Acha wanaokusema kwa kuolewa mara ya pili waendelee, mimi nimechagua kubarikiwa kwa nyimbo zako mamy zina mafuta ya roho mtakatifu pia una sauti ya dhahabu endelea kusonga mbele na injili mambo mengine Mungu atahukumu mwenyewe. Ubarikiwe sana 🌺
Maziso edu enyama haakuonei...in my Shona language...meaning...Our physical eyes do not see you....yee at least i have picked a few words from the song. Its a wonderful song Madam Martha. Remain blessed
Madamu Mathar Mungu Akupendelea sana, baada ya wewe kumuonyesha kwamba unampenda, maana wimbo ule uliompekea mauwa Yesu ndipo nilipokuona kwamba upendo wako kwa Yesu ni wa Roho na kweri ulionyesha upendo kama wa Dada yule aliyekwenda kwa Yesu na kibweta cha milihamu ya garama sana akammiminia Yesu Kichwani, Matha Mimi natamani nikuone kwa macho nisalimiana na wewe Mkono kwa Mkono nije wapi nikutafute siku moja hata tuabudu pamoja siku hiyo ikimpendeza Mungu
Martha baraka , Imba Sana ila usisahau unaye mwimbia haumjui, ungekua unamjua YESU wa kweli Usinge olewa kwa mme wa pili , tubu mapema kabla hujafa ukakosa mbingu, na nywele bandia NI Dhambi Acha haraka , Yer.4:30
dada mimi ninapenda nyimbo zako ila hii mtunzi wa hii nyimbo hakupima maneno sawa. maana ukimuona mungu unakufa. bali mungu kwa sisi wanawe tunamuonaga kila siku maana kutuamsha kila siku huo ni ushuhuda tosha kutuvusha mitego ya maadui zetu kila siku je hio sio kumuona mungu huko. wataka kumuona vipi tena?
Kutoka kenya nabarikiwa tu nipewe like
Nice song Be blessed
Amen from congo nakupenda dada ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nampenda sana Martha baraka
Uimbaji wako safi unasoma maandiko vizuri songa mbele
Baraka tele 🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana Dadaake. pia Hongera kwa director 🔥🔥🔥
You too your songs are fire komando I wish to see you one day am from 🇰🇪
Barikiwa
This song bless me. I, from DRC.
Congratulations mom...I love the song ...producer hi5 u played sooooo nice Mbarkiwe
Wimbo mzuri❤️
Balikiwa mtumishi kazi nzuriiii sana
Hallelujah 💓💓💓 much love sis.Mimi kama msanii mdogo najua mungu ataniinua jinsi amekuinua🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎸🎸🎸🎸,Asante sana kwa song tamu
Mungu akuinue zaidi Kwa utukufu wake
Jipe moyo tu
Acha wanaokusema kwa kuolewa mara ya pili waendelee, mimi nimechagua kubarikiwa kwa nyimbo zako mamy zina mafuta ya roho mtakatifu pia una sauti ya dhahabu endelea kusonga mbele na injili mambo mengine Mungu atahukumu mwenyewe. Ubarikiwe sana 🌺
Aaaaaa dada unanifulahisha sana kwa ujumbe mzur 😁😁😁😁😁😁😁
Nyimbo za kuabudu
Fungua macho yetu tukuone
Hii kiwango ni Kimataifa hakika♥️♥️💯💯
Nabarikiwa tu sana nikiwa Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦Kenya mikono juu kwa hewa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri mtumishi wa Mungu
Safi sana mum kazi nzuri barikiwa na Mungu azidi kukuenua 🙏💪
Huu ndie aliekuwa real Christin shusho
Maziso edu enyama haakuonei...in my Shona language...meaning...Our physical eyes do not see you....yee at least i have picked a few words from the song. Its a wonderful song Madam Martha. Remain blessed
NABArikiwa kabisa mtumishi
Kuwa MKE WA PILI NI UZINZI, MAPAMBO NYWELE BANDIA NA KUJICREAM NI DHAMBI, TUBU MAPEMA
PETER & ALFA safiiiiiii sanaaaaaaa
Amina MUNGU tufungue macho tukuone ili tuenende sawa nawe baba yetu dada angu ongeraaaa sana Kwa ujumbe mzuri san mungu akubariki mnoo
Nyimbo nzuri lakn umemuacha baraka umemtamani saimon ( uzinzi) TUBU kabla Yesu hajaja
SAFI SANA DADA MATHAR BARAKA WIMBO UPO VZR SANA
Amen 🙏 nabarikiwa kutoka Kenya 🇰🇪
Nakupenda sana♥️♥️ pacha wangu kazi nzuri Mungu aendelee kukuinua
Wow kumbe mko mapacha honger 0:22 a lwa mama kiukweli mko vizuri❤
Ubalikiwe sana mtumishi
Nakupenda dadaangu
Nimebarikiwa na wimbo
Mathar upo vizuri saaana tatizo ni Moja kuacha ndoa Yako yakwanza
Ndoa yake inausiana vip na kazi yake ? Mpeni mauwa yake
Kazi njema sana Barikiwa
Nimebarikiwa nikiwa Kenya 🇰🇪
Fungua macho yetu Mungu baba ili tukuone
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
Asante madamu ubarikiwe sana kwa nyimbo zako zinavyo tubariki ila hapa Kuna rafiki yangu peter anacheza duuh mungu ambariki pia wote mbarikiwe
BWANA MUNGU.
