1st time nilikutana na frida studio za wanene and man this chix is straight, sio wakung'ata ng'ata kucha, pia nilijifunza kitu kwake, wherever u ar fifi big up and keepon pulling up.
Hii ni interview kubwa na Nzurii sana yaani Dah sijui nisemeje Creez to me your are the best This is my best interview kwakweli Big kwa kuamua kuwaweka pamoja Meena na FIFi imekua interview nzuri sana
Mi binafsi meena nimekuelewa nilitamni uwepo katika hiyo interview wewe ni binti wa kipekee Sana Tofauti na Mabinti wengi katika entertainment industry. Wengi wakifika hapa wanajisahau kuwa wao ni WANAWAKE Bado. Pia na appreciate kazi yako dada na wewe Ndio wife material
Meena umesema kipenzi wanaume wa Tanzania wamekalili wanawake matilio waweje hakuna zaidi. wamesahau hata malaya pia ni wife material sema maisha yamemvuruga kuwa hivyo alivyo
Apanaa,..Awa Sio ma sisters Nawe...Ni ma rafiki tuu wa karibuuu...halafu ukiangalia walitoka mbali,...from BSS Mena ndio alimuunga mkono,...then wote Ni watangazaji that's why....
#Mina#Fridah...kiukweli Fridah Nakuzimikia kishenzi...Tangu B.S.S....mi nakufuatilia na kila day mi nakuombea uimbe zaidi tukuelewe ju utangazaji sisi tushakukubali Sana Sana Sana....#ThanksSnS
Umesema vizuri but Mwanaume ndio mwenye kauli juu yako hilimladi hasiende tofauti na Mungu anataka nini, Halafu jua wazi mwanaume hatakaye kuja kwako na kusapoti hunacho fanya hili hufanye zaidi huyo mwanaume namifikili atakuwa sio sahii kwako knowthat, Mwanaume anaye kuja na kutaka huache yale ambayo hulikuwa hukiyafanya hata kama hulikuwa hunapenda na hutopenda kuacha huyo ni mwanaume sahii kwako. Mina najua humezungumza kwa hisia zako na Kile unacho amini bila ya kujali hisia ya mwenzako hatakaye taka kuwa na wewe ambaye yeye kwa misingi ya kidini ndio anatakiwa kukulinda.
Kuna baadh ya maneno kwa kiswahl magumu tofaut na kiingereza Kuna maneno mengi kwa kiswahl Ni ngumu sana kutamka ukiangalia sana wengi hatuongei kiswahl sahihi
Acha kudanganya kuhusu dini, wewe na wisilamu wapi na wapi. Labda mwislamu jina a moslem woman can't behave like that: for instance your wearings are not meeting the quality as a moslem
dah, meena motivational speaker aisee, vibe kweli. one love from kenya
1st time nilikutana na frida studio za wanene and man this chix is straight, sio wakung'ata ng'ata kucha, pia nilijifunza kitu kwake, wherever u ar fifi big up and keepon pulling up.
Napenda kuona wadada kama hivi wanapendana wanapambana na kupeana support kama hv safi safi sana sio.
Huu ndo urafiki sasa
Ahahahahaha nimecheka sana eti samahani naongea sana mmmmmm we meena ally nomaaaaa
Sura za usafi lkn si wasafi! Ooh point meena
Hii ni interview kubwa na Nzurii sana yaani Dah sijui nisemeje Creez to me your are the best This is my best interview kwakweli Big kwa kuamua kuwaweka pamoja Meena na FIFi imekua interview nzuri sana
Meena zidi ya mausiano umefunguka vyema apo naisi umefungua masikio ya wengi zaidii,
Lov u more sistr
Mi binafsi meena nimekuelewa nilitamni uwepo katika hiyo interview wewe ni binti wa kipekee Sana Tofauti na Mabinti wengi katika entertainment industry. Wengi wakifika hapa wanajisahau kuwa wao ni WANAWAKE Bado. Pia na appreciate kazi yako dada na wewe Ndio wife material
Dah nema unaongea sana🤣🤣🤣ila nawapenda sn wote pamoja na frida 💕💕👌👌😘
Ohoooòo! jamoon jamoon nawapenda hawa wa dada..😘😘😘😘😘
Frida very humble girl
Meena ka mimi ati anasema Sana 😂😁😂 nakuwaga ka yeye when I talk alot najisemaga naongeaga ka kasuku kusema saana aise🤣
ila frida karembo na macho yake ❤❤🥰🥰
Dada asante sana maneno mazuli sana yakujenga mtu au kijana ambae anawaza mafanikio
Amina ally hongera sana kipind chako nakifatilia sana
Hongera Amina unasaut nzl
queen fifi ckujua kama frida aman nd ww, bigup san nmekupenda bure
😘😘 muko juuu wadada nawapenda sana
Napenda meena anavyo ongea point
Mbn huyu minna ally mm nampenda xn sjui kwa uongeaji wke au sjui uzanzibar .... Ila dar
Mena daah so beautiful your words
One of the best interviews. Waite tena jamani.
