RAIS SAMIA APIGIWA SIMU LIVE KUTOKA KIGOMA, SIKIA ALICHOONGEA NA MZEE HUYU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 123

  • @mayiahnoah2157
    @mayiahnoah2157 3 роки тому +7

    Nampenda rais wa Tanzania mpka namskia kw damu! Aki anaogea na raiaa wake....HE Samia God bless u all of ur life...

  • @ZawadiMgeni-l6r
    @ZawadiMgeni-l6r Рік тому

    Mungu akubariki sana sana na akuzidishie maisha marefu

  • @gastonealinda7494
    @gastonealinda7494 2 роки тому +6

    Nakupenda bure raisi wangu mama Samia! 2025 nakupa kura yangu kwa hiari ambayo sikuwahi kumpa mgombea yeyote wa CCM. Hongera mama!

  • @FrolaNziku-wn9qs
    @FrolaNziku-wn9qs Рік тому +1

    Naomba namba ya raisi samia

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 3 роки тому +9

    Nakupenda raisi wangu samia

  • @rajabrukonge580
    @rajabrukonge580 3 роки тому +10

    Sisi na mama, mama na sisi Allah amlinde daima Raid wetu mpendwa

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 роки тому +6

    Mzee juma ya kweli hayo

  • @sengengemangae3698
    @sengengemangae3698 2 роки тому +2

    Safi kabisa mzee baba

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +16

    Jamani tanzania raha yaani unapiga simu unaongea nae moja kwa moja kenya jamani sijuwi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 3 роки тому +5

    MAIGIZO MATUPU WAPINZANI NAO WAKIFANYA HAYO MNAYO YAFANYA JESHI LA POLICE HUWAKAMATA ....

  • @fatumazangu8727
    @fatumazangu8727 2 роки тому +1

    Hongera Samiha Suluhu

  • @sophiaalexander6025
    @sophiaalexander6025 2 роки тому +3

    Chezea muha wee wangekesha anajuta kumpa maiki😁😁😁

  • @hajilukwaja1271
    @hajilukwaja1271 2 роки тому +2

    Huyu ndio alikuwa rais wengne ovyo tu kama huyu tulienae hakuna kitu kabisa Ila mungu amlaze mahali pema pepon

  • @mahamoudmakotaperfumes8788
    @mahamoudmakotaperfumes8788 2 роки тому

    Mw. Mungu akubariki mh mama Samia

  • @onesphoryo407
    @onesphoryo407 2 роки тому +1

    badala uombee issue za msingi wew unaongelea issue za kadi upuuzi mtu

  • @UPENDOEKSEL
    @UPENDOEKSEL 10 місяців тому

    Umetishababa

  • @msemakweli371
    @msemakweli371 2 роки тому +7

    My Queen, My President, My Country 🙏🏿❤🖤

  • @Vaileth-sk2wf
    @Vaileth-sk2wf Рік тому

    Nakupenda mama

  • @geofreyambakisye767
    @geofreyambakisye767 2 роки тому +6

    Mzee unaacha kuomba vitu mhim kwa kijiji chako unaomba kadi za chama tena?

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 роки тому +11

    Mambo ni fire

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 3 роки тому +13

    Nimehamia ccm kwa kua nampenda mama etu ana upendo na watu wote pia anaamini binadamu wote ni sawa pia anaheshimu watu wa umri wote .

    • @dazzfex4280
      @dazzfex4280 3 роки тому +1

      Ww unaoneka umeishia fom four akili una unafuraishwa na nn magufuri alisema vilaza awatakiwi

    • @charlesngwembele4541
      @charlesngwembele4541 3 роки тому

      Uko sahihi mama ni muungwana sana

    • @rahmarajab3688
      @rahmarajab3688 2 роки тому

      MUNGU akulinde na mahasidi,waroho wa madaraka,wanafki na vibaraka wanaotumiwa na mataifa ilibkuliangamiza Taifa letu,
      MUNGU ibariki Tanzania,
      MUNGU wabariki viongozi wetu,
      Kazi iendelee!!!!

