MLEMAVU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 кві 2021
  • Hii tabia ya kushobokea wadada warembo kwenye daladala mkome..!!! Ona kilichomkuta Nishai..
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 630

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 3 роки тому +29

    Yule aliyeona nishai akidaka nzi na kumla anipe like

  • @jordanjordan3935
    @jordanjordan3935 2 роки тому +16

    Sio
    Kwa ubaya! Ila Hii ni Kama kuwanyanyapa Walemavu jaman! Everyone deserves to be loved!! I can Imagine mlemavu akiona hii Video

    • @ramadhankakai7303
      @ramadhankakai7303 2 роки тому +2

      True..naona kila mtu anasifia tu bila kuliona hilo. Hajaonyesha picha nzuri kwa walemavu

    • @nuratchibango8293
      @nuratchibango8293 2 роки тому +3

      Mimi ni mmoja hati ya yao wallah nimejskia vibaya sana

    • @ramadhankakai7303
      @ramadhankakai7303 2 роки тому

      @@nuratchibango8293 msamehe bure...Amini kwamba you are still amazing. Uzuri wako hauwezi kubadilika kwa chochote. You will forever be amazing

    • @lodrickmwambene133
      @lodrickmwambene133 2 роки тому

      Naona mambo ya ulaya yanakuja bongo Sidhani kama joti alikuwa kadhaminia kuzalau walemavu ila ningemsii angalie Script Kabla kutumia maana Tupo kwenye dunia kila kitu watu wapo sensitive

    • @mpokiibrahim8926
      @mpokiibrahim8926 Рік тому

      Na hapo joti ameonesha watu wanaopenda vizuri bila kukubaliwna na mapungufu take. Amecheza hiyo ilikufundisha, wachache Sana wataelewa, wengi watahisi ni chekesho

  • @alexruhigi
    @alexruhigi 3 роки тому +18

    Kama umemsikia yule mzee hujapewa nyuma... Piga like😂😂

  • @alivaro1911
    @alivaro1911 3 роки тому +53

    Kama umesikia soko supu gonga like

  • @complexjackal2782
    @complexjackal2782 3 роки тому +98

    Kama umeona joti kameza nzi nipe like ..na umegundua hiyo njia sio ya goba likes pia

  • @robsondalink6206
    @robsondalink6206 3 роки тому +48

    Nipen like namm wapendwa

  • @samytexas
    @samytexas 3 роки тому +11

    Nyie mnavituo vyenu mjue 😂💀🔥! Nishai bhana!

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 3 роки тому +5

    ni vile tu kibongo bongo lakini vichekesho kama hivi vina unyanyapaa kwa walemavu nchi za watu wanakufikisha mahakamani.

  • @abdulikadirnarrel2751
    @abdulikadirnarrel2751 3 роки тому +78

    Leo wamwanzo nipewe like zangu

  • @stevenbugas7554
    @stevenbugas7554 3 роки тому +6

    Naipenda sana Team yote ya JOTI kbsa🤣🤣

  • @predictioneasyodds2779
    @predictioneasyodds2779 3 роки тому +10

    Manka anajua kucheza na camera she is good😘😘

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 3 роки тому +44

    Kipande wap jaman waliommiss Kipande tujuane kwa like hapa

  • @happymacha9053
    @happymacha9053 3 роки тому +1

    Ila kwa mtazamo wangu Mimi naona hiyo haijakaa vzr zaidi,imeonyesha khali ya unyanyapaa mkubwa sana kwa watu wenye uhitaji maalumu..kama walemavu..lkn kwa upande wa pili joti ameoshesha jinsi jamii ilivo na mtazamo hasi dhidi ya watu wenye uhitaji maalum..binafsi nimejihisi huzuni Sana'a aiseee...

  • @happyjohn8680
    @happyjohn8680 3 роки тому +28

    Like za nni jmn maoni

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 3 роки тому +15

    Kenya tunawakubali sana 🇰🇪

  • @haleymonica4724
    @haleymonica4724 3 роки тому +10

    Joti unadhambi jmn🤣🤣🤣🤣💕

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 3 роки тому +2

    kwa hyo #Nishai ulipomwambia we bibiye mweupe akajibu Mungu hakupi vyote hukumuelewaa😆😆😆

  • @hajimohamed9711
    @hajimohamed9711 3 роки тому +7

    Daah joti umetisha nakubali kazi zako kinoma ,mzee nishai naona sopa alikua kimya leo 😂😂🤣daah nyie watu mpo vizuri👌🏻👌🏻mnatutoa stress team nzima yajoti mpo vizuri well done 👌🏻

