𝗛𝘂𝗸𝗺𝘂 𝗧𝗮𝘀𝘄𝗶𝗿 | 𝗞𝘂𝗽𝗶𝗴𝗮 𝗣𝗶𝗰𝗵𝗮 / 𝗩𝗶𝗱𝗲𝗼

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @ilhamhaji8650
    @ilhamhaji8650 9 днів тому

    Allah Akubarik Sheikh wetu na akulipe kheri duniani na Akhera
    Shukran kwa elm

  • @abdulbasithamid2370
    @abdulbasithamid2370 19 днів тому

    Assalamu alaikum,je mfano ukiweka picha za Mashekhe wa kihizbi yafaa??(Hii si inadi bali ntaka kujua tu) BarakAllahu feekum

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 19 днів тому

    Ayo ni masihala ya kihitilafu shekh kwa kuchora na kuchonga vyote haramu ila ya photo graphy, ni kivuli cha allah shekh uthaymeen ajakataza hiloo, tusitoane katika masihala ya ikhitilafu

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 13 днів тому

      kwahyo tufatetumfate mtume au shekh uthaymin?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 12 днів тому +1

      @jumanneissa8226 hadithi ya mtume imekataza picha lakini picha za camera hazikuwepo wakati huoo,kilichofanyika jitihada za wanazuoni kiasi kwa hili, mtu alichukiwa video kwa muhadhara au darasa fulani, mnaona kwa fatuwa ya shekh utheymeen au bin baazi kuwa video ya durusi so mbaya, huwezi kumuwona yule kapotea sabu msimamo wa ulamaa wamevutana juu ya hilo, ama picha za kugandisha kivuli hata mimi siungi mkono labda kwa dharula za paspoti vile so kupiga ovyo ovyo unasema shekh uthaymeen kajuzisha hilo,, laa utakuwa umemzulia shekh amesadikisha ikiwa picha za kugandisha kivuli zitatumika dharula za paspoti ya kusaria au kitambulisho chako cha utaifa, mambo ya dharula inafaa, ila kwa video hapo ndo ihitilafu siwezi sema anaefanya muhadhara akaonekana kutoa darasa so salafi hiyo Sio,, wamevutana kama jambo la swala asie swali ni hivoo tuu