Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
blai lister elia nhukuwala, hongera sana
pumzika Kwa amani babakasongo mpinda tulikupenda mungu kakupenda zaidi. nimeumia sana juu ya kifo chako
Kazi nzuri kaka
Shukran mkuu Baraka Sunga,hizo ni enzi zetu pale maghorofani New Africa Hotel. Ni furaha iliyoje kwamba nami nilijumuika na kuwa mmoja wa wanamuziki hawa wakubwa,nikaki-papasa kinanda katika wimbo huu wa nguli Joseph Mulenga (RIP).
Lister Elia mara nyingi huwa nakufananisha na fresh jumbe ktk baadhi ya tabia hivo vipindi havirudi tena
big up lister elia nhukuwala
humu balaa kalifanya @lister katika kinanda
Muhenga Lister Elia!
Kwakweli wanamuziki wengi wamepita mwenyezi mungu awape kheri waliotangulia mbele ya haki
Kaka tutaendelea kumkumbuka kupitia nyimbo zake
blai lister elia nhukuwala, hongera sana
pumzika Kwa amani baba
kasongo mpinda tulikupenda mungu kakupenda zaidi. nimeumia sana juu ya kifo chako
Kazi nzuri kaka
Shukran mkuu Baraka Sunga,hizo ni enzi zetu pale maghorofani New Africa Hotel.
Ni furaha iliyoje kwamba nami nilijumuika na kuwa mmoja wa wanamuziki hawa wakubwa,nikaki-papasa kinanda katika wimbo huu wa nguli Joseph Mulenga (RIP).