MAZOEZI YA KWANZA BAADA YA KUTUA ETHIOPIA KUWAVAA CBE KIMATAIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 127

  • @G.J-vp6fb
    @G.J-vp6fb 5 днів тому +29

    Mungu awe nanyi ...mkumbuke kuwasaidia wahitaji ...sadaka hizo Mungu anajibu kwa ushindi mnono !! All d best my team 🔰🔰🔰💪

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 5 днів тому +13

    Mungu awasaidie jamani na hyo hali ya hewa ya huko maana dah kuna wakati watu wanakosaga pumzi ambao hawajaizoea ila naamini Mungu atakuwa upande wenu na hamta hathirika na hali ya hewa🙏🙏🙏💚💚💚💚💚

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 5 днів тому +12

    Mungu ibariki young africans icheze mchezo salama na imalize mechi ikiwa imeshinda Inshaallah.

  • @user-zu9gk8il3p
    @user-zu9gk8il3p 5 днів тому +12

    Mungu ibariki yanga baba inshallah tutashinda daima mbele nyuma mwiko

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 5 днів тому +8

    Mungu awalinde jeshi lote la wananchi , pigana vita iliyobora ugenini ili mkirudi nyumbani kazi iwe rahisi

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 5 днів тому +9

    Kila la kheri Team ya Wananchi### Daima mbele Nyuma Mwiko💚💛💚💛💚

  • @nicksonmlay542
    @nicksonmlay542 5 днів тому +9

    all the best champs💚💚💚💚

  • @oscartemba3600
    @oscartemba3600 5 днів тому +7

    Time will tell 👏👏👏👏👏👏

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 5 днів тому +7

    kweliiii yangaa kubwaa sanaaaa mpaka gamond amejuaa kusemaa inshaallah😂😂😂😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 5 днів тому +4

    Mungu amekwishawainulia mkono wake wa ushindi. Kilichobaki ni kuipambania nembo ya ushindi yanga.

  • @Loy-g2m
    @Loy-g2m 4 дні тому +2

    Kumbe wachezaji wote wapo na mazoezi yanaendelea asante Mungu 🙏🙏 kila la kheli chama langu

  • @MAGOHABENEDICTOTv
    @MAGOHABENEDICTOTv 5 днів тому +4

    Nmefurahi kuona mastaaa wetu wote

  • @samwelamsi1996
    @samwelamsi1996 5 днів тому +6

    Oyaaa kumbe zipo tayari na timu hongera Sana YANGA BINGWA

  • @tuzohenjewele2747
    @tuzohenjewele2747 5 днів тому +6

    Mwenye taarifa za Dickson Job jaman atujuze maana hakumaliza mechi dhd ya Guinea

  • @yasinismail-hb4so
    @yasinismail-hb4so 5 днів тому +5

    Inshallah tutashinda mungu aibariki yanga

  • @patrickmanamla1413
    @patrickmanamla1413 5 днів тому +8

    Yanga 🔥 4rever

  • @Ba63828
    @Ba63828 4 дні тому

    Yes to be at the top of African soccer and now to qualify to the group stage. Thank you coach and best of luck.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 днів тому +3

    In you we believe 💚💛💚👇fro UK ! Tuko pamoja

  • @husseinpetro8615
    @husseinpetro8615 5 днів тому +5

    Yanga will be the top club

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 5 днів тому +4

    Inshaallah kila la kheri 💚💚💚💛💛💛

  • @IsabelaConstantino-ns7kx
    @IsabelaConstantino-ns7kx 5 днів тому +2

    Mungu ibarik Tzania na watu wake

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 5 днів тому +2

    Inshaalah Allah akufanyie wep jumamosi mshinde

  • @dullamuwise4802
    @dullamuwise4802 5 днів тому +4

    Nimefurahi sn kuwaina wachezaji wetu wote kwa kurejea clabuni salama kutoka kwny majukumu ya Taifa yao. Allah wajalie afy njema n tupate ushindi mnono Amina 🔰 Wawakilishi wa nchi 🇹🇿

  • @HawaAlznezbar
    @HawaAlznezbar 4 дні тому

    🎉🎉🎉🎉🎉kila la khery wananchii tunawaombea dua ushind muhim san 🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 5 днів тому +3

