Shukran kamanda Baraka Sunga,kutokana na maombi ya wapiga vinanda wengi wa kizazi hiki...nimeamua kufanya mlolongo wa videos kama hizi zenye mafundisho. Techniques za improvisation kwa wapiga vinanda ni muhimu sana kuzijua,ili kukitawala kinanda na kujieleza kimuziki mbele ya kadamnasi.
Big up mkuu Lister wengi tunaelimika nawe!
Mwenye taaluma hajifichi!....utamuona tu.....BIG UP MKUU , MZEE WA VINANDA
Baraka Sunga Hapo tunamuongeza zahiri Ally kizinja safu ikamilike
Shukran kamanda Baraka Sunga,kutokana na maombi ya wapiga vinanda wengi wa kizazi hiki...nimeamua kufanya mlolongo wa videos kama hizi zenye mafundisho.
Techniques za improvisation kwa wapiga vinanda ni muhimu sana kuzijua,ili kukitawala kinanda na kujieleza kimuziki mbele ya kadamnasi.
Lister Elia mitambo yote unacheza nayo peke yako?