๐—ญ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐˜‚๐—น ๐—”๐—ฏ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ๐—ป ๐—”๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ป๐—ต๐—ฎ๐—ท ๐—ฌ๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ถ | ๐—›๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ถ!

ะŸะพะดั–ะปะธั‚ะธัั
ะ’ัั‚ะฐะฒะบะฐ
  • ะžะฟัƒะฑะปั–ะบะพะฒะฐะฝะพ 28 ะปะธั 2024

ะšะžะœะ•ะะขะะ ะ† • 101

  • @salafi.
    @salafi.  ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +16

    ๐—–๐—น๐—ถ๐—ฝ ๐˜†๐—ฎ ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—น๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฐ๐—น๐—ถ๐—ฝ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐˜‡๐—ฒ๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ข๐˜๐—ต๐—บ๐—ฎ๐—ป ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ท๐—ถ๐—ฑ ๐—น๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ต. ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ ๐—ป๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ, ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜„๐—ผ ๐—ญ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐˜‚๐—น ๐—”๐—ฏ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ๐—ป ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—บ.
    ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐—ป๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜‡๐—ถ.
    ๐—”๐—น๐—น๐—ฎ๐—ต ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฒ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜‚๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ถ๐—บ๐—ฎ.
    ๐—•๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ต ๐—™๐—ฒ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—บ

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

      Duuh mche ALLAH Akhy na upunguze. Kukurupuka utakwenda ulizwa kaburini. Peke. Yako. Watu walifurahika
      Kuhusu kipozeo. Na maalim. Duuuuh chunga saana Akhy

    • @salafi.
      @salafi.  ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +8

      โ€‹@@NuryaMusanitakuwa makini zaidi bi idhnillah

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +3

      @@salafi. ALLAH mtukufu Akuhifadh

    • @salafi.
      @salafi.  ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +3

      โ€‹@@NuryaMusa wa iyyak akhy

    • @Nature-xe7lu
      @Nature-xe7lu ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +6

      Salafi nakukubali sana kaka kuanzia leo

  • @mahatmohamed8392
    @mahatmohamed8392 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +4

    Subhanallah mwenye hii channel Allah akuhifadhi.
    Jana Zein alijitetea kuhusu KIPOZEO NA OTHMAN kuwa alikuwa hayupo.
    Lakini alikosa kujitetea kuhusu ujio na kuendelea kuja kwa wale wengine na akatumia kuteleza kwako editor kuita salafiyoon kuwa warongo na wenye talbis.

  • @ramadhanomar8093
    @ramadhanomar8093 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

    Wewe tofautisha baina ya ruduud na tahdhiyr...akhiy ittaqi Allah

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

    Kama vile sheikh Abdallah alivyosema mpaka kueleweke Alhamdulillah Kwaeleweka Akhi. ุฌุฒุงูƒ ุงู„ู„ู‡ ุฎูŠุฑุง .

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    MAA SHAA ALLAH! RADD ๐Ÿ”ฅ HII INAUNGUZA PABAYA ALHAMDULILLAH...!!!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Kwa wajinga tu,ila kwa wanaofahamu hakuna kitu hapo

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@hafidhwajina6718 Mwiba (radd) umekuchoma pabaya Akhy... pooole. Hahhahaha!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x duh ndio maana nasemaga anta ahluhawaa,yandhihirikia hayo

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      โ€‹@@hafidhwajina6718 anayejua hayo yote unayonituhumu nayo ni mimi na Allah ambaye ni mjuzi zaidi yangu!
      Mimi najijua kuwa sio mtu wa matamanio na Allah ndo shahidi na ndo anajua niliyopitia hadi nkaamua kuachana na uhizbiyyah wa kuwatetea akina Bachu na Kishki na wenzao,pamoja na Manhaj yao ya kukusanya haqqi na Baatwil...!!!

    • @Abdullah06494
      @Abdullah06494 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kwahivo malengo yenu ni kuunguza wala sio kubainisha?ุงู„ู„ู‡ ุงู„ู…ุณุชุนุงู†

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

    ๐‡๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฌ๐ก๐š๐ค๐š ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š ๐ฅ๐š๐›๐๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ก๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ฆ๐š๐ง๐ก๐š๐ฃ๐ข ๐š๐ฎ ๐š๐ค๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š๐ค๐จ ๐ง๐๐จ๐ ๐จ

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@AhmednurHussein-m2s manhaji inasemaje?

