GPS: Afisa wa TRA afunguka baada ya Diamond kulipwa Bil 2.4 na Nandy 827m kwenye Harusi Kenya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 232

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 17 днів тому +19

    Diamond Platinum Ni Mmoja TU 🔥💯🎶🎵

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 16 днів тому

      Hana lolote KiKi tu.. Media na lwenye mitandao kajaza watu wake kuaminisha watu upuuzi. Wasanii wa Tz wana fake sna maisha

    • @babalao3250
      @babalao3250 16 днів тому

      We ni mbwa sana kama haukubali kama simba ni baba lao

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 16 днів тому +12

    Jamani nipo Mombasa karibia mwaka haruc za huku zina garama ushindani wana sifa sana inawezkana pesa hizo akalipwa

  • @iam_maglan101
    @iam_maglan101 16 днів тому +3

    SnS safi sana kwa content nzuri. Ushauri wangu next time mkiwa mnazungumzia artist au kitu Fulani basi hakikisheni kwenye izo screen background hata screen moja walau ioneshe videos zinazo endana na content on table lakini hii background tunaona vitata na habari ambazo haziendani na content husika. Asante.

  • @KekeRose-yj6re
    @KekeRose-yj6re 17 днів тому +5

    Masubi mpole very nice 🎉

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 16 днів тому +7

    Diamond 🙌👑🇹🇿✅

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 13 днів тому

    djsima Mungu akubarik sanaaa ❤

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 16 днів тому +10

    Mtakufa navyo vijiba vya roho!
    Mondi yuleeeeee!😂😂😂❤❤

  • @FraviaSamweli
    @FraviaSamweli 17 днів тому +34

    Ifike hatua tusapot Sana diamond 😎

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 16 днів тому

      Mzee wa KIKI tu huyo hana lolote😂😂

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 16 днів тому

      ​@@GeorgeElias-p5o😂😂mzee wa kiki

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 16 днів тому +3

      Unateseka ukiwa wapi George 😂😂

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 15 днів тому

      Anateseka akiwa na usongo chuki na roho mbaya😀😀...george acha roho mbaya Mungu akubariki😁😁

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 13 днів тому +1

      Wasapotiwe wasanii wote siyo Diamond tu peke yake

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 16 днів тому +8

    Dj smaa nakuelewa ukanda ulousemq mombasa ni kenya ila mombasa ni nchi inayo ingiliana zaidi na znz familiya

  • @zulfakibwana2330
    @zulfakibwana2330 14 днів тому +1

    Baba nillan ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KUSINIFINEST
    @KUSINIFINEST 16 днів тому +2

    mupo vizuri 🔥

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 17 днів тому +26

    Mimi ninatoka Mombasa weee huyo ni tajiri mkubwa sana. ....huyu ukiona amealika President weeeeeeee humuwezi.......pia ana biashara nyingi sana!!!!Hawa ni ma bilionea wa mombasa wa Kenya.....huyu alikua anashindana na Mombasa Cement

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 17 днів тому

      Ila diamond hajalipwa hiyo pesa

    • @Mina.15
      @Mina.15 17 днів тому +1

      @@Brunotarimo10 ulikuwepo? Stop hating on someone you don’t even know him.

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 17 днів тому +1

      Aloshindana nae ashaoza amekua bacteria,sasa atashindana nanani dunia ni mapito

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 17 днів тому

      @@Mina.15 Acheni kushabilia story za uongo

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 16 днів тому

      ​@@sarahmuhammed6872tafuta hela acha uchawi😂😂😂

  • @emilianejusele5689
    @emilianejusele5689 15 днів тому +2

    At first niliwaza uyu kaka ni Balthazar. Kuna kufanana kidogo😂😂😂

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 15 днів тому

    HAKUNA KAMA SIMBAAAAA❤❤❤❤❤❤

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 17 днів тому +4

    Alhamdulilah

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 16 днів тому +2

    Devido yeye hawajahoji ira kwa simba diamond Big wanahoji kuwa niuongo 😂😂😂 wabongo achen upuzi kwakuwa simba diamond pianae yupokama wao❤❤

