LIVE: KASRI LA KIKEKE, AY TANZANIA NA UTACHEKA NA LEONARDO, HUKU TEMIDAYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • LIVE: KASRI LA KIKEKE, AY TANZANIA NA UTACHEKA NA LEONARDO, HUKU TEMIDAYO
  • Ігри

КОМЕНТАРІ • 37

  • @cathbertkamugisha1547
    @cathbertkamugisha1547 21 день тому +2

    Kikeke kaifanya crown kuwa bbc kabisa hongera Sana alikiba umetupa kitu sahihi

  • @user-kc3qy5em4d
    @user-kc3qy5em4d 3 дні тому

    Nawfuatilia vizuri sana nikiwa Marekani

  • @KhalfanKilatungwa
    @KhalfanKilatungwa 4 дні тому +1

    Nawapata mbashara nikiwa ndan ya drc kupitia chanel ya UA-cam, crown👑🎉🎉

  • @lionelemmanuel4436
    @lionelemmanuel4436 24 дні тому +4

    Nakubali kazi kutokea Katavi

  • @user-px1ee4jz7f
    @user-px1ee4jz7f 23 дні тому +1

    Tupe mambo mzee wa haki ❤❤unatupa vitu vya kweli 😍😍

  • @paulrutikanga
    @paulrutikanga 24 дні тому +7

    Hongera sana Kikeke!! Kwenye swala la DRC na Rwanda hawa wachambuzi kiango Chao Kiko chini Sana kwenye hili swala, labda wajulishe mapema kuhusu topic wajiandae vizuri kabla ya kuingia studio, otherwise ni disappointment kubwa.

    • @tadyinkmussa2530
      @tadyinkmussa2530 24 дні тому

      Wabongo kujifanya mnajua ss. Nenda ww kachambue, kazi kualibu ugali wa watu tu

    • @YogweMwakulola
      @YogweMwakulola 24 дні тому

      ​@@tadyinkmussa2530😆😆😆😆Kuna watu wahifanya wachambuzi na akiekwa pale hamna kitu

  • @user-ey4tb1sq7p
    @user-ey4tb1sq7p 23 дні тому +1

    Nakubal kaz ya kikeke

  • @fatumadjumbe2551
    @fatumadjumbe2551 23 дні тому +1

    Kikeke yaani we mwamba kweli kweli❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Ganzaboke
    @Ganzaboke 23 дні тому +1

    Tv yetu iyo Mungu ibariki

  • @pix_1lyrics777
    @pix_1lyrics777 24 дні тому +1

    Leonardo utafika mbali bro ... appreciate sana kaka

  • @buanaquendaabdalaabdala8260
    @buanaquendaabdalaabdala8260 24 дні тому +2

    Léo Nakukubal Sana 💜🫂 brother 💥💥💥💥🔥💎🌚💎🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 24 дні тому +3

    It's bbc or crown

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 24 дні тому +2

    Qasri la kikeke 🔥

  • @bonifacemfaume9788
    @bonifacemfaume9788 23 дні тому +1

    Haya ni mapinduzi makubwa hii ni zaidi ya burudani Tz,Africa na Dunia nziama.Nafurahia sna ninapo fatilia vipindi vya CROWN MEDIA & CROWN FM na hasa KASRI la KIKEKE duh siboreki kabisa naburudika na ninapata elimu

  • @Othmanog
    @Othmanog 23 дні тому +1

    BBC Watuache sas ❤❤

  • @Mbona-h6f
    @Mbona-h6f 24 дні тому +1

    Pamoja sana Mfalme

  • @user-ox1ce7iu8i
    @user-ox1ce7iu8i 23 дні тому +1

    Hii media kiboko so kwaizo camera
    😊

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 20 днів тому +1

    oya hii media nataman iwe nchi nzma wana balaa zito wako wapya yan

  • @zainabmanyiri3510
    @zainabmanyiri3510 23 дні тому +1

    Nice❤

  • @Officialmodel_001
    @Officialmodel_001 24 дні тому +1

    🙌🏽🔥🔥🔥🔥

  • @Mutukuharon314
    @Mutukuharon314 24 дні тому +1

    Bona kenya ampatikani kwa startimes

  • @issathedontv5465
    @issathedontv5465 24 дні тому +1

    Hapa home

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 20 днів тому

    mpeni kipind huyu anajua san anakitu kikeke mpen hat kisegment

  • @Godfrey-tf6jz
    @Godfrey-tf6jz 24 дні тому

    Kiukweli kike uko vzr ila hao ulio nao hauwazi swala la rwanda na drc nipana kuliko hivo wanavo dhan rwanda na drc halitosha kila his uki msikiliza tabombek au nyele mwaka 1996 uta elewa kwa wale siyo wanya rwanda bali niwa kongo mani hata tanzani kuna wajuluo wa msoma na wapo wa jaluo wa kenya wapo wa masai wa tanzia na wa masai wa Kenyana ha baguliwi popote kwann wanya mulenge wa nyanya swe

  • @evaristjames9845
    @evaristjames9845 22 дні тому

    Huyo Askari muongo tu kiufupi ndio taasisi inayoongoza kwa rushwa anaongea Siasa tu

  • @alliepeppino8883
    @alliepeppino8883 21 день тому

    Hiyo sio kweli Brazil 🇧🇷 wachezaji wake wa time ya taifa wote wanatoka au wanacheza nje ya nchi bongo hatuna mifumo ni upigaji

  • @sadikiissa2454
    @sadikiissa2454 22 дні тому

    ⛹🏼⛹🏼⛹🏼😎

  • @GIPSONURASSA-xl7cr
    @GIPSONURASSA-xl7cr 23 дні тому

    Leonardo fundiii

  • @OMARKOMBO.9984
    @OMARKOMBO.9984 24 дні тому

    Moto sana

  • @shabaningujali-q5t
    @shabaningujali-q5t 24 дні тому

    ledio yenu inasumbua uku pugu inafoka tu mnatunyima uhondo

    • @MnyongeMuganza
      @MnyongeMuganza 12 днів тому

      mimi nikonanyie sambamba kutokea 🇺🇸.

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 24 дні тому +1

    It's bbc or crown