Joel Media
Joel Media
  • 398
  • 262 379
Shuhuda za Wanafunzi wa Design BootCamp 2024 Wasikilize walivyojifunza
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽: rb.gy/aj50eb
✅️Jisajili na Mafunzo ya Video Production hapa👉🏽: bit.ly/4ajx39r
✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 +255 27 150 780
Tumekuwa na wakati mzuri sana wa mafunzo ya ana kwa ana hapa ofisini kwetu kwa muda wa wiki mbili.
Imekuwa ni wiki mbili za mafanikio sana kwetu kama Joel Media, kwa kuona watu wanapata matokeo ya matarajio yao.
Hakika tumewapa zaidi ya kile walichotarajia, wasio kuwa na ujuzi, ufahamu wowote wa kudesign wala kurun matangazo wameondoka na uwezo mkubwa wa kutengeneza na kudesign matangazo.
Furaha yetu ni kumfundisha mtu akaelewa, furaha yetu ni kuhakikisha unakuwa graphics designer.
Furaha yetu ni kuhakikisha unapata uhakika wa kuishi au kupata kazi, au kuongeza mauzo kupitia hiki tunachokufundisha.
Hatujaishia hapo, washiriki wote ambao mmehudhuria Design BootCamp season 1, mmekuwa familia yetu, ya Joel media..
Pia, tutaendelea kuwa mentor/kuwasimamia kwa miezi sita tena..
Karibu Joel Media, ujifunze graphics design.. Mlete mwanao pia. Unaeweza kutembelea ofisini kwetu..
Follow me on
Instagram: ✅️ bit.ly/3s2ca2z
Instagram: ✅️ bit.ly/4anDUPP
Facebook​: ✅️ bit.ly/48ZjYTc
Email: ✅️ info@joelmediaeducation.com
Переглядів: 62