Meena unaakili vibaya sana we dd
nakupendaaa saaaan meena ally ....mwaaaaaaaa baby
Sema meena me namkubali mpka kesho asee
Interview bora kabisa
Meena ally umeongea point kuhusu wanawake
naipenda sana sauti yako my meena ally
Mina wa jina nakupenda Sana hunifaliji Sana nipo muscat
nakupenda meena ally wallah 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 nainjoy sana endapo nakuangaliaaaa
much respect kwko meena nakupenda unaongea kwa kujiamn
Meena huwa nakupenda sana dadaa
Wadada ninaowaelewa
Frida Hip Hop girl
Namuelewa sana ccta Mina
Nimejifunza kitu kipya kwa hii interview
frida anataka kuongea km Zama 😍
Mena love nying kwako
Love u mina ally napenda sauti yakoooo
Kizuri hakichakai🖤
Mpaka leo 2022 unaview bado inasound good, love yoh gals🖤
These girls are brighter ❤
nawapendraa sawa Yan mena ally na frida aman
Yaaani nampenda minna ally sana anajielewa sana
#meen ally Nimependa xnaa the way umeongea thaman ya mtyu iko ndani yake nasio kwa muonekan wake that is good
Meena umesema kipenzi wanaume wa Tanzania wamekalili wanawake matilio waweje hakuna zaidi. wamesahau hata malaya pia ni wife material sema maisha yamemvuruga kuwa hivyo alivyo
Mwanajuma O Mahundumla wewe kweli umeamua kufumua mambo yaliyojificha
Acha umalaya wewe
Nakukubali kinyama meena
hata nimechukia nacheka nikimuona huyu mina kwanza nilijuaga kwamba ni wachuga kumbe mzenji
Zumbe Shauri Mpemba huyo
@@salimkhamis3638 kmbe mpmb mwnzng
teefah Baby ndio nitafute hem +255777059780
Hakika huyo Meena kiboko ana point sanaa
Meena napenda sana sauti yako khaaaa!
Good meena ally bigup
Ni balaa hyu fridaaman namkubali sanaaa pullup
Iyo sauti ya mina inanivutiya mno
Lakini Fridah nimpole Kama anahojiwaa,...ata uwezi sema Ni presenter sindio ee•√
Ipo natural...na vizuri...kizuri kinajulikana and she is blessed with a fantastic Voice for sure•√
hawa mamanzi ni Piruuu! haha
Huyo @meena namkubali kinoma
Big up sana dada zangu
We amina mcharuko sn sema poa utatulia kwa mapenz hapanag ucharuko
Gal #meena you hit it
I don't understand
this two girls are twins or. 🙄🙄🙄 Guys let me know this please
Apanaa,..Awa Sio ma sisters Nawe...Ni ma rafiki tuu wa karibuuu...halafu ukiangalia walitoka mbali,...from BSS Mena ndio alimuunga mkono,...then wote Ni watangazaji that's why....
Lucian George its not a twins but friends that doing a work at the same place.
