Video song - Magufuli hujui tu hata kama akaunti yangu imefungwa kwa sababu ya wimbo huu nk.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @MulemaFamily
    @MulemaFamily Рік тому +1

    Ubalikiwe mutumishi wa munguu mungu akutangulie uwe salama❤😊

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 роки тому +6

    Najikuta namimi naanza kuwa kikosi cha nguv kazi kwasabab ya ukweli unaosemwa napenda sana watu wanaosimama na kusema ukwli hawaogop cha mtu,Yesu alie Mwamba wetu azidi kutufanya imara shetani tumuachie historia kama walivyomwachia,Petro,Paulo,Suleiman,daud,dorkas,na kiboko xaidi alikua Yesu mwenyewe,amina Mungu azidi kuwainua mpaka kieleweke,

  • @RobertSingiwa
    @RobertSingiwa Рік тому

    Kweli baba ulisema baba mangufuli alikuwa anaona mbali mungu amupumzishe pema peponi pole baba mbalikiwa

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Рік тому

    Sio wote wame elewa unacho imba ila ulicho kiimba kimetimia kwa magufuli sikuzote duniani nabii haeshimiki kwao mungu atu baliki tusikie injili yako mungu nisaidie nakuomba

  • @MikeMwaibanje-nw6oq
    @MikeMwaibanje-nw6oq Рік тому

    Jamani mwacheni mtumishi wa watu anatia huruma anatufanya nasisi tulie mumemua mtoto wake, mnataka mufunge na kanisa itashuka ghazabu ya mungu.alafu tatizo la wachungaji wakibongo wenzao wachungaji wanafurahia.wanaroho yakinafiki

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 Рік тому +1

    Hakika Magufuli ulikua mtumishi mwenye maono ya Mungu.
    endelea kupumzika kwa amani.

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 Рік тому

    Mtumishi hakika ulitabiri ila atuna neno zaidi ya kumkabidhi Mungu amtete uko aliko kutwaa ila tunalia tuna kukumbuka sana Magufuli.

  • @thomasopisa4911
    @thomasopisa4911 3 роки тому +3

    Kweli shujaa katuondokea,tunamwuamini sana hapa kenya kwa maendeleo amewafanyia wa tz na kumpenda mungu rip MAGUFULI

  • @mundhirali2687
    @mundhirali2687 3 роки тому +2

    Maneno ya hekma ...Mungu. Akulaze mahali Pema peponi president of poor people...pole mchungaji

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 3 роки тому +3

    Mungu Umempenda Rais Wetu Namuombea Rehema Umrehem Nilimpenda Walai 😭.

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 роки тому +2

    Uliimba kwa kweli inatakiwa uwe chuma imara usiwe nusu udongo nusu chuma ndo sababu wame piga chuma udogo ukagawanyika Mungu atusaidie

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola Рік тому

    Mbarikiwa umeimba vizuri sana

  • @georgendack6418
    @georgendack6418 3 роки тому +6

    Shujaa katupotea gafla inauma lkn mtumishi mmoja akasema mungu atabaki kuwa mungu hata kama hajajibu kama tulivyoomba ila kiukweli inauma,

  • @graceamran326
    @graceamran326 2 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nakupenda sana mchungaji sku nifike ulipo nifuliwe nawew

  • @emmanuelidafa2974
    @emmanuelidafa2974 3 роки тому +5

    Broo umeimba ukweli kabisa. Nimeguswa sana na mpangilio wa tungo hizi.

    • @ndeshukurwakaaya4385
      @ndeshukurwakaaya4385 3 роки тому

      Ubarikiwe jabali la wimbo huu. Ukichambua wimbo huu ndiyo utsweza kumjua na kumfahamu msono yake.