Відео

WANAFUNZI WALIOHITIMU MAFUNZO YA GRAPHICS DESIGN (DESIGN BOOTCAMP)
Переглядів 12521 годину тому
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽: rb.gy/aj50eb ✅️Jisajili na Mafunzo ya Video Production hapa👉🏽: bit.ly/4ajx39r ✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 255 27 150 780 Tumekuwa na wakati mzuri sana wa mafunzo ya ana kwa ana hapa ofisini kwetu kwa muda wa wiki mbili. Imekuwa ni wiki mbili za mafanikio sana kwetu kama Joel Media, kwa kuona watu wanapata matokeo ya matarajio yao. Hakika tumew...
Graphics Design Blue Print Hatua za Kujifunza Graphics na Kutengeneza Kipato
Переглядів 171Місяць тому
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽: rb.gy/aj50eb ✅️Jisajili na Mafunzo ya Video Production hapa👉🏽: bit.ly/4ajx39r ✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 255 27 150 780 Hatua Muhimu za Kufuata wakati unajifunza na Kumonetize Ujuzi wa Graphics Design Premium Courses: joelmediaeducation.com/ Follow me on Instagram: ✅️ bit.ly/3s2ca2z Instagram: ✅️ bit.ly/4anDUPP Facebook​: ✅️ bit.ly/48ZjYTc Em...
Ningejua Mapema Nisingefanya Makosa haya Matatu Katika Career ya Content Creation
Переглядів 173Місяць тому
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽: rb.gy/aj50eb ✅️Jisajili na Mafunzo ya Video Production hapa👉🏽: bit.ly/4ajx39r ✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 255 27 150 780 Nilimini kwamba Nitapata pesa kupitia Tutorials za UA-cam na ntafanya maisha na kufanikiwa zaidi, kumbe sio sahihi mbali na kwamba watu wanatengeneza pesa kupitia youtube ila ni ngumu sana kufanikiwa kwa kutengeneza Educatio...
MUONGOZO WA KUTENGENEZA MAUDHUI (CONTENT CREATION BLUEPRINT)
Переглядів 183Місяць тому
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽: rb.gy/aj50eb ✅️Jisajili na Mafunzo ya Video Production hapa👉🏽: bit.ly/4ajx39r ✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 255 27 150 780 Premium Courses: joelmediaeducation.com/ Follow me on Instagram: ✅️ bit.ly/3s2ca2z Instagram: ✅️ bit.ly/4anDUPP Facebook​: ✅️ bit.ly/48ZjYTc Email: ✅️ info@joelmediaeducation.com
Hiki ndicho Usichokijua Kuhusu Logo Design
Переглядів 179Місяць тому
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽: rb.gy/aj50eb ✅️Jisajili na Mafunzo ya Video Production hapa👉🏽: bit.ly/4ajx39r ✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 255 27 150 780 Wengi hawakijui hiki basi leo jifunze soma mpaka mwisho Logo Ni nembo au alama inayowakilisha Brand yako, Taassisi, kampuni, kampeni nk na sio lazima ijieleze au iwe na uhusiana wa moja kwa moja na unachofanya. Wengi wanadha...
Jifunze Graphics Design Kama upo Katika mojawapo ya kundi hili
Переглядів 201Місяць тому
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽: rb.gy/aj50eb ✅️Jisajili na Mafunzo ya Video Production hapa👉🏽: bit.ly/4ajx39r ✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 255 27 150 780 Darasa Maalum Kwaajili yako DESIGN BOOTCAMP Design BootCamp Ni Program ya Graphics Design iliyoandaliwa na Joel Media. Katika Program hii utajifunza Kuanzia mwanzo mpaka mwisho kuhusu Graphics Design Business. Utajifunza hat...
Ni Muhimu Kiasi gani Kulipia Matangazo
Переглядів 81Місяць тому
Ni Muhimu Kiasi gani Kulipia Matangazo
Jinsi ya Kupata Rangi sahihi za Kutumia Kwenye Kazi zako za Graphics Dewsign
Переглядів 134Місяць тому
Jinsi ya Kupata Rangi sahihi za Kutumia Kwenye Kazi zako za Graphics Dewsign
Nguvu ya Artificial Intelligence Katika Ulimwengu huu wa Digital Marketing
Переглядів 141Місяць тому
Nguvu ya Artificial Intelligence Katika Ulimwengu huu wa Digital Marketing
Hii Ndo sababu ya Kwanini Hupatika kazi Kila unapoomba au Kutafuta
Переглядів 142Місяць тому
