SIRI YA MAJI YA ZAMZAM KWA KUONDOA NUKSI MWILINI NA MIKOSI KWENYE BIASHARA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • FAIDA YA MAJI YA ZAMZAM
    Katika video hii utapata kujifunza mbinu na siri ya maji ya zamzam kwa kuondoa nuksi mwilini na mikosi katika biashara yako ilio dhorota kwa kukosa wateja na mafaniko kiuchumi.
    Usisahau ku subcribe/ kulike/ Kushare/ na kucomment
    Kwa mahitaji ya visomo vya dua, pamoja na dawa za miti shamba na tiba za maradhi mbali mbali waweza fika dukani kwetu tegeta jijini dar es salaam.
    (MANYEMA HERBALIST CLINIC)
    Wezesha mchango wako kama sadaka kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya kutuendeshea vipindi vyetu vya darasa za tiba zetu asili.tunahitaji CAMERA, BOOM MIC,STEND YA CAMERA na vitu vinginevyo.
    chochote utakacho jaaliwa na Allah basi tupe mchango wako kwa hali na mali, ili kuipa nguvu chanel yetu hii Ya DIMMO TV.
    (INSHAALLAH MUNGU ATAKUBARIKI)
    MAWASILIANO
    0714 927 098
    0754 852 596
    MAALIM KOMBO

КОМЕНТАРІ • 9