Munani Nami Viumbe - Swabaha Salum Rmx | MARJAN SEMPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 246

  • @Rukiaomary-ed4bj
    @Rukiaomary-ed4bj 2 місяці тому +19

    Tunaoskiliza huu wimbo 2024 tujuane hapa

  • @briindiana7306
    @briindiana7306 2 роки тому +57

    All lovers wa hii wimbo please let's gather here this 2022❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @faridahabibu3845
    @faridahabibu3845 2 роки тому +9

    Wewe kuku wewe kuku chakula chako Jaani Mimi njiwa Mimi njiwa huletewa mikononi kama hujui huliza Mimi nawewe bora Nani💃💃💃💃💃

  • @mohamedipandu1689
    @mohamedipandu1689 3 роки тому +25

    Nzuri sana, ila kama itawezekana naomba taarab inayoitwa Shukrani za Punda iliyoimbwa na Bi Eshe Mohammed. Ahsante.

  • @aminajaha3703
    @aminajaha3703 3 роки тому +10

    Ahsante mama hauna kazi mbaya🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈

  • @zenakhamis5892
    @zenakhamis5892 3 роки тому +16

    Dunia yetu yaleo siya watu kusemana.. kila aliena lake aombe rabi salama.. kama langu limetota na lako ww litazama ...dah tamu haki

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 роки тому +25

    Salamu nimezipata ulotuma kunambia
    Nasikia wajinata Leo utanitambia
    Lakin utanikuta Sabaha nakungojea
    Lakin utanikuta sabaha nakungojea

  • @bintykigan6236
    @bintykigan6236 3 роки тому +20

    Yanikumbusha marehemu juma balo mungu amrehemu cz sauti baadhi ya mashairi niya bhalo

    • @mtu.wa3
      @mtu.wa3 3 роки тому

      wewe kuku wewe kuku chakula Chako jaani..mimi njiwa mimi njiwa huletewa mikonini! Kama hujui uliza, mimi na wewe bora nani?

  • @fatoumaahmed7670
    @fatoumaahmed7670 3 роки тому +26

    Nampenda sana sabah salum
    Asante sana

  • @mammylooreuben4800
    @mammylooreuben4800 2 роки тому +51

    Nani mwingne anaskiliza hii🔥🔥July 2022

  • @user-ny1ut9kw7p
    @user-ny1ut9kw7p Рік тому +5

    My favorite song🥰Sabah salum ww n moto nkupnda Bure mom❤❤

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 роки тому +10

    Wewe kuku wewe kuku,,chakula chako jaani
    Mimi njiwa mimi njiwa,huletewa mikononi
    Yaasalaam Aunt Sabah muchacho

  • @badarahmed1861
    @badarahmed1861 3 роки тому +14

    Allah ailaze roho yake pema Marhemu Profesa Juma Bhalo

  • @abouayman8713
    @abouayman8713 3 роки тому +11

    taarab sa iv imevamiwa na majike shupa...salut kwako swabah%

  • @zalhatabubakar6581
    @zalhatabubakar6581 3 роки тому +22

    Oyooooooo ilkua naingojea sanaaaa

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 3 роки тому +17

    Hii pambe 😍❤️ asingekua sabah nisingesikiliza taraabu jamani

  • @AmCool_
    @AmCool_ 3 роки тому +17

    Leo ni tarehe 24/06/2021,
    Hivi sasa saa 18:23'
    Ni siku ya Alhamis
    LIKE 👍🏽

  • @rizkajuma8424
    @rizkajuma8424 3 роки тому +8

    Wewe kuku chakula chako jaani mm njiwa naletewa nyumbani kama hujui uliza mm nawe Bora Nani khaaah

  • @imanhatibu7771
    @imanhatibu7771 Рік тому +4

    2023 na bado ni hit 🔥

  • @ednagodson7540
    @ednagodson7540 3 роки тому +9

    Weuweeeeee kwetu rahaaaaaaa teynaaaaaaa

  • @mamitaamashausi5164
    @mamitaamashausi5164 3 роки тому +10

    Mnani Na mi viumbe Mwapita mwanilaumuuuuuuuu
    We kuku Chakula chako Jaani
    Mie Njiwa huletewa mikononi ☺