Friends
Lové u minally
Daah nakukubali San meenah ally
#Mina#Fridah...kiukweli Fridah Nakuzimikia kishenzi...Tangu B.S.S....mi nakufuatilia na kila day mi nakuombea uimbe zaidi tukuelewe ju utangazaji sisi tushakukubali Sana Sana Sana....#ThanksSnS
Daaah jamaaa alipata kazi kuwahoji hao watangazajii 4 suree
Fridaaaa iloveuuu
I'm jealous I wish I could have someone like meena or Frida in my life anyways I wish them all the best in life
Hao madadaz wame take control interview!
.
hayo ndio mawazo yako sasa ingie ktk ndoa.uone uhondo.hayo maneono tu
Hahahaha na anaongea sana asee 😁
I love both 😍
Mama LA mama umetisha balala good point meen ally
Yeeessss meena Ally upambanaji ni muhimu
Bawapenda sana meena& frida jamani hadi natamani niwakumbatie live
Love moreee Meena
Dah meena me sauti yako tu na vituk vako huwa napend sn kuckiz amplify huwa dsh cjuw nisemaj jmn
Waooh MEENA
Umesema vizuri but Mwanaume ndio mwenye kauli juu yako hilimladi hasiende tofauti na Mungu anataka nini,
Halafu jua wazi mwanaume hatakaye kuja kwako na kusapoti hunacho fanya hili hufanye zaidi huyo mwanaume namifikili atakuwa sio sahii kwako knowthat,
Mwanaume anaye kuja na kutaka huache yale ambayo hulikuwa hukiyafanya hata kama hulikuwa hunapenda na hutopenda kuacha huyo ni mwanaume sahii kwako.
Mina najua humezungumza kwa hisia zako na Kile unacho amini bila ya kujali hisia ya mwenzako hatakaye taka kuwa na wewe ambaye yeye kwa misingi ya kidini ndio anatakiwa kukulinda.
LOVELY 🤗
You understand?
Nawapenda
Like you lady Fridaaaaa
aisee nampenda mno huyu Dada nikimuona tu nachek ...lkn napenda sauti yake ahahaha
Saut na sura tofaut daaa kumbe mrembo hvi
#Frida ile #Pull Up ndio ilifanya nikufuate nikufahamu mwamba, nakufeel na vyote vyako
nakupenda mena
Minna 😍
Anaakili sana atafika mbali sana
I like those girls
katoto kana mwanya nzurii atarii
Penda sana meena ally
Ila hapo kwenye uvaaji muhimu aiseeee,,,
Kwa haraka haraka yaaan uyu MINA ALLY ananifanya niwe na ham ya hata kukutana na kuongea nae EM nambien nampata wapi???
Ongera meena ally nimekuelewa
😁😁😁😁😁uyo ndio mina
Meena love u
Love you mina ally
Duuuu huyu manzii!! Nimzuri nimependa rafuzi yake
Fridah amani Mwalimu wangu wa mass communication
Meena ally. Nakupenda sana we mdada. Unakitu kikubwa sana mbali na utangazaji jitathmin vzuli
Mdada unaongea sana khaaaa! Watangazaji bhana. Basi poua
Mie cpendi mnavyochanganya lugha. Mbna wenye lugha hta kam wanajua kiswahli.akiwa anahojiwa na vituo vyao hawachanganyi.kama nyie malimbukeni.
Is good mambo ya mixing language...
Wachane
Yaani mm nakasirika hawajui tu
Hata mimi sipendi ila kuna wakati kwa sisi tunaoishi nje unajikuta umechanganya lakini sipendi wakichanganya hao wanaishi nyumbani
Kuna baadh ya maneno kwa kiswahl magumu tofaut na kiingereza Kuna maneno mengi kwa kiswahl Ni ngumu sana kutamka ukiangalia sana wengi hatuongei kiswahl sahihi
Point sanadadang
Babies with their talents
Love buree meena&frida
I need a Friend like Meena Ally in my life😂❤
Acha kudanganya kuhusu dini, wewe na wisilamu wapi na wapi. Labda mwislamu jina a moslem woman can't behave like that: for instance your wearings are not meeting the quality as a moslem
I LOVE you meenally ❤️