    Yanga 🎉🎉🎉🎉

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 4 дні тому

    All the best kwenye maandalizi yenu 💚💚🖤🖤💛💛

  • @naomimassawe4855
    @naomimassawe4855 5 днів тому +3

    katika,magumu yote bwana mungu atawapa masada toka patakatifu pake

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 5 днів тому

    In sha A llah mwenyezimungu awape wepesi ktk vifua vyenu pamoja na miguu Akili nautulivu ktk kazi Aamiin Pia Awalinde na mitihani ya uwanjani mfanye vzri💛💛💛💛🤲

  • @user-MIO5pu1iv7o
    @user-MIO5pu1iv7o 5 днів тому

    MUNGU wetu tunaemwanimi
    Tunamwomba awaongoze awalinde kazi yenu isiwe bure
    Mkapambane mtoke na ushindi .tunawatakia Afya njema
    Amina ❤🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉

  • @josephinenyangi9484
    @josephinenyangi9484 5 днів тому +1

    Ameen

  • @MnyaruWadar
    @MnyaruWadar 5 днів тому +2

    ❤❤❤❤❤ kwa yanga

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md 5 днів тому +3

    Hayo Makoti makali sana

  • @ZaydShafii
    @ZaydShafii 5 днів тому +1

    Nafurahi kuona kikosi kime kamilika kazi njema jeshi letu

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini 5 днів тому

    God bless us

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 дні тому

    Young African take nowadays the highest qualifying position, Younger win Africa champion Cup GOD with you all

  • @PetetIgnas
    @PetetIgnas 5 днів тому +3

    Wa kwanza

  • @swediomary3550
    @swediomary3550 4 дні тому

    Mungu ibariki yanga

  • @ChandaAndambike
    @ChandaAndambike 4 дні тому

    Mungu ibariki yanga yangu tupate ushindi mnono.

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo 5 днів тому

    Mwenyezi mungu awe pamoja nañyi murudi na ushindi wanangu Amen Amen

  • @LemomoSemhako
    @LemomoSemhako 4 дні тому

    Nawatakia kila la here washujaa wetu ❤❤❤❤

  • @EmanuelMiyonjo
    @EmanuelMiyonjo 4 дні тому

    Yanga bigwa 💚💚💛💛🙏🙏🙏🙏

  • @SaimoniMapunda
    @SaimoniMapunda 4 дні тому

    Kilalahery chamalangu🙏🙏

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 5 днів тому +1

    Allaah Akbar

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 4 дні тому

    In Sha Allah...🙏

  • @Kijavaa_jr
    @Kijavaa_jr 4 дні тому

    Tupo pamoja tusonge mbele 💪💪💪

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 5 днів тому +2

    Nime penda kumuona azizi ki, mudathir, pacome duke abuya barcaa na wengine wooote

  • @Oman123-t9q
    @Oman123-t9q 4 дні тому

    Mungu awatagulie

  • @StephanJulius-b9d
    @StephanJulius-b9d 5 днів тому

    Kweli mungu awatangulie

  • @IssaNdelwa-pz3zl
    @IssaNdelwa-pz3zl 5 днів тому +1

    Mungu awe nanyi

  • @MaupendoMaganga-i1k
    @MaupendoMaganga-i1k 5 днів тому +1

    mwenyez mung akawasaidie inshallah

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 5 днів тому

    Long live "Wanainchi" pride of Bongo.

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 4 дні тому

    MORE BLESSINGS TIMU LA WANA WA NCHI DAR YOUNG AFRICAN

  • @bodyaman
    @bodyaman 4 дні тому

    Eeee Mwenyeezimungu ibariki Yanga, Ibariki Tanzania na ibariki Africa nzima.

  • @PrinceEmmanuel-u1y
    @PrinceEmmanuel-u1y 5 днів тому +1

    Mungu awabariki

  • @johnmalisa9373
    @johnmalisa9373 5 днів тому +1

    Duuh wachezaji wote wamefika duuh

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 4 дні тому

    Viva young Africans

  • @FabianiAllex-sz2yx
    @FabianiAllex-sz2yx 5 днів тому +1

    Yanga champion

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 5 днів тому

    Mungu awasaidie

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 5 днів тому

    GOD BLESS YOU

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq 5 днів тому

    mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata kwauzuri pore nasafari tunatengemia ushindi mugu awabariki

  • @daggerslick
    @daggerslick 5 днів тому +1

    Young Africans 💛🎉

  • @financemanager1711
    @financemanager1711 5 днів тому +1

    CBE watalia

  • @ChristopherStephano
    @ChristopherStephano 4 дні тому

    Young African is a big club and have good players compare to other clubs 0:00

  • @ereneusalexanderisaya5432
    @ereneusalexanderisaya5432 4 дні тому

    We are together Young African 3point is important.