  • @jables6804
    @jables6804 16 днів тому +1

    GPS BIG LOVE VICHWA XANA MA BROTHER

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 16 днів тому +4

    Ndiyomjuwe , Kenya kunawatu Wana pesa

    • @tanzaniatouristsattraction1622
      @tanzaniatouristsattraction1622 16 днів тому +1

      Kuna nchi watu hawana ela Ata Sudan kwenye vita wapo usiongee upumbavu

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 13 днів тому

      Hivi unadhani hakuna watanzania wenye pesa??na wapo kimnya sema hawaendekezi mambo ya kijinga tu.

  • @b.k.5659
    @b.k.5659 14 днів тому

    kali 🔥🔥

  • @prudentjm3039
    @prudentjm3039 17 днів тому +15

    Watanzania bhana Akilipwa mtanzania B2wanabisha ila Davido kulipwa B23 hawakatai Sasa cjui Kwa nn

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 16 днів тому +1

      Ujinga mwingi mnoo

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 16 днів тому

      Wasanii wa bongo tunawajua wana fake sana maisha, wana KIKI kubwa kuliko mziki wanaoufanya.😂

    • @prudentjm3039
      @prudentjm3039 16 днів тому +1

      @@GeorgeElias-p5o mbn hata Nigeria Wana fake sana tu

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 16 днів тому

      ​@@GeorgeElias-p5oHata marekani wanafake xana2,kikubwa ni chuki2 mkuu huna lolote😂😂😂

    • @TheresiaAllen-v2i
      @TheresiaAllen-v2i 16 днів тому

      Watapata tabu sana,diamond ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 16 днів тому +6

    Somo la Kodi lifundishwe kuanzia shule ya msingi pamoja na katiba ya nchi watu wajue mapema

    • @dorahbenard1837
      @dorahbenard1837 16 днів тому +1

      Kabisaa ,safi sana ..unaakili sana aiseee

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 16 днів тому +1

    Dangoteeeee❤❤❤❤❤

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 16 днів тому +25

    Mimi niko Mombasa kwa hawa matajiri wa hapa kwetu Mombasa hii hata ni ndogo kwa gharama zao za harusi.nawashangaa wabongo kuiona ya ajabu.

    • @ibrahimngulungu
      @ibrahimngulungu 16 днів тому +2

      Wewe unayo???

    • @adnanomary1955
      @adnanomary1955 16 днів тому

      B2 ni ndogo mwamba hata ukiipeleka kwa dola ni pesa nyingi mzee

    • @prudentjm3039
      @prudentjm3039 16 днів тому +2

      @@adnanomary1955 million Moja tu mzee mbna hyo jela matajiri Wana nunua saa tu ya mkononi

    • @adnanomary1955
      @adnanomary1955 16 днів тому

      @@prudentjm3039 unazungumzia matajiri mwamba

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. 16 днів тому +1

      willy pozee kapewa shingapi🤣🤣🤣🤣

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 17 днів тому +2

    Sherikali iweke somo la kupenda vya kwetu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 16 днів тому +4

    Mkisoma comet s za watu wanoishi mombasa karibu na huyo mtu wanasema ni tajiri mkubwa sana na anauwezo zaidi ya hu
    Hizo

  • @Aneth-sp6nw
    @Aneth-sp6nw 14 днів тому

    Mentality💯

  • @EricEric-y9n
    @EricEric-y9n 12 днів тому

    Haitwi shell inaitwa kituo cha mafta shell ni kampuni liko Kenya 🇰🇪

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 16 днів тому

    Proud of them❤

  • @fredymushy9674
    @fredymushy9674 16 днів тому

    Nandy 🎉🎉🎉

  • @juliusnyerere5393
    @juliusnyerere5393 16 днів тому +1

    Uko sahihi. DJ slaaa.