  • @ericron6115
    @ericron6115 3 роки тому +14

    Dah mzee ameongea vizuri sana

  • @Redgoby
    @Redgoby 3 роки тому +10

    Wananchi pembeni wanasema majiii yeye Anasifia tu na kutaka kuonana na samia huu ni utumwa wa fikra na kutokujielewa 😡😡

    • @modelka222
      @modelka222 2 роки тому +1

      Hajasifia kila kitu, alikua anambeza ili kupata nafasi ya kusikilizwa. anajua kuongea kisiasa, na kila akisifia moja anatoa jingine la kuomba msaada. Kama umeona hapo mwisho kakatishwa kuongea ila alikua anaendelea kutoa maombi. sio kila nafasi unayopata inabidi tu upige kelele. Huyu mzee sio muongeaji mzuri saana ila siasa anaijua

  • @joycemasinde3936
    @joycemasinde3936 2 роки тому +1

    KICHWA Cha habari hakiendani na tarifa mnayotoa

  • @isamony58
    @isamony58 3 роки тому +2

    miaka mingapi imebaki tupigee kuraaa miata siwaelewi ukorofiiiii🤐🤐🤐🤐

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +2

    Muezesheti mana anaonekana maisha magum

  • @lenazitabaragula7544
    @lenazitabaragula7544 2 роки тому +1

    Martha baraka

  • @andreasilah5439
    @andreasilah5439 3 роки тому +5

    Hizo ni mbinu za kampeni wanainchi wanatedeka nyinyi mnasifu hewa hapo

  • @anastazianobert2345
    @anastazianobert2345 2 роки тому

    Ndoman zegeri kaiga kwako hongera baba

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt Рік тому

    Hatimaye Mzee huyu Mzee juma Ahmad Rugina Amefariki Dunia Leo Tarehe 7 decemba .. Balozi wa nyumba kumi aliyewahi kuongea na Raisi na kumtania

  • @HusseinKaniki-yh1hv
    @HusseinKaniki-yh1hv Рік тому

    Mm pia naomba namba ya mama Samia suruhu hasani

  • @imaninyawenda15
    @imaninyawenda15 2 роки тому

    G00d

  • @kawuguramadhani2441
    @kawuguramadhani2441 2 роки тому +1

    Masuala ya uhai wa chama na kujua idadi ya wanachama kwani tupo kwenye kampeni

  • @tozyalex2289
    @tozyalex2289 3 роки тому +2

    Kiswahili cha Kigoma ssa 😁😁

  • @rukialutenga6189
    @rukialutenga6189 2 роки тому

    Pongezi nyingi kwako Rais wangu. Wewe pia ni rais wa wanyonge nimefarijika sana..umeonesha upendo wa hali ya juu

  • @jumannechapembe8280
    @jumannechapembe8280 3 роки тому +2

    Safi sana

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому +2

    Hongera kufufua chama mashinani.

  • @enockfumbuka107
    @enockfumbuka107 2 роки тому +1

    KAZI ZA JPM H A PA KAZI TU !

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +2

    Jifunze quran kusoma na kuanfika gusa picha yang hapo

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 роки тому +7

    *Mafua mafua kidogo maana yake anataka apigwe jeki kimpango mpango*

  • @pendoshedlack7437
    @pendoshedlack7437 2 роки тому +1

    Uongo mtupu hapo nakukumbuka R.I.P magufuli

  • @FrolaNziku-wn9qs
    @FrolaNziku-wn9qs Рік тому

    Nimetapeliwa hela na kampunila mkopo dodoma naomba mnisaidie jamani

  • @swaleheissazaidi4915
    @swaleheissazaidi4915 2 роки тому +4

    Katiba mpya tunaihitaji kwa ustawi wa taifa na demokrasia yenye tija, nisafari ndefu,swali ni kwamba nileo ndiyo imeonekana umuhim?maana ingekua muhim tangu mwanzo huko wasingeshiriki tokea mwanzo mpaka tuipate katiba, Jipambanue kwa uchapakazi mwisho wa siku wakose lakusema hata hao mlio waamini wakageuka nakufanya kampeni za kukuhujum waziwazi kabla ya muda wa kampeni,Waaibike,Japo tunafaham sababu ikiwemo kuziba mirija yeo,.