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +4

    Awa jamaa.kwa jina la usalafia wamevuruga sana sunnah wanachukia kuitwa jadidah lakini wao wanapenda waite wenzao hizby wallahy wameitia aibu sana sunnah na kuvuruga,, utakuta wanataja jambo lakini wao ndo wakwanza kuliharifu arafu utasikia fulani anatukana ulamaa yule wakati wao wamewaangusha ulamaa wakubwa tuuh kisa awakumsapoti shekh rabii wanakuambia yule shekh fulani katahadharishwa na shekh rabii araffu ukimuuliza shekh.raby eyey anapokosea anatahadharishwa na nani hapo ndo utaggundua wamemfanya ni mtume akosei na. Ule. Msingi wa kusema ulamaa wanakusea na kupatia wameuharifu na kuuvvunja kiufupi hawa swaafiqa. hadadiya ni pote potevu mno lililo jikita katika usalafi lakini mimi binafsi nilipobainikiwa miharafa yao mingi katika sunnah afu wao ndo mabingwa wa kukugeuzia ww kibao kiujumla nawachukiaa sana toka rohonni siwapendi kwaajjili ya allah watu hawa so. Wataka sunnah ni wataka fitna kila siku kuwasema vibaya ahlsunnah na kuwabeza na wengine wanatukana kabisa sasa unajiuliza hivi usalafi gani walio nao hawa,,, arafu walipojificha pazuri sana tofauti na makundi mengine ukisema ukiwasema wanakuambia anapiga vita masalafi wamejificha pazuri kweli kina cho nishangaza kingine wanamuhizbisha mtu, kwa matamanio yao ukiwauliza hoja za msingi hawana kabisa dhulma tuuh, ,, unakuta kijana mwengine anakutamkia maneno hayo we hizby hata shekh fawzan hawezi sema hayo lakini kijana hata hatua za kumkosha mayte hhajjui au kuoga janaba mtihani lakini anakwambia we ni hizby pote limetuharibia vijana wetu sana usalafi haukuwa na dowa toka uanze wamekuja mabwana kuchafuwa kila kitu, wanawaparamia maulamaa, watu wasunnah salafii kuwavamia na kuwanasibisha na majina mabaya khwariji, utaskia sufii hali yakuwa yule mtu ni wa sunnah matamanio yao yakiwatuma tuuuh wanakuvamia

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Je! Una ilimu yoyote Ili ututolee au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@islaminmyheart9348 Allah awaongozi watu wenye kibri na matamanio ninyi ni watu wa kuongozwa na kuhukumu kwa matamanio so dalili Jambo la kummuhukumu mtu na kumtoa katika man hajji so kirahisi uzaniavyo mpk ifikie ile misingi walitaja wao Sasa ninyi upande wenu na ona wengi wamedhulumiwa katika man hajji hii ni jia ya mtume so shirika la mtu binafsi kwamba msipofatwa ninyi et mtu so salafi, hiyo haipo tafsili hizo mmeleta nyie, salafi kila anaekwenda sambamba na mwendo wa mtume na swahaba zake, huyo ni salafi kwa ufahamu wa kuwafata swahaba so kuwafata masalafi wa Leo moojimilikisha usalafi na kugeuza chama man hajji ya mtume hiyo haipo Allah atawahukumu watu kwakuwa hawakumfata mtume na swahaba hatomuhukumu mtu kwani hukuwafata kina mafuta na humeid dini ni ya Allah na man hajji ni ya wema waliotangulia ww hata ufanyaje ujafikia daraja la swahaba katika ucha mungu wako umuone mwenzio so salafi, mtu ajaharifu salafi swaleh Ila kwa chuki zenu kwakuwa hajawafata mtamtafutia vikosa na visababu ambavyo haviingi akilini mumrushie navyo we so salafi hivi hawoo swahaba wangekuwa wanafukuzana hivyo mfanyavyo nyie hii dini ingefika ilipo

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +4

    Wallah mtu yoyote ambae ana hofu ya Allah na anatambua usool wa manhaj salafi atajua tu huyu mtu yupo katika kupinda. Kwani hapo anawakosoa masheikh wa kubwa wa ki-salafi. Bila kuwataja direct. Kwani wanao tutaadharisha na kuto kuchukua elimu ni masheikh zetu wa kubwa wa ku-salafi. Na sababu na dalil za msingi wanazo katika kutuepysha na masheikh walio pinda

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      nyi. Saafiqa. hadadiya watu wa. Fitna tupu hamna usalafi kitu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Nakuuliza ww je shekh. Rabii anapokosea anakosolowa na nani aau yeye akosei shekh rabii

  • @AbulAbbas-yp5ph
    @AbulAbbas-yp5ph ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

