ZELENSKY: TUPO TAYARI KWA MAZUNGUMZO IKIWA RUSSIA ITAACHIA MAENEO YETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 Рік тому +2

    Kichapo kiendelee

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Рік тому +3

    From 🇧🇮🇧🇮👊👊 shoga ameumbuka

  • @nafuutayb8452
    @nafuutayb8452 Рік тому +2

    Huyu jamaa lkn akili zipo sawa

  • @ZiadaMlowe-e7w
    @ZiadaMlowe-e7w Рік тому +3

    Marekani anabambiwa kila kona huku china kule korea af uku kipolo na Mrusi ukren

  • @MichaelMollely
    @MichaelMollely Рік тому +1

    Puttin BIGGEST lion🙏🙏🏼🙏

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 Рік тому +2

    Zelensky hana jipya .
    Ufalme wa Mungu Usimame.
    Amin.

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 Рік тому +3

    Zelenzky mwehu huyo hivi Kwa akili ya kawaida putini aachie maeneo aliyoyapambania!!🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪💪

  • @jumajux730
    @jumajux730 Рік тому +4

    Tupo pamoja mkono kwa mkono hadi mwisho Russia for life

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 Рік тому +3

    Bado akili Hana

  • @abdallahkhalfan3966
    @abdallahkhalfan3966 Рік тому +3

    Bado hajawa tayari kwa mazungumzo wacha kichapo kiendelee

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 Рік тому +4

    Huyu zelenzky ni mbuzi wa kafara hajitambui tu,,

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 Рік тому +3

    Maji shingoni. Siuliambiwa ingia mazungumuzo ukakataa? Tulia unyolewee😢

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Рік тому +3

    Huyo ni mcheshaji ndivo anavyowaza.... Hizo ni ndoto kukomboa majimbo yote itatumia miaka 107

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 Рік тому +3

    Huyo shoga aendelee kupewa kichapo cha mbwa Koko kama kawa

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi Рік тому +1

    Tumechoka na huyu zelensky. Hata kumsikia sitaki. Maana amesababisha hasara kubwa sana kwa ukrein.

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 Рік тому +3

    Huyu jamaa milio ya mabom yameshaufyatua ubongo wake, si leo tu amesema Russia imeshashindwa vita.. Nilicomment pale kwa bro bundala sns Kuwa ameongea kinyume ndo hiki sasa 😂😂😂

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 Рік тому +2

    America imevamia muno mwenzao kavamia tu Ukraine. Wampe support amalizie

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 Рік тому +3

    Huyu jamaa hana adabu hata yakuvalia nguo anafkiri putin mjinga

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 Рік тому +2

      Mwezi wa 3 mwaka jana Urusi aliondoa Vikosi vyke Kiev kufuatia mazungumzo huyu jamaa akapanda kiburi
      Russia hawez kurejea hilo kosa

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 Рік тому +4

    Awali nilimsikia Zelensky akisema kwamba atafanya mazungumzo ikiwa Putin ataondoka madarakani. Je! Inakuwa je tana?😂

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 Рік тому +3

    Mpuuzi wewe yani ghalama yote ilio tumika leo tuyaachie maeneo ki bwelele tu namna hio

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Рік тому +2

    Hawataki mazungumzo. Manake wanajuwa kuwa urusi hawatakubali. Ivi uchaguzi lini ukrein ili huyu mbwa aondoke

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Рік тому +3

    Adabu inaanza Wewe jiudhururu kwanza halafu wanaume zako Waache kukupa kiburi. Nabado ukitaka kutoroka vaa dela na baibui upake makeup na wanja. Utamaliza Raia.