Scar Mkadinali - "ZOTE!" (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 22 жов 2020
- #ZOTE
Stream our Albums via the LINK Below
linktr.ee/zozanationke
Beat by Afrvk
Audio: recorded ,mixed /mastered by Aress 66
Cover Art by Robert Wesley
Follow Scar Mkadinali
Twitter: / scar_mkadinali
Instagram: / scar_mkadinali
Facebook: / churchillmandela
Kama unamini scar ni 🐐 cheza na like apo👇
Watu: Unapenda "whip inapiga doba" ama "zote"
Ati scar unatafuta collabo na rapper mgani
scar sounds like he invented music🤣🔥
Mafala hawako na Mimi najuwa wanangoja niomoke😏😏🔥🔥🔥🔥
Awards alishinda zote akatuma khali apokee😂😂
Wife na sidechiq hawajaipendana lakini nawapenda both😂🔥💯
Tei ama vela io ni swali gani mimi hutaka zote 😂
My favorite rapper in Kenya... 🔥 scar ako lit.... Hakuna msee naeza compare na wewe champe.... Kwanza triple xl umekill beat mbaya... 😂, hiyo part ya fala kapatikana offside ngumi hadi ameze taxin... 😂... Hakuna msee na compare na scar walai
Zote🔥🔥🔥🔥
mara ngapi nimebambwa zote
ZOTE~~~!! ....WAKADINALI TO THE WORLD....WAPI HIZO LIKES BANA
Utasoma coments ngapi ntasoma zoteee🔥🔥🔥🔥🔥
Motoooo kama umetambua scar like ama nitakuja kwako kuzoza
Ngoma za scar zinanibamba zote......likes za scar zikuje hapo zote✌👊👊
Pale unkut awards ni vile hawangenipatia but nilishinda zotee.. Hehe
Eeey mkuu.... Ati ulituma omollo akakuchukuliew😂😂
Mbanga anashindwaa ni pedi ama mwizii ....
Mimi sifwatangi process. Ilibidi niwaoshe, woisheee
mbanga anashindwa ni mwizi ama peddi juu nakaa zote.........scar salute! weee ni fayaaa!