BABA YANGU KIPOFU Full episode /43/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @BabaJoani
    @BabaJoani  4 дні тому +555

    TUNAKARIBIA KUMALIZA MOVIE YETU,TOA MAONI YAKO MOVIE MPYA TUIITE JINA GANI? NASOMA COMMENT

    • @ellahmaketa6926
      @ellahmaketa6926 4 дні тому +29

      Tatizo hatujui aina ya movie mtakayoicheza

    • @bongoswahiliplus
      @bongoswahiliplus 4 дні тому +14

      @@BabaJoani abdala kiuno sema nimekudm nifanye recap naona ujib

    • @irankundabelyse-ej5vi
      @irankundabelyse-ej5vi 4 дні тому +31

      Baba karobo tunatan iitwe maman kipofu Sasa kipofu akuake maman karobo nayey yamukute😂😂

    • @irankundabelyse-ej5vi
      @irankundabelyse-ej5vi 4 дні тому +18

      Tunataka film yamama mukwe na mukamwana wake gisi wanapashw kuishiwot wakipendan nakueshimiana asanteni

    • @RoseMarrann
      @RoseMarrann 4 дні тому +6

      Aaaiiih itaisha ajy Na bdo ujaona n ujue ukweli

  • @jaycburundi257
    @jaycburundi257 4 дні тому +189

    yes I m the first kutoka Burundi nipeni like zangu msinibanie ❤❤
    Nani anaona nguvu za Mora kama Mimi???

  • @TrizahMalesi
    @TrizahMalesi 4 дні тому +268

    Ndio kufika toka Kenya 🇰🇪 wapi likes za wakenya wangu pamoja na likes za mchungaji.

  • @AbaidiiniNgweti
    @AbaidiiniNgweti 4 дні тому +149

    Aya like 50 kwa baba karobo na mkewe kanusu 😂😂
    Mungu mbariki Kila mtu anaesoma sms hii Leo na kesho mbinguni tuseme Amen 🙏🙏🙏

  • @delvinmoraa8688
    @delvinmoraa8688 4 дні тому +495

    Wale tunamini maombi ndio silaha ya pekee tujuane kwa like🎉🎉

  • @JaneMhango-yl7xo
    @JaneMhango-yl7xo 4 дні тому +51

    Mungu wangu pastor chiko ww ni chungaji ambeye umetumwa na mungu kusaidia watu hapa duniani ilove your job from 🇿🇲🙏

    • @Gladys-254
      @Gladys-254 4 дні тому

      Ywaigiza ila kipaji Cha uchungaji kipo❤

    • @olicej7837
      @olicej7837 4 дні тому

      Usikute kuna siku akaigiza kama mchawi 😂😂😂😂

  • @EstherMutisya-rf4qq
    @EstherMutisya-rf4qq 4 дні тому +20

    Wewe chiko,,hivi unàjitambua kuwa wewe ni mtumish wa mungu???sauti yako iko na nguvu za kiuchungaji mungu akuzidishie

  • @SetianKarino
    @SetianKarino 4 дні тому +71

    Wakwanza leo kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naombeni like zenyu ❤❤❤

  • @Ishara-Jeremie
    @Ishara-Jeremie 4 дні тому +103

    BABA JOAN ANATUBURUDISHA KAMA UNANITAJI BABA JOANI AONE LIKE TUJUWE

  • @Lucywanjirukagonye
    @Lucywanjirukagonye 4 дні тому +76

    Wakwanza kutoka Riyadh Saudi Arabia teem strong wapi like za watumishi wa mungu kwa kazi nzuri wanaoifanya🙏🙏🙏❤❤🎉🥳

  • @bongoswahiliplus
    @bongoswahiliplus 4 дні тому +95

    Team baba karobo like apa

  • @yusrahanasmoha4407
    @yusrahanasmoha4407 4 дні тому +144

    Tangu nianze kufatilia hii movie sijawahi pata like hata moja 😢

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 4 дні тому +129

    Wakwanza leo jamani kifumbi na jasho kwa baba karombo like zenu from Kenya 🇰🇪 guys ❤❤❤❤❤❤❤

  • @RehemaNyevu-kk1ms
    @RehemaNyevu-kk1ms 4 дні тому +55

    From Kenya naombeni likes hta kidgo toka nianze kufatilia hii move sijawah pata likes