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 Рік тому

    Kbs nimyama baba

  • @mshamhemedy8567
    @mshamhemedy8567 Рік тому

    Makini

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 роки тому +1

    Mungu atabaki kuwa Mungu yeye ndiye mwenye sili zote

  • @josephndaki8003
    @josephndaki8003 2 роки тому +1

    This is living by mbarikiwa

  • @neemajonson3005
    @neemajonson3005 2 роки тому +1

    Mungu akubariki sana mbarikiwa wa Bwana

  • @oliverkambo1619
    @oliverkambo1619 2 роки тому +1

    Ila mtumishi Mungu akuweke miaka miamoja

  • @jeremiahkaliwa741
    @jeremiahkaliwa741 Рік тому

    Wimbo mzuri ubarikiwe

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 Рік тому

    Baba atasie tunalia ivo ivo😭😭😭

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 2 роки тому

    Tony Aron sikia nyimbo vizuri acha kulopoka tu

  • @olivahgaudence5681
    @olivahgaudence5681 3 роки тому +3

    😭😭😭😭😭nyieeeeee jmn

  • @sesiliakanyelenge1676
    @sesiliakanyelenge1676 2 роки тому +1

    Elimu yako ya ovyoo imetusaidia wengi baba imetuokoa wengii

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +2

    😭😭😭😭nimaumivu tu ndani ya moyo wangu

  • @salomelisence316
    @salomelisence316 3 роки тому +4

    This was a flashforward

  • @macharosandra9467
    @macharosandra9467 2 роки тому

    Mungu akulinde, akutunze, akupiganie , ktk hali zote unazopitia..

    • @jacklinejosam3713
      @jacklinejosam3713 Рік тому

      Nakweli ukweli wako Baba magufuli umekuondoa Rip our president

  • @anjiwikeulomi2852
    @anjiwikeulomi2852 2 роки тому

    Mungu akubariki umekua mkweli

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 роки тому

    Barikiwa

  • @stanleysamuel906
    @stanleysamuel906 3 роки тому +1

    Mwimbiye mungu tu

  • @euniceyalledy1745
    @euniceyalledy1745 3 роки тому

    MUNGU akubariki Sana

  • @marybarnabashaule2758
    @marybarnabashaule2758 3 роки тому

    Ameen lakini Mungu amejitwalia wake

  • @selinasalvatory2470
    @selinasalvatory2470 3 роки тому +1

    Duh kweli ni ngum kuamin 😭😭😭😭😭😭

  • @joshualwinga
    @joshualwinga 4 роки тому

    Ameeeen ,ameeen kamanda wa Kristo!

  • @priscarodrick552
    @priscarodrick552 Рік тому

    Daah😭😭😭 Rip magufuli

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Рік тому

    JPM alisema"Rais wa Afrika akisimama hadharani na kwa nguvu zote kutetea Rasilimali za Nchi yake, ni sawa kabisa na kuvaa kitanzi shingoni mwake"
    Alimaliza kwa kusema"Nime sacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge"
    Mungu ampokee katika Nuru ya ufalme wake.

  • @lucianodeo4103
    @lucianodeo4103 Рік тому

    Amen and Amen

  • @fruitfulmpanduji2494
    @fruitfulmpanduji2494 3 роки тому +2

    Mmmh mtumishi maono yako yaliona mbali juu ya nabii magufuli .na wamemtenda kweli Kwa kutokusujudia mnyama 666

  • @tinabeauty9472
    @tinabeauty9472 3 роки тому +2

    RIP magufuli 😭😭😭😭😭

  • @clementinamushi704
    @clementinamushi704 2 роки тому +1

    R.I.P jpm

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 роки тому +1

    Daaah😭😭😭

  • @thomasopisa4911
    @thomasopisa4911 3 роки тому

    Ni 5 days ago or 5 months ago

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 2 роки тому +1

    Mtu anayemjua Mungu halii ovyo namna hiyo maana kidunia tunasema kafa lkn kiimani tunasema kalala, Sasa iweje unaye jiita mtumishi wa Mungu ulie namna hiyo Kama vile humjui Mungu? Waumini wko watakuwa na hali gan?

    • @helenkahema2636
      @helenkahema2636 2 роки тому +1

      Huu wimbo aliimba akiwa hai kwani Julia ni dhambi we unataka akalie wapi Acha ujinga

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 2 роки тому

    Kufuru

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