CCM IMEKUWA,by Skassy Kasambula,(Orch Sambulumaa),on Keyboards, Lister Elia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024
  • CCM IMEKUWA,by Skassy Kasambula,(Orch Sambulumaa),on Keyboards, Lister Elia.

КОМЕНТАРІ • 14

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 Рік тому +1

    Sina chama ila hili song sichoki kulisikiliza😂❤

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 Рік тому

    Semasemaaa...sambulumaa....semaaa... sambulumaa 🎺🎷🎹🎤🎶

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 Рік тому

    Tupia mayombo...naamini itawakosha wengi sana

  • @DavidNhukuwala-ih1it
    @DavidNhukuwala-ih1it 7 місяців тому

    Good memories I fill fresh this is very unique

  • @mgenikisukari1371
    @mgenikisukari1371 7 років тому

    imenikumbusha enzi za chama kushika hatamu dah!!mlitisha sana wakubwa salute kwenu !!!

  • @senatormwinyi9065
    @senatormwinyi9065 8 років тому

    Lister Elia sina la kusema hapa duh nibaki kusikiliza tu muziki

  • @0zilSameer-x1s
    @0zilSameer-x1s 29 днів тому

    Muda haurudiagi nyuma zaidi ya kutaka kutoana machozi tu.

  • @erickwambia7402
    @erickwambia7402 8 років тому

    safi sana skassy .sauti imetulia big up man umeugusa moyo wangu kwa kweli

  • @maarifakiporoto8521
    @maarifakiporoto8521 7 років тому

    hongera sana ni ujumbe mzuri kwa watanzania hasa wanaCCM

  • @allan3723
    @allan3723 9 років тому +1

    Kijana LIster Nkunkuala anatisha.Nilimjua nikiwa mdogo.Anapiga kinanda Hakuna mfano.

    • @stephanosambali8259
      @stephanosambali8259 7 років тому +1

      Mlitisha enzi hizo. Nakumbuka kuona Video yenu nikiwa Arusha aliyotuletea chuoni Bob Venny (Venance wa Mwanambilimbi family). Sikuamini mziki waweza kuwa mzuri kiasi hicho. Tangu mwaka 87 nimezitafuta kwa miaka mingi hii miziki pamoja na Kadili Kasimba. Enzi hizo sikujua wanamuziki wengi hadi juzijuzi Teddy Mwanambilimbi na Gift Mkwamu ndiyo wakaniandikia List nzima ya Wanamuziki wa Sambulumaa na nilipokutafuta jina lako UA-cam ndiyo nimefika kwenye hizi nyimbo. Asanteni kwa kuturudisha enzi za Utoto/Ujana. Sambulumaa ilipokufa, iliniuma mno ila nashukuru kazi yenu sasa ipo Online.

    • @listerelia8206
      @listerelia8206 7 років тому +1

      Shukran brother S S,hizo enzi hazitorudi tena.Nashukuru kwamba nami nilikuwa mmoja wa waanzilishi wa Sambulumaa japo nilikuwa ndiyo natoka tu chuoni.Kusimama sambamba na magwiji wale,haikuwa mchezo!.Pamoja sana mkuu.

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 7 років тому

    Hivi vinanda unavikomeshaga sana.. Mmhhh

  • @listerelia8206
    @listerelia8206 9 років тому

    Asante Allan Mlagulwa kwa compliments.
    Kiukweli,bendi ya Orch Sambulumaa ilikuwa imekamilika katika idara zote.