  • @sadcome3213mapenzi
    @sadcome3213mapenzi 4 дні тому +38

    Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪 like hapa tukisonga

  • @rehemambingi7180
    @rehemambingi7180 4 дні тому +17

    Toka nimeanza kufuatilia hii move sijawahi pewa hata like 1 from,,,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @foryou9231
    @foryou9231 4 дні тому +12

    Napenda sana mchungaji kwa jinsi anavyo onyesha mungu ananguvu kias gani.. na pia inatupa mafunzo tusiwe watu wa kutegemea nguvu za kishetani❤❤❤❤❤

  • @Ashwag_arabian_rose
    @Ashwag_arabian_rose 4 дні тому +11

    Baba yangu kipofu nimeipenda sana ilaa siku nyengine wekeni ma sheikh badala wachungaji🥰...

  • @mmBrian-rw4jh
    @mmBrian-rw4jh 4 дні тому +44

    Tangu nianze kuangalia baba karobo kutoka episode 1-43 siwahi kupata like

    • @pablonsanzumuhire2024
      @pablonsanzumuhire2024 4 дні тому

      Pia mimi.lakini na penda teams yote!

    • @BintalyB
      @BintalyB 4 дні тому

      😂😂😂pia mm guys kumbe 2ko wengi lkn wanafanya vzri wapewe maua yao🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MonnaclassicFashion
    @MonnaclassicFashion 4 дні тому +25

    Ila Chiko kaziunayo ukitoka hapo lazma ujikande koromeo😂😂😂😂😂cini iliopewa ngumu kiukweli ubarikiwe ila unaweza ikiisha movies fungua kanisa utakuwa umewiva 😂😂😂😂

  • @AseleRamazani
    @AseleRamazani 4 дні тому +6

    Movie nikali mtowenyengine nzuri zaidi yaiyi ongera kwa baba kalobo ❤❤❤ from Malawi

  • @NshemezimanaDiedonne
    @NshemezimanaDiedonne 4 дні тому +18

    Some one from burundi I am with you 5/5 for this movie baba yangu kipofu and I want your likes for me

  • @ReneNzeyimana
    @ReneNzeyimana 4 дні тому +34

    Like kutoka Burundi 🇧🇮

  • @Joelnge
    @Joelnge 4 дні тому +34

    Since I start watching videos I had never get a like surely 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😢😢😢😢

  • @cheiruth
    @cheiruth 4 дні тому +58

    Wakwanza Leo jameni nipeeni like zangu wapenzi🥰

    • @SyamaaKyalo
      @SyamaaKyalo 4 дні тому

      Mama karobo ajuwe fita za mungu si kama za mchawi😂!!!

  • @niyogushimadorine6086
    @niyogushimadorine6086 4 дні тому +20

    21min nimesha fika❤❤❤❤ ninawapenda sana kwakutoka 🇧🇮 team Baba Joan juu sanaaaaa🎉

  • @CarolyneLiona
    @CarolyneLiona 4 дні тому +23

    No 83 like kwangu ulululu shetani ameshindwa kwa jina la yesu

  • @CatherineChege-w5x
    @CatherineChege-w5x 4 дні тому +14

    Wenye munasubiri mama karobo na fashoni waumbuke mko wapi

  • @RoselineMulwa-qg4bn
    @RoselineMulwa-qg4bn 4 дні тому +18

    Wakwanza tokea Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪like zangu

  • @MercylineMutheu-l5t
    @MercylineMutheu-l5t 4 дні тому +22

    Siku Saba za maombi azijaisha jameni😊

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 4 дні тому +4

    Movie kibinafusi ninataka tu baba yangu kibofu iendelee ilinijuwe. Baba kalobo akibona. Atamuoa zujati ,,alafu akioa zuu kibikitafata ,,,, alafu nukuti na mimba ya muganga watafikaje❤❤❤❤❤

  • @mariaowenya8378
    @mariaowenya8378 4 дні тому +8

    Chikoooo kama sio wewe unaeita Mr wetu kipochi manyoya

  • @CosmaMbawala-if8zk
    @CosmaMbawala-if8zk 4 дні тому +9

    Pasta chiko hongera sana Sana unajua kuitendea kazi nafac yako mwenyezi mungu azid kukuongezeeni kipawa zaid mfike mbali ya hapo nawatenda mnooo

  • @JohanithaAsimwe-tl3ox
    @JohanithaAsimwe-tl3ox 4 дні тому +3

    Yann nimeisubir San final jamani baba karobo nakupenda saan pia movie zako nizur San ❤❤❤❤

  • @RoselineMiruka
    @RoselineMiruka 4 дні тому +15

    Wa kwanza nipeww like Ata kumi bas

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 4 дні тому +2

    Jamani tumpe pastor wemtu mauwa yake team baba karombo❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇰🇪🙏🙏👏👏

  • @MosesMimbi
    @MosesMimbi 4 дні тому +9

    Sijawahi comment lakini Leo acha niseme kwamba mungu ni mkuu ukimwamini atakukinga na maadui zako

  • @SalumuSabasaba-hg6nu
    @SalumuSabasaba-hg6nu 4 дні тому +1

    Nakusalimu Baba Joan, naitwa SALMU kutoka DRC Congo Kinshasa🇨🇩🇨🇩, naifata kazi yenu kwa umakini sana, nam pia ni msani, ila kwenye tunakuwa naelekeya munataka aribisha iyi filamu, kwanza aigawi pia mumeanza aribu kwakuirefusha, tuna mipenda sana ila saizi munazinguwa sana ndugu, voilà je vous donne une petite Conseil d'améliorer le film, bonne compréhension à tous les cinéastes, sur tout vous Baba Joan fait attention s'il-vous-plaît. Toujours SALMU 🎉🎉

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 4 дні тому +3

    Huyo mwenye mzuzu Alisha wahi kuwa mchungaji nini anaweza Tena anaweza sana❤❤❤

  • @DelphineAyuma-mg6ex
    @DelphineAyuma-mg6ex 4 дні тому +2

    mchungaji chiko kazi nzuri sana kamwe shetani hawezi shindana na watumishi wa mungu

  • @modex_0376
    @modex_0376 4 дні тому +27

    YOYOTE AKISOMA HII SMS NA KULIKE NA KUSEMA AMEEN ALLAH ATUJALIE SOTE NDIO WAJA WAKE WA KUINGIA PEPONII AMUHIFADHII NA WATU WABAYA AMJALIE KAZI MZURI

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 4 дні тому +2

    Habari mchungaji chiko Mambo yako yako juu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kingchiefking9265
    @kingchiefking9265 4 дні тому +19

    Liké zangu kutok🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @franktodory
    @franktodory 4 дні тому +12

    kumekucha tena na chiko kaamka piah 😂😂😂😂

  • @GladysKalu-r6t
    @GladysKalu-r6t 4 дні тому +4

    Kila siku mimi ndio nachelewa nipeni hata fear na za mr berry basi🙆😂😂

  • @tumwesigearexandere596
    @tumwesigearexandere596 4 дні тому +4

    Mpak nadimase kwer nakubar san bab jowan❤❤

  • @OnesmusKyalo-wj9ex
    @OnesmusKyalo-wj9ex 4 дні тому +7

    Wapi likes wa kwanza leo

  • @GraceDavd
    @GraceDavd 4 дні тому +9

    Kongole kwa tamthilia yenu..inapendeza

  • @Bentrixx_
    @Bentrixx_ 4 дні тому +10

    Likes kama unamsapoti baba joan💯💯💯💯🙏🏾🙏🏾♥️

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 4 дні тому +26

    Fashen amegongwa na ukuta 🤣🤣🤣 ama kweli siku zote mungu hajawahi kushindwa na jambo lolote tueke imani thabithi 🙏🙏team Baba Karobo team Chiko hoyeeeee💪💪💪wapeni like zao na maua kma wakumbaliana na mm🎉🎉🎉🎉🎉

    • @ميريم-ط1س
      @ميريم-ط1س 4 дні тому +1

      Akiwa na mama karobo ndani yake 😂😂

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr 4 дні тому

      ​@@ميريم-ط1س😂😂😂😂

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 4 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @MarySengo-i4c
      @MarySengo-i4c 4 дні тому +2

      Fasheni anakaribia kufa ule ukuta ni hatari sijui huko alikoangukia 😊😊😂😂

    • @devotaLain
      @devotaLain 4 дні тому

      Kwa kweliii🙏🙏

  • @irankundabelyse-ej5vi
    @irankundabelyse-ej5vi 4 дні тому +11

    Nawaomb kamandug jamani mufinyekw pic yangu wana familia nawapendasan kutok 🇧🇮

  • @cintiakerubo4348
    @cintiakerubo4348 4 дні тому +1

    Team baba karobo❤ like hapa.hakuna nguvu yoyote itaweza kushida neno la mungu.amani muhimu

  • @GEOFREYMBAKA
    @GEOFREYMBAKA 4 дні тому +7

    Wap like ya zu jameni..........huyo mtoi unichanganya 😂😂😂😂

  • @evansole6020
    @evansole6020 4 дні тому

    So far this is the best episode ever...hii nayo imeenda shule, hii imeshinda ya mwalimu wangu

  • @bigstonemcb9171
    @bigstonemcb9171 4 дні тому +6

    Leo mi wa 53 nipe like

  • @ZakariaMbilinyi-js1yi
    @ZakariaMbilinyi-js1yi 4 дні тому

    Movie tamu sana mimi nimeipenda na kuifuatilia. Kazi nzuri sana.

  • @karembo7082
    @karembo7082 4 дні тому +21

    Kila mwenye roho baya hapa duniani apate kipigo kama cha mma karbo na fasheni kwa jina la yesu🙏🙏

  • @NaomiAkoyo-w4x
    @NaomiAkoyo-w4x 3 дні тому

    One thing I like about you baba joan wewe ni mwokovu sana mungu akuzidishie na akupe hitaji la nyoyo zetu maanake wakristo twapigwa vita sana but mungu yupo nasi siku zote na atabaki kuwa mungu

  • @OmarJuma-x3s
    @OmarJuma-x3s 4 дні тому +4

    Awa wanaomba like wakachukue kwa pdidy zipo nyingi sana

  • @Judey-qt5te
    @Judey-qt5te 4 дні тому +2

    Nimejelewa kidogo lkn naomba hata like tano

  • @grandchildWamusyai
    @grandchildWamusyai 4 дні тому +11

    Wagapi toka Kenya??show the love with more likes🔥🔥💪

  • @NanaGadgril-f1p
    @NanaGadgril-f1p 4 дні тому +2

    Kutoka 🇧🇮🙋

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 4 дні тому +13

    Nimewahi kutoka Kenya Bwana Yesu asifiwe yoyote atalike comment hii mungu ampe maisha marefu 🙏🙏🙏🙏

  • @MargaretMtende
    @MargaretMtende 4 дні тому

    Nimependa sana Hawa wachungaji Kwa kazi nzuri ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @YazidoChilaosaide
    @YazidoChilaosaide 4 дні тому +7

    Muvi ijayo ningepend iitwe maumivu 🇲🇿

  • @willfredygidion6717
    @willfredygidion6717 3 дні тому +1

    Chisa fungua kanisa uko vizuri sana kuwa mchungaji

  • @AlfredinaYohana
    @AlfredinaYohana 4 дні тому +6

    Wakwanza jaman

  • @HalimaAli-e4w
    @HalimaAli-e4w 4 дні тому

    Sikuzote mungu ndo kila kitu hawez kishidwa naam baba karob atapona n atampata mwanae karobo wangapi wanaungan n mm tujuwane hapa❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SharonKimeli-y1n
    @SharonKimeli-y1n 4 дні тому +4

    Team baba karobo wapi likes jamani

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 4 дні тому +2

    Chiko usimalize nguvu kwa hicho kipochi manyoya

  • @RukiaManga-z1t
    @RukiaManga-z1t 4 дні тому +6

    Wa kwanza leo❤😊 series niipendayo

  • @ProtasMsimbe
    @ProtasMsimbe 4 дні тому

    Kazi ni nzuri sana sana,
    Ninapenda sana kazi zako kaka, baba Joan.

  • @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
    @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x 4 дні тому +6

    Je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa

  • @kubuyainnocent1090
    @kubuyainnocent1090 4 дні тому

    Wakwanza kutoka Congo Dr goma mashariki mwa Congo naombeni like hata 100

  • @BarakaKomba-b9i
    @BarakaKomba-b9i 4 дні тому +3

    Ila ningependa kushauli baba Joan mjitaidi dakika nindogo mnatoa saiz

  • @JaneSonko
    @JaneSonko 9 годин тому

    Napenda uyo mchugaji sana tena sana mungu awe pamoja nawe mchugaji

  • @violetwandela4405
    @violetwandela4405 4 дні тому +6

    Wa kwanza kutoka Kenya naomba likes jamani

  • @ZazaZamda
    @ZazaZamda 4 дні тому +1

    Léo mbona imeisha mbiyo jamaniyeee,runawapenda from🇧🇮

  • @HMm-b8j
    @HMm-b8j 4 дні тому +6

    Mko pn
    A sana movie mpya iite mbinguni kwa babb😂😂😂🎉🎉🎉

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 дні тому

    Kipochi manyoya wetu uku anakemea pepo kisawasawa😂😂😂...kudos guys🎉🎉🎉

  • @SesiliaAndrew-c6y
    @SesiliaAndrew-c6y 4 дні тому +6

    Jmn nipen kumi tyu znatosha

  • @NASRAZOMBE
    @NASRAZOMBE 4 дні тому

    Mcmalize adi baba karobo uwasaidie wale waliokusaidia na tuone ndoa yako n zujat ndo mmalize move jamni ❤

  • @Doreendenis-zu1yj
    @Doreendenis-zu1yj 3 дні тому +3

    Mtu anisaidie namba za mchugaji nimgeee socks sijapenda alivyokaaa aaaah

  • @RoroAlroro-i2v
    @RoroAlroro-i2v 4 дні тому

    😂😂😂 aki chiko endelea na hyo huduma bna imekupendeza sana❤❤

  • @Tunabby
    @Tunabby 4 дні тому +5

    Wakwanza Leo jamn naombeni likes zang 😢

  • @innocentniyonkuru1680
    @innocentniyonkuru1680 4 дні тому +2

    Mungu mbere baba karobo Burundi tupooo

  • @FrancisMusee-d3y
    @FrancisMusee-d3y 4 дні тому +3

    Leo nimejaribu kuwahi jameni nipeni likes

  • @Gracenelima254
    @Gracenelima254 4 дні тому

    Wa kwansa kutoka Jordan 🇯🇴 team strong tupitiane wapi like zangu

  • @fredrickowino3
    @fredrickowino3 4 дні тому +4

    Huku watu hamuchelewi?much-loved series bado ni wakenya ndo tunaongoza kufualilia hi movie ❤❤

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua 4 дні тому

    Mchungaji Chiko maombi yake kibokooo,amewezaaa na amewezaa tyena!huwezi jua kma yule anayemuita Mr Tasha kipochi mayonyaa😅😅😅

  • @KisuraFaimo
    @KisuraFaimo 4 дні тому +5

    baba karobo viva

  • @ZaituniMbonyimana-e2e
    @ZaituniMbonyimana-e2e 3 дні тому +1

    M'y favorite serie🎉🎉🎉

  • @MrUhakikaTz
    @MrUhakikaTz 4 дні тому +4

    Leo nimekuw wa kwanza jmn wapi like zangu 😢❤

  • @Mwanasiti-d9x
    @Mwanasiti-d9x 3 дні тому

    Awa wa kwanza nwengi nimetoa like mpaka nime choka jaman mm wa mwesho movie ijayo itwe mama mchawi yani mamaa karobo😂

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 4 дні тому +5

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 4 дні тому

    Baba karobo hongera kwa kazi yako nzuri❤❤❤❤❤❤

  • @AkyooMamad
    @AkyooMamad 4 дні тому +4

    Nlikuwa nasubiri hatimae hii hapa🔥🔥🔥🔥🔥😁

  • @JohnsonMwashao
    @JohnsonMwashao 4 дні тому

    Wachelewa sana kutoa hii movie so fanya halahala kidogo basi❤

  • @John_B_Best
    @John_B_Best 4 дні тому +3

    Ongera Ila mu na chelewesha. Nawafata toka Congo bukavu bagira mulambula avenue pharmakina

  • @kelvinkirui4173
    @kelvinkirui4173 3 дні тому

    Kidongo baba karobo ako na Imani ndogo sana..😢😢😢ni sawà tu.. wacha hii ikwishe ndio tuone nyingine kama itakuwa tàmu kuliko..hii..baba yangu kipofu