Zuzu mwingine ni huyu...kibaraka wa Mbowe. Kwani CCM wangekuwa wanataka uchaguzi halali si wangekubali katiba ambayo ingezaa Tume huru ya uchaguzi! Kama unazijua hizo habari zote mnaingia kwenye uchaguzi kutafuta NINI?? Chadema mmekwisha nafuu yenu ni kumwambia Mbowe hata kama hicho chama ni cha baba mkwe sasa aachie wengine....kaisha
Usitumie sana hisia kuamua mambo kaka, Sisi tuna Post habari zote haijalishi nani ataipenda na nani ataichukia. Kikubwa iwe ya kweli na haivunji Sheria ya Nchi
Yani huyu na Lema ndo watu hasa wa mbowe lakini chadema inashida kubwa sana sasa hivi hebu mbowe atoke hadarani na hata Heche siku hizi hasikiki kabisa sijui yuko wapi jamani
Mama yako ana kiwanda cha kutengeneza fedha?Awape Chadema pesa anazitoa wapi?Anawapa fedha Chadema za nini?Watanzania wengi uelewa wetu ni mdogo sana,kila kitu mama,mama,utafikiri hamna mama zenu.
CCM mnawapa mashehe na Maaskofu fedha za kuwahonga na mnawapa magari ili wawaunge mkono,hapo vp hamchanganyi dini na siasa?Usidhani ni CCM pekee ndio wenye haki ya kuwa na viongozi wa dini.
Huyu mpambe Halisi wa mwenyekiti ukimuona tu Huwa hazingumzi ukweli.kila mara ni kunilaumu serikari bila evidence.angalau lisu anakua na ukweli kiasi Fulani huyu hajibu hoja ni mtoa tuhuma tu
nyie ni watu wapuuzi kabisa mnatafuta followers na viewers kwa njia za kijinga NA WALA HAMDUMU KATIKA GAME...MTAISHILIA KUONA KILA AYO GLOBAL NA MWANANCHI WANATOBOA NYIE MUMEBAKIA MNANGAA SHARUBU TUU
Zuzu mwingine ni huyu...kibaraka wa Mbowe. Kwani CCM wangekuwa wanataka uchaguzi halali si wangekubali katiba ambayo ingezaa Tume huru ya uchaguzi! Kama unazijua hizo habari zote mnaingia kwenye uchaguzi kutafuta NINI?? Chadema mmekwisha nafuu yenu ni kumwambia Mbowe hata kama hicho chama ni cha baba mkwe sasa aachie wengine....kaisha
RAI TV, mmekosa cha kupost au
Kwa nini Kaka
Usitumie sana hisia kuamua mambo kaka,
Sisi tuna Post habari zote haijalishi nani ataipenda na nani ataichukia.
Kikubwa iwe ya kweli na haivunji Sheria ya Nchi
Yani huyu na Lema ndo watu hasa wa mbowe lakini chadema inashida kubwa sana sasa hivi hebu mbowe atoke hadarani na hata Heche siku hizi hasikiki kabisa sijui yuko wapi jamani
Msituzingue mlikuwa wapi?, hata wanao sikuliza viongozi kama hawa hawana kazi ya kufanya
Tutalaumu sana... tatizo ni watanzania wengi ni wajinga na waoga sana kama wanawake... kasoro ukoo wangu tu
HUYU NDIE CHAWA MKUU WA MBOE
Nyie wanahabar msiekuwa na werdi vichwa vyenu ni kama mapumbu ya nguluwe
Wewe mwenye weredi hongera.
lisu anauliza hela za mama mmezipeleka wp wewe na mwenyekit
Mama yako ana kiwanda cha kutengeneza fedha?Awape Chadema pesa anazitoa wapi?Anawapa fedha Chadema za nini?Watanzania wengi uelewa wetu ni mdogo sana,kila kitu mama,mama,utafikiri hamna mama zenu.
kumbe ulikua ajui muulize mwenyekiti
Chama kidini ile. Kitachanganya imani na siasa
CCM mnawapa mashehe na Maaskofu fedha za kuwahonga na mnawapa magari ili wawaunge mkono,hapo vp hamchanganyi dini na siasa?Usidhani ni CCM pekee ndio wenye haki ya kuwa na viongozi wa dini.
Anajua hata hesabu kweli huyu
Huyu mpambe Halisi wa mwenyekiti ukimuona tu Huwa hazingumzi ukweli.kila mara ni kunilaumu serikari bila evidence.angalau lisu anakua na ukweli kiasi Fulani huyu hajibu hoja ni mtoa tuhuma tu
nyie ni watu wapuuzi kabisa mnatafuta followers na viewers kwa njia za kijinga NA WALA HAMDUMU KATIKA GAME...MTAISHILIA KUONA KILA AYO GLOBAL NA MWANANCHI WANATOBOA NYIE MUMEBAKIA MNANGAA SHARUBU TUU
Dini based
tundulisu aliwakata wafuasi wake.
mbona siajona mahali imesema lissu aungana na ccm?
nyie mnazingua saana