Hii Ndo sababu ya Kwanini Hupatika kazi Kila unapoomba au Kutafuta
Graphics Design BootCamp Program ya Graphics Design wiki Mbili inaanza Tar 30 September
Переглядів 134Місяць тому
Graphics Design BootCamp Program ya Graphics Design wiki Mbili inaanza Tar 30 September
Mambo ya Kuzingatia kabla ya Kuanza Kushoot Video VIDEO CAMERA SETTING
Переглядів 199Місяць тому
Mambo ya Kuzingatia kabla ya Kuanza Kushoot Video VIDEO CAMERA SETTING
Tunatengeneza Content nzuri kwa Wafanyabiashara kwa Bei nafuu sana
Переглядів 93Місяць тому
Tunatengeneza Content nzuri kwa Wafanyabiashara kwa Bei nafuu sana
Mafunzo ya Graphics Design, Video Production na Digital Marketing Ofisini kwetu yanatolewa
Переглядів 169Місяць тому
Mafunzo ya Graphics Design, Video Production na Digital Marketing Ofisini kwetu yanatolewa
Jiunge na Mafunzo ya Graphics Design, GRAPHICS DESIGN MENTORSHIP PROGRAM -- JOEL KADAGA
Переглядів 4122 місяці тому
Jiunge na Mafunzo ya Graphics Design, GRAPHICS DESIGN MENTORSHIP PROGRAM JOEL KADAGA
Ifahamu Adobe Illustrator Kuanzia Mwanzo hadi Mwisho - Sehemu ya Kwanza
Переглядів 4163 місяці тому
Ifahamu Adobe Illustrator Kuanzia Mwanzo hadi Mwisho - Sehemu ya Kwanza
Hii Ndio Professional Social Media Branding
Переглядів 3773 місяці тому
Hii Ndio Professional Social Media Branding
Epuka Makosa Haya Matano (5) Wakati Unajifunza Graphics Design
Переглядів 3453 місяці тому
Epuka Makosa Haya Matano (5) Wakati Unajifunza Graphics Design
MASWALI 10: AMEJIFUNZA AKIWA HANA COMPUTER, CHANGAMOTO YA INTERNET, UMEME NI DESIGNER AMEAJIRIWA
Переглядів 2433 місяці тому
MASWALI 10: AMEJIFUNZA AKIWA HANA COMPUTER, CHANGAMOTO YA INTERNET, UMEME NI DESIGNER AMEAJIRIWA
Hatua Nne (4) Za Kutengeneza Pesa na Kupata Utajiri
Переглядів 2263 місяці тому
Hatua Nne (4) Za Kutengeneza Pesa na Kupata Utajiri
EP 10: TANZANIA HAKUNA DIGITAL MARKETER, TUMIA NJIA HII KUAJIRI WAFANYAKAZI, MSHINDI TUZO FOY 2021
Переглядів 4473 місяці тому
EP 10: TANZANIA HAKUNA DIGITAL MARKETER, TUMIA NJIA HII KUAJIRI WAFANYAKAZI, MSHINDI TUZO FOY 2021
MASWALI 10: AMEJIFUNZA GRAPHICS DESIGN KWA MIEZI SITA NA KUJIAJIRI ANATENGENEZA ZAIDI YA LAKI 5
Переглядів 4274 місяці тому
MASWALI 10: AMEJIFUNZA GRAPHICS DESIGN KWA MIEZI SITA NA KUJIAJIRI ANATENGENEZA ZAIDI YA LAKI 5
EP 09: MUHADHIRI, MWANAFUNZI BORA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM, ANATOA ELIMU YA FURSA ZA AJIRA NA AFYA
Переглядів 5654 місяці тому
EP 09: MUHADHIRI, MWANAFUNZI BORA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM, ANATOA ELIMU YA FURSA ZA AJIRA NA AFYA
MASWALI 10: JINSI ALIVYOJIFUNZA GRAPHICS DESIGN NA KUAJIRIWA, MSIKILIZE IDDY AKIJIBU MASWALI 10
Переглядів 4764 місяці тому
MASWALI 10: JINSI ALIVYOJIFUNZA GRAPHICS DESIGN NA KUAJIRIWA, MSIKILIZE IDDY AKIJIBU MASWALI 10
Wireless Microphone inatumika kwenye Simu (Android & Iphone), Tablet, Camera na Computer Bei Rahisi
Переглядів 6114 місяці тому
Wireless Microphone inatumika kwenye Simu (Android & Iphone), Tablet, Camera na Computer Bei Rahisi
Safari yangu ya Kujifunza, Kufanya na Kufundisha Graphis na Video Content Creation
Переглядів 8614 місяці тому
Safari yangu ya Kujifunza, Kufanya na Kufundisha Graphis na Video Content Creation
Nitatumia Mda Gani Kujifunza na Kupata pesa ya Graphics Design?
Переглядів 3014 місяці тому
Nitatumia Mda Gani Kujifunza na Kupata pesa ya Graphics Design?
Unawezaje Kujifunza na Kuwa Chochote katika Ulimwengu wa Teknolojia?
Переглядів 3214 місяці тому
Unawezaje Kujifunza na Kuwa Chochote katika Ulimwengu wa Teknolojia?
Ni nini maana ya Variable na Fixed Aperture Lens? Ipi ni nzuri kushoot Videos zangu?
Переглядів 1145 місяців тому
Ni nini maana ya Variable na Fixed Aperture Lens? Ipi ni nzuri kushoot Videos zangu?