ASANTE SANA MADAM. MARTHA
Madamu Mathar Mungu Akupendelea sana, baada ya wewe kumuonyesha kwamba unampenda, maana wimbo ule uliompekea mauwa Yesu ndipo nilipokuona kwamba upendo wako kwa Yesu ni wa Roho na kweri ulionyesha upendo kama wa Dada yule aliyekwenda kwa Yesu na kibweta cha milihamu ya garama sana akammiminia Yesu Kichwani, Matha Mimi natamani nikuone kwa macho nisalimiana na wewe Mkono kwa Mkono nije wapi nikutafute siku moja hata tuabudu pamoja siku hiyo ikimpendeza Mungu
Nice one pita kwangu pia
Amina 🙏 🙏 Jehovah Mungu wangu nifunguliye macho yakiroho ilinione yale yalio mbele yangu bwana 🙏🙏🙏
Hongera mumy ujumbe mzur lkn pia hongera z mfikie Mbangwa
Martha baraka , Imba Sana ila usisahau unaye mwimbia haumjui, ungekua unamjua YESU wa kweli Usinge olewa kwa mme wa pili , tubu mapema kabla hujafa ukakosa mbingu, na nywele bandia NI Dhambi Acha haraka , Yer.4:30
Hata huyo ataondoka kwake usihukumu sana
Nabarikiwa sana na nyimbo zako dada Martha I tap the anointing much luv 🇺🇬🇺🇬
Amen yaan huuu wimbo ata niludie mala 100 sichok
Jane martins anapenda xana nyimbo zako zote.tokea album yako ya Kwanzaa mpka Leo. Mungu akubariki sana
Kweli kabisa dadangu huu ndio wakati was kuuona wokovu wa Bwana kupitia watumishi kama wewe barikiwa
Dada Martha natamani Mungu wa mbinguni akupe Maisha marefu
Barikiwa Dada .
Duuh! Jamaniii! matha baraka ni komandoo kiboko wa sifa na melody ya musics.
Na-enjoy hatari. Ubarikiwe
Barikiwa Dada Martha
I love your music Madam l may not understand most but still enjoy them. May God bless your ministry abundantly. Love from South Africa
God bless you so much
Ubarikiwe sn mdg wangu hakika umeimba vzr wajina wangu
Karikiwa sana
Mungu fungua macho ya rohoni ili tukuone imependeza sana barikiwa sana madm
Nabarikiwa sana na nyumba zako🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyumba wala sioni ?
Wow what a powerful song barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Martha Moja ya kipaji adimu sn kutokea apa duniani kipawa iki kiendelee kuleta sifa na utukufu Kwa bwana nahisi kubarikiwa sanaaa🙏🙏🙏💯
Kweli Kuna yenye imefugwa kupitia hii nyimbo zitafuguliwa kwa jina la yeah barikiwa dada sana
Martha baraka , tafadhali naomba utubu na umuache Saimon haraka kabla hujapata HASARA YA KUKOSA UZIMA WA MILELE
Nys one sister....more grace
From Kenya, najifunza hapa maandiko, be blessed Martha, raymond
Mungu akubariki sana maana hunaga kazi weye 🇹🇿🇹🇿🦅🙏
Barikiwa sanaa mtumish kaz njema hiii
Madamu hongela sana umenibaliki sana sana mtumishi
Congratulations for song good 👍
Ameeeen Ameeen ubarikiwe zaid
kazi nzuri
Wimbo nzuri sana ,umekuwa wa baraka sana kwangu kupitia nyimbo zako mum more grace upon you
Asifiwe yesu ubarikiwe Sana na uzidi kuubiria watu Kwa nyimbo
Ubarikiwe kwa neno
Martha Rudi kwa mume wako. Acha ya dunia, kuimba vizuri namna hii wakati umeua ndoa yako kama Mkristo haipendezi. Martha Baraka Rudi nyumbani kwako
Best Gospel Rhumba 2022 and beyond 💪🇹🇿👍
Barkiwa sana madam
Amen Jambo
Madam mungu akutunze maana tunabarikiwa sana na nyimbo zako
From Kenya ....Mungu akuzidishie neema Madam Martha...🙏
Nimetazama kabisaa nzuri
Fungua macho yangu nikuone Mungu wakati huu mgumu katika maisha yangu. Much love from kenya
Mungu akupe maisha mareeeeeeefu, Wimbo nzuri ukumbusho wa imani.
Bwana Yesu kristo atukuzwe 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wimbo mzuriii sana, nabarikiwa sana na huduma yako. Mungu akubariki sana
❤🎉Nmebarikiwa xana n Kenya
Amina Amina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks very much my sister may almighty give you more strength to do his work through singing 🎶 much love from mombasa Kenya 🇰🇪
dada mimi ninapenda nyimbo zako ila hii mtunzi wa hii nyimbo hakupima maneno sawa. maana ukimuona mungu unakufa. bali mungu kwa sisi wanawe tunamuonaga kila siku maana kutuamsha kila siku huo ni ushuhuda tosha kutuvusha mitego ya maadui zetu kila siku je hio sio kumuona mungu huko. wataka kumuona vipi tena?
Asante Sana kwa kuchukua time yako ili kutufikishia ujumbe kwel mungu tufungue macho ilitukuone.
Love your music May the lord bless you
WOW that is the best song avener
Yesu akubariki sana mtumishi wa Mungu kazi zuli sana
ubarikiwe
Glory to God,,lazima tufunguliwe macho ys rohoni
God bless you love from Zambia
kenya tunabarikiwa na song zako utaenda bali
Ameeeèeeen im BLESSED Namesake
I love your song. their bless my heart
Powerful song Tarching song sure God fugua macho yetu ilitukuone
Ujumbe mzur sana ubarikiwe madam
Unatumika na mumgu kweli naomba collaboration na wewe tumsifu huyu yesu