TANGANYIKA BONDO GROUP

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • TANGANYIKA BONDO GROUP KIGOMA UJIJI KATA YA KIPAMPA

КОМЕНТАРІ • 26

  • @tamashaharuna1833
    @tamashaharuna1833 3 роки тому +5

    Watu wa kigoma wamejaaliwa vipaji ata ngoma zao za asili ni nzuri safe Sana .ukiwekwa usambere ni balaa.kwetu pazuri nimeshapakumbuka❤️😃😃

  • @sumisumi8181
    @sumisumi8181 2 роки тому +1

    Wabembe wa mbondo asateni sana kwa ngoma ya hasili yetu

  • @mwajumamsomaly8391
    @mwajumamsomaly8391 5 років тому +3

    Napenda sana kundi la Tanganyika bondo group

  • @adrophinambona2993
    @adrophinambona2993 2 роки тому

    waooooo mnanikumbusha mbali Sana hongereni

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 роки тому

    🤲🙏🤲🙏🤲🤭🤭😂😂😂😂💃💃💃imbeniii jamaniii eeeee 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @tatyananzeyimana4586
    @tatyananzeyimana4586 3 роки тому +1

    Mm sijaelea Tanzania ao tanganyika mm naskia Tanzania ichi yara🤣🤣ao sio wezang link km tuko pamoja😘😘

  • @bintimishanga5830
    @bintimishanga5830 3 роки тому

    Weeuweeeeeee fayaaaaaa kigoma nosana👌👌💃💃💃💃💃

  • @Firemusic7
    @Firemusic7 2 роки тому +1

    Jitaidi kuweka picha kwenye UA-cam channel yako ndugu

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 роки тому +1

    Hongereni Sana wapendwa wangu nawakubali sana

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 роки тому

    Naipenda Kwakweli sio siri 👌♥️👌

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 роки тому

    Mbona hamleti nyimbo zingine jaman

  • @DanielDaniel-ee9dz
    @DanielDaniel-ee9dz 3 роки тому +1

    Jamani Nani mzimamizi wahili kundi tafadhali natamani kumpata

  • @amisabolenge3272
    @amisabolenge3272 3 роки тому

    Naipenda sana iyo ngoma

  • @salomesafi1226
    @salomesafi1226 2 роки тому

    🔥muwe naweka namba zenu😅

  • @kstarunstoperble9155
    @kstarunstoperble9155 3 роки тому

    Asante tanzania nchi ya raha

  • @rejinafosta8002
    @rejinafosta8002 Рік тому

    ❤️❤️❤️💖

  • @SalimaOmari-me4bo
    @SalimaOmari-me4bo Рік тому

    Good

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 4 роки тому +1

    Kigoma oyeeeee

  • @hawarajabu7473
    @hawarajabu7473 3 роки тому

    🔥🔥🔥💞🌸🇦🇴

  • @robertramazani9058
    @robertramazani9058 3 роки тому

    Ongereni sana Kwanini hamtii namba zenu za simu kwanii?

  • @malengafataki1228
    @malengafataki1228 3 роки тому +1

    💥💥💥❤❤🙏🙏👏

  • @mariecelestin3757
    @mariecelestin3757 3 роки тому

    Wow 🤩

  • @rejinafosta8002
    @rejinafosta8002 Рік тому

    M-bembe org

  • @jennytambwe9069
    @jennytambwe9069 5 років тому +1

    😘😍😍😍😍