OSTADHI MAJALIWA ALIEKUWA ANA MILIKI MAJINI 99 KATIKA UCHAWI NA UGANGA/NILIKUWA NACHOMA MAKANISA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 114

  • @newbornhaule
    @newbornhaule 5 днів тому +12

    Neema ya Yesu inakamata wengi sana kigoma , hakika Yesu hataki hata mmoja apotee

    • @d15355
      @d15355 5 днів тому

      Kwani yesu ni nani kwa uelewa wako? We unadhani yesu alipozaliwa mamake alimpa jina lipi kwa lugha ya kikwao? Yesu ni kiswahili Jesus in English kwa kiaramaic aliitwa nani? Miujiza inayofanywa inatumia jina lipi hili la yesu au lile la kiaramaic alilopewa na mamake? Na kama inafanywa kutumia jins yesu hii miujiza inatokea wapi sababu haitumii jina lake halisi?

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 4 дні тому

      ​@@d15355 Kiaramaic ni "Isho"' (īšōç) na Kiebrania ni "Yeshua" na english spelling yake ni "Joshua"...hilohilo jina likitafsiriwa kwa kiarabu linasomeka kama "Yasu" ama "Yasou' (يسوع)" Na kiingereza hushabihiana na Jesus..... 'Yasu' is the natural equivalent of Yeshua' and Jesus' true name in Arabic. Ambapo maana ni ile ile moja haibadiliki nayo ni Rescue, Save or Deliver..au kiujumla ni mwokozi ama wokovu. Isa (kama Quran ilivyomtaja ina maana yake ni Wekundu (pitia Quran tafsiri ya Imam Baidawi Vol 1 page 160). Hapo naomba utupe elim sasa ndugu...hebu tuoneshe huo uwiano wa Issa na Yesu..ukizingatia tafsiri za majina yao ktk lugha husika..tuone😂.📌

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 2 дні тому

      ​@@d15355pole sana

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 5 днів тому +7

    Hii dunia Hina dini zenye maajabu kweri thanks Mr everything

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 5 днів тому +2

      Na hawataki kuondoka kwa hizi dini za uwongo..

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 2 дні тому +1

    Mungu atabaki kuwa Mungu ata maasidi wakipinga, Davistar na mtumishi mko sawa sana.great testimony.❤🎉

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 5 днів тому +7

    Hizi ndizo story tunataka nzuri sana msimliaji makini

    • @scholamwasi
      @scholamwasi 4 дні тому

      Ila haziishagi uwa anazikatisha sijui kwann

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 4 дні тому +2

    Amen kubwa!

  • @HellenDana
    @HellenDana 5 днів тому +1

    Haleluya!! Ni nyakati za mwisho Mungu anazidi kutoa watu wake gizani na kuwaokoa, Utukufu ni kwake.

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 2 дні тому

    Bwana Yesu Atukuzwe sana, kuhani Mussa Richard Mwacha anatufundiaha haya yote kuhusu karama na vioawa, Hakika Mungu Mkuu anatuwazia mema

  • @HELIETHMNYANDA
    @HELIETHMNYANDA 4 дні тому +1

    Mwandishi wa habari Mungu akubaliki sanaaa.

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 5 днів тому +3

    Mh..... mambo ni mengi

  • @ShedrackKisumbe
    @ShedrackKisumbe 4 дні тому +1

    Hongera

  • @NephesbinTahir
    @NephesbinTahir 3 дні тому +1

    Majini wapo mazuri na mabaya hiyo haitakaa ibadilike iko hvyo jini mzuri binadam hawez kumuona, hamuingii binadam wala hawez shirikiana na binadam kwa namna yyte yeye ni ibada mwanzo mwisho....

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 5 днів тому +1

    Ahsante kwa elimu

  • @SaidMabeja
    @SaidMabeja 5 днів тому +3

    Wa kwanza

  • @TimotheoSimtowe
    @TimotheoSimtowe 4 дні тому +2

    Ngoja waje akina Athumani,Sharifu na Ashura mtawatambua kwa matusi😂😂😂

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 4 дні тому +2

      Hatutukani watu kama hao Kila tu na dini yake I'm proud to be Muslim Alhamndulillah

    • @fahadrashid9754
      @fahadrashid9754 2 години тому

      Huyu anapiga tu sera ​@@aishajuma18

  • @WeData-s7q
    @WeData-s7q 5 днів тому +2

    tuwekee na kwenye podcast hayo mahojiano.