    Mwanachuoni mgani kasema ni haraam na nikitabu gani inayosema hivyo na hali ya kuwa imeondolewa sehemu tano wanachuoni wameivua wamesema sio katika ghiibah nenda ukasoma ilmu jarhu wataadiil kwa vitabu na jarhu wattaadil ni katika nasiha na ndio wanachuoni wa hadith walikuwa wakiwawajeruhi katika ruwwat na ikaendelea mpaka zama zetu kuwatahadharisha mahizby kama salim barahiyyan na akina nyinyi mahizbyy na wenzao

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Uvaaji huu wa kofia inafika mpaka kwenye kope za macho ni suna? Ile aya katika Quran inayo sema 'moja ya alama ya waislamu ni sijida katika uso. Kofia mpaka inaziba uso. Naomba kuelekezwa.

  • @SuhaiyyuAyubu
    @SuhaiyyuAyubu ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

    Hilo njihizbiy mie sina shaka na uhizbiyyah wake

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Muogopeni Allah mutaenda kuulizwa siku ya kiama munawatoa watu wa sunna katika manhaj

    • @SuhaiyyuAyubu
      @SuhaiyyuAyubu ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@abuuaisha6110 Wajua misingi ya sunnah weye au waropokwa tu akhy huyo nihizbiy ukiangalia tu hiyo video inatosha kusema yeye nihizbi huwezi kuwa salafu ukawa na ุนู„ุงู‚ Nabarahiyaan au muhammad bachou kamwe rabda uwe mjinga

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      โ€‹โ€‹@@abuuaisha6110 Hata yeye Zeinul Aabidiin katutoa sisi kweny Sunnah! au hujamsikia kasema kuwa sisi sio masalafy bali ni Maswaafiqa haddaadiyah?! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
      Washaanza kuwa kama mahajaawirah ambao baada ya kuona wamehizibishwa wakaamua kuwahizibisha masalafy kwa kuwaita Mabaraamika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x so ikakuuma

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Usonjo upo wa aina nyingi. Kundi la kina AbdAllah ni kundi lenye shubha nyingi sana. Shetani anawa remote atakavyo kwa kukiuka kwao Usulubu wa Daawat Salafiya. Shetani amewapambia uongofu na kujipa kazi ya isiyowahusu.Tabia mbaya na ubinafsi inawatafuna, kupenda kusifiwa. HAPANA APASAE KUABUDIWA KWA HAQQI ILA ALLAH A'ZZA WAJALLA.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

      Usulubu gani walioukiuka wakati huwa wanawafuata kisirisiri na nyie mnakataa nasaha...???!!!

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

      Nyamaza basi maana yote ulio zungumza ni mambo huyajui na huna uhakika nayo na tukikuhoji zaidi ili ulete uthibitisho utakasirika tu

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

    Kama una dalil itapendeza zaidi kukaa kimya kulikoni kusapoti mtu aliyepinda kama Zeinul

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Atakwenda kuwashtaki ninyi mnafikili dhulma mnazowafanyia watu na kuifanya usalafi ni wenu ninyi Allah anatosha kuwa shahidi na record kwa yote mfanyayo

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      โ€‹@@AbdulIssa-o7e Akhy naomba namba yako ya watsapp ili tupeane nasaha in shaa Allah!

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Wewe ndiyo wale wale. Uoni itakuwa tabu sana kujua. Ukitaka kumpinga Sheikh Rabii mpingi kwadalil iliyo thibit basi sisi wote tutakufwata wewe.

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Nilikuwa namkubali sana Sheikh Zaunulabidin lakini leo nimebainikiwa manhaj yake haieleweki

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@Nature-xe7lu kwa hyo ulikuwa ukifuata kibubusa?

  • @Muislamu
    @Muislamu ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

    Kwani hivi kusema kweli mashk wa umma huu wa sunna ni 4 peke yake!?
    Au mtu akisema hivo kosa lipo wapi ?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

      Hayo ni maneno ya Kejeli kwa hao maulamaa kwa Sabab ikiwa mtakuwa wakwel mtangundua kuwa Huo ni uongo kwa sabab sisi tunasomeshwa vitabu vingi vya maulamaa wakubwa tofauti na hao mnaowataja ninyi...!!! Wallahi mimi Sijawahi kufundishwa kitabu hata Kimoja cha Sheikh Rabii wala Muhammad Aman Al jaami.. iweje mseme kuwa hao ndo maulamaa wetu peke yao????!!!!

    • @ashrafhashim2116
      @ashrafhashim2116 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      โ€‹@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xmahizbi wanafata matamanio ya nafsi waongo

    • @tariqinhosaid3447
      @tariqinhosaid3447 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@ashrafhashim2116 hizbi ni nani exactly? na ikiwa nafuata quran na sunnah ala faham salafi nasijiiti salafiyyah, nishakuwa hizbi?