КОМЕНТАРІ

  • @User2612rym
    @User2612rym 2 години тому

    Kwann mimi nkiingia Adobe Photoshop naambiwa mpka nilipie ?

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 2 години тому

      @@User2612rym pole tuwasiliane kwa namb 0745 152 680

  • @selestineramadhani7325
    @selestineramadhani7325 День тому

    Huyu ni mwizi na tapeli mkubwa. Kama kuna watu waliokwisha pata kazi kupitia kwa hawa wa soko huru watujulishe majina yao, mwaka waliopata ajira, kampuni iliyowaajiri, namba za simu za mwajiliwa, namba za simu za kampuni. Nina wasiwasi maneno yamekuwa mengi mno. Huyu anskusanta pesa kutoka kwa watu kama utapeli tu. Kuweni makini sana

  • @ABRAHAMNTABHAHANYI
    @ABRAHAMNTABHAHANYI 6 днів тому

    Nahitaji kusoma nafanyaje

  • @directorsalmin4052
    @directorsalmin4052 8 днів тому

    From backward

  • @BONGO_FILAMU
    @BONGO_FILAMU 8 днів тому

    Account yangu haijafikisha watch hour 4K ila matangazo yanaonekana Tatizo Nini.?

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 8 днів тому

      @@BONGO_FILAMU wala usijal hakuna tatizo lolote hapo ukitimiza vigezo utaweza kuaply

    • @BONGO_FILAMU
      @BONGO_FILAMU 7 днів тому

      Inamaana nikiapply baada yakutimiza vigezo haya matangazo waliyoyaonyesha watanilipa.? Kama hawatanilipa Mimi nafaidikaje na haya matangazo.?

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 7 днів тому

      @@BONGO_FILAMU Matangazo ya sasa hawatakulipa mpaka utakapoapply na kukuliwap

  • @shekhiddyonlinetv4192
    @shekhiddyonlinetv4192 9 днів тому

    Joel kadaga unafundisha vizuri sana mungu azidi kukuweka ili tunufaike na madini yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FrancisMotivation002
    @FrancisMotivation002 9 днів тому

    Brother Next year Nakuja Kwako kusomea Graphics and design,

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 9 днів тому

      @@FrancisMotivation002 Karibu sana Feel free anytime

  • @FrancisMotivation002
    @FrancisMotivation002 12 днів тому

    Next Year Nakuja Kwako kusomea Graphics and design

  • @shekhiddyonlinetv4192
    @shekhiddyonlinetv4192 12 днів тому

    Umetisha sana tunaendelea kupokea madini kutoka kwako joel kadaga

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 12 днів тому

      @@shekhiddyonlinetv4192 Shukran sana Tuko pamoja sana

  • @GOnlinepositivity
    @GOnlinepositivity 12 днів тому

    Hongera sana joel. Wakati naanzisha channel lengo lilikuwa kukuza kipaji changu cha kutangaza baada ya kufanya kazi nyingi radio za kujitolea wakati huo sikujua kama youtube inalipa kabisa. Ila nilipo pata payment ya kwanza ilikuwa kama 100$ by that time haikuwa pesa ndogo kwangu atleast ilinineosha kuwa hii platform naweza kuingiza pesa hata kwa kidogo, kitu ambacho kiliboost hali yangu ya kufanya kazi kwa bidii zaidi. Though kila unapofanya kazi nilihitaji zaidi, ilibidi nijifunze zaidi njia za kutengeneza pesa kupitia youtube, kwa mimi kama youtube inaweza kukuigizie dollar 200-300 kwa mwezi ni kitu kikubwa na inawezekana. though njia zipo nyingi kama sponsorship, merchandise n.k. Changamoto ni kubwa kwa content creator ambaye anafanya maudhi ya kuelemisha kama ulivyosema ni ngumu kidogo kukua. Ila naamini inawezekana. Asante sana kwa elimu unayoendelea kutupa.

  • @KukuWaMayai
    @KukuWaMayai 12 днів тому

    Iko vzr sanaa

  • @Kiula73
    @Kiula73 13 днів тому

    Mbona kwenye tecno hazifanyikazi

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 13 днів тому

      @@Kiula73 Zinafanya kazi nshauza kwa wanaotumia simu za aina zote bosy

  • @newttechog75
    @newttechog75 15 днів тому

    One love kaka

  • @newttechog75
    @newttechog75 15 днів тому

    Je kati ya tigo, na hii Aitrtel box ipi iko poa?!

  • @KULWAEDISON-z8u
    @KULWAEDISON-z8u 17 днів тому

    Napataje wi-fi

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 17 днів тому

      @@KULWAEDISON-z8u tuwasiliane 0745 152 680

  • @AnethJohn-u1e
    @AnethJohn-u1e 17 днів тому

    Ni bei gani naitaj

  • @rutwizovideo1369
    @rutwizovideo1369 20 днів тому

    Mwalimu mimi wakati na Export video hata ikiwa ni gospel ya dakika 8 inaniletea file kubwa yaani kuanzia 1.8GB na kuenderea hata nikishusha Bitrate Hadi 5 inachezea kwenye 1.2GB wateja wana lalamika sana kuna namna nyingine ya kupunguza file baada ya ku Export na ubora usipotee.

