Scar Mkadinali - "Mang'ondo" (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 10 чер 2020
- #MANGONDO
Stream our Albums via the LINK Below
linktr.ee/zozanationke
Beat by Fullchambers
Audio: recorded ,mixed /mastered by Alex Vice
Art Work by Robert Wesley
Follow Scar Mkadinali
Twitter: / scar_mkadinali
Instagram: / scar_mkadinali
Facebook: / churchillmandela
Kiswahili ingekuwa international ungekuwa umetoa Lil wayne bro ❤ the best
Scar mkadiBangi😂💯🔥🔥mkali wao
"usiskize wahenga unaeza gaa gaa na upwa ukule mchanga" 😈😂 scar was just born to do this
Best rapper in Kenya na tusibishane 💯💯
Nabishana
Domani munga
@@ianmaina7401 watu wa domani ndo tunaeza bishana lakini hatuezi kosana
Domani Ni mnoma bro but I respect your opinion 🙌🏿🙌🏿🙌🏿#rongrende
He is too real for the radio anataka vitu sensitive bila kuficha, like" tulienda Kwa opps kuiba tukakibiza watchy" hii Ezekiel mutua ata ban Radio station mzima😂😂😂😂
All my luhyas in the house 😂😂😂🤝🤝🤝
Chukia Hessy na Gaza... Wamefanya mayouth kuaga..
1st comment: Scar is the goat 🐐🐐🐐
I dont understand mbona radio stations hawatambui wakadinali...if you like wakadinali you have good taste of music
kweli
Labda wewe ndio hujawai waskiza kwenye radio.... Wakadinali ni Jina kubwa.. Huwa wanachezwa nimewaskia sana... Skiza homeboys, getto radio,nrg.. Kiss TV, switch tv, Ku tv na the list is endless
Wanaongea ukweli society haitaki kubali
Ni chuki wako nayo na majaa Wa gheto, but ingekuwa ni bongo wangekuwa wanaplay kwa sana
Hawafikii bei
Usiskize wahenga.. Unaezagaagaa na upwa na ule mchanga 😂😂😂😂🔥🔥🔥💯💯
Mahali imefika itabidi mafala wamerudishwa base....scar manze zyy
Siku hii rende watapata airplay artists mtajua hamujui... Scar to the world nigga
''... MAHALI IMEFIKA MA-NGWAI ZIKIISHA UNA-VUTISHWA NGEM''
🔥🔥🔥🔥
TULISHINDWA KUACHA LABDA TU KUPUNGUZA
Choma, Medi, Nyamaza.💯💯
Scar. The type of guy that can climb a tree with his hands in his pockets
kali
Best rapper in Kenya 🔥 hii na "whip inapiga madoba"🔥🔥🔥🔊🔊🔊🙌🙌🙌
I love the
Energy scar mkadinali has🇰🇪
Aiii
Niache comment anytime someone likes I'll listen to it
Choma Medi nyamaza.....
Am from france I do not understand African, what is he saying?....
Wueeeh lakini scar amemaliza hii beat bana 👊👊👊
😂😂😂
Rende ni rong
Kenya will never have a creative rapper like scar... Nigga lyrical, flow fine and real 'For real'... Umoroto mr rizz mangwai ukona dini
they don wanna see me winning ndo maana ilibidi mi nimesafiri🛫
Siku Moja Nitaomoka 🙏🏿
Hii ngoma kwangu ni Motivation!!!!
same here, ulisha omoka?
scar has true talent,TURNING Kenyan HIPHOP into another LEVEL.
Choma,Medi,Nyamaza 🔥🔥🔥 Rende ni rong
Baddest Rapper on Road 🔥🔥🔥🔥
Deep down a lot of Scar fans wanted this to happen. It was a long time coming. Nice move!
true story
What to happen?
Walaiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥺🥺🥺
@@baddticha only true fans get it
@@hustace5758 aii. Mi ndo number 1 fan sijui unasema nini. Mkadinali damu
2023 am still here 🔥🔥
Si huuza shash tatu hamsini😂🔥🔥🔥🔥
@@_Leftyy aaaaaa aaaa nomaaa💯💯✌️🔥 hattrick
Hii nikipata nachukua stock ya mwaka mzima
Hawa wamedislike ni mafans tu🔥🔥 tapewa msong’o
Scaaaarrrrrrr ..THE AFRICAN AL CAPONE 4 real ..
Juu ya mti kama Tarzan...Hii Rende ni Rong vosanga havikosi...Bado tunakachora vile si tutafunga...
mali mingi mali mingi si tunauzanga shash tatu hamsini.........waah!
LISTEN TO ALL WAKADINALI ON ALL PLATFORMS! Let my Gs catch that streaming money juu Kama sio benzo, mrenga ni Beamer
Ushasema 👊🏾👊🏾
The instru the flow man🕶️🔥🔥🔥🔥
Good Music
Realest Artist 🌿👑🙏🏾
That BEAT🔥🔥🎧... #SCAR akawachwa na dent.. Still back in the Game ... Dope Dope Dope
ikam full project basi, ki EP album ama mixtape ya scar solo
Huelewangi chenye Doche husema ?!😅... Lakini for real Domani is hella talented.
