FAIDA NA MAAJABU YA MAJI YA ZAM ZAM / Imamu Mponda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • mtume swalla llahu alayhi wasallam anasema maji ya zam zam ni kwa kile alichonuia mtu bimaana ukinywa kwa nia ya kukata kiu itakata ukinywa kwa nia ya kushiba utashiba na ukinywa kwa nia ya kupona utapona bi idhni llahi

КОМЕНТАРІ • 5