Shalom, Tunamshukuru Mungu kwa ufunuo huu wa mfungo wetu, nikiwa katika maombi roho mtakatifu amenisaidia kujua hili: yakua tunapokomboa na kumilikinvilivyo vya kwetu hatukomboi vya kwetu tu bali na vya watu wengine nikimaanisha Taifa kwa ujumla… tunapokua kwenye maombi tujue kua tuna mzigo wa kukomboa na vya watu wengine, kuna nguvu za giza mahospitalini zinachukua roho za watoto walio zaliwa na wagonjwa mbalimbali sasa kupitia mfungo wetu huu tusisahau kukomboa na taifa na watu hata tusio wajua na wengine ni ndugu zetu. Mungu atusaidie katika hili na kwa msaada wa roho mtakatifu. Mungu awabariki.🙏
Nashukuru mungu leo ndio nimanza hii safari ya kufunga na kuomba nilianza vizuri na nimalisa vizuri nashukuru mungu kwa hii siku ya leo kweli imangalimu mukono wa mungu barikiwa sana mtumishi wa mungu🙏
Mtumishi kuna wengine tunafunga lakini kuna siku tunakuwa bize kazini let's say mm ni mtumishi hospital kuna siku nakuwa bize sana na kazi kuja kupumzika muda umeenda sana,je naruhusiwa kutamka vitu wakati nafanya kazi? Maana kuna siku unataman ukae utulie usome neno,usali lkn muda huo haupatikani,kilichopo binafsi huwa natamka tuu hata kama npo katikati ya kazi natamka,muda pekee unaokuwa mzuri n asubuhi kabla yakuingia kazini na jion baada ya kutoka kazn,hapa katikati Mara chache sana kuwa free.ila naomba Mungu atukumbuke tuu nasisi na ninaamini atafanya na kutenda maana tumemkimbilia yeye.
Mtumish kuna wengine wanafanya maombi na kufunga nyumban na wengine wanafanya kaz za baar na unajua hizo kaz kunachagamoto kubwa je wakifunga na kumlilia mungu atasikia maombi yao?
Amina mtumishi MUNGU atutie nguvu
Amen amen amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Tunashukuru Mungu Kwa siku ya ine Asante Yesu Kwa kutuwezesha emeeeeen
Katika jina la yesu kristo,na Mungu aniepushe natamaa.
Shalom, Tunamshukuru Mungu kwa ufunuo huu wa mfungo wetu, nikiwa katika maombi roho mtakatifu amenisaidia kujua hili: yakua tunapokomboa na kumilikinvilivyo vya kwetu hatukomboi vya kwetu tu bali na vya watu wengine nikimaanisha Taifa kwa ujumla… tunapokua kwenye maombi tujue kua tuna mzigo wa kukomboa na vya watu wengine, kuna nguvu za giza mahospitalini zinachukua roho za watoto walio zaliwa na wagonjwa mbalimbali sasa kupitia mfungo wetu huu tusisahau kukomboa na taifa na watu hata tusio wajua na wengine ni ndugu zetu. Mungu atusaidie katika hili na kwa msaada wa roho mtakatifu. Mungu awabariki.🙏
Umenena vyema hakika. jambo hili tulifanye kwa kudhamiria kutoka ndani maana sisi Mungu ametuamini kwa nyakati hizi
Amen mtumish
Ameni 🙏.
Amina Mtumishi wa Mungu
Ameni amen🙏na Mungu azidi kua mwaminifu kwetu ili tufahamu mapenzi yake na kuyatimiza..Asante sana kwa maarifa haya God bless you 🙏🙏
Mungu azidi kututia nguvu sote
Mary ( 🙏).
Asante sama
Amen🙏🙏, Mungu ni mwema sana ubarikiwe sana mtu wa Mungu ♥️🇰🇪
Amen 🙏🙏 mwenyezi Mungu awasaidie na awaongoze katika hiyo safari barikiweni wote
Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumishi
Amen 🙏
Amen 🙏 🙏 🙏 mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kwa kutupa ufahamu huu haki unatusaidia sana
Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa mahumbiri mazuri sana
Amen mtu wa mungu umenisaidia sana kutoka. Kenya
Amen 🙏 🙏 mungu akubariki san
Eh mungu nisaindie uniodolee kiu kabisa nipate neema
AMEN AMEN AMEN 🙏 🙌
AMINA 🙏🙏
Ameeeen ameeeen❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana
Namshuru mungu anaendelea kunisaidia..ju mahali nilipo nimungu tu..mukono wake ni wa nguvu..
Mungu nisaidie anitoe na tamaa ya chakula kesho nianse kufunga nimechoka na roho ya madeni kutoka kenya
Àmina 🇹🇿🌏🙏
Blessed be🙏
Nakuelewa vizuri kabisa
Shalom Family
❤
Nashukuru mungu leo ndio nimanza hii safari ya kufunga na kuomba nilianza vizuri na nimalisa vizuri nashukuru mungu kwa hii siku ya leo kweli imangalimu mukono wa mungu barikiwa sana mtumishi wa mungu🙏
Ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Glory to lord ❤
😂asanteni sana❤🙏🙏👏👏🤗🤗💪💪
Natamani kufunga sijui naaza je na masharti ni yapi
Mtumishi kuna wengine tunafunga lakini kuna siku tunakuwa bize kazini let's say mm ni mtumishi hospital kuna siku nakuwa bize sana na kazi kuja kupumzika muda umeenda sana,je naruhusiwa kutamka vitu wakati nafanya kazi? Maana kuna siku unataman ukae utulie usome neno,usali lkn muda huo haupatikani,kilichopo binafsi huwa natamka tuu hata kama npo katikati ya kazi natamka,muda pekee unaokuwa mzuri n asubuhi kabla yakuingia kazini na jion baada ya kutoka kazn,hapa katikati Mara chache sana kuwa free.ila naomba Mungu atukumbuke tuu nasisi na ninaamini atafanya na kutenda maana tumemkimbilia yeye.
mchana fanya ukipata nafasi,ukikosa kabisa hakikisha unaendelea na maombi huku unaendelea na kazi zako, ila utumie muda mzuri asubuhi na usiku pia
@@sirizabiblia5276 asante mtumishi
Kabisaa Mungu atukumbuke
Nivizuri kuolea na mwanaume mdogo kuliko mke
Mtumish kuna wengine wanafanya maombi na kufunga nyumban na wengine wanafanya kaz za baar na unajua hizo kaz kunachagamoto kubwa je wakifunga na kumlilia mungu atasikia maombi yao?
Samahani hii Yohana 14:21..yeye aliye na amri zangu na kuzshika yy ndie anipendae atapendwa na babaangu... niivo mtumishi anamaanisha?!!🙈 polen.
Nivizuri kuolea na mwanaume mdogo kuliko make.?
Naomba link ya whatsapp
chat.whatsapp.com/JAEil8V4RqcKua7wd9Orc3
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen
Amen
Amen amen
Amen and Amen 🙏🏻
Amen
Amina
Ameeen
Amen
AMEN 🙏
Amen 🙏💕
Amina🙏
Amen and Amen
Amen
Amen Amen Amen
Amen ❤
Ameen 🙏🙏
Amen and Amen
Amen
Amen 🙏
Amen 🙏