  • @salehnassor8980
    @salehnassor8980 3 роки тому +12

    Hii taarab pambeee hongera sana sabaha nakupenda mnoo

  • @bossbaby5722
    @bossbaby5722 3 роки тому +24

    Wapiii swabah weuweeeeee💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🥳🥳🥳taarab pambeee👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 роки тому +28

    Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
    Kila alie na lake aombe Rabbi salama
    Kama langu limetota lako wewe litazama
    Kama langu limetota lako wewe litazama

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 роки тому +17

    Wewe kuku wewe kuku, chakula jaani
    Mimi njiwa Mimi njiwa huletewa mikononi
    Kama hujui uliza Mimi nawe bora nan
    Kama hujui uliza Mimi nawe bora nani

  • @user-sv2or7xc3u
    @user-sv2or7xc3u 6 місяців тому

    Pambe mama wetu jaman piga kelele Kwa mama weweweeeeeeeeeeeeeeh ❤

  • @hannanmohammed2284
    @hannanmohammed2284 3 роки тому +9

    Piga kelele kwa Saba akeee....ngoma Kali sna

  • @saidiaisha6140
    @saidiaisha6140 3 роки тому +6

    Naomba unitumie nimeipenda

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 3 роки тому +4

    Unatisha mama

  • @alithuva7480
    @alithuva7480 3 роки тому +5

    Hii kali jamani tamu km nn si choki kuickia keep it up

  • @zenaal-baalawy3262
    @zenaal-baalawy3262 3 роки тому +25

    Mtu akitaka sema kwanza hutizama yake, akageuka na nyuma kutizama yalo yake, hainuki kusimama kutangaza ya wenzake👌

  • @bestlyrics7411
    @bestlyrics7411 3 роки тому +38

    salamu nimezipata ulotuma kunambia x 2
    nasikia wajinataa leo utanitambia
    lakini utanikuta sabaha nakungojea x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    Wewe kuku wewe kuku, chakula jaani x2
    Mimi njiwa Mimi njiwa huletewa mikononi
    Kama hujui uliza Mimi nawe bora nan
    Kama hujui uliza Mimi nawe bora nani
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    mahali ukichukiza huzuka kila mazuo x2
    huzidi na miujiza kusudi uvunje cheo
    japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao x
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    ni bure hamunipati mbio mkaniendea x2
    mtakufa na laiti huku mkiwashuudia
    zimewashinda bahati ndipo mkanichukia x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    dunia yetu ya leo si yawatu kusemana x2
    kila alie nalake aombe rabi salama
    kama langu limetota na lako wewe litazama x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    mtu akitaka sema kwanza hutizama lakex2
    akazunguka na nyuma kutazama yalokwakwe
    hainuki kusimama kutangaza yawenzake x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    mwafanya muyatakayo mimi siswemi ya mtu x2
    yangu mwayafata mbio komeni roho za kutu
    kwanza safisheni nyoyo kisha museme ya watu x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    sijali mimi sijali maovu mkinitangaza x2
    ni mambo tangu angali si mwanzo kujitokeza
    najua msema kweli kwa wengine huchukiza x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    nina neno ndugu zangu naweleza sikizeni x2
    kutangazwa jina langu kwa uzushi mitaani
    hamnitii machungu wala kwangu si mageni x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
    ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini x2
    na dirisha na dirisha ulielekeze kusini
    na huna nywele kichwani sasa shanuo la nn x2
    muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4

  • @user-gt5mi3bv2v
    @user-gt5mi3bv2v 9 місяців тому +2

    Unabaya nymbo zako pambe

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 3 роки тому +15

    Wauh hili goma likua nalitafuta sana Wallah. Shukran Habibi

  • @msiyakwedele828
    @msiyakwedele828 3 роки тому +6

    Hauna nywele kichwani sasa shanuo la nini? Halooooooooooooo swabaha umenena hapo

  • @Monaish___mooon
    @Monaish___mooon 3 роки тому +8

    Salamu nimezipata jmn munani na miviumbe👌👌👌

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 3 роки тому +15

    MTU akitaka sema kwanza hutizama lake,akazunguka na nyuma kutizama yalokwake,haenuki kusimama kutangaza ya mwenzake waiyoooooooo