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 16 днів тому

      Wote hao watu wake.. Hana lolote KIKI tu mziki wenyew umeshamshinda

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 16 днів тому +4

    Huyo apo kwenye mzik wake tayar anaresen na anaulipia kwa mwaka show moja moja haiusiani na makato yake alioimba siku moja

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 12 годин тому

    we ndo unasgangaa B.2 huna hela matajiri hiyo ni hela ya karanga

  • @MetrineOmare
    @MetrineOmare 16 днів тому +1

    Ally masudi anakaa master J😂

  • @BilaliRamadhani-x7y
    @BilaliRamadhani-x7y 17 днів тому +1

    Iko ndio kitu nawa penda sns

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 17 днів тому +1

    Smaa hapo umezingua ....umeweka Aya kwnye sehemu ambayo siyo sahihi. .unaweka Aya mahala siyo pake

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 12 годин тому

    Huyu jamaa wa kushoto nimgen kwenye interview akizoea atakuw wa moto Sana mana anamawazo yaliyonyooka Afu ashindani

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 15 днів тому +1

    Shell sio neno la kiswahili ni brand company of gas station or petroleum station. Ukitaja shell ni Kama una taja BP, Puma, Oilcom ama Engine Ila waswahili wamezoea kuita kila petrol station ni shell kitu ambacho siyo sahihi😂

  • @collinndabi1914
    @collinndabi1914 16 днів тому

    Acheni bwana davido juzi kalipwa bilioni 26

  • @doricemichelle3614
    @doricemichelle3614 15 днів тому +1

    Angekuwa mnigeria au mmarekani wangeona sawa ila mtanzania ndio hastahili?!😂😂😂

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 17 днів тому +2

    Lakini mjue hiyo hela haitoshi ata kununua kiwanja Karen hecter moja

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 17 днів тому

      Sasa alikuambia anataka kiwanja Karen ?? Muambie poozee ajanunue😂😂😂😂wivutu kwani wasanii wakenya wanalipwa kiasi Gani mbona wanalalamika😂😂au wanalipwa zaidi ya simbi dangite hivi Kuna msanii east Africa analipwa pesa nyingi zaidi ya daimondi???😂😂😂

    • @agreyaloyce432
      @agreyaloyce432 14 днів тому

      Ww uko na hiyo kiwanja karen

  • @hirizonetz9558
    @hirizonetz9558 16 днів тому +2

    Inabidi tukubali tu kama diamond angekuwa ni mnigeria basi hakuna mwanamziki angekuwa juu yake ila kwa vile kazaliwa Tanzania hatuamini kwenye kufanikiwa

  • @ramiamisanya9873
    @ramiamisanya9873 16 днів тому +1

    💯

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 11 годин тому

    Nawafundisha watu kutokata tamaa yajayo yanafurahisha p dd alikuwa yey kila kona ya mtaa na kawaida ukiona changamoto kibao ndo ujue mazur yanakalibia Ona sasa leo madili angekata tamaa angekuwa msema ovyo leo hii angekuwa anasov makesi ila kwakuwa jamaa anawatu waliomzunguka wanastala wamenyooka na yy pia kanyooka bac kayapita magumu sasa n Bata tena dili ni kubwa kuliko mwanzo😊

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 16 днів тому

    Hapa Kuna kitu Cha kujifunza hivi vyombo vya habari vitoe elimu Sana kuliko udaku hata kama inawalipa huo udaku

