ALI KAMWE; NITAJIE HATA SHABIKI MMOJA ANAETAKA ENG. HERSI AONDOKE YANGA, YULE MLIYEMUONA SIO BALEKE
Вставка
- Опубліковано 29 сер 2024
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Uyo mzee katumwa uyo mshenzi sana tunahasira nae uyo!!
Pablo mwamba unaupiga mwingi dam yang wakuzingatie kwenye maslahi yako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Semaji la kimataifa nimekuelewa sana na nimekupenda Kwa ni mtulivu na unajibu maswali Kwa ufasaha
Nomaa
Dah kweli nmeamini ule usemi Mahakama pekee ndo itaifunga Yanga , now naona Kolo na Mzee wao wa mchongo wameanzisha Magoma Cup 😂 Pre season
Semaji La Wananchi Mpak Kihama💚🇹🇿🔥
Kihama?
Hilo jambo linahitaji ability mdogo sana kulielewa, havi jimbo linapomchaguwa mbunge mmoja kuwakilisha wanna wananchi vote hilo halitambui?
Yanga bingwa
Crown sports naona mnafika mbali Sana japo kuwa bado ya kisekali bado hamripoti
Umejarb kumufatilia kikeke? Sikiliza kasiri la kikeke yeye ndo anadili na masuala ya kiserikali
Angalia kasri la kikeke
Noma sana
Thnk u aly kamwe kivipi au cjaelewa .kama kuna aliemwambia ivyo semaji la nchi zote .bc ajipe yye thanx ajishukuru na aache kushabikia mpira wa miguu.
me naona alikamwe ungewanyamazia awa waandishi make wanajali tu likes coment na views siku hiz na sio kuielimisha jamii
❤❤
ni kweli hata leo apa jirani yangu wapo madunduka walikua wanafurahia eng erisi anatoka yanga ila mim niliwakata kilimi baada ya kuwaonesha mwanasheria akiwa anafafanua wakakosa la kuongea
Watukome kabisaa Makolo watuache naraha zetu 💚💛💛💛💚
😊
Magoma usituvuruge tuache ulilolipanga aliwezi kuwa
Uyo mzee afe tu azikwe
hauna baya Kamwe ,ILove u msemaji wety
Sawa kabisa ali kamwe umefafanua vizuri nimaluki wanataka tupoteane
Pablo🔥🔥🔥
Hivi uyo mzee hajion kama amezeka au anataka pention
Wewe ni jiniazi semaji
Magoma hapelekwie
Nakubali
✌️👊👍.
Tuko pamoja Semaji hatulalamiki
Mbona Haji Manara kimya
Sio baleke na leo ameonekana pia
Pablo mtangazaji bora wamichezo anaekuja kuwa bora africa nakukubali kaka
Wapi JUMA AYO🔥🔥 mzee wa kwa mpigo zaidi🔥🔥
🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 yanga imala 🎚🎎
Magoma hana haki na yanga lazima hazungumze
Kwanza magoma anasura mbaya km uchi wa nguruwe
magoma jitasmin kwanza Kwa yanga hii
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Kiukwel mm nimefulahi Kukuona uku Kaka unafanya Kazi nzuri Aisee wazingatie Naokoto
Mahakama wajaribu kumkabithi yanga,tutamchomea humo ndani hatoki
Changamoto na mafanikio ni mapacha tutavuka kwa ujasiri mkubwa.
Uyo mzee awe makin na wanachama wa yang watu nana asira adashidwa kupita mitaani na uwanjani watu wata mtafuna
Suala la ujasiri wa mtu kufoji sahini za wajumbe siyo la yanga waachiwe idara husika watajua nani wahusika.
Ukitumiwa uliza ulikotumwa
Huyo mzeee katumwa xio xir naitwa iddy kibamba kutoka tabora
Huyu Kuma kila akiongea Yeye anawagusia Simba tu
Sasa mnataka kutuambia yule magoma ni Simba
Huyu jamaa anaforce sana kushikana na wanasimba mkundu wake jambo Lenu unasema timu nyengine zinahusika vp hapo
Kwani wewe unaona vipi.
Yanga kwisha
Sahauu! hapa kama haijafika 2050 hamjachukuwa ubingwa.
@@mussammanga7791 wakina Nani?
@@Brunotarimo10 Nyinyi Mandunduka.
juma magoma hata kula yake ishu hii hela ya kufungulia kesi Ametoa wapi
Hapo sasa! Alikua anaishi kwa mamake,alipomfuza kaenda kwa mwanamke! Kazi yake kuchomelea vyuma😂😂😂😂ataiweza Yanga?