    • @ashrafhashim2116
      @ashrafhashim2116 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@tariqinhosaid3447 Hizbi nikila mtu au kikundi kinachopinga mwenendo wa mtume s.a.w na maswahaba wake nawema waliofatia ulamaa, na si laima kujiita salaf ili uwe salaf mazingatio nikufata qur an na sunnah kwa ufaham wa wema waliotangulia ila ukijiita salaf na ukalitendea haqi jina hilo utakuwa umefariqisha baina ya haqi na baatwil kama wanavyosema ulamaa.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

    Huyu ni Hizbi akuna shaka juu ya hilo.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Upi uhzb wake

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      โ€‹@@hafidhwajina6718 Huuoni uhizbi wake hadi sasa???!!! Ama kweli wewe ni kipofu huoni hata kwenye mwanga!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x we umeuona,upi?

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Ana support fikra zakina Dr Islam na Barayiani. Kazi kwako msikilize kwa makini utalitambua hilo

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Hapo ndiyo u-hizby wake uliopo. Ana mpinga Sheikh Rabii bila ya dalil ...dalili za hizi kitendo chakuchukia kujeluiwa kwa baadhi ya masheikh bila kuangalia wameteleza wapi na ndiyo maana waka jeluiwa.

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

    ๐‡๐ข๐ณ๐›๐ข๐ฒ๐ฒ๐ฎ๐ง ๐๐ฎ๐ก

  • @Abdullah06494
    @Abdullah06494 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

    waomba moyo wakuzingatia uadilifu, alaf unaeka picha za watu ilhali itikadi yako ni kua picha haraam

    • @salafi.
      @salafi.  ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

      picha za wahalifu katika mambo ya dunia mnakubali (most wanted) lakini wahalifu katika dini hamtaki watu wawajuwe sio

    • @Abdullah06494
      @Abdullah06494 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

      hio ndo hoja yako?๐Ÿ˜‚

    • @Assalafiyyah637
      @Assalafiyyah637 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +2

      Huyu ni twaalib yuazungumza Kama vile aami subhaanallah we mche Allah na chukuwa naswiha weka sauti yatosha bila sura za viumbe hai...

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

      โ€‹โ€‹โ€‹โ€‹@@Assalafiyyah637 Picha ya mhalifu lazima ioneshwe watu wamjue ili wakimuona na mapicha yake huko kweny channel za mahizbi wamuepuke...!!! Fatilia qawli za ulamaa katika hilo utabainikiwa In shaa Allah!
      Lau ingekuwa msimamo wa Hizbi ni kuwa picha ni haramu basi isingekuw busara kuonesha picha yake lakin kwa vile nayeye huyo hizbi ana mapicha huko mtandaoni, acha watu wamjue kupitia mapicha yake hayohayo!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      โ€‹@@Abdullah06494@Assalafiyyah637 Picha ya mhalifu lazima ioneshwe watu wamjue ili wakimuona na mapicha yake huko kweny channel za mahizbi wamuepuke...!!! Fatilia qawli za ulamaa katika hilo utabainikiwa In shaa Allah!
      Lau ingekuwa msimamo wa Hizbi ni kuwa picha ni haramu basi isingekuw busara kuonesha picha yake lakin kwa vile nayeye huyo hizbi ana mapicha huko mtandaoni, acha watu wamjue kupitia mapicha yake hayohayo!

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Usonjo syndrome.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

    Usonjo.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Kwanini kama hiyo kauli kaiongea hivi karibuni anatafutiwa maneno yake ya miaka hiyo ya nyuma kasema hajawahi kuita neno jadida lakini huenda alikua anakosoa kutokana na ufahamu wake kuna yyte ambae amemuuliza saivi msimamo wake baada ya kutoa hiyo kauli? Kuna namna katika da'awah mtu anaweza kusema anaingia katika manhaj lakini akaendelea kutengwa kwa kuonekan kama anajipendekeza nafikiri baada ya kutoa ile kauli basi masheikh wa Kisalafy ilibidi wafanye subira kidogo waone alichokisema ni kweli anakimaanisha au anacheza na akili za watu.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Yah! upo sahihi kwa upande fulan ila aliyemjeruhi huwenda anajua zaidi kuliko sisi tunaomuadilisha! Nilitamani sana baada ya ile kalima Zein afatwe alinganiwe zaidi, lakin akazidi kuraddiwa hadi akabadili msimamo papo kwa papo na kuanza kutuita Maswaafiqa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ,wakati jana yake tu alisema kuwa sisi tunaoitwa Majadida ndo Ahlusunnah wal jamaa na Mahizbi wanatuita hvo kwa lengo la kutudhoofisha!
      Sema nayeye anaonekana hana Msimamo. Baada ya kuona anajigongagonga katika maneno yake, nkajua huyu manhaj yake haijanyooka. ila tuwe na subra huwenda akarudi nyuma in shaa Allah!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x In shaa Allah,huenda ikapatikana kheri unajua natamani siku1 hawa wote wanaomuunga mkono Barahiyan wanaonekana na nguvu kubwa katika da'awa wabadili msimamo halafu tuone Barahiyan atabaki peke ake na msimamo wake! Hahahahaha