  • @Q_lax255
    @Q_lax255 15 днів тому

    Mwahija kichwa mviringo anataka adi azione

  • @edwardleonard5793
    @edwardleonard5793 15 днів тому +1

    Mtaji wa bank tz sio 1bn ni 10bn kwa mujibu wa sheria

    • @AminielKombe-c1t
      @AminielKombe-c1t 13 днів тому +1

      Sahihi,, 5bn kwa microfinance banks na 10bn commercial

  • @Symoob5c
    @Symoob5c 16 днів тому

    ila watanzania bana😂😂😂

  • @javandaudi5553
    @javandaudi5553 17 днів тому +4

    Brand wazee😂😂

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 17 днів тому

      Uko sw mzee umewahi kunizid

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 16 днів тому +1

    Kaka sallam Alaykum vipi umepona kwikwiki

    • @djsma255
      @djsma255 16 днів тому

      Alhamdulilah nimepona, asante

  • @KristophKihakwi
    @KristophKihakwi 17 днів тому +67

    Watanzania bwana sisi ni wajinga sana ingekuwa msanii kutoka nje ya mipaka ya tz Kila mmoja angemsifia kwa msanii wetu tunasema mbaka tuzione tuache ujinga

    • @zomasamweli
      @zomasamweli 17 днів тому +11

      Hakika umesema point

    • @svt3
      @svt3 17 днів тому +7

      Ukosefu wa Elimu unachangia saana kwa tz ukiangalia wanao bisha saana elmu ni la 7 wakifika mbali ni form 4

    • @panchovalentino3576
      @panchovalentino3576 17 днів тому +4

      Yess Ni kwel kabisa 💯

    • @pascofp145
      @pascofp145 17 днів тому +6

      ​@@svt3 kaka sio elimu wengi waliko mitandaoni wamesoma kaka maana darasa la saba wengi ni 38 above shida Tanzania tuna roho mbaya na wivu

    • @svt3
      @svt3 17 днів тому +3

      @pascofp145 na kuelewa yaani wana wivu wa kijinga saana basi

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 13 днів тому

    Ujanja wa biashara Tanzania na duniani kote kwenye kukwepa kulipa kodi ni kununua asset ambayo inatumika kama kitendea kazi, kwa mfano hapo kwenye hiyo B 2.3 alolipwa na pesa nyengine yoyote alolipwa mwaka 2024 akiamua kununua kitu kama ndege basi ujuwe TRA hawachukuwi hata centi 1 kutoka kwenye hela za msanii

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 16 днів тому +3

    Yaani wa Swahili wanaona wanavyosumbuka kupata 50k tu wanaona uongo😂😂😂 kumbukeni huyo Diamond anailipia Kodi atadanganya imsaidie nini wakati TRA imetoa macho kwa makato yake kutokana na kipato kaingiza😂😂😂

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 16 днів тому +1

      Hana lolote wasanii wa Tz ni Kiki tu.. media na kwenye mitandao kajaza watu wake kuaminisha watu upuuzi

  • @SammyDedez
    @SammyDedez 16 днів тому +1

    Ako kwa transport na pia he runs a farm

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 15 днів тому

    KWENYE HARUS YA MA DAUGHTER NITAWALETA HAWA;
    SIMBA & ZUCHU
    ALIKIBA & NANDY
    MARIOO & PAULA

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 13 днів тому

    Its very simple suali la kodi msanii wa bongo akiperform nje ya nchi lazima analipia kodi sababu ni lazima wakachukuwe kibali kutoka basata na mamlaka nyengine kabla ya kusafiri kwenda kuperform nje ya nchi

  • @Tostao36
    @Tostao36 11 днів тому

    KRA wanachukua chao na TRA hali kadhilika na yeye mwenyewe amedisclose

  • @collinndabi1914
    @collinndabi1914 16 днів тому

    Wizkid alilipwa hiyo amount mwaka 2018 india now huwezi kulipa hela iyo

  • @lexq-sm6lq
    @lexq-sm6lq 16 днів тому

    Mi sina hata hela ya x-mas, nataka kumkimbia demu wangu..
    Uki nipostia mabilioni una nipa makasiriko tu😂😂😂

