Mohamed Issa alia na udalali kwenye dola, Mwigulu amtuliza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa amehoji udalali kwenye dola jambo ambalo limekuwa likileta madaraja kwa wafanyabiashara kwa wegine (wajanja) kupata fedha kwaajili ya kuagiza bidhaa nnje ya nchi huku wengine wakizipata kwenye mazingira magumu na bei ghali.
    Hayo yamejiri wakati wa mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya fedha kwa mwaka 2024/25 ambapo akijibu hoja hiyo Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu nchemba amesema uwiano wa dola unakosekana kutokana na miradi mikubwa inayotekelezwa kwa pamoja.
    Mwigulu ameeleza kuwa kwenye Bajeti kuu ya Serikali inayotarajiwa kusomwa Alhamisi ya Juni 13, 2024 atakuja na suluhu ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa fedha fedha hizo.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 3 місяці тому

    Cha kwanza kabisa acheni anasa, kuagiza v8 stop kwa ajiri ya watanzania

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 місяці тому

    Yani hii nchi suluhisho tubadili chama kingine tuone itakuaje

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 місяці тому

    Kuna uhusiano gani kati ya ayasemayo mbunge wa Zanzibar na uzalendo, au kumtia nguvu mama yake?
    Juu ya kukosekana dola ni uji mtupu ayasemayo hata anayejua basics za uchumi hasemi. Yaani dola haitapatikana hadi miradi yake mikubwa imalizike?

    • @PhilipoMwita-wc1ku
      @PhilipoMwita-wc1ku 3 місяці тому

      Kwakweli inasikitisha Wala hajajibu chochote wanajua ujinga wanaoufanya

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 місяці тому

    Huyu Mwigoha ataua Tanzania kwa ujinga. Hafai.

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 3 місяці тому

    Magufuli alijenga nakolona ipo

  • @AMOSSILYVESTER
    @AMOSSILYVESTER 3 місяці тому

    Nikeeli ukiweka pesa bank inakuwa Mara uhojiwe T R A