Barabara nyingi hazipitiki katika kaunti ya Nairobi
Вставка
- Опубліковано 23 кві 2024
- Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imesababisha maafa na uharibifu wa miundomsingi. barabara kadhaa hapa jijini nairobi hazipitiki. miti imeanguka katika barabara ya mpoi katikati ya jiji huku mafuriko yakiathiri sehemu ya barabara kuu ya Thika
Poleni sana ndugu zetu wa Kenya Mungu awa linde sana sisi hapa Bongo Tz hali ni kama hivyo tu ombeane
Mungu Linda inji ye2 y Kenya
Dimples na Teams university degree ako disco🎉🎉
Naomba unipitie please nafanyako comedy 😢😢
Kenyans you love complaining alot ata uko dubai na china kunaflood,somethings are beyond human control
@@newtonmuteaKenyans you are protecting politicians too much. Floods are everywhere hatuja kataa ,in other countries government are doing what they could lakini huku una ona action yoyote ama ni dunda tu
Hizo plastic bottles ndio sababu ya hizi drainage clog yote.
Citizen TV please give credits to the people(wananchi) who covered the footage for you
They do earn from citizen digital app
It's like here Dubai
The airport still with water
God have mercy
Alafu wabunge wanataka kupitisha muswada wa kubuy new jet for president
😅
Serikali sasa ishughulike drainage system kote nchini kwanza , ujenzi wa barabara baadaye , haya mafuriko yatabeba progress ya miaka sitini
Nakubaliana kabisa!
Lazima iwork sio? If proper preparations were done such incidences would have been rare. Proper drainage to allow water to flow out would have been sufficient but since the water has nowhere to go it percolates into the ground and we get such results. I hope the foreign travel were to benchmark on such incidents
Kazi ni kurembesha uhuru Park, and people were really amazed about it instead they look into deep issues like drainages and also look into issues like people who are being allowed kujenga where not supposed to, ingekua sku za moi the governer angekua ashatolewa iyo kiti
An ordinary tree has fallen and blocked the road and nothing can be done? Hehheeh maaajabu
I dont rhink we should only blame the government. Also those who have built on water ways.
Sakaja bure kabisa mji mkubwa umemshinda huu watu wanafanya nini kwa viti
Sewage..the genesis of diarrhoea 😢
Sakaja yuko busy campaigning for tall and high rise buildings in the city yet basic necessity ya mwananchi wa Nairobi ame puuza
Nairobi sasa mnunue boats
Pole sana to friends and family's!!
Water is like that
kazi mtaani ilikua inasaidia. sasa hizi ni aibu gani
And sakaja bizi akirembesha uhuru park 😂
Nairobians Lazima Tu Swim😂😂
😂😂😂Naomba unipitieko Leo tafasali nafanyako comedy 😂😂
Like Dubai
Hii serikali ya wakora inavituko na visanga tu ni kuiba tu na matumbo zao
It is time that all media house have sense of patriotism and criticize government, mps, governors, mcs. How comes no one talk of drainage, duty dams construction. Now all this is useless because it always rain and measures are taken.
Why is the govt quiet, this pple should be in the police cells, wote plus staff
Tuonyesheni crusade ya kitale pastor exekiek
😂😂😂
Roysambu next 2 trm kwa jeshi labda watafte boat au helicopter 😄
Uzuri Leo sikuenda roysambu 😢
Riparian land
Naombako Support ya kila mtu please nafanyako comedy please mnipitieko 😢😢😮
wah
Tawara!!!
Na nyinyi mnapitia wap ndio mfike kutangaza