Shughuli za kutafuta miili kwenye mkasa wa boti kuzama katika mto Tana zinaendelea
Вставка
- Опубліковано 28 кві 2024
- Katika kaunti ya Tana River, Shughuli za kuwatafuta waathiriwa wa mkasa wa boti ya jana jioni zimeendelea. Ripoti zikituarifu kuwa watu 23 wanatafutwa.
Haya yakiendelea huku waliookolewa wakiendelea kupokea matibabu katika hospitali moja Madogo. Waliozungumza wakisimulia yaliyojiri, wakiwalaumu wasimamizi wa boti hiyo kwa kubeba abiria wengi kupita kiasi.Kwa mujibu wa polisi eneo la Madogo, Kufikia sasa ni watu 20 pekee ambao wameokolewa. Shughuli za kutafuta miili ya wanaoshukiwa kuangamia kwenye mkasa huo zinatarajiwa kuendelea hii leo baada ya kusitishwa jana usiku kutokana na giza. Naibu Gavana wa kaunti hiyo Mahat Ali Loka amesema maafisa wa kaunti hiyo wataanza kusafirisha watu kwa kutumia boti za kaunti
Watu wapuguze kutenbea jameni wakenya kila pahali n mvua poleni sana watching from Switzerland
Duuu kenya poleni kwa maafa haya nguvu ya Taifa imepungua
Kila mtu na aombee nchi yetu kenya 😢,baba wetu,hii imetuzidi😢tuonee huruma
Walikuwa wanaenda wapi? Si watu watulie makwao mpaka mvua ipungue jamani? 😢😢Haraka za kuenda wpi??
ni ukweli kabisa ni vyema watulie makwao hadi mvua iweze kupungua
Just imagine, hawawezi kutulia, dancing with death
Some were returning home to their families. Kutulia Ni nyumbani
acheni kuraumiana juu ata nyinyi mlikuwa mnaona mko wengi
Serikali iko nakibarua.Ngai
From land to air,from air to water😢
Sasa mbona watu wapande boat kama imejaa jameni...
Wakenya tujichunge wenyewe 🤔🤔🤔
Exactly
Overloading my foot , nobody had a gun on their head
Why overloading?
Thanks God 🙏🏼🙏🏼
Why overload na kuna more boats.....wakenya jameni!!
Not Kenyans they were somalians
@@Ismaelkhaani ..ok... But weeh! So sad
@@Ismaelkhaaniwho the fuck said somaalis are not kenyans you poor oromo
Ina ilah waina Lilah rajiun
Serikali ndio ya kulaumiwa lakini sasa watakuokuwa n hatia kubwa n wenye maboat huu n uzembe wa waziri wa bara bara
Si ndege si magari si boat si mvua si manyumba God intervene hakuna place safe sasa
Mungu Dunia ajue wewe muhumba amna muhumba ila wewe
🎉🎉❤❤❤❤
Wakenya pia inafaa wajisimamie ,sasa kama unaona boti limejaa mbona waabiri jamani na kisha unaanza kulaumu serikali....wewe ndio serikali
It's the end
Jamaa alkwa na tamaa kukimpia
Ruto huko inchi gani wakenya wakiumia 😢😢
Hayuko
KENHA are responsible of all this why not take an action it's 4 months tangu ile mvua ya mbeleni