  • @edwintouches
    @edwintouches 3 роки тому +163

    Hivi mnao ombaga LIKES hua zina utamu gani? Namimi leo nipeni hizo Likes nione ladha yake! 😁

  • @complexjackal2782
    @complexjackal2782 3 роки тому +72

    Likes ...jmn zifike 10 tuu zinatosha

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 3 роки тому +14

    Anaemkubali joti like kwangu.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +3

    Hahahhaahaha ila joti utakuwa unawaza nyuma sana eeeeh🙆🙆pitieni na huku kwangu jamani,nawapenda

  • @mairamakatha4213
    @mairamakatha4213 3 роки тому +5

    Huyu mzee hatariii 😂😂🤣🤣

  • @kishokatz1058
    @kishokatz1058 3 роки тому +2

    Na mimi leo naomba like leo jamani nione utamu wake

  • @danieldm92
    @danieldm92 2 роки тому

    Nishai Mtombangile Kitwango watu wa ..........? Noma sana.

  • @africanboy5414
    @africanboy5414 2 роки тому +1

    Cjaipenda ata kidogo,,, kaonesha kumnyanyapa kilema

  • @giftjux1164
    @giftjux1164 3 роки тому +45

    Nishai mtombangile kitwango😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @leilasadick5477
    @leilasadick5477 3 роки тому +2

    Hujapewa nyuma🤣🤣🤣🤣🤣🤣ina maana gani hii jaman😆😆😆😆

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 роки тому +1

      Si ndo makonda wengi wanasemaga hivi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @simonmlangu1388
    @simonmlangu1388 3 роки тому +6

    Joti una maigizo mengi Mazuri Ila hili maudhui yake Yana ukakasi ,
    Ni unyanyapaa kwa walemavu,
    Haifai kucheka.

    • @thomasimsimbe3171
      @thomasimsimbe3171 3 роки тому +1

      Umewaza kama mimi

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 роки тому +1

      Hajawanyanyapaa ila ameonesha kuna watu wana tabia za namna hii

    • @shantalismailhassan9878
      @shantalismailhassan9878 3 роки тому +1

      Katoa elimu kwa watu wengi wenye tabia za kuwanyanyapaa walemavu.

    • @thomasimsimbe3171
      @thomasimsimbe3171 3 роки тому +1

      @@shantalismailhassan9878 nadhani ikiwa angemkubali hapo ingekuwa na maudhui chanya sana

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 роки тому

      @@shantalismailhassan9878 hakika 👋

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 роки тому +1

    Uto joti mshenzi sana apo kawanyanyapaa watu kwenye ulemavu

  • @TABASAMAU
    @TABASAMAU 3 роки тому +12

    Ila apo., kapatia sana jinsi ya kunywa energy 😂😂😂😂😂
    Love this

    • @quilltouch6895
      @quilltouch6895 2 роки тому

      ms*** sana we jamaa hahahaahahahahahahahahaahahahahahaha y 😂😂😂😂😂 kumbe tuko wengi

  • @abdallahmwanyende2208
    @abdallahmwanyende2208 3 роки тому

    Hii joti bana kamuiga mr iboo yule nigerian comedy

  • @lizsam9996
    @lizsam9996 3 роки тому +2

    Mazee ii imeweza joti bigups✌😂

  • @pinkdilomo8231
    @pinkdilomo8231 2 роки тому

    Daaahh my best G Manka Mola awe naweh

  • @christinaroser6010
    @christinaroser6010 3 роки тому

    Video nbaya sana. Hamna eshima na watu wenye ulemavu. Mbona mnawacheka. Hama uruma nawo. Wapo Sawa na Wazima, wakiona wataumia roho

  • @samwelntevi9620
    @samwelntevi9620 3 роки тому

    Mm na mtazamo tofauti kabisa sijapenda maudhui ya hii comedy kwasababu imenyanyapaa Walemavu hata wakiangalia hawawezi kujisikia vizuri coz kila mtu anahaki ya kupendwa bila kubaguliwa kutokana na ulemavu wake pia nimeshangaa Bodi ya Filamu wameipitisha so hii inafundisha nn kwenye jamiii hasa pia kwa Walemavu huo Ni mtazamo wangu na ushauri wangu

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 3 роки тому +4

    Hii ya leo cjaipenda ,Kama Kuna kaubaguzi flan hivi .

