Kwa nn wanawake mctulie kwenye ndoa zenu .msishndane na wanaume .ridhika na hali ya maisja ya mume .mungu awape uwezo wanawake wasieasalit waume zao na wanaume mungu awape uwezo wa kutulia na ndoa zao .mungu msamehe uyu mama aliejinyonga
Nashangaaa vita ni Vita ukijua kuli2ngua ujue na kulidaka amelima akapanda mazao yanaota ss anashangaa lazma ujikubal n kaz yako ye ange vunga 2 mbn wanaume hawajinyongi😂😂😂🙌
Apo bado ajamaliza tatizo ukumu tu kwa mungu ila basi niwape pole familia au wa Tanzania wote abali imetufikia uku kwetu msumbiji Mozambique 😢😢😢😢😢😢
Aibu ya Dunia syo sawa naAdhabu YaAllah Aliyo ikimbilia hajatatua tatizo Aibu Gani Hyo kujitajia SubhanaAllah
Ni kweli kabisa
Kwa nn wanawake mctulie kwenye ndoa zenu .msishndane na wanaume .ridhika na hali ya maisja ya mume .mungu awape uwezo wanawake wasieasalit waume zao na wanaume mungu awape uwezo wa kutulia na ndoa zao .mungu msamehe uyu mama aliejinyonga
Mmmh dhambi ndivyo ilivyo huzaa dhambi nyingine aaa dhambi haiwezi kutuacha salama
Polen sana wanafamilia kwa kumpoteza ndugu yenu
INNALILAH WAINNAILEYHI RAJIUN
Duhh aisee
Ugoni NI nini??
Mungu wangu
Tarifa km hz zisiwe zinatolewa
zisitolewe kwa Nini? Au na ww ni mdau
🤣🤣@@HUSSEINALLY-b7f
Ni kweli kabisa .
@@HUSSEINALLY-b7f anatak zitolew z kina PDDY 2 lakin za kwao aaaanh😂😂😂 UBAYA UBWELA lazma ztoke mpk za ndaaaan kbs
Siku za mwiz 40
Mnauwakika amejinyonga? Tunaomba uchunguzi ufsnyike
Ameturetea mambo ya iringa
Kamakweli kajinyonga mtihani. Nibolatu angedai talaka basi akakaqna huyo bwanaake maana aibu nahuko alikoenda balaa bolahuku duniani unawezakutubu ukasqmehewa
Nafikiri wamemnyonga😢😢😢 hakuna mama atajinyonga aache watoto wake
Weee unakijua kichambo cha kimakonde utachekwa mbk basi utakosa amani😢
Amayi yoo
Amejinyonga
Mwenyewe
Inalilah wainalilah rajuuni
Wamempgaa jaman wamemsemanga kumbe hat
Mtangazaji mbona uko busy kuangalia camera muda wote 😢
Kapiga tukio la Kishujaa
Nawatu wanakula😅
Mshahara wa dhambi ni mauti
Jamani MTU akifa iwe imeisha jamani, hukumu yake akaikute kwa Allaah
Wamakonde wambea wewe😅
Sasa akijinyoga yasaidia Nini ? Juuu aibu haiishi walai
Tafadhari nawatafuta Kuna story kubwa ya hatari hapa mtwara
0683013804 Tupigie Boss
Mmmmmh mbona mnatutisha😢😢
Sasa anajinyonga nini wakati alitaka mwenyewe
Mtoto kaitaka alafu anajinyonga mmmh
Hajiamin n kaz yake
Kujiua nd nini sasa
Watani zangu kwanini ufumaniwe kishaujinyonge
Hata mimi nashangaa wakat aliamua kw moyo mbn wanaume hawajinyongiiiiii
Kajihukumu mwenyewe
Kajizidishia hukumu
Yn bado hajasema uko nd hatar bora huku kw binadam wnzie ila uko kw muumba mh nd hatar tena anaend n kithibisho mh haya 2muachie mungu mwnyew
Mmkonde gani muoga?si ajali kazini hiyo
Nashangaaa vita ni Vita ukijua kuli2ngua ujue na kulidaka amelima akapanda mazao yanaota ss anashangaa lazma ujikubal n kaz yako ye ange vunga 2 mbn wanaume hawajinyongi😂😂😂🙌
Mm nisingejinyonga ningehama mkoa tu ningekaa mbali miaka 5 kisha naludi kwetu
Duuuh kafa na utamu wake jmn
Utamuu umetutoka,dah,
Kajinyonga bure kwa wamakonde hilo jambo lakawaida tu
Hahahaaaaa ww hay bhn