  • @JinaMakame-vq8mq
    @JinaMakame-vq8mq 2 місяці тому

    Wewewwee swabahaa unanipa amani ya moyoo

  • @Monaish___mooon
    @Monaish___mooon 3 роки тому +5

    Wewe kuku chakuka jaan mm njiwa uletewa mkononi👌👌👌💕💕

  • @SharifuMalinyingi
    @SharifuMalinyingi 3 місяці тому

    Mambo ya nyumbani hya kama mtu hayupo hku hana tabia hana tabia hawez kurai hana ladha ya mpñz anateseka👰🧑‍🚀

  • @LaylatMuhinda-yw1xk
    @LaylatMuhinda-yw1xk 7 місяців тому +1

    Pambe tyuuu b sabaha anazeeka na utam wke

  • @eqbalarrith4059
    @eqbalarrith4059 3 роки тому +14

    @Marjan ...naomba kibao cha 'nyumba njema si mlango fungua uingie ndani'

  • @aminamollel5725
    @aminamollel5725 3 роки тому +6

    Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu, Sempaaaaaaaaaa

  • @jidraphwaitiki1734
    @jidraphwaitiki1734 3 роки тому +5

    1z

  • @shamimali396
    @shamimali396 3 роки тому +10

    Hongera dadaangu.....

  • @nashdawood410
    @nashdawood410 Рік тому +3

    Mashaallah mpaka leo hii ikiekwa harusini hakuna anayekaa❤

  • @halimakawina4589
    @halimakawina4589 3 роки тому +15

    Asante marjan napenda sana hii nyimbo

  • @munaisa5850
    @munaisa5850 2 роки тому +4

    Santaa swabaha

  • @shakilawanjiku9013
    @shakilawanjiku9013 Рік тому +2

    ✋mimi hapa

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 3 роки тому +4

    Pambeeeee viumbe munani

  • @salunarashid6202
    @salunarashid6202 3 роки тому +10

    Wawooh

  • @XPOSED255
    @XPOSED255 7 місяців тому

    wazanzibari wenzangu mupooooooooo

  • @ktggtvgvtghadijaalifanichi1301
    @ktggtvgvtghadijaalifanichi1301 2 роки тому +2