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@Hamis-ks1sy Hahahahahah! naona watu wanazidi kumkimbia Barahiyani! Atabaki na Bachu tu labda Mana bachu kubadilisha msimamo wake ni kazi... Ashasema kama mtu ni wa Sunnah, hata apinde vipi, ataendelea kunasihiwa mpaka kufa. ndo mana hawez kumhizibisha Kishki hadi sasa! hahahahahaha!

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ +1

    Akhy nwenye channel ya salafi. Shekh uthman. Khamis ni ( hizbi) au

    • @Kenyansalaf
      @Kenyansalaf ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      ua-cam.com/video/etEWPztMkeE/v-deo.htmlsi=kMPwTrn6QCvGwbQ3
      Skiliza iyo clip upate kumjua vizuri

  • @Muislamu
    @Muislamu ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Kisha mbona nyinyi mwamuita shk muhamad bin hadi ..ibnu hadi hata ushekhe mumempokonya ..majahil nyinyi..

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Kwani Sisi ndo tumempokonya???!!!๐Ÿ˜…

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Unavyo ongea kama umedondoka kutoka juu ya mti ukafikia kichwa. Akili zako hasa ndivyo zilivyo elewa kwamba sheikh kanyan'ganywa U-Sheikh ....kazi kweli kweli.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Tusha mjua huyu kundi la kina Abuu musab na wenzake. Na huyu ndio hao hao. Wanatakiwa wa muogope Allah kwa kupotisha usool wa manhaj salafi.

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Hivi wakina Abuu Zaghar sio Salafy? Pa1 na Abuu Muawiyah?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      โ€‹โ€‹@@Hamis-ks1sy Hiyo ni Confusing case kwa sisi wanafunzi wadogo tusioelewa mambo ya Jarhu na Taadil... Kwo nashauri Tutulie tu!
      Tukijua kama wao ni Masalafy au sio haitusaidii kitu ila as long as upande wao ni upande wenye utata juu ya usalafy wao ni bora kujiepusha nao...!!! Allah ndo Mjuzi zaidi wa yote, tunamrudishia yeye kila kitu!
      Nasema upande wao una utata kwa sabab Muhammad Al imaam kabidiishwa na baadhi ya maulamaa na akapewa udhuru na baadhi ya maulamaa! na haqqi ni moja tu kati ya hzo! Kwo kujiepusha na mambo yenye utata itakuw salama zaidi kuliko kuyaendea mambo hayo kutokana na qawli ya mtume alayhi ssalaatu wassalaam...!!!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ok,hapo nimeelewa sema naona kama ingekuwa vizuri kama wangepata Sulhu kwa maana wale wanaonekan wapo mbali sana na manhaj ya wakina Barahiyan na wanaitakid kuwa wakina Sheikh Qassim ni Sakafy yaonekana shida ilianza kwenye kesi ya Muhammad Al imaam.Au nao washaamua kukaa kivyaovyao na hawataki tena kuwa pa1 na masheikh ambao wapo mbali na Muhammad Imaam!!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      @@Hamis-ks1sy Duh! hapo tusubiri Nusra ya Allah huwenda wakawa pamoja In shaa Allah!

    • @IslamicSalafiNet
      @IslamicSalafiNet ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Jana mlimsingizia kuwa aliwaleta Othman Maalim na Kipozeo, mwisho mkaibika. Hapo Alimkosea heshima lini Sheikh Rabii?, pili Mumeshindwa kabisaaa kumkosowa mwatafuta uongo, pili Hajawahi kukaa na Barahiyaani hata siku moja... wewe ni muongo mkubwa

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

    Huyu jamaa kapinda. Sio salafi

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Jameni wacheni kuwatoa watu wa sunna katika manhaj

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 ะœั–ััั†ัŒ ั‚ะพะผัƒ

      Usi tete tu akhy. Huyu anapotosha kuhusu usool wa kisalafi.