Goli la Kaseke | Pamba Jiji 1-0 Azam FC | NBC Premier League 09/02/2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Super Sub, Deus Kaseke ameifungia Pamba jiji FC goli pekee na la ushindi dhidi ay Azam FC , ikiwa ni mpira wake wa kwanza kuugusa tangu aingia dimbani dakika ya 85.
    Ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague iliyopigwa leo kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza....
    Tazama goli...

КОМЕНТАРІ •

  • @Niika870
    @Niika870 14 годин тому +1

    Safi sana mlitucheka juzi

  • @blessthegreat6210
    @blessthegreat6210 3 години тому +1

    Azam FC wanazidi kujikita kwenye nafasi ya tatu..

  • @timamulituto
    @timamulituto 16 годин тому +2

    Yan awa ni mbwa sana ndio maana miaka yote watakua wasindikizaji tu uwez kukaza timu kubwa alafu ukicheza na timu ndogo unalegeza

  • @Christian-j1j2w
    @Christian-j1j2w 15 годин тому +1

    Juzi Zaka za kazi alicheka sana Simba kutoa suluhu, akasema gape kati yao na Simba limepungua 😄😄😄😄

  • @BarakaPatrick-qe6se
    @BarakaPatrick-qe6se 14 годин тому

    Woow...

  • @jerusalemfpctbabatimjini3221
    @jerusalemfpctbabatimjini3221 8 годин тому +1

    Ligi Ngumu

  • @JosephMchimat-w4s
    @JosephMchimat-w4s 16 годин тому

    Hatari sana

  • @yamungumvukano9041
    @yamungumvukano9041 16 годин тому

    Safi. Sana

  • @BMGOnlineTV
    @BMGOnlineTV 16 годин тому +1

    Pamba unyonge mwisho ulikuwa mzunguko wa kwanza😂

  • @shamtealmas3290
    @shamtealmas3290 16 годин тому +1

    hongera pamba jiji kwa ushindi tushinde game 4 mfululixo akij yanga pia tumpige ,2

    • @awenasaid8902
      @awenasaid8902 16 годин тому

      Yanga iyo gsm pamj na pamba jiji au??

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 15 годин тому

      ​@@awenasaid8902Hahaha yanga akishinda mtayasikia Sana maneno ya GSM.. wakati Simba anaongoza kauli ilikuwa ubaya ubwela..

    • @awenasaid8902
      @awenasaid8902 15 годин тому

      ​@@thadeylyimo9772hapan ilikuwa gusa achia twende kwao

  • @JiresJackson-y6x
    @JiresJackson-y6x 14 годин тому +1

    Azam ni tmuh kubwa na xuala lakufungwa ni kawaida

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 13 годин тому

      Hata Pamba ni timu kubwa kwao suala la kufunga ni la kawaida!

  • @omegaanyitike3263
    @omegaanyitike3263 15 годин тому

    Minziro ni kocha mzuri snaa pamba matumain yanaonekana

  • @AdilyAgustine
    @AdilyAgustine 17 годин тому +14

    Wakikutana na Yanga sasa wanavyokaza mafuvu

    • @harunayman
      @harunayman 16 годин тому +8

      Utadhani ubingwa unapatikana kwa kuwafunga yanga nyambafu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV 16 годин тому +1

      Simba labda😂 hawa si watoto wa GSM😂

    • @idrisadjuma9322
      @idrisadjuma9322 16 годин тому

      Umeoan

    • @CukraBoutfol
      @CukraBoutfol 16 годин тому

      😂😂😂😂

    • @LevisTitus
      @LevisTitus 16 годин тому +1

      Na hao pamba Jiji wakikutana na yanga wanavyokuwa lege lege utaskia hamsa

  • @NeemaEmanuel-t2f
    @NeemaEmanuel-t2f 16 годин тому +1

    Ila kocha wa pamba😅

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 16 годин тому

    wew umefrah kwakuwa alianza yey kukubak ndipo akafata kijan kutok tabora na yey akakubaka

  • @KimtiBoy
    @KimtiBoy 16 годин тому +1

    Huyu kipa wa Azam mie nimemuangalia tokea mapema Kama hayupo sw hivi

  • @Dullah_tz
    @Dullah_tz 17 годин тому +1

    Kumeanza kuchangamka sasa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-sy6ty8qb3n
    @user-sy6ty8qb3n 16 годин тому +1