  • @EmmanuelCharles-d6x
    @EmmanuelCharles-d6x 4 дні тому

    Mungu mwema mtashinda

  • @TuorMichosho
    @TuorMichosho 5 днів тому +1

    Kikubwa kupambana

  • @Davidchille
    @Davidchille 5 днів тому +1

    Here we go kombe jangwan this year

  • @GideonIshebakaki
    @GideonIshebakaki 5 днів тому +1

    💛💚💚💚💚yanga bingwa

  • @Salumsalafi
    @Salumsalafi 5 днів тому

    Alie msikia gamond akisema inshallah

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 4 дні тому

    Full mkoko,kishaumana,watataja🎉🎉🎉🎉

  • @user-dj7mx1vo5s
    @user-dj7mx1vo5s 4 дні тому

    Nawatakia ushindi mkubwa huko Ethiopia na mrudi salama

  • @makoyemayila1793
    @makoyemayila1793 5 днів тому +1

    Sijamuona BBD

  • @user-kf3ft8pk8e
    @user-kf3ft8pk8e 4 дні тому

    Mungu awateteee nyote

  • @abdunnurahmedsilim7456
    @abdunnurahmedsilim7456 5 днів тому

    All the best our HEROES, we will make it to the Group Stage insha Allah

  • @AllyAmanzi-x5m
    @AllyAmanzi-x5m 5 днів тому +1

    Hawa mfumo unawaitaji

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 5 днів тому +1

    Nimefrah kuona wachezaji wote

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 5 днів тому

    Kila mmoja awe timamu katika Mungu ili tueze kuupata utimamu wenu wote
    Hatuhitaji ubinafsi au kujiuza kwa maslah binafsi ila mjaliwe kuwa na uwezo wa kitimu

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 5 днів тому +1

    Yanga

  • @MarcelSospeter
    @MarcelSospeter 5 днів тому

    Nilichofurahi ni kuwaona wachezaji waliokuwa kwenye timu zao za taifa

  • @browntv1119
    @browntv1119 5 днів тому

    yanga bingwa

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 5 днів тому +1

    Kila la kher Chama langu pendwa kuelekea mechi ya jumamos hee mungu tusimamie

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 5 днів тому +1

    Endeleeni kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 5 днів тому

    Nyengine kubwa

  • @MauBonde
    @MauBonde 4 дні тому

    Nakiamini kikosi Wana kujituma umakini na umoja ndio Siri ya ushindi ,msijisahau majina yanapaa sio kama zamani kama Una malengo na kipaji utafika mbali,daima mbele nyuma kwetu mwiko,watoto wa jangwani.msisahau Wana kuna kukamia game...

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 5 днів тому

    Good coach

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 4 дні тому

    🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 5 днів тому

    kila la kheli jeshi letu🙏

  • @BahatiSego
    @BahatiSego 4 дні тому

    💚💛💚💛💛

  • @TaizInvestment
    @TaizInvestment 4 дні тому

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @TherezaTheobald
    @TherezaTheobald 5 днів тому +1

    🎉🎉🎉motoo

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 5 днів тому

    Sijakuona Chama na Musonda

  • @ObeidPaul
    @ObeidPaul 5 днів тому

    Viva yang💚💚💚💚💚💛💛💛

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 5 днів тому

    Mungu pamoja nasi

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 5 днів тому

    Mtakaopata nafasi tumieni muda na nafasi vizuri. Score as much as possible. Dube, bareke, msonda, mzize, chama, pacome, azizi na wengine mnahitaji kuongeza umakini na ukatili mnapolijongea lango la mpinzani. Natamani kila mchezaji uwanjani anaweza kuipatia ushindi timu yake. Kumbukeni gori la mama linavyonoga.

  • @Jumagilyatz
    @Jumagilyatz 4 дні тому

    Kesho tunataka ushindi wabao 5tu

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 4 дні тому

    Naitakia timu yangu ushidi

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma 5 днів тому

    ABEBE BIKILA

  • @PachaPanga
    @PachaPanga 4 дні тому

    Mungu asimame na nyie

  • @user-dj7mx1vo5s
    @user-dj7mx1vo5s 4 дні тому

    MZEE PEMBE LUSWAGA WA CHANIKA TAWI LA MSHIKAMANO NAWATAKIA USHINDI MKUBWA

  • @SwahibuJuma-d6b
    @SwahibuJuma-d6b 5 днів тому

    💪💪