Akigombea Urais Lisu na Samia niheli nikabaki nyumbani nikaacha kwenda kupiga kura, lakini kama atagombea Uraisi mweshimiwa Silaha hapo CCM kazi tunayo mimi nauccm wangu sifichi wakura yarais lazima nitaipeleka kwa Mweshimiwa Silaha
RAIS AMEJENGA SHULE KILA KONA NA ELIMU IMESHAANZA KUTOLEWA , BARA BARA ZA LAMI KIWANGO CHA JUU ZIMEJENGWA NCHI NZIMA , HOSPITALI KILA KATA , SGR INAKAMILIKA ,BADO KUNA BWAWA LA UMEME ,MAENDELEO TUNAYAONA NA AJIRA KILA SIKU ZINATOLEWA NA SERIKALI
Nimekuelewa kamanda Heche
Bigup ✌️✌️✌️
Namkubali sana huyu heche
Point sana
Nuru ya ukombozi inaanza kuonekana.
Together as one.
Yani watanzania tuko waovyo sana, mnaambiwa mambo yakusikitisha lakini wanashangilia kabla yakuskitika, haki kidogo wewe nakuelewa mweshimiwa Heche
Nakukubali mwamba
Walio fanya hiyo dhambi,hakika mungu hatawasamehe
Akigombea Urais Lisu na Samia niheli nikabaki nyumbani nikaacha kwenda kupiga kura, lakini kama atagombea Uraisi mweshimiwa Silaha hapo CCM kazi tunayo mimi nauccm wangu sifichi wakura yarais lazima nitaipeleka kwa Mweshimiwa Silaha
Nyinyi wapunbavu mnahacha kuzungumzia mkataba mbovu wa samia Mnanchambua JPM mnayunba mnayakolonag
Uelewi nyamaza
Unaongea pointi sana ila usiseme hauogopi mtu, mlikaa kimya miaka 6 bila kufanya mikutano c mliogopa? Talk the facts guy!
Hivi watanzania tunaakili kweli maneno kutoa mchozi wanashangaria
Aisee mama zetu amkeni mana ccm ndo wamebaki wanategemea nyie coz mnadanganyika kirahic
Duuuh wajiuzuru jamani
Mulifungiwa musiongee saizi mumeanza.
Kura yangu na wanangu siwapi maana saizi munaleta udini
We nyamazi hatuwataki tz mmeturudisha nyuma sana