  • @kaittheleast
    @kaittheleast 21 день тому

    Kaka tunaomba ututengenezee video ya Pc au kompyuta zenye vigezo vipi kwa ajili ya kufanya graphics

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 21 день тому

      @@kaittheleast Hii hapa bosy wangu

  • @rutwizovideo1369
    @rutwizovideo1369 23 дні тому

    Kaka tunaomba kozi pia ya ukipiga rangi kwenye picha ndani ya Photoshop kusevu zile rang kama Lut ili hata wakati mwingine utumie zile priset, lakini pia uje na kozi ya Adobe Lightroom

  • @clarensngatunga4316
    @clarensngatunga4316 28 днів тому

    Tuko pamoja

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 28 днів тому

      @@clarensngatunga4316 pamoja sana

  • @frolakapagala9266
    @frolakapagala9266 29 днів тому

    Nimeongezacmaarifa Asante

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 29 днів тому

      @@frolakapagala9266 Hongera na Karibu sana

  • @jeremiarubeniyohana8284
    @jeremiarubeniyohana8284 29 днів тому

    Hapa umenena Teacher..... Nilikuwa napata tabu sanaaaa.

  • @hancemagoyo
    @hancemagoyo Місяць тому

    Safi sana, Madini matupu.

  • @ShilingDesigner-lj4fg
    @ShilingDesigner-lj4fg Місяць тому

    @shilingdesigner Nipo KATAVI Nakusikia vzr

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 Місяць тому

    🙏

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 Місяць тому

    Mostly printers kazi zao walizo design ni mbaya, wanacho jali ni waprint uwape chao , fursa ni kubwaaa just be great na uwonekane na wanao kuitaji

  • @RodgerxCollerx
    @RodgerxCollerx Місяць тому

    Sana broo blood Moja hiyo nimeikubar kakka

  • @BarakaSalumu-m2f
    @BarakaSalumu-m2f Місяць тому

    Bei yake

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      @@BarakaSalumu-m2f Kwasasa ni Tsh 65000

  • @terdiusWangallah55
    @terdiusWangallah55 Місяць тому

    Be specific too many explanation

  • @Nahodahajitz
    @Nahodahajitz Місяць тому

    Mwalim akitoa madini

  • @rutwizovideo1369
    @rutwizovideo1369 Місяць тому

    Je kuna namna ya kulipia post za UA-cam ili ziwafikie watu wengi? Pia mwalimu Joel kadaga tunaomba kozi ya namna ya kuweka copyright kwenye post zetu za UA-cam maana video zetu wanazichukua bira taarifa wanapost kwao

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      @@rutwizovideo1369 ndiyo kuna kitu kinaitwa google ads unaweza kulipia Video za UA-cam. Kuhusu copyright ntafanya video soon

    • @rutwizovideo1369
      @rutwizovideo1369 27 днів тому

      Tunaomba uje na hii 👆

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ 27 днів тому

      @@rutwizovideo1369 sawa sawa

  • @juntwakabete1664
    @juntwakabete1664 Місяць тому

    How much hiyo device mkuu?

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      @@juntwakabete1664 Unalipia gharama ya kifurushi kwa mwezi husika mfano kama unataka mbps 30 unalipia 110k unaunganishwa fresh

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 Місяць тому

    😂mi napenda tech, au mi mkakaa?

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 Місяць тому

    🙏hongera pia masomo ni mengi ila kwa kiswahili ni machache atimae watanzania wengi watafikiwa

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      Kabisa bosy tutaweka nyingi zaidi

  • @OmariJuma-g8m
    @OmariJuma-g8m Місяць тому

    Always you ar so fire brooo🎉

  • @RashidJuma-uh8sv
    @RashidJuma-uh8sv Місяць тому

    Big up my brothers

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      @@RashidJuma-uh8sv Thanks

  • @KillerThenall
    @KillerThenall Місяць тому

    Leta ya halotel

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      @@KillerThenall sawa bosy

  • @FedhaVanbility
    @FedhaVanbility Місяць тому

    NTAnet

  • @saada7499
    @saada7499 Місяць тому

    Naomba kujifunza

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      @@saada7499 Karibu sana 0745 152 680

  • @PeterYaya-b3h
    @PeterYaya-b3h Місяць тому

    Mnapatikana wap

    • @joelmedia_
      @joelmedia_ Місяць тому

      @@PeterYaya-b3h Ubungo External Dsm 0745 152 680