Mvua kubwa iliyonyesha usiku imesomba nyumba za wakazi wa Tana River

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 кві 2024
  • Wakaazi wa kijiji cha ziwani kaunti ya Tana River wamelazimika kuhama kwao baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kusomba makaazi yao. Ni mara ya pili watu hawa wanalazimika kuhama kwa sababu walikuwa wakiishi katika kambi ya muda kutokana na mafuriko ya mwaka jana.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @worrylesstv
    @worrylesstv 12 днів тому +1

    Naomba Support ya kila MTU please nafanya comedy 😢😢😢

  • @user-jc1qp6mo7s
    @user-jc1qp6mo7s 12 днів тому

    God have mercy on them