipa kodi ileile hiyo danganya.toto

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Місяць тому

    Mnatifanya sisi ni wajinga siyo

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Місяць тому

    Huyu naye ni Boya tuu.Wakandarasi wengi ni Maboya hata kama wanajua kujenga. Sasa Huyu anaongea nini badala am wite aliyesema aongee naye eti anaita Waandishi wa Habari. Shenzy sana.. Mali zenu mambo yenu huko Ndani kwenu sio mke kutuhemea wasiohusika. Most likely Huyu Jamaa ni Chadema na ndio sababu hana kazi na ndio kisa cha kulalamika ni Hela hana

  • @MichaelMwasese
    @MichaelMwasese Місяць тому

    Baba umenyoka tuwachama kingine