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 16 днів тому +2

    Hakun tusi wewe wakenya hatuna issue Sisi tunakudiss Leo Kesho tubakupea kz

  • @khamsjabdullah691
    @khamsjabdullah691 12 днів тому

    Hii timu inatisha ni moto

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 16 днів тому

    Mm nigekuwa diamond nigesema ni zawadi tu na yuke ni rafik yangu muda mrefu 😅😅😅

  • @christianbahemuke1098
    @christianbahemuke1098 17 днів тому +1

    Great team, with great IQ

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 17 днів тому

    GPS nawakubali sana ila mnafyoongea habari ambazo hamna uhakika naso. Mwambino hajalipwa izo hela

  • @JujuGurugu04
    @JujuGurugu04 16 днів тому

    Haya tunawanao vichaa kwenye comments acheni ujinga tafutene ukuta muegemeeee😂😂😂😂 hausaidiii mki mcrush D ameshaendaaaaaaa🎉🎉🎉🎉

  • @Useri-bn6ye
    @Useri-bn6ye 17 днів тому +1

    TRA
    Sio waniogopa voo hawaipendi asaaa
    Na mm binafc kuna vitu nimevingudua ttzo ni ukosefu tu wa elimu sahihi tu

  • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
    @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 15 днів тому

    American wana Msemo wao fake it until you make it Jamaa his very Smart kutengeneza attentions na kaipata kweli kweli Maana Media zote zinazungumzia $ML.1

  • @STARGOLDENSTAR1
    @STARGOLDENSTAR1 16 днів тому

    His the king 🤴 of unga so 1million nkama drops in the ocean uyo jamaa ni Pablo escopa😂

  • @lazarojoseph7541
    @lazarojoseph7541 16 днів тому

    Wapi mwijakundu😂

  • @strong8534
    @strong8534 16 днів тому +2

    Kumbe Dj Sma ndo paparazzi wa SNS uliepiga picha nyumba anayoijenga Nasibu!!😊😊😊

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 16 днів тому

    Kama mwijaku kaziyake ni kum discuss mondi

  • @RobertBantu
    @RobertBantu 16 днів тому

    Mnakosea kujadili Mapato ya mondi mnamchinganisha na tra

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 12 годин тому

    Ardhi ya Tanzania inaubalikio na wa watu wake Sema watu tunajichukulia poa

  • @Useri-bn6ye
    @Useri-bn6ye 17 днів тому

    Nadubiri habari ya urusi

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 16 днів тому

    willy pozee umelipwa shingapi baba🤣🤣🤣

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 16 днів тому +1

    Sisi wa tz tusojuwa hata anaishi wapi tunabisha hizo ni akili kweli

  • @WILLY_SKY1
    @WILLY_SKY1 16 днів тому

    Sma Wacha zarau kwa wakenya

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 17 днів тому +3

    Ni uongo hawez kulipwa hyo pesa .....apo sana sana. Milinon 200 jadi 300

  • @MejackPaul
    @MejackPaul 16 днів тому

    Noma sana

  • @AmaniKwanza
    @AmaniKwanza 17 днів тому

    Taasisi zote za serikali zimetenga mda mdogo sana kwenye kuelimisha jamii sijui kama hawalioni tatizo maana hata nyie hapo imebidi mumtafute huyo mtumishi wa TRA afafanue kitu ambacho cha kawaida sana kwa wenzetu

  • @BaungeIlango
    @BaungeIlango 16 днів тому

    Mbona Davido mlimsifia kwa mabilioni ya pesa? kwanini vya kwenu mnaponda sana? watanzania mnamatatizo gani?