  • @annkim2690
    @annkim2690 День тому

    Huyu mtumishi wa Mungu Nikweli kuzimu ina muwinda

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 4 дні тому +1

    Long time mr everything

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 5 днів тому +4

    Story tam sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 5 днів тому +2

    Kwenye ulimwengu WA roho kuna vitu vyote tuvionavyo duniani na zaidi tusiyoyajua kuna Siri kubwa mnoo

  • @MzeeMselem
    @MzeeMselem 4 дні тому

    Huyu nae yuaongea sana asoeleza stori😂😅😅😂

  • @flm1530
    @flm1530 5 днів тому +2

    Part 2 please davister

  • @annkim2690
    @annkim2690 День тому

    Nakumbuka kuna mama alinipea hio udi pamoja na kibiriti chake

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 4 дні тому

    Sidhani Kuna nabii yeyote yule wa mungu alie itwa yesu!!! Tafsiri si Jina

  • @PatrickMzava-d8q
    @PatrickMzava-d8q 5 днів тому +2

    Dr. Sule ni sheikh? Mbona anasema ana majini 99 kama huyu na hakuna muft ashawahi mkemea.

  • @NephesbinTahir
    @NephesbinTahir 3 дні тому

    Hahaa dogo wadanganye hao hao wasiokuwa na elimu...ila tupo wenye elimu kila tukikuskiliza tunabaki tunacheka tu kuibia watu pesa zao kwa mgongo wa yesu

  • @franshule-hp7co
    @franshule-hp7co 5 днів тому +1

    Yesuasifiwetukopamoja

  • @samsonkariuki9696
    @samsonkariuki9696 4 дні тому +1

    Waislamu nimikola wauaji korani 9 29

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 5 днів тому

    Davista lio umecjangammka mno vipi kwema lakini

  • @MohamedAbdallahMsoke
    @MohamedAbdallahMsoke 5 днів тому +4

    Nikions story imeanza na icho kichwa cha habari najua hakuna kitu ni heita

    • @PatrickMzava-d8q
      @PatrickMzava-d8q 5 днів тому +1

      Number ya simu ipo apo ya mtoa ushuhuda. Sikiliza uta jifunza kitu

    • @mgonzamsuya2039
      @mgonzamsuya2039 4 дні тому +1

      Umewaza vibaya hindio dini yenu na ndiomaana kina drsule wanasema kilasiku wanatumia majini na hamumbishii shekh wenu

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 2 дні тому

    Inaanzaga
    ushirikina => Uchawi => Uganga

  • @KikwaleRashid
    @KikwaleRashid 3 дні тому

    Ama kweli ukristo bila story za uwongo hauwendi.
    Ukiona mkiristo yoyote ana sema anatoa ushuhuda mwisho wa siku ana taka kujitanganza kua Nabii 😂😂😂😂😂😂

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 23 години тому

    Makafiri wa kikristo hawaishiwa vituko,njaa itawaua

  • @PatrickMzava-d8q
    @PatrickMzava-d8q 5 днів тому +1

    Davistar hakikisha mtoa ushuhuda ana toa ushuhuda kwanza alafu mbele atatupa namna ya kuomba.
    Maana anahubiri badala atoe ushuhuda ndio auhubiri.
    Kama Meshack alitupa ushuhuda alafu episode za mbele ndio akahubili na wengi walipona

  • @mlulamsiliwa7123
    @mlulamsiliwa7123 4 дні тому

    Kwanini ni rahisi sanasanasana wakristo kudanganywa. Hata mwandishi huchukui muda was kutafakari kinachosemwa.

