Ninyi humu ndani mtandaoni wengi hamjui Siasa Bali mnabwabwaja tu,kaeni kimya mskilize darasa la nguli Ngurumo akiwajuza yaliyo chini ya karpet ambalo ninyi mnakanyaga juu mkipita bila kufahamu kuwa chini Kuna nini,Bravo brother Nguruma tupe "madini"
Hakuna ishu ya kuingiliwa na dola hapo Sasa anatakiwa man of the hour au change of present system. Vinginevyo wanachama wote wapige kura kuchagua mwenyekiti vinginevyo chama kiko kwenye tisho la kugawanyika.
Ndugu zangu CHADEMA, ukweli ni kwamba Lissu bado tunamuhitaji Sana ndani ya CHADEMA lakini SI katika nafasi ya Uenyekiti,kaliba hiyo Bado ha-fit ukimlinganisha na Mbowe,Mbowe Bado ni jembe"Buludoza" .

wewe ngurumo unaumwa Acha kumucha fua tundu lissu Fala wewe
Uko sawa yotekwayote sawa lakini mimi nasema bado tunasafali na mbowe naili ndilo jibu langu kwenu
hayo ni mawazo yako binafsi hakuna siku mkaipongeza serikali wavulugane wao muisishe Dora. eti kishindo cha chama
Hata kuandika hujui
Kutumia dola kubaki kwenye dola. This is the worst statement ever made. Lakini muda utaongea
Eti kunampango wa Kidola mbaaazi ikikauka inasingizia jua
Hakuna ishu ya kuingiliwa na dola hapo Sasa anatakiwa man of the hour au change of present system. Vinginevyo wanachama wote wapige kura kuchagua mwenyekiti vinginevyo chama kiko kwenye tisho la kugawanyika.
Mzee ansbert ni mtu wa kaskazini????
Mh ni akili tu, na si mhemuko
Ndugu zangu CHADEMA, ukweli ni kwamba Lissu bado tunamuhitaji Sana ndani ya CHADEMA lakini SI katika nafasi ya Uenyekiti,kaliba hiyo Bado ha-fit ukimlinganisha na Mbowe,Mbowe Bado ni jembe"Buludoza" .
Acheni uchawa. Lisu achukue fomu na mbowe km anataka achukue fom ili wanachama wachague anayewafaa
Tunaitaji mabadiliko kwani lazima awe mbowe tu
Chenga ww tunataka lisu kwenye kipindi kigimu hikii mbowe hana jipya tena.
Hakuna mipango ya serikali, ni uchaguzi muhimu ambao wanagombea wawe makini tu , waonyeshe democracy hii ndio kipimo cha chama
Kumbe wapiga PORÒJO WENGI CHADEMA KUBWA KULIKO CCM
?UWEZO WAKO NI WA KUTILIA SHAĶA!!!