Haitaki hasira endeni mskize ndo mjue doch man Ni mzii
Fans been saying Ndoch been only featuring scar, but of late the nigga been pushing hard & proved himself and l love the spirit.
At first sikudhani hii beat utawezana...but after listening to the end..must say..scar mkadinali ni m-rong..🔥🔥🔥
C H O M A M E D I N Y A M A Z A ! !
#scar,team wakadinali ...maaad respec,
The hiphop fraternity appreciates you man... dope song from a dope artist Na juu ya iyo story wasee tubuy victim of madness
Danm the beat goes hard man
Best African Rapper
Choma, Medi, Nyamaza... Watu huongea mkiwa chain hubore bana
Fire
Kila mtu si mgenge
I swear...
Man the best in Africa...got much respect to this man 💪💪 ADDICTED TO HSTLEING
Nasaka mang'ondo
Walinishika ikabidi nimelipa wakaniwacha na dent .... aiii 🔥🔥🔥🔥 Scar is tha TRUTH
Sidhani kuna rapper ana underground following kama scar na wakadinali. Sio mara moja tumekaa na wasee tukiskiza hizi ngoma
Scar Mkadinali🔥🔥💀always keeping it real💯
Baaaaaaad Baad byaaaad maaaaan a baaad🌀🖖🖖🤘
Nachukia hessy na gaza juu wote wamefanya vijana kupotea👊🏾. Hii rende ni rong
🌶
Utiaji ni minimal...
Hii ni ngory mi nishatii💯
2024 and this still sounds NEW!!
scar said"nachukia hessy na gaza wamefanya vijana kuaga" and that hit me
🔥🔥🔥🔥💪lit bro
Nmekutambua bro💥💥💥💥
Ndani ya zone na ganji ya loan 😂😂💥💥💥rende ni rong
scar mkadinalide......one man army, 5 in the morning im already gone, nasaka mang'ono
Hio punchline🔥🔥🔥💯
Still listening it....2024 hellow🔥💯..scar today tomorrow and forever
Mr Riz Mangwai💉💉💉💉
lazima ungekuwa huku bro
even at 40 i will have this song on heavy rotation an epitome of timeless music
you know ball
Scar naye anakuanga beast 💪 roho safii 🔥🔥🔥
Mangwai ikiisha unavukishwa ngem 🔥 🔥 🔥 🔥 mang'ondo
Usiskize wahenga unaeza gaa gaa na upwa na ukala mchanga😎
Best Scar respect
up to now why is scar at 45k subscribers???????????????????????....
this aint right wadau fanyeni ile kitu
Zozanation💯
Nyinyi wote mko na akili mingi 😂👏
Mahali imefika itabidi mafala...💥💥
Baba yo mahali imefika tuchukue hivo hivo tukisaka mang'ondo💪🏽🔥🇰🇪
real recognise real ..nmekutambua ka uko hapa!!!
Tony Montana type of vibe. Scar ni Real G
Imeweza Scur ni Untouchable! 💯🇰🇪🖤👌🏾
tatu hamsini wah
jah bless
U r my all time fav
Rong Rende Always..
😁Mali ni mingi tunauzanga shash tatu hamsini
Scar to the mf world ✈
Sasa tuangushie ki album 😩🔥🔥
Jooh
Kenya can't realize how scar is bloody talented.. Nigga lit... Am out of description
🔥🔥🔥
A-1 everythin 💯 :Choma,Medi,nyamaza🤫🤫
Scarrr🔥🔥🔥🙌
BEST RAPPER IN KENYA
Kitu sewer jo
still a banger
Mr Riz Mangwai ✌🏽💯
Mahali imefika itabidi mafala wamerudishwa base, mahali imefika mangwai zikiisha unavutishwa ngem
uyu mkadinali ni fyaaaah
Mali imefika mangwai zikiisha unavutishwa ngem💥💥💥
Wrong rende 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mali ni mingi sisi huuza sash tatu chwani
Imekuwa on Rotation Tangu Idrop🔥🔥🔥
Sakanga MANG"ONDO achanaa na Ngono
Kenya hip hop in safe hands ..endeleeni
Wooo baddd 🔥💥💥
5 in the morning im already gone nasaka mang'ondo
JUU HAPA UTIAJI NI MINIMAL NA BANGI NI MINGI BRO..Thats fire
🌊
5 in the morning am already gone nasaka mangondo
Nyanyangu amedance hii ngoma 🔥
Juu ya miti kama Tarzan 🌿
My every morning song. The song gets me going hard
🔥🔥🔥fire bro
Eish! Bruv I finally rest my case...🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🏽
Choma,medi nyamaza💥💥
Choma,medi,nyamaza!
On Fuckin REPEAT!♨️♨️♨️🔥🔥🔥