    • @vitusjumah
      @vitusjumah 4 дні тому

      knowledge

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 4 дні тому +3

      Hakuna anae danganywa ninyi waislam ndio mnadanganywa kuaminishwa eti kuna Majini mazuri na mabaya, hakuna Jini zuri ndio maana Mungu akayatupia kuzimu yote hakutenga mazuri wala mabaya sasa ninyi endeleeni kudanganywa na Mashekhe wenu kuabudu Majini

    • @nyamogafamily9549
      @nyamogafamily9549 4 дні тому

      BWANA YESU ASIFIWE...

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 4 дні тому +2

    Uislam na majini ni kama samaki na maji

  • @sophiebanga9533
    @sophiebanga9533 5 днів тому

    Apo apo ku nyota na jkumajini tunasubiri saana tuelewe murumishi

  • @scholamwasi
    @scholamwasi 4 дні тому

    Mchungaji kachangamka

  • @dondada1764
    @dondada1764 5 днів тому

    Part 2 please

  • @tonitodd1922
    @tonitodd1922 4 дні тому

    Nyota ni "kipawa" Wala Sio "Karama"

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh 5 днів тому +6

    Mpeni sadaka huyo ananjaa huyo, uislamu na uchawi vitu viwili tofauti,njaa inamsumbuwa.

    • @ocgmazee4042
      @ocgmazee4042 5 днів тому +4

      Kwa dini ya uislamu uchawi ni suna,
      Kwa mfano kwenye kuruhani hiyo hiyo kuna kitabu cha "falaki" ambacho ninafundisha uchawi/elimu ya majini,
      Pili albadili ni uchawi mtupuuu

    • @ocgmazee4042
      @ocgmazee4042 5 днів тому +5

      Karibuni kwa Yesu Kristo awape ukombozi na uzima wa milele

    • @d15355
      @d15355 5 днів тому

      ​@@ocgmazee4042yesu nani jina lake la asli alilopewa na wazazi wake ni lipi? Na kwanini jina lake la asli la kiaramaic halifanyi miujiza bali hili la kiswahili ambalo hata mwenyewe halijui ndio linafanya miujiza? Hii miujiza inatokea wapi kama si kwa shetani, ni wazi kuwa jina yesu linatumika na shetani na sio mungu katika kuwahadaha watu

    • @d15355
      @d15355 5 днів тому

      Wewe hujawahi kuwa muislam fala wewe huna lafudhi ya kiislam wewe ni kafir tu kama makafir wengine waliojifunza uislam kwa lengo la kuutumia uislam kama ticket ya kupata umaarufu katika katika ukristo

    • @ochuMay05
      @ochuMay05 5 днів тому

      @@ocgmazee4042 Aya gani katika Quran inasema Uchawi ni Sunna.?

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 5 днів тому +1

    Fiti Mr dm

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 5 днів тому

    Ostadhi gani hata matamshi yake ya kiarabu hayako sawa.. Huyo ni Tapeli na ana njaa msaidieni Pesa..

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 4 дні тому +1

      Ndio zenu mtu akikimbia kwenye Dini ya kuabudu na Majini mnasema kafata pesa mara hajui kusoma Quran sasa ukijua kiarabu kinakusaidia nini? Yaani Mungu wenu anasikia kiarabu tuu sasa huyo ndio Mungu gani alazimishe watu kujua kiarabu? Sasa aliwaumba na kuruhusu kila mtu aongee rugha yake kwasababu gani? Amkeni Waislam tokeni kwenye kifungo cha kiarabu hakuna Mungu wa hivyo

    • @Amani-l7d
      @Amani-l7d День тому

      Raw truth loud spoken, wambie hao warabu wafrika😂

  • @ahmadamohamed1907
    @ahmadamohamed1907 2 дні тому

    EtiHaraka Qur,an gani inasomwa hivyo nawe ni ustadh kichwa maji wadanganye hao hao

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 4 години тому

      Uisilam niushetani jamani utake usitake tumekua waisilam sana na tumejua ukweli, tukaneni tu waisilam ipo siku mtajua kweli yesu ni bwana.