  • @edwardleonard5793
    @edwardleonard5793 15 днів тому

    2.3 bn ni helq ya kutumia zzaidi ya miaka 7 kwa hesabu ya matumizi ya 1m kwa siku na sio miaka mitatu

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 16 днів тому

    Wanaume acheni wivu hao wasanii wanalipa kodi

  • @vincej9275
    @vincej9275 6 днів тому

    Utajiri wa corruption. Sio wote lakini ni wengi sana.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 17 днів тому +1

    HUYU KIJANA WA TRA NAOMBA JINA LAKE KAMILI, LAZIMA APATE PROMOTION

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 16 днів тому

    Vp huyo tajiri wa Kenya kibongo bonge tumfananishe na nani kwa utajiri

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 12 годин тому

    Mondi kawekeza na kaishajua utam wa kuwekeza

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 16 днів тому

    Vipi yule mabreach wa kenya anasemaje 😂😂😂😂

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 11 годин тому

    Kama nyie amabo amjui diamond n mlipaj mzur wa kodi na kanyooka anajiamn kama unamfatiliaga diamond vizur alishawai kutaja kiasi na mapato jinsi anavyolipa Tra usizan tapeli na mkwepa kodi anaweza taja pesa zake diamond kanyooka na ndo mana anafanikiwa

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 16 днів тому

    Huyo tajiri achana nae ana connection kubwa na serikali.huyu ndio serikali inakopa kutoka kwa huyu

  • @Uppertz
    @Uppertz 16 днів тому

    Kila mtu atakuja kumheshimu tu

  • @mtushindirena2981
    @mtushindirena2981 17 днів тому

    Naliza Tafadhali nitapendelea kupata jibu baada ya mtu kulipa kodi yake kwa usahihi yeye kama yeye anapata nini kutoka kwa serekali baada ya mwaka mzima.

  • @Shaniatwain06
    @Shaniatwain06 16 днів тому

    Kwa hela hiyo mliyotaja nahisi huu mwezi nyumba ya mama yake Madale itaisha arudi kule amuache Zuchu abembee peke yake😂😂😂😂

  • @Useri-bn6ye
    @Useri-bn6ye 17 днів тому

    Mm binafc kuhusu mtu kujisifia au kutangaza hela zake kwngu kawaida tu mana sina tabia za kukasirikia mafanikio ya mtu
    Ila kuhusu mitazamo ya kiimani ni bora kuficha mafanikio yako ili yaendelee kubaki mana binaadam nao wana mtihani hawachelewi kukushusha ata wakuroge tu

  • @AllanKamaliki
    @AllanKamaliki 16 днів тому

    Wabongo wanafiki. Wakija Kenya wanajipiga vifua eti wanamuziki wao wameliteka soko letu, Bien akienda kwao bado wanajipiga vifua eti wao ni wakarimu wanawakubali watu wote.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 17 днів тому +1

    Hajalipwa hiyo pesa na hiyo familia haiwezi kukanusha inaonekana wame taka kujitangaza

    • @IsmailMkungo
      @IsmailMkungo 16 днів тому

      Weujielew huna pesa ww kbs watu wanatoa kajambe ukalale asa atufute sifa za nini we huna pesa watu wanatoa ujawah kuona bakresa anawapeleka watu zaid ya mia makka kwenda kuled jumlisha pesa ngap izo mtu asiweze kumpa mtu atumbuize

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 16 днів тому

      Diamond hawez kuimba bila izo hela

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 16 днів тому

    Milioni mbili mtu mmoja anatowa mchango kanisani, halafu Mombasa ni mafans wa diamond platnumz .

  • @Eng2460
    @Eng2460 17 днів тому +1

    GPS

  • @shomydeking22
    @shomydeking22 16 днів тому +1

    Mbona kma ni Balthazar😂😂😂

  • @iamthefarmerceo2316
    @iamthefarmerceo2316 16 днів тому

    Mtaji wa Bank ni TZS.5Billion mzee

    • @ChireGriffin
      @ChireGriffin 16 днів тому

      Kiwango Cha chini ni I b

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 15 днів тому

      ​@@ChireGriffinNo broo mtaji wake ni bill 15(Commercial banks) na bill 2(Community banks).

  • @AllyDjuma-n7z
    @AllyDjuma-n7z 17 днів тому +8

    izo pesa mumeziwona jamani mbona munapenda kuwaminisha watu wongi