  • @dotoelia3744
    @dotoelia3744 3 роки тому +4

    Mzee Juma Hajitambui Anamsifiaje Samia Kwenye Miradi Ya Jpm?!!!

    • @charlesngwembele4541
      @charlesngwembele4541 3 роки тому

      Acha rohombaya we sio lazima tushabikoe lichama lako LA chadema

    • @sadih5333
      @sadih5333 3 роки тому +1

      Miradi ya Makufuli ni ile ya Chato , hii anayo fanya Samia ni ya kitaifa.

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 3 роки тому +3

    Mbinu naona.

  • @esterandson7367
    @esterandson7367 2 роки тому +1

    Malikia Samia Rais wetu oeeee

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 3 роки тому +8

    Rahaa gani hapo watz wanazid kuumia nyie mnafurahia nin zindukani nyie msiwe wapumbav wa fikla

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 2 роки тому +1

    Wabongo sisi ni Mabogaz san apo watu tayar wanamuona Mama anafaa Sijui Kakufanyia nini Kikubwa Mwananchi

  • @johnmhoja3193
    @johnmhoja3193 3 роки тому +3

    Hana maajabu

  • @tumainikisole4782
    @tumainikisole4782 2 роки тому

    We mzee pigania k2 point ili kijiji kikukumbke acha kupigania kady ban

  • @shuweinakhamis9912
    @shuweinakhamis9912 2 роки тому +1

    Yahabibaru

  • @Hussein-d3j
    @Hussein-d3j Рік тому

    Hambari

  • @bensonmbise8515
    @bensonmbise8515 3 роки тому +1

    Very nice

  • @saeedally268
    @saeedally268 3 роки тому +5

    Hamuna lolote nchi imekushindeni hatuwataki

    • @sarafinafranci8481
      @sarafinafranci8481 3 роки тому +1

      2025 watanzania tuhakikishe tunafanya mageuzi, hatutaki kubuluzwa tumechoka.

    • @charlesngwembele4541
      @charlesngwembele4541 3 роки тому

      Mageuzi yapi ccm daima

    • @charlesngwembele4541
      @charlesngwembele4541 3 роки тому

      Mnadanganywa na chadema kuwa kuna maisha mazuri bila kufanya kazi hakuna iyo mtadanganywa sana wajinga

  • @lucasmwendo1664
    @lucasmwendo1664 3 роки тому +4

    Mama sio mtu wa wanyonge hakuna hata kusema chochote kusema juu ya Mzee hamna kitu huyo

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 2 роки тому +1

    watanzania mapoyoyo hao

  • @georgemasesa7000
    @georgemasesa7000 2 роки тому

    Hii ni nzur endelea na Hilo kuskiliza maon ya wananchi r.i. peace my presedant

  • @sangwatv1496
    @sangwatv1496 3 роки тому +1

    Njema sana

  • @rehemajohn5410
    @rehemajohn5410 3 роки тому +1

    Safi.

  • @swedhussein4725
    @swedhussein4725 2 роки тому

    Mazl

  • @simonntahobali7462
    @simonntahobali7462 2 роки тому

    Heri wewe Juma. Nawapata nikiwa Nairobi nami nashukuru kumsikiliza Mheshimiwa Rais was Jamuhuri ya Tanzania
    Tunawapenda. Nimekula chakula kizuri kutoka kasulu.