  • @MohamedAbdallahMsoke
    @MohamedAbdallahMsoke 5 днів тому +3

    Hakuna shekh alaf mganga wa kienyeji paka wewe ndio nyie nyie mnaosema alinijia nikamuona sura ile ile ya kwenye picha

    • @ocgmazee4042
      @ocgmazee4042 5 днів тому +5

      Mbona Kuna clip huku youtube mashehe wamekiri kuwa majini ni ndugu za waislamu?,wacha hasira kasome vitabu vya Elimu ili ujuwe, na nakuombea sasa hivi Yesu Kristo mwokozi wa ulimwengu kama ni mapenzi yake akutane na maisha yako ndugu yangu,

    • @Malak4.5
      @Malak4.5 5 днів тому

      Amechukia atakuwa kaenda mbali kajikuta hawezi kutoka kwenye uchawi..ni Bwana Yesu tu anaweza kukuokoa na maruhani uliyonayo😅

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 5 днів тому

      ​@@ocgmazee4042😂😂😂 waislamu hawapendi kuambiwa ukweli

    • @NicoleMakaveli-wr6mm
      @NicoleMakaveli-wr6mm 5 днів тому

      Usilamu wenyewe uganga do ulinganisho huitwa dawa

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 5 днів тому

      @@NicoleMakaveli-wr6mm ,😂😂😂😂

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 5 днів тому +3

    Mwambieni Huyo kafiri Haiitwi Koroani ila ni Quran na hiyo aya anayosoma haisomwi hivyo anavyosoma yeye. Japo mnauchukia Uislam Dini ya Haqi bila ya kuwa na Sababu za msingi mwambieni aache unafiki.. Njaa isimfanye awe Mnafiki atafute ridhiki kwa nguvu zake na sio kupia Dini za Watu..Narudia tena huyo hakuwahi kuwa Ostadhi ila ni Kafiri..

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 5 днів тому +2

      Biblia ilitangulia kutujuza Kafiri ni anayebadili neema ya Mungu eti kuwa na Mwana ni ufisadi - Yuda 1:4-----kwa hiyo muislamu ndo kafiri!!
      koran kazi yake ni copy, edit and paste!!

    • @ochuMay05
      @ochuMay05 5 днів тому +2

      @@chapchap-oz1ou Leta Ushahidi wa Maandishi ya hayo unayoyasema katika kitabu chochote unachokiamini Kafiri wewe.. Huyo anayehojiwa njaa inamsumbua na wala hakuwa Ostadh hiyo ndo hoja yangu na huo ndo ukweli.. Matamshi ya aya anazozisoma zina itilafu anakosea tena si kidogo na hawa Matapeli wa aina hii siku hizi wapo wengi sana wanawapotosha wasiojua chochote..

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 4 дні тому +3

      @@ochuMay05
      ushahidi ya muislamu kuwa kafiri ni Yuda 1:4
      Mkristo sio kafiri manake anamwamini Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakubu!!
      Njaa kwani kwa uislamu kuna umaskini?
      muislamu akitoka kwenye giza aingie kwenye nuru madai yenu ni njaa.....
      Funguka akili na macho bro utoke kwa jela ya shaitwan hata wewe.

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 4 дні тому +1

      @@ochuMay05
      Ni kero kwa muislamu mwenzako akirtadi.....ingelikuwa nchi zingine ungemkata kichwa....sijui kwanini msimwachie Mwenyezi Mungu amhukumu siku ya kiama....au allah ni dhaifu????
      Fanya kusikiliza ushuhuda bila sikio na akili za kiislamu ujifunze mapya uiokoe nafsi yako!!

    • @ochuMay05
      @ochuMay05 4 дні тому

      @chapchap-oz1ou Hiyo ni ya kwenye Kitabu chako kinachoandikwa na kubadilishwa kila siku sisi Waislam hatuijui hiyo.. Kitabu cha Mungu kila siku kinafanyiwa Marekebisho.. Kwetu Quran ni ileile na itabaki kuwa ileile.

  • @ZabibuKaundu
    @ZabibuKaundu 5 днів тому

    Unafki

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 5 днів тому

      Endelea kufuatilia dada zabibuu

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 5 днів тому

      Chukua elimu hii itakusaidia siku Moja

    • @Malak4.5
      @Malak4.5 5 днів тому +2

      Zabibu mmedanganywa kama majini mazuri mbona hayaji kanisani😅

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 5 днів тому +2

      Waislamu hawapendi kuambiwa ukweli 😂