Naomba kuliza mm nataka kuongeza ujuzi zaidi wa style and design ju sahii mm ni pattern maker. Bt sina certificate so nataka kama naweza soma online alfu nipate certificate nitafurahi sana na nita soma kwa mda gani
Naomba kuuliza, kwa beginners, ipi ni rahisi kujifunza kati ya Adobe photoshop na Adobe illustrator? Na kati ya hizo software mbili, ipi inaufanya vizuri sana kwenye graphics?
Swali zuri, unatakiwa kuelewa kuwa huwezi kuwa designer au kufanya graphics kujua software moja tu no. unahitaji several programu so kama unataka kuwa designer unahitaji kujifunza Photoshop+Illustrator na Idesign with no exception. Zote zinaumuhimu wake na zinafanya kazi kubwa kila zinpohiyajika kulingana na aina ya design na task unayotaka kuexcute
Kazi nzuri ila jitahidi uwe short and clear
@@gabrielson9182 🙏🙏🙏
Asante sana mwalimu Joel. Stay blessed kwa majitoleo yako ili kutufindisha sisi BURE kabisaaa 🙏🙏🙏
Shukrani sana
Ahsante sana
asante kwa maelekeso
Enjoy
Nakupata vipi
Karibu sana 0745 152 680
🙏hongera pia masomo ni mengi ila kwa kiswahili ni machache atimae watanzania wengi watafikiwa
Kabisa bosy tutaweka nyingi zaidi
Nambazako je
0745 152 680
Naomba hyooo platform yako
www.joelmediaeducation.com
safiii
Safii sanaa
Nazipataje izo kozi zako
@@masabonelson6733 tuwasiliane kwa namba 0745 152 680
Good
Naomba kuliza mm nataka kuongeza ujuzi zaidi wa style and design ju sahii mm ni pattern maker. Bt sina certificate so nataka kama naweza soma online alfu nipate certificate nitafurahi sana na nita soma kwa mda gani
🙏🙏🙏
Vp kuhusu t-shirt napo unaweza kunisaidia jinsi ya kuweka nembo na kubadika picture kwenye t-shirt
Namba yako
Karibu sana tuwasiliane kwa namba hii 0745152680
Naweza kupata graphic pad ya kuchorea
App gani ni nzuri kufanyia graphic design out of Adobe photo shop
Majibu yako hapa Tazama Video hii: ua-cam.com/video/c-Gr8t0dz1E/v-deo.htmlsi=tWbU0ZHpQKGOWim7
Kisha kama inawezekana naomba kujlishwa
Naomba kuuliza, kwa beginners, ipi ni rahisi kujifunza kati ya Adobe photoshop na Adobe illustrator?
Na kati ya hizo software mbili, ipi inaufanya vizuri sana kwenye graphics?
Swali zuri, unatakiwa kuelewa kuwa huwezi kuwa designer au kufanya graphics kujua software moja tu no. unahitaji several programu so kama unataka kuwa designer unahitaji kujifunza Photoshop+Illustrator na Idesign with no exception. Zote zinaumuhimu wake na zinafanya kazi kubwa kila zinpohiyajika kulingana na aina ya design na task unayotaka kuexcute
Take your time watch this: ua-cam.com/video/c-Gr8t0dz1E/v-deo.html&si=EnSIkaIECMiOmarE
@@MyChannel-x8m ahsante sana
wewe unajua jinsi ulivyoingia kwenye hii video ndio njia bora zaidi
Da kaka unaongea sna anza kufundish jmn
😂
Je najiunga VP nahizo course zako ulizoandaa ?
@@DonaldAndrew-nx3go wasiliana nasi 0745 152 680
Kaka mm naomba kujua napata wapi hizo course zako tafadhali
Wasiliana nasi kupata kozi 0745 152 680
@@MyChannel-x8m asante kaka
Hakuna group la whatassap
Hahah umeongea mwanzo mwisho
Je Ni tatizo? au unamaanisha nn
Unaongea sana tatizoo
Shida usikiliz kjna
😂🙏🙏🙏
izo course zipo wap
Wasiliana namimi bosy 0745 152 680
Bro ninahamu ya kijifunza na nijue designing mm ni beginner sijui chochote
@@GloriaSilibwa Karibu sana wasiliana nasi tutakusaidia kukufundisha 0745 152 680