  • @frabomdemwa8880
    @frabomdemwa8880 3 роки тому

    Yake yske ya mwenda zake ziara za kazi kama kampeni

    • @loatamollel7551
      @loatamollel7551 3 роки тому

      Nyie hamjui vile mnapokeza kitu ambayo hakuna

  • @deussjohn3991
    @deussjohn3991 2 роки тому

    Namuyakumbuke munayo yapitia heeee haya bhana

  • @albertsayari7239
    @albertsayari7239 3 роки тому +1

    Wapambe wanamziwia asiongeeee

  • @elizabethkilendi9996
    @elizabethkilendi9996 2 роки тому

    Move

  • @saidkibira7648
    @saidkibira7648 2 роки тому +1

    Mchango walisubungeni

  • @saidkibira7648
    @saidkibira7648 2 роки тому

    Mchango was list Bingen

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 3 роки тому +2

    Oyoooo

  • @kassebo
    @kassebo 3 роки тому +1

    Mimi nazisoma comment zenu tuuuu

  • @modekessy1790
    @modekessy1790 3 роки тому +1

    Mama wawapumbavu wasojielewa

    • @charlesngwembele4541
      @charlesngwembele4541 3 роки тому

      Mpumbavu we sisi tunaona mbali hamm uspofanya kaz utalaumu tu

    • @modekessy1790
      @modekessy1790 3 роки тому

      @@charlesngwembele4541 we mbwa acha kujipendekeza. Maisha yamepanda sana, au hunui huku ges, mafuta yakupikia, unga, Mchele vyote vimepanda kwakas, au we nikula kulala bure? Mamayo usishabikie akat machinga wanakimbia nahakuna wakuwatetea. Nyambafu

  • @patricialpatrick9927
    @patricialpatrick9927 3 роки тому +3

    Nothing. hovyoooooooooooooooooooo

  • @justinecharles6016
    @justinecharles6016 2 роки тому +1

    Hanma chamaana hapo

  • @shamimtawakal8892
    @shamimtawakal8892 3 роки тому +2

    Mjumbe ameongea piint

  • @stephanomunish6675
    @stephanomunish6675 2 роки тому

    Stephano munish

  • @astediusrudovick3861
    @astediusrudovick3861 2 роки тому

    Kayumba chunga

  • @vicentimngujini934
    @vicentimngujini934 2 роки тому

    Stendyamagufuli

  • @wittinesskiwero8884
    @wittinesskiwero8884 2 роки тому

    TUMAINI MAYENGA

  • @respikikiliani6851
    @respikikiliani6851 3 роки тому +1

    Mkude simb

  • @lispafulgence9983
    @lispafulgence9983 3 роки тому +3

    Mafua mafua

  • @paroscovianycuroneriy4750
    @paroscovianycuroneriy4750 2 роки тому

    buhigwe

  • @jamesmatani3875
    @jamesmatani3875 2 роки тому

    D

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 2 роки тому

    Hatuchinjwi hatuchanjwi 🇹🇿🤣

  • @frabomdemwa8880
    @frabomdemwa8880 3 роки тому +4

    Comedy

  • @davidjoseph9776
    @davidjoseph9776 2 роки тому

    Tanzania 😂😂😂🙌🙌🙌

  • @simonstanely7186
    @simonstanely7186 2 роки тому

    Saf

  • @linussaid9612
    @linussaid9612 3 роки тому

    Siandiki kitu.

  • @msuyatztv5201
    @msuyatztv5201 3 роки тому +1

    ua-cam.com/video/-iHnihcaB2w/v-deo.html
    Utam video

  • @mathewenea8659
    @mathewenea8659 3 роки тому

    CT

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 3 роки тому +1

    Huuuuu

  • @stephenarato7840
    @stephenarato7840 3 роки тому

    9

  • @mdimimdimi4282
    @mdimimdimi4282 2 роки тому

    Amna serikali apo,utopolo mtupu

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 2 роки тому

    pumbavu wakubwa

  • @imaninyawenda15
    @imaninyawenda15 2 роки тому

    G00d

  • @enockfumbuka107
    @enockfumbuka107 2 роки тому +1

    KAZI ZA JPM H A PA KAZI TU !