    Hapo chacha utajuwa hujuwi

  • @mohamedsalehibrahim6291
    @mohamedsalehibrahim6291 3 роки тому +3

    Mwaka gani hiyo

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому +9

    Maneno kunntu👌😘

  • @kelevinally2962
    @kelevinally2962 3 роки тому +2

    Tenaaaaaaaaaaa habary ndoiyo hapana chezea swabaha

  • @aishajuma6216
    @aishajuma6216 2 роки тому +4

    Daaah MashaAllah nimeshaitafuta sana

  • @likedatshorty
    @likedatshorty 3 роки тому +6

    Hukosei bi Sabah ❤️

  • @sadatkawambo1148
    @sadatkawambo1148 3 роки тому +3

    Pambeeeeee ukoseagi

  • @saumujumbe7685
    @saumujumbe7685 3 роки тому +3

    Hii noma

  • @fatumachengo6390
    @fatumachengo6390 3 роки тому +22

    Munani nami viumbeeee mwapita mwanilaumu 2021 still a hit taarabu

  • @mariamsaid1130
    @mariamsaid1130 3 роки тому +75

    Only legends listening to this 2021

  • @kimlee2488
    @kimlee2488 3 роки тому +5

    Woyoooooooooooooooooo

  • @saidsirya6716
    @saidsirya6716 3 роки тому +5

    Aaah jamaniii 2021 tupo bado huku

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 3 роки тому +4

    Mwapita mwanilaumu

  • @mfalmemwinyi9474
    @mfalmemwinyi9474 3 роки тому +15

    Asanteeee

  • @KENNEDYWAFULA-rd5rj
    @KENNEDYWAFULA-rd5rj 3 місяці тому

    Masha Allah habibi

  • @dhuhurasaid2596
    @dhuhurasaid2596 3 роки тому +2

    Imepenya iyo pambe tuu

  • @Lucia-vz3rm
    @Lucia-vz3rm 3 роки тому +1

    Na bado 😅

  • @StellaAlly
    @StellaAlly 4 місяці тому +1

    Mama unajua pongezi kwako 🤲

  • @radgabbelege7234
    @radgabbelege7234 3 роки тому +3

    NIKIMSKIA HUYU NAMKUMBUKA MALIKA HIVI YUPO HAI JAMANI

  • @superdeeboy6100
    @superdeeboy6100 3 роки тому +1

    Hii pambe san nakubali

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Рік тому +1

    Kula chumaaa hicho mama umetishaa sanaaa

  • @MohamedIbrahim-if1mc
    @MohamedIbrahim-if1mc Рік тому

    Viumbe wazito kweli

  • @sabahiali6021
    @sabahiali6021 3 роки тому +4

    Nice somo

  • @doricewanjala6494
    @doricewanjala6494 Рік тому +2

    💓🔥💓🔥🔥❣️💯💯munanii nami viumbeeee

  • @user-lu5ny9pg5l
    @user-lu5ny9pg5l Рік тому

    Taarab safi

  • @user-vr2cq8ot5r
    @user-vr2cq8ot5r 9 місяців тому

    Mimi mwanahamisi amani dsm

  • @hildanjeri2248
    @hildanjeri2248 2 роки тому +6

    Still on top🎤🎤🎤🎤🎤munani nami viumbe jamaaaaaaaaaaa

  • @user-vr2cq8ot5r
    @user-vr2cq8ot5r 9 місяців тому +1

    Ninakumbukabali

  • @user-lu5ny9pg5l
    @user-lu5ny9pg5l Рік тому

    Jameni,hongela

  • @abdhully3974
    @abdhully3974 3 роки тому +19

    Finally marjan 🤗🤗💯💯

  • @SharifuMalinyingi
    @SharifuMalinyingi 4 місяці тому +2

    🎉Starehe iliyoridhiwa na jamii zenye uzuri wa tabia usafi ulianzia pwani🦜

  • @BosheniFaisary-hd7tr
    @BosheniFaisary-hd7tr 9 місяців тому

    Noma sana pro max

  • @munirazizah2367
    @munirazizah2367 3 роки тому +12

    My favorite of alltime

  • @fadhilijuma1694
    @fadhilijuma1694 2 роки тому +3

    Nyimbo tamu

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 3 роки тому +4

    Nyce song mum

  • @victoriatemu-ko8np
    @victoriatemu-ko8np Рік тому +1

    Naenjoy jamn taarabu nzuri sabaha we ni hatari❤

  • @AyshaAhmedMohamed
    @AyshaAhmedMohamed 11 днів тому

    Naupenda

  • @kiduozuberi3867
    @kiduozuberi3867 3 роки тому +2

    Swabahaa weeee

  • @fatumabakari6595
    @fatumabakari6595 27 днів тому +1

    Imenigusa.....

  • @ghaniyashaban8737
    @ghaniyashaban8737 3 роки тому +2

    Mambo ya kipwani jb hoyeeee

  • @rukiaally9284
    @rukiaally9284 3 роки тому +6

    Jaman mbon niki dowloard inakataa tunaipataj

  • @quincemoreen1263
    @quincemoreen1263 2 роки тому +7

    Sawa sawa congrats dadangu 😍😍🔥🔥

  • @masturahmuhammad5973
    @masturahmuhammad5973 3 роки тому +5

    Asalam aleykum, walipisha ngapi kuimba kwa harusi

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 3 роки тому +5

    Pambe

  • @gumatoadhihuka641
    @gumatoadhihuka641 3 роки тому +3

    Napenda nyimbo. ❤❤❤❤❤❤💥💥💥💥💛💛💛😇🙏...,Norway.

  • @SolomonNganga-f1v
    @SolomonNganga-f1v Місяць тому +1

    ❤❤❤SPECIAL REQUEST YAKE ZAM ZAM

  • @mariamadam5016
    @mariamadam5016 3 роки тому +5

    Mashallaah

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 9 місяців тому +3

    Naipenda sana hii nyimbo ❤