    Pamba gari limewaka

  • @UwesuMkiji
    @UwesuMkiji 16 годин тому +1

    Wazee wa kukamia wamashenyentwa

  • @samwelfugo9496
    @samwelfugo9496 13 годин тому

    Mbona hujapost highlights zote

  • @HemedyMustapha
    @HemedyMustapha 16 годин тому +1

    Azam kazi kukamia yanga

  • @SimonMabigi
    @SimonMabigi 16 годин тому +1

    Azam uzeni juice tu mpira hamuuwez timu inasubili kukamia timu moja2 ligi Zima 😂 hamjitambui

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka Годину тому

    Hapo kdg refa asem ni offside au fauli bht nzuri mpr haukuwa na contact yyt,na ulipigwa mbele ya mabeki wa colla😂

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 15 годин тому

    Bao la awali la Pamba lilikataliwa na Mwamuzi kwa udhaifu wake au maelekezo toka juu??

  • @AlexanderBaltazary
    @AlexanderBaltazary 14 годин тому

    Wanafkil ubingw ni ice

  • @oblemongi4195
    @oblemongi4195 16 годин тому

    Kiko wapi😮

  • @MaikomaikoKimarosway
    @MaikomaikoKimarosway 13 годин тому

    Wasenge wanawakazia yanga tuu😂😂😂😂😂

  • @zuberimusamazari7003
    @zuberimusamazari7003 16 годин тому

    Mtu mbadi

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 16 годин тому

    TP-LINDANDA SAFI SANA .. DIRISHA DOGO NAONA LIMELIPA..

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 17 годин тому

    Timu za GSM

  • @JiresJackson-y6x
    @JiresJackson-y6x 12 годин тому

    Mbonah Kuna kelele xanaah

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 16 годин тому

    Wataanza pamba ni timu ya gsm😅😅😅.

  • @RoseManyama-j5u
    @RoseManyama-j5u 15 годин тому

    Nimeon mtu kavaa tshet imeandikwa gsm co pamba ni ya gsm😮

  • @MussaFadhil-ef7rs
    @MussaFadhil-ef7rs 17 годин тому

    Pamba jiji😅😅

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 14 годин тому

    Subiri azamu wakutane na yanga sasa wanakamia shoo vubaya mno😆😆

  • @RogersRugumisa
    @RogersRugumisa 15 годин тому

    Makenge haya Azam 😂😂😂

  • @MuksiniKazumari
    @MuksiniKazumari 16 годин тому

    Wakikutana na yanga wanovokaza Hawa mbwa

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 16 годин тому

    Umeonaaa

  • @EsterDaud-v2u
    @EsterDaud-v2u 16 годин тому

    Kuna timu iliwahi kusema wao naazam ndiowakubwa ila simba msiwatukane wakubwa wenzenu jamani

  • @UwesuMohamed-q1y
    @UwesuMohamed-q1y 14 годин тому

    Wakikutana nayanga Azam wana towa macho hao wakikutana na watoto wadogo hawana lolote

  • @HajiMbarouk-t8u
    @HajiMbarouk-t8u 16 годин тому

    Azam kwa stail hii mtachukuw ubigwa kwel

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 15 годин тому

      Hapa tayar washapoteza point

    • @HajiMbarouk-t8u
      @HajiMbarouk-t8u 15 годин тому

      Apa hamna kitu asipo angalia ata nafas ya 4 atakuwa

  • @subiralema
    @subiralema 14 годин тому

    Azam refa kawabeba akuna kitu

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 16 годин тому

    Na wewe ulibakwa na yanga si ndiyo?😅😅😅😅

  • @GenelivaSylvester
    @GenelivaSylvester 16 годин тому +1

    Nmefurahije hawa walamba ukwaju wakikiutana na yanga wanahisi ndo wanaenda kuwa mabingwa af kwngne yanalegea ka nn ngoja wawekwe na ubingwa wataendelea kusikilzia kwenye tv,shenziii zao

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 15 годин тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RamadhanHemed001
    @RamadhanHemed001 13 годин тому

    Yani mpira wa bongo cjui Sheria Kwa wacheza waliopo benchi kuingia kushangilia ndani ya kiwanja TFF wapo wapi

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 13 годин тому

      Lazima Panba atapigwa faini, hakuna namna!