Kumbe aka ka alikomwe ni kajinga
Debora makasiriko yann?
Semaji mwambie tushatoka huko cc na wenye D2 tushawafahamu shoga hao
HUYU JUMA NGOMA ANAONEKANA NGOMA KWELI,TUNAMSHAURI AACHE MAMBO YAKE YA UNGOMA.WANANCHI WENYE AKILI HATUTAKI KABISA MAMBO YA UNGOMA NGOMA.TUNAJUA UNATUMIKA KWA KUWA WEWE NI NGOMA.WEWE MNGOMA ENDELEA KUJIPAKAA AMBI TU.MATOKEO YAKE UTAYAONA MUDA SI MREFU.
Anayeweza kusema aondoke huyo nimakoro yanga ya sasa inasababisha tunenepe hata kama huna hela
Kama Magufuli pa1 na mazuri yote watu wakamuua Hersi yeye nani asipingwe😂😂?,.
Ningefarijika sana pablo ukawa hapo yanga tv ww ni nonge la prstr
Shida ikopale pale tareh 8 tunampiga simba namagoma wake
Watuachiye yanga yetu magoma unatutia mikosi2
Ukweli utabaki kuwa ukweli jamaa ajachanguliwa na wanachama wa yanga uyo kateuliwatu na GSM
Huyo mzee magoma anakaa wapi Kwanza nataka nionane nae ili nideal nae physically😅😅😅😅
Kwa KIMADA baada ya kufukuzwa na mamake😂😂
@@errydeo8865 😅😅😅
Katiba ya mwaka gn
Ingia website ya yanga
Katiba Zimebadilishwa kisheria mara 3 ,,,1968,,,,,,1992,,,,,,,2010,, Mwaka 1995 ilifanyika mabadiriko kidogo khs " Trustees" Body ya Wadhamini. Mzee yy bado ana katiba ya mwaka 1968
@@damianmcba9525 Katiba ya sasa imebadilishwa 2021.
Huyu mzee katumwa kama mayele alivyo kuwa ametumwa,wametushindwa uwanjani naona sasa wanakuja kivingine alaoo hohohoho kwanza huyu pimbi nikibaka mzoefu na hawo wajinga wezake hawajielewi,ukabidhiwe team maana team nikama mwanamke aliye muoa huyu mzee nimjinga wa karne
timu inapata hasara na huku tunashinda inakuaje hapo
kwa hiyo mnajua mashabiki udaifu wao ni kujua mmesajiri na si kujua faida ya kilabu tunaomba tuone faida na si hasara je huo uwanja utajengwa lini pia tunatakiwa kuwa makini na huo uwanja usije ukajengwa kumbe ni wa mtu binafsi
swali je washabiki mnajua tim tunapata asilimia ngapi kama timu na mwekezaji anapata asilimia ngapi? yaan tunashinda halafu tunapata hasar
lakin pamoja na hayo yote nina swali wadhamin wa yanga wanavuna asilimia ngapi na tim inavuna asilimia ngapi, hivi kama timu inabaki na ngapi sas nyiye nao ni wapigaji tunashinda ndiyo ila tunabaki na hasara inakaaje naomba mjithathimin haiwezekani timu isiwe na hasara
Magoma akashabikie pande zingine,ila siyo yanga african
Hakuna taaluma hapa duniani ina wajinga kama taaluma ya sheria
Magoma ni Jeshi la mtu mmoja magoma yuko sahihi siku zote wajinga ni wengi tu
Yanga bingwa
WEWE AHMEDADAN-PO5PS-USIITE WATU WAJINGA WAKATI WEWE UNAONEKANA KUWA NA AKILI YA KIKE,KWANI WATU WATE HAPA TANZANIA WANAMPENDA AU WANAUKUBALI UONGOZI WA NCHI?MBONA HAWAENDI MAHAKAMANI?AU HUJUI UHURU WA MAONI,HAPA TUHOJI UHADIRIFU WA MAHAKAMA HASWA MAHAKIMU,WAMEKUWA WAKITUMIA NAFASI ZAO KUWA CHANZO CHA MIGOGORO,KWANI SISI WOTE TUNALINGANA HAKI TKT MAISHA?KAMA HUNA HOJA HIZO COMMENT ZA KUITA WATU WAJINGA PELEKA KWA GIRL FIRND WAKO UNAYEMDANGANYA.