Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Internet ya Airtel kwa kutumia 5G Router Joel Kadaga Honest Review
Вставка
- Опубліковано 15 сер 2024
- Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa: rb.gy/aj50eb
Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp +255 27 150 780
Moja ya huduma ambayo kwasasa ni muhimu sana kuipata ni huduma ya Internet na kuna wakati unaweza kujikuta unatumia gharama kubwa kununua bundle kitu ambacho unaweza kutafuta njia mbadala ya kutafuta Internet ambayo utalipia kwa mwezi bila gharama kuongezeka Unlimited Internet.
Leo nmekueletea Review ya Router ya 5g Aitel ambayo kaa mpaka mwishoni ikiwa utaipenda basi ntakwambia unauipataje na utatumia kiasi gani kuipata ili na wewe ufarahi
Premium Courses: joelmediaeduca...
Follow me on
Instagram: bit.ly/3s2ca2z
Instagram: bit.ly/4anDUPP
Facebook: bit.ly/48ZjYTc
Email: info@joelmediaeducation.com
00:00:00 - Introduction
00:00:50 - About the Presenter
00:01:38 - Introduction to the Airtel 5G Router
00:01:45 - What Comes with the Airtel 5G Router
00:02:46 - Connecting Devices to the Airtel 5G Router
00:03:50 - Internet Speed of the Airtel 5G Router
00:04:30 - Connecting the Airtel Router to Your Devices
00:05:12 - Advantages of the Airtel Internet
00:06:46 - Disadvantages of the Airtel 5G Internet
00:08:35 - Conclusion
00:09:30 - Closing Remarks
hii ni nzuri kama unamatumiz madogo ila kama unamatumiza makubwa ukitumia sana inakua slow
Inaonekana hata miyaka mitano ina weza kutumia ila sio 5g kwakweli tz tunaibiwa Sana maana wenye 5g router za uhakika ni mabovu sijuwi serekali kwanini hawatuonei huruma
Hello Mr. Joel, Can you please create video showing jinsi ya ku access your Airtel 5G Smart Box router while you are away on a different network tafadhali. Thank you.
Je ninaweza kublock connection ya internet ambaye amepata password ambayo mimi sijampatia?
Uko correct kaka kwenye spidi hawakupi spidi uliyo lipia hata mm ninayo inasumbua
Labda nitoe comment kuhusu apo kwenye speed..ukicheck vizuri neno “Upto”30 mbps inamaanisha inaweza fika mpaka 30mbps but hua usually kikawaida haimaanishi kua ni exactly 30mbps ndo inahit ila ita range between 15-30 mbps depending on network maana hua ina vary haiwezi kua constant
shukran kwa maelezo yako lakin je! hilo linahalisha mara zote kutofika 30Mbps?
Uongo
Nimelipia Cha 110k lkn speed 5 mbps
est-ce que ce box a une adresse IP publique statique?
parce-que j'ai besoin d'accéder à mon ordinateur depuis internet
Zlt x25 na x28 ipi best
nina swali natamani kujua ivi iyo line ya iyo router ivi nikieka iyo line yake kwenye cm itakuaje
Je km huna power bank unaweza kuchomeka t chaji yke yke kwny umeme ukatumia
@@LutfiyaMbarak-u4x ndiyo inawezekana ila inakuja na power bank
Natamani kujua kama hii router ina weza kutumia umeme direct bila power bank na je kama ina tumia umeme direct vip kwenye upande wa umeme ulaji wa umeme per day maana kama router ni for home or ofisi purpose uwezi kila saa ukawa una charge na kutumia ina leta shida
Inatumia Moja kwa Moja pia kwa kutumia adapter wire yenye volt 12 sawa na umeme wa king'amuzi cha dstv au azam
jinsi ya kuongeza umbali bro?
Naenda Airtel kule Morocco au? Napataje?
Ahsante sana kaka
Karibu sana
hizi nishare broo sio didicated kwa hiyo huwezi kupata speed ya package ulonunua mfano umenunua kifurishi cha 30 mbps unaigawa mara mra8 ndo speed utakyo pata kudownload
Shukran kwa Elimu bosy tumejifunza
Naipatqje hii
Yes
Sio "NTANET" ni "INTERNET"
Ntaneti au Internet?
Ntanet😂
😂😂
Hivi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, kama simu yangu binafsi na watu wengine wachache, Mbps ngapi inatosha?
Naomba jibu la swali langu brother Joel
Maps 10 ambayo ni Tsh 70000 ni kwaajili ya matumizi ya nyumbani inakufaa bosy
@@joelmedia_ na iyo Smart Box, inauzwa bei gani?
Airtel hovyo sana
👍
Naomba 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Fanya review ya Vodacom router 5G
Sawa ntanyia kazi hilo bosy
nnayo inasumbua sjawa kuona tabu ya internet kama nnayoona..
Kwahiyo ni kimeo
Upload speed yake ya hovyo😢😢
Sanaaa
Unakipata kifaa kwa bei Gani kabla ya kulipia hizo packages za internet
Kifaa unapewa for free. otherwise unaweza kuchajiwa pesa kidogo za installation ukitumia frelancer akakufuata
Duh! Kumbe ni bure na tumeuziwa laki mbili 🤭🤭🤭
@@walid.a.kazuba5033yeah kama umelipia laki 2 maama kifaa ni chako ila aie pewa bure lazima aiie kila mwezi awe na hela asiwe nazo ni lazima, ila wew utalipia utakavyotaka
Tungependa uonyeshe hizo mps router
Mbps (Mega bites per second) ni speed ya Internet huwa inakua katika upload na Download so hii Ya Airtel mimi nalipia 30 mbps
❤❤