    • @fatmamwilafi2627
      @fatmamwilafi2627 3 роки тому +1

      Daaah kaZngua kila binadam anastail kupendwa

  • @williammfungo1188
    @williammfungo1188 3 роки тому

    Hii story kaiga movie ya mr ibu ya Nigeria kitambo sana sema uzur kaongeza vitu vyake imekua nzur big up

  • @dr.mgungo1429
    @dr.mgungo1429 3 роки тому +1

    Hujapewa nyuma huko😀😀😀

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 3 роки тому +4

    Hahahahha nimecheka mpaka clip nimeirudi Mara mbili kazi nzuri kwa joti,malima na huyo dada alieigiza mlemavu pamoja crew nzima Nimefanya kazi nzuri joti big up mmeniongezea siku za kuishi

  • @mastercow8145
    @mastercow8145 3 роки тому

    Jotti bhana daaaaaaah nimecheka

  • @r-jay7404
    @r-jay7404 3 роки тому

    Dah.. Nimejiskia vbaya sana mwishon.. Hii video imebeba ujumbe hasi kwa walemavu.. Chakusikitsha zaidi BODI YA FILAMU wameiptisha pasipo kuangalia madhara yake ktk jamii.. Kwa maana nyengine BODI YA FILAMU imebarik unyanyapaa dhidi ya walemavu..

  • @godfreystephano4992
    @godfreystephano4992 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣umenikumbusha movie ya mr.ibu ... Kitambo sana

  • @devothamwamwezi2036
    @devothamwamwezi2036 3 роки тому +5

    Jaman konda apewe nyuma 😂😂😂😂

  • @kabandilwafariala6093
    @kabandilwafariala6093 3 роки тому +5

    Mungu anakuona Joti😂🤣

  • @paulodawite4915
    @paulodawite4915 3 роки тому

    Haifurahishi.Ni kuwavunja moyo walemavu

  • @chiefmicca7051
    @chiefmicca7051 3 роки тому

    Dah wakazi wa daresalaam wanaelewa hii kadhia ase😄😄

  • @dajuriyticha5643
    @dajuriyticha5643 3 роки тому +1

    Joti he's the best... Yuachekesha nimecheka

  • @muvunyinshimiyimana0
    @muvunyinshimiyimana0 3 роки тому +7

    Munaupendeleyo katika groupe hii
    Hata like moja jameni?

  • @jibabatv622
    @jibabatv622 3 роки тому +3

    Tulioamka salama tumshukuru Mungu

  • @kamanyile
    @kamanyile 3 роки тому +2

    wangapi wamesikia siyo kituo changu

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 3 роки тому

    Hiv vituo viko nch gan yaarb Jot

  • @officialbekajoh3986
    @officialbekajoh3986 3 роки тому +8

    Konda tuheshimiane kituo changu achana nako😂😂😂😂😂😂

  • @theafricandreamboxing691
    @theafricandreamboxing691 3 роки тому +2

    Haupoi!!..huwa unanivunja sana mbavu😂😂😂😂😂😂😂 ...well done.

  • @kaya.o1673
    @kaya.o1673 3 роки тому +1

    Wewe jotti noma

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +5

    Hilo jina MTOMBANGILE 😂

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 3 роки тому +5

    Tongozatongoza nyingi habari ndio iyo😆😆

  • @enalamichael3339
    @enalamichael3339 3 роки тому +1

    Hujapewa nyuma 😂😂😂😂mzeee 🙌

  • @godsonpeter6835
    @godsonpeter6835 3 роки тому

    Ujapewaa nyumaa huko😀😀😀

  • @abrahamhassan351
    @abrahamhassan351 3 роки тому

    Huyu jamaa mwanaharamu Joti hatari so funny hehehe 😂

  • @erickevarist8738
    @erickevarist8738 3 роки тому

    Dah joti leo umepatikana

  • @idrissaabeidy6846
    @idrissaabeidy6846 3 роки тому

    Baba joti hii ya leo Kama ya Mr ibu ile ya aki na ukwa 🔥🔥🔥🔥tunakubali

  • @venisiakasimba9254
    @venisiakasimba9254 3 роки тому

    Kazi nzur sana nishai manka yy anasemaje kwan

  • @edwintouches
    @edwintouches 3 роки тому +10

    JOTI The Baddest!

  • @mbeleakyaruzi7927
    @mbeleakyaruzi7927 2 роки тому

    Aisee weee ni kiboko😀😀😀😀

  • @johnyusuph2678
    @johnyusuph2678 3 роки тому +1

    Tunaojua ratiba, hatuchelewi kuview

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 3 роки тому

    Hatimae jina la sopa lmekuwa kituo cha abria

  • @younglady118
    @younglady118 3 роки тому

    😅😅😅😅tutaacha lin kugombania magar jamaaan...😄😄😄wakati gari tuupu tuuu

  • @jamesluckson2367
    @jamesluckson2367 Місяць тому

    Kitombangile kitwango hapo tu😂😂😂

  • @babuninimainangwatito9282
    @babuninimainangwatito9282 3 роки тому +2

    HIGH TALENTED!!1

  • @luganomasebo6606
    @luganomasebo6606 3 роки тому +1

    Hujapewa nyuma

  • @Bless-b.DL-babyofficial8769
    @Bless-b.DL-babyofficial8769 3 роки тому +41

    Huu mzee bana Eti wewe hauja pewa nyuma 😆😆😆

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fadhiliignusy3790
      @fadhiliignusy3790 3 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂wazee wa daslamm.....

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 роки тому

      @@fadhiliignusy3790 nyie vijana ndo mnamtafsiri mzee vibaya 😂😂😂😂🏃

    • @elijahm.muthini
      @elijahm.muthini 3 роки тому +1

      Wanadamu na akili zao chafu😂😂😂

    • @agapejosceline7683
      @agapejosceline7683 3 роки тому

      😂😂😂😂hawa vijana wana vituko

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 2 роки тому

    Nyieeeee 🔥 🔥 🔥

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheeek saaan.nyieee mnavutuoo vyenuuuu

  • @jumakifua8927
    @jumakifua8927 3 роки тому +2

    Like ndio Nini mbona kila mmoja anaomba

  • @Fashenitz
    @Fashenitz 3 роки тому +1

    Mr IBU did this comedy

  • @mwashyombo9241
    @mwashyombo9241 3 роки тому +1

    Zambia tunawakubali sana

  • @bellabakera
    @bellabakera 3 роки тому

    Hii haichekeshi sema ina unyanyapaaji. Si maadili yetu hayo

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 3 роки тому +3

    Naitwa NISHAI MTOMBANGILE KITWANGO 😆😆😆😆😆😆😆😆

    • @IfahamuTanzania
      @IfahamuTanzania 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ernestndauka9301
      @ernestndauka9301 3 роки тому +1

      KITWANGO ni watu kutoka KASONGO!! Shubamiti!!? 😆😆😆😄😄😄😄

  • @isabellamassawe9224
    @isabellamassawe9224 3 роки тому +1

    Duh watu mnawahi kha

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +6

    😂😂😂😂Tongoza Tongoza

  • @emtisalramadhani8904
    @emtisalramadhani8904 3 роки тому

    Aah basi kama mmeachana bas mi ndo furaha kwangu

  • @SHININGFILMTV
    @SHININGFILMTV 3 роки тому

    Uyo dem anajua kuigiza kinoma ana kiukarimu fulani

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 3 роки тому +1

    Hahahhhaa.. we nishai WEWE 🤦🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. KUBA LA BABAKO.

  • @barutithedoni9538
    @barutithedoni9538 2 роки тому

    We joti wew ko ulivoona anakibasekeli ukamukata

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому

    Ila haileti maana nzuri kwa walemavu watajenga taswira ya kua hawapendwi wakiona hiii utwatia unyonge sana

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 3 роки тому

    Kwani hujapew nyuma hkooo🤣🤣🤣....bonge la demu kumbe miguu shida😆😆

  • @joekabbz82kambo26
    @joekabbz82kambo26 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣 soo funny 💯 kenyan tupo 🇰🇪

  • @meshackmgunda8789
    @meshackmgunda8789 2 роки тому

    Kutongoza Lah jamni

  • @jumashaban1519
    @jumashaban1519 3 роки тому

    Ha ha ha ww nishai noma kweli

  • @breackychangwe7326
    @breackychangwe7326 3 роки тому +1

    Hahaaaaaaaa...yaan unakamata nzi unakula😂😂😂😂😂

  • @mamakajole9662
    @mamakajole9662 3 роки тому

    Mungu anakuona

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 роки тому

    Mungu anakuona ujue🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Mungu akusamehe bule 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @patrickmutili5023
    @patrickmutili5023 3 роки тому +1

    Ahaaaaaaaa noma sana

  • @yonathemonitor6633
    @yonathemonitor6633 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nishai jau kwl yaan

  • @stelakiula917
    @stelakiula917 3 роки тому

    Utapewa nyuma huko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nauli jamani

  • @joeannjoseph7090
    @joeannjoseph7090 3 роки тому +35

    I know I am not the only one that saw him catch that fly and put it into his mouth. 😂😂😂😂😂😂😂

  • @davidsoloma3977
    @davidsoloma3977 3 роки тому

    Ujapewa nyuma apo🐱🐱

  • @Jonijoo__the_don
    @Jonijoo__the_don 3 роки тому

    Joti bn🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 3 роки тому +2